NGUVU YA AKIBA PART 1 A

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 4 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 22

  • @domitiladsm
    @domitiladsm ปีที่แล้ว

    Asante sana Apostle. Mungu nisaidie kulifanyia kazi hili neno.

  • @jacksonhamis-cw2bw
    @jacksonhamis-cw2bw ปีที่แล้ว

    Amen Daddy nimepokea package yangu kwa sehemu kubwa sana Mungu aniongoze sana mimi na uzao wangu atupe neema ya kuweka akiba kwa ajili yetu na uzao wetu , nafurahi kuwa sehemu kubwa ya neema hii {Mwanafunzi wako & SBC kahama Team media } Mungu azidi kufunua kazi yake maradufu ndani yako Baba na ninakiri Nayaweza mambo yote katika yeye anitiaye Nguvu {WAFILIPI 4:13} Love you more daddy & Mommy ❤‍🩹🙏

  • @zawadijoel7516
    @zawadijoel7516 ปีที่แล้ว

    Mungu atupe neema ya kutunza akiba kwa vizazi vijavyo

  • @ceciliaonyango5367
    @ceciliaonyango5367 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kweli huu ni ubinafsi inaumiza sana Mungu atutie nguvu Mungu ibariki nchi yetu

  • @angelmsoffe398
    @angelmsoffe398 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidi sn kuweka akiba

  • @pastorwilbertkifumbo
    @pastorwilbertkifumbo ปีที่แล้ว

    Baba Mungu wa mbinguni naomba UNISAIDIE unipe Neema ya kuweka Akiba kwa ajili yangu na watoto na wajukuu wangu oooh LORD HELP ME
    I connect to the Grace of apostle mtalemwa in Jesus name

  • @UsafiMichael-mc8kt
    @UsafiMichael-mc8kt ปีที่แล้ว

    Bonge la somo sana! Natamani hata baadhi ya watumishi wangesikia hili somo

  • @erickiogora2110
    @erickiogora2110 ปีที่แล้ว

    Mungu anipee neema ya kujiwekea akiba God bless apostle.

  • @BarnabaBuhoma
    @BarnabaBuhoma ปีที่แล้ว

    So powerful

  • @lwimboderick7479
    @lwimboderick7479 ปีที่แล้ว

    Ni njema hii. Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @catherinechisalala4055
    @catherinechisalala4055 ปีที่แล้ว

    Sifa na utukufu umrudie Mungu kwa kukupa hekima ya kutufundisha yaliyo mema

  • @joycejoseph7110
    @joycejoseph7110 6 หลายเดือนก่อน

    Nimesali makanisa mengi wachungaj tofaut tofaut lakin wew mtalemwa ni kiboko unafundisha kwa matokeo hii inadumu licha ya kupakwa mafuta unatufundisha mno❤

  • @violetnelly4685
    @violetnelly4685 ปีที่แล้ว

    Amen.thank God for your servant

  • @dottomkuchu5890
    @dottomkuchu5890 ปีที่แล้ว

    Amen Papaa

  • @theresiaraymond5353
    @theresiaraymond5353 ปีที่แล้ว

    Amina Mungu anipee neema ya kujiwekea akiba

  • @davidkuria6463
    @davidkuria6463 ปีที่แล้ว

    Amen and amen!

  • @mariahamis1708
    @mariahamis1708 ปีที่แล้ว

    Ameen Baba

  • @franciscambatha4314
    @franciscambatha4314 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @stellahokworo3947
    @stellahokworo3947 ปีที่แล้ว

    Amen 🙏

  • @JacklineIkoki-u6g
    @JacklineIkoki-u6g ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤

  • @fidesmushi
    @fidesmushi ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @samwelikisigila4818
    @samwelikisigila4818 ปีที่แล้ว

    AMEN CHIEF MUNGU ANIPE NEEMA HII YA KUJIWEKEA