Safi sana kaka aisée hii video imenipa mafunzo bora sana tena sana kwasababu Mimi ni comedian 💪. kwahiyo hivi sasa karibuni nitakuwa najua Nijinsi gani naweza cheza vidéo nakupanga vitu tofauti ndani 🙏.
Japo kwa sasa hii Julius mix ni channel ya utangulizi ya tricks kwa ajili ya kujifunza namna ya kupost, na baadhi ya vitu ili nitakapoanzisha channel rasmi iwe rahisi kwangu
Brother rich, tunaomba ufanye video ukielekeza hatua zinazotakiwa kufuatwa pale channel ikifuzu vigezo vya kuwa monetized. Nini kifanyike na mambo yanakuaje hadi mtu anapata pesa kwenye account yake ya kawaida ya bank
How is it I used your videos to boost my knowledge I wish you could host me so that we could do a live stream like you always do with other TH-camrs Thanks I hope I will get a good response
naomba unisaidie kitu brother , acount yangu youtube ilifikisha vigezo vyote yaan subscriber 1000 masaa 4000 nikaapply wakasema reused content,nikaamua kufuta video zote na kubadilisha majina ya acount chaajabu ni kwamba sasaiv nikiangalia masaa yamefutwa yote ila subscriber wapo
Nimekuwa wa kwanza ku watch hiii..... Naomba saport ya like
🎉🎉🎉🎉
SAWA boss
Kaka richstar naomba namba yako ya whatsapp
nimetimiza vigezo na masharti naka nikufate unisaidie kujaza yale maelezo
Nice big brother
Thank you
Good mwamba
Hapo ni safi
Pamoja
Safi sana kaka aisée hii video imenipa mafunzo bora sana tena sana kwasababu Mimi ni comedian 💪. kwahiyo hivi sasa karibuni nitakuwa najua Nijinsi gani naweza cheza vidéo nakupanga vitu tofauti ndani 🙏.
Ahsante Sana bro. Nimepata kitu
Enjoy
Nakukubali sana kaka, unatusaidia sana, mungu akuzidishie🎉
Ahsant kwa darasa la leo
Ahsante bro
nakubali
Asante sana bro tunaonza kuna kazi kweli kweli nimejifunza kitu
Naomba no. Yako ya simu mkuu
Ndo nimeingiza video moja tu kaka
Shukrani Sana 🙏🏼🙏🏼
Thank you
Sawa kaka Tunaendelea Kupata Shule,, ngoja tuwatch
Shukrani sana kaka
Sawa youtuber mkubwa nakushukuru🌹🌹
Ndio bila kubeza ni youtuber mkubwa
10:35 😂 Bro Rich hii inaboa sasa maana nimeangalia mpaka kwenye kipengele cha see you next time ❤
Kaka Photoshop mpya inatoka lini?
Ahsante sana kaka, kuna ishu moja ya violation of the TH-cam monetization policy kama una juzi nayo nahitaji msaada wako.
Hey rich nnasikia vigezo vimepungunza
Good sana mzeee rich
Pamoja sana
Nashukuruu sanaa
Enjoy kijana
Respect sana kaka Richard. We ni noma sana🔥
Shukrani sana
Habari yako, bro unapatikana wapi nadhan nahitaji kwaajili ya mafunzo zaidi kaka. Kama naweza nikafaham upo mkoa gan niweze kuja hapo
Pamoja Sana
Kaka habari Hongera kwa Msaada unaoutoa kwa jamii samahani naweza kukupata private?
Umeeleweka Sana
Tunaomba uje utuelekeze jinsi ya add sound effect, either tutumie app gani, ama utakavyoona bora
Pamoja sana
Much love bro🔥🔥🔥🙏
Enjoy kijana
Good Broo
Watching from Kenya
Hukrani sana bwana +254 🇰🇪
I love this Video, The Editing Style Inavutia Sana!
Thank you brother
i love the lighting
@@amatoris_ Thank you
Asante sana kaka Rich
Bro tusaidie sisi ma beginner jinsi yaku poteza mchawi kwenye film bro
Nimekuelewa Mkuu, je kwa muimbaji ambae Ana upload nyimbo zake you tube nae anawezaje kutengneza Content?
Big up sana kaka kunywa maji ya 500 nalipia
Shukrani sana
Naomba unisaidie link ya adobe premiere pro naomba sana jaman
Adobe.com
Samahani rich naomba kuuliza kitu kimoja.
Hivi nawezaje kupata png za wachezaji wa mpira kwa tanzania mfano simba na yanga??
Search online
Hongera kwa video nzuri, nauliza ivi tax information inahusiana na nini? TRA au
Nikweli
"A"
Kk nashida kidogo kuusu youtube mfono channel ukaifungua ndani ya miaka miwili aijakizi vigezo na mwaka watau ikakizi vipi inawezwa kulipwa
Bro Rich mbona Photoshop hatuioni jaman😭😭😭😭😭 Ni Lini itatoka bro
Kk ujawaijubu iliswara tunaombautujibu tu we. Naamani mfanochanneli yako yaijakizi vigezo ndand yamiakamiwili mwakawatatu ikakizivigezo vipi inawezakulipwa 😂😂 jibu please
Japo kwa sasa hii Julius mix ni channel ya utangulizi ya tricks kwa ajili ya kujifunza namna ya kupost, na baadhi ya vitu ili nitakapoanzisha channel rasmi iwe rahisi kwangu
Brother rich, tunaomba ufanye video ukielekeza hatua zinazotakiwa kufuatwa pale channel ikifuzu vigezo vya kuwa monetized. Nini kifanyike na mambo yanakuaje hadi mtu anapata pesa kwenye account yake ya kawaida ya bank
Sawa nitalifanyia kazi
Tutashukuru sana teacher
Tutashukuru sana teacher
Ndiyo tutashushuru sana
Views hawanipati wakiandika jina langu TH-cam
How is it I used your videos to boost my knowledge I wish you could host me so that we could do a live stream like you always do with other TH-camrs Thanks
I hope I will get a good response
Huwa nakuelewa na hapa nimekuelewa zaidi... Nipo njiani kufungua channel yangu na nitahitaji ushauri zaidi na zaidi pale nitakapokwama.
Kaka nitumie namba yako nashida bro
Bro xijui tatizo ni nini nimepost video 4 lakini masaa bado yamesimama hayaongezeki xijui xhida nn apo naomba nielekeze 🙏
Give it some times
naomba unisaidie kitu brother , acount yangu youtube ilifikisha vigezo vyote yaan subscriber 1000 masaa 4000 nikaapply wakasema reused content,nikaamua kufuta video zote na kubadilisha majina ya acount chaajabu ni kwamba sasaiv nikiangalia masaa yamefutwa yote ila subscriber wapo
Kwa sababu umefuta videos
@@Richstartz Duhh kwahy hapo mpaka nianze upyaaa
Nashida na hiyo maiki
Umenigusa kk kwny hili
Enjoy Kijana. Happy to hear that
Nitumie namba yako nina changamoto binafsi
0714250356
B rol inatokakana utaalamu ngoja nisome Adobe😁😁🤮
Hahahaha amna ni simple tu
@@Richstartz ngumu mno na umri wee acha tu. Nitajifunza pole pole🌹🌹
@@KADALAtv255 hakikisha ndani ya seconds 30 za mwanzo Mtu ameshajua nini Atajifunza
@@Richstartz Sawa asante