Kijana ukweli hiyo sio level ya mziki wa tanzania. Ukweli sijuwi alifika hapo vipi ilinza vipi.nanikamchagua kuwa hapo yani ukweli sielewi. Nisaidie pls
Hao watu ambao wanasema eti show ilikuwa mbovu sasa hawajuwi kama ilikuwa show ya ma star ya kutowa award? Sasa angeruka ruka mbele ya watu ambao wanaheshimika. Kwani hawakuona mtu ambaye ame perfom kabla ya Diamond
Huko unahisi atapata nn naona commment yako imekaa kishamba sana hata davido amekaa marekai lakini support anayoipata inatoka nijeria so kama anataka apotee kimziki naende hiko ndo habari yake itakua imeisha
Wewe ndio una wafunguwaka wa Tanzania akili izo fitna zenu ndio maana amuendi mbali angalia compared pesa ya mwijaku na babalevo nani Ana ela? Watanzania muna tu vunja moyo sana sisi watu wa inje ivi jiulize Africa ina wasanii wanga pi? Sasa kwanini Tanzania tu😅😅😅😅🎉
Chawa tu aachiye kelele una mu comparé burna boy na muchamba hajawaii jaza ata staduim moja Tanzanie burna boy kajaza viwadja viote via dunia bro muache uuchamba burna boy amu angaliye muchamba juuu afaidike n'a nini?? Chawa bila fact
Diamond bro we nimtuwa maana sana bro 🤸🤸🤸🤸🤸
Twende naloo sasa 🎉🎉🎉🎉🎉
Wakenya wanajitambua sna
Show ilikua Mbovu asidanganywe bana!.. ambiwe kweli tu azidi kua creative katika co operative LIVE SOUND.
acha roho ya kike utaliwa kota kijana
😂😂😂😂😂😂😂😂wivuuuuuuuuu....... Utakufa Na wivuuuuuuuuu 😂😂😂😂😂
Subiri konde boy aitwe nayey apo. Sijui itakua lini?😂😂
He went there by his wish,hakuitwa pale,amejipeleka @@DouglasMassop
Afu mwanaume wewe usipoqngalia utapumuliwa huwezi kukosoa jitihada za wanaume wenzio hizo ni pigo za kike
Kweli kaka 🎉🎉🎉 upewe maua
Brother Armando nabado bendera ya East Africa itazidi kwenda na Platnumz
wembiye bro
Ajui bwana huyo domo kuperfom
Wanaomponda ni team kiba na konde gang😂😂😂😂nawanaomchukiya mond
Kwasababu hajui kuperfom
Ww nae mnafiki hatukuelewi
Wambie maana tz people sijui wanatatizo gan
Simba jembeee banaa
Show imejaaaa madansa diamond bado
🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮♥️
U guys u naogea saaana acheni fisna 🧘
Achana na hao wanaokosoa, binaadam hapendwi na wote na huwezi kufosi mtu akupende
Kijana ukweli hiyo sio level ya mziki wa tanzania. Ukweli sijuwi alifika hapo vipi ilinza vipi.nanikamchagua kuwa hapo yani ukweli sielewi. Nisaidie pls
Hao watu ambao wanasema eti show ilikuwa mbovu sasa hawajuwi kama ilikuwa show ya ma star ya kutowa award?
Sasa angeruka ruka mbele ya watu ambao wanaheshimika.
Kwani hawakuona mtu ambaye ame perfom kabla ya Diamond
Kenya tumezoea kuchangia eriko omondi anajua hilo
Ni wakati sahihi diamond ahamie nje ya nchi kama wengine
Huko unahisi atapata nn naona commment yako imekaa kishamba sana hata davido amekaa marekai lakini support anayoipata inatoka nijeria so kama anataka apotee kimziki naende hiko ndo habari yake itakua imeisha
Diamond NI wakuigwa hamna mfano ukimkataa ukimkubali ukweli ndio huoo
Toa ujinga huo
Tuoneshe walipo mpongeza Kos la diamond kuto kuimb live
Kaka ilo lakusema live recorded do inamfaa diamond kwakunsaidi maana diamond anapenda kucheza sana akianda sana
Wape hela kama Billion 5 au 10 wakafanye hizo show Tena zao wenyew maan mineno Yako tupu haitish kelele tu tunapiga apo
Tatizo anatowa ruchwa san
Wewe ndio una wafunguwaka wa Tanzania akili izo fitna zenu ndio maana amuendi mbali angalia compared pesa ya mwijaku na babalevo nani Ana ela? Watanzania muna tu vunja moyo sana sisi watu wa inje ivi jiulize Africa ina wasanii wanga pi? Sasa kwanini Tanzania tu😅😅😅😅🎉
Kumbe we nae nikapumbavu kafanye ww tuongee yako
Chawa tu aachiye kelele una mu comparé burna boy na muchamba hajawaii jaza ata staduim moja Tanzanie burna boy kajaza viwadja viote via dunia bro muache uuchamba burna boy amu angaliye muchamba juuu afaidike n'a nini??
Chawa bila fact
Muchamba ndo nini?😅