ROSE ALIYETEULIWA NA LISSU ASIMULIA MAZITO "WALIHUJUMU UCHAGUZI WANGU KWA RUSHWA AMTAJA KIGAILA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- ROSE ALIYETEULIWA NA LISSU ASIMULIA MAZITO "WALIHUJUMU UCHAGUZI WANGU KWA RUSHWA AMTAJA KIGAILA"
🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Rose,nakupenda sana mwanamke jasiri sana,kama daktari nakutabiria ipo siku utakua kiongozi mkubwa nchi hii,amen na iwe hivyo!...
Wewe dada ni kiongozi! Keep it up. Composure and eloquence at its best....
Rose + mligo Nawapenda Sana
Hawa wakina Dada Superb.
Madam Rose na Mligo.. r wonderful ladies, very patriotic!
Ni vizuri ukatambua kuwa uchaguzi umekwisha ,muanze kujenga chama,hizo tofauti za uchaguzi muachane nazo
Hata hujamsikiliza unatoa comments zako kizembe. Anazungumzia uchaguzi wa njombe ambao umepigwa danadana sana mpaka leo
Anapoongea ndio kupona huko kwani usiri ni wann
Hizo fedha naamini zilitoka ccm na kubarikiwa na Mr Mbowe! ndio sbb hakuwahi kuzungumzia rushwa ndani ya chama zaidi alikuwa akimung'unya tu maneno! kwa kweli huyu mwenyekiti wa chadema taifa aliyepita binafsi najihisi hovyo sana sbb wapo wana wengi kwa idadi wameuwawa kikatili wakiipigania siasa na demokrasia huru ndani ya Tanzania.
Kwakweli wajumbe mmefanya jambo la mbolea sana kumuondoa mbowe na genge lake!
Huyu Dada Ni hazina kwa chama mtu makin sana
Nikichwa 👏👏👏👏
Upo vizuri sana huwa nakuelewa sana
We dada ushapewa ujumbe wa na rissu acha mipasho tena, na usilazimishe umaarufu,kajenge chama, acha ziaka ya wewe uwe na simat fon wenzako wakose we Mungu,au mtoa riziki
Rose Mayemba ni Mwanamke SHUJAA
Unakosea sana sana kuzungumzia yaliyopita badala ya kujenga chama chenu
Yu rose sijui kma anajua tunakazi mbele yeti inaitaji watu wote makundi yalisha pita
Unamuunga mkono mbwa MBOWE???
Watu wa Mbowe mnaogopa kusikia maujinga yenu. 😂😂
Rose ni mtu mwenye msimamo sana,Chadema is proud to have her✌️✌️✌️
Huyu dada ni very strong
Namkubali sana dada rose
Boss mlikosa location
Interview zako zote zinakuwa na background noises , zinapunguza umakini
kuweni makini Mwanahalisi .
Mtakivuruga chama Mbowe amesema chama kina majeraha mkiendelea hivi mtakivunja chama anayekisimamia chama kwamba yuko Neutral ni John Mnyika sijui iwapo atakinusuru chama
Wewe nae ni mpenda lushwa kwann uchukie
Ningeshauri yalopita yameshapita yabaki kama historia njema ya kujifunza ili yasijirudie tena, Kwa hiyo Kwa sasa yafaa muanze UPYA
Mungu ni mkubwa Sana Hana upendeleo na haangalii kama Binadamu waangaliavyo. Umepewa unachostahiri
Production yenu ni mbovu sana ... Choice of location nayo ni mbovu lakini content ni mzuri sana
Chadema wanahitaji maridhiano. Katika maridhiano lazima uovu ufichuliwe ukubaliwe na wote halafu ukemewe na uachwe ndipo njia ya kusonga mbele ipatikane. Inaonekana kulikuwa na mkakati toka kwa mwenyekiti mbowe kuwashugulikia chadema wenye misimamo mikali dhidi ya serekali ya samia, ili watakapoondoka watengeneze kitakachoitwa maridhiano na ikiwezekana zipatikane nafasi chache za wabunge wachadema kuingia bungeni na hata ushirika feki wa kuendesha serekali ya maridhiano kama Zanzibar, hili lingeihakikishia CCM kuendelea kutawala ktk nafasi ya uraisi bila upinzani mkubwa. Hiyo ndiyo hisia yangu. Hatua atakazochukua mbowe na wenzake baada ya kushindwa uchaguzi zitatoa picha Siri iliyokuwa inaendelea dhidi ya akina Lisu.
