Huo wimbo wa phina wame copy kipande kidogo sana,part hio ingine wameandika wenyewe na wao kuunganisha na wimbo kuuwa mzuri ni kitu cha kuwatolea sifa,si wengi wangefanikiwa,creativity ndo usanii,big up to them
Sisi tunakujuwa wewe choko hutupi shida angefanya zuchu na diamond basi ingekuwa wimbo mzuri maana juzi tu walitowa mipasho yao ya wale wale na ukasema nyimbo kwaiyo mzuri nyimbo ya zuchu na diamond wale wale ni nyimbo mzuri au sio
Tatizo lako ni hapo tu sjui kimataifa ww kwenye akili yako unatafsirije hao ni wasanii wa kimataifa ww unahisi mond anawazidi nn??huko mbele ni maamuzi tu na connection lkn Ngoma kiba konde wanatoa Ngoma za moto mond akasome nahis anachowazidi ni gharama za promo tu ambazo faida yake anazijua mwenyewe

Master amemtaja kuwa ni full package ,, kaacha vifaa vya muziki,,,,,, 😂😂
Sisi tunakujuwa wewe choko hutupi shida angefanya zuchu na diamond basi ingekuwa wimbo mzuri maana juzi tu walitowa mipasho yao ya wale wale na ukasema nyimbo kwaiyo mzuri nyimbo ya zuchu na diamond wale wale ni nyimbo mzuri au sio
leo umewasifia wacha tuone kesho vile utawaponda😂😂hueleweki brooo
Tatizo lako ni hapo tu sjui kimataifa ww kwenye akili yako unatafsirije hao ni wasanii wa kimataifa ww unahisi mond anawazidi nn??huko mbele ni maamuzi tu na connection lkn Ngoma kiba konde wanatoa Ngoma za moto mond akasome nahis anachowazidi ni gharama za promo tu ambazo faida yake anazijua mwenyewe
Acha wongo munafiki we ni mtu wa diamond
Harmonize anajuwaa sana
Ipange vizuli topic yako
Huna MADA maalumu unarukaruka tu
Ongelea ile wimbo wa rayvanny ft alikiba
Si hata burna boy alicopy last last lakini ilihit so kucopy ni kawaida😏 mbona mapoz ya diamond hukulalamika
Ingekuwa diamond apo duh ungefulai sana
Diamond hatoi kolabo ovyo
Dah Kaka sasa unachambua Nini?
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😊😊😊 zakawaida
Wewe ni chawa wa diamond ama ni vipi maana hatukuelewi
Kwani iyo nyimbo alio toa Damond mpya mbona ukisikia ni holiday ya Darasa na umeufyata kimya acha ujuaji komba we
Ila brooo ww ni chawa wa wazi wa wasafi na uko hapo lengo ni kumuharibia harmonize tunakujua na hao bongo5 wako
Fanya wewe wakimataifa 2 hone basi
Mbona bos wako Diamond alikopi wipo wimbo wa mr bluee mapozi na hukuongea kitu ebu acha kutumika bloo acha roho mbaya na uchawa
On 1 Ntyga🇲🇿❤️🫶🏻🫶🏻
Mbona mario amefanya kopi nyimbo y mr,nice au Ile na ay mbona ujaponda broo
Ile ni collaboration ndio maana inaitwa shisha marioo ft mr nice. AMA wewe mgeni 😅😅
Wewe mwamba nimnafki sana Yani unaongea kinafki mnoo
Una shida kaka. Tena wewe njo mwenye mapungufu saaana duniyani
🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶🎶✌️✌️✌️✌️✌️🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Fanya wewe