Nyie hao wandishi wanawachonganishi wana tumwa, na CCM, ukitaka kujua ilo mbona awawaoji ccm, kuhusu mgombea wa urais kupita bila kupingwa, jiulizeni vzr, uchaguzi umeisha jengen chama, ayo mnayo ojiwa kila siku,mnapasua chama, ndio furaha ya wandishi wengi walio pewa rushwa, kupasua chama
Dah,kama nakuelew KWA mbali
Chama chenu kwa kweli hakifai , ni chama cha Rushwa sana, jifunzeni CCM. Bado wananchi wanatakiwa waiamini CCM.
Mhhhh!
Na kweli CCM bado imara sana
Wewe nae Ni walewale tu ,unaakili yako timamu unaiamini ccm!taperi kabisa
Tuna Imani na chadema siyo li ccm lenu lichama la watoa rushwa na majizi
@ CCM ina rwshwa peke yake lakini chadema ina rushwa, ukabila. Udini sasa hapo nani mweye afadhali 🤣🤣🤣
Hivi mlishindwa kutafuta sehemu nzuri yakufanya mahojiano zaidi ya hiyo standi ya mabus au kichochoroni makelele kibao,that's unprofessional
Kila siku sehem mnazofanyia interview zinalele.Mwanahalisi is too big kuruhusu uzembe huu
Shida ipo wapi sasa
Kigaila ni hovyo kabisa ana vimelea vya rushwa
Yaani ukisikiliza huu uonevu na ukweli kwamba hawa wakina Kigaila ni mabwana wa wale Wanawake wa Civid 19 ndiyo unaelewa Kwa Nini Wana Chadema wakimkataa Mbowe na haya majambazi mchana kweupe
KAMA HAMKUTENDEWA HAKI N HAKI YENU KIONGEA
Namkubali sana huyu dada nampenda sana sana
Wewe kajenge chama umeshateuliwa makundi atutaki tena
Rose wewe ni mtu na nusu watu kama nyie mnaitajika sana siyo hao machawa wachumia tumbo
PESA MWENYEKITI MBOWEALIPEWA CCM
Rose wewe ni kama tundu lissu usikate tamaa upo turipo
Siku hizi MwanaHalisi TV recording yenu ni very poor, audio iko very poor. Mtu aweza kudhani labda mmerekodi kwa kutumia simu ya kitochi barabarani katikati ya kelele za watu na magari
Tumepokea hili
Ajifunze ccm kwahiyo ccm wako safi
Huyu anasahau uchaguzi umeshaisha
DADA JASIRI
Swafi
Kgaila nalo chawa kumbe
Rose ungeachana na mambo yoteya zamani. Panama Uchaguzi ufanyike
Zamani wapi?
Mwaka jana?
Acha hayo muache aongee! Unajua kitu kinaitwa Freedom of speech 💬 pumbafu!
Muache aongee !
Endeleza migogoro
Hii nikuendrleza
Hakuna mgogoro wanatoa ukweli.
Kwa lipi? Wakati ccm ndio baba wa maovu yote.
Chama chenu kwa kweli hakifai , ni chama cha Rushwa sana, jifunzeni CCM. Bado wananchi wanatakiwa waiamini CCM.
Ccm ni baba wa maovu.
@@JabirJabir-r5gchadema ni babu wa ukabila na udini