MIUJIZA YA UPAKO WA (MWEZI WA UFUFUO)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024

ความคิดเห็น • 601

  • @pendoernest8655
    @pendoernest8655 4 ปีที่แล้ว +6

    Amen nimepokea kutoka Dubai nilikua nasumbuliwa na miguu kufa ganzi lkn kwa dk chache nagusa miguu nahisi .kitu.nilikua nimelalal ghafla nimeamka ahsante mtume Dr mwamposa barikiwa baba

  • @dativafreedrick9965
    @dativafreedrick9965 ปีที่แล้ว +3

    Ubarikiwe mtumish Boniface kwa Kaz yako na mm naomba uniombee maombi yangu Saba niiyoweka mbele ya mazabau yako.amina

  • @marypaulo1363
    @marypaulo1363 5 หลายเดือนก่อน +1

    Naitwa Mariam Marco paul namshuhudia mungu amenitendea mengi mweza wa 8 tulikuja kawe badaa tu ya kuganyaga mafuta nakujiungamanisha na komboa familia usiku nikiw kawe asbuh yake tukapigiw cm paka wawili wamekufa na niliandika maombi 12 mme wangu aache pombe na tayar ameacha namshukur mungu na mtoto wangu alikuwa na kifafa miaka 12 na shv anaendela vzr mungu mungu akulinde uishi miak mingi baba

  • @FurahGrace
    @FurahGrace 3 หลายเดือนก่อน +1

    Nataka ni zaye wa mapasa tatu waume mbili n'a musichana moka mutoto yangu apate kibali ya kuenda Ichi ya kigenyi niuzeihi nyimba nikonakaa ndani Niki uze kiraisi niuze ngari ki raison tuu yote ninao maitaji itendrke kiraisi tuu amen

  • @FurahGrace
    @FurahGrace 3 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza yani tinguba ❤

  • @Mwaminihabarugira
    @Mwaminihabarugira 5 หลายเดือนก่อน

    Naitwa mwamini nahitaji kuombea manymbani and shine nayipendasana Asante nipo ichi ya burundi mupakan y Tanzania

  • @anchillakagombola93
    @anchillakagombola93 2 ปีที่แล้ว +1

    Glory to God.Asante Mungu kwa baraka za kufunguliwa kiimani, kimaisha, kikazini, kiafya Na mentioned mengi kwa familia na uzao wangu.Mtume barikiwa sana na Bwana Yesu.

  • @FurahGrace
    @FurahGrace 3 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza

  • @user-sj8os4zl5l
    @user-sj8os4zl5l 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏 napokea kutoka Saudi Arabia napokea muujiza wangu kulipwa madeni yangu napokea uponyaji na ndoa yangu kulejea

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea uponyaji wa mwanangu janeth kupata kazi nzuri kiurahisi

  • @FurahGrace
    @FurahGrace 3 หลายเดือนก่อน

    Amen naomba mume wangu apate oro ya maajabu ndani ya chimu yake yote mupaka watu wa ndunia yote wa changae ataka abarikiwe kimiujiza yani tinguba

  • @maryamjumah
    @maryamjumah หลายเดือนก่อน

    Naomba mchumba wangu khalid afunguliwe maisha yake na mwili wake apate kutembea vizr arudishiwe maisha yake yaloharibika na nguvu za majini

  • @lizzybahati9833
    @lizzybahati9833 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki sana mtumishi 🙏hakika unafungua wengi hata mamaagu alinusurika na kifo iman yake ndo ilimuokoa kumbeba mafuta ya upako wakati wanasafiri walitetwa na majambazi jiani 😭😭😭lakin hawakufanikiwa nashukuru Mungu alikuwa upande wao

  • @rainacypriansebastian8100
    @rainacypriansebastian8100 3 ปีที่แล้ว +2

    Nipatie Mme mwema,nishinde mitihani yangu ,nipate nafasi ya flied ,napokea naomba kufunguliwa kwa jina LA Yesu

    • @samwelsakaza9314
      @samwelsakaza9314 3 ปีที่แล้ว

      Naomba mungu anipenguvu za kila Aina iliniweze kufanya mambo yangu kwa kurud kubwa amen

  • @SADAMKUYU
    @SADAMKUYU หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anisaidie nipate Mme pia nlgunguliwe uzaz nopata families pia nifunguliwe kiuchumi

  • @mariamoneiro6927
    @mariamoneiro6927 ปีที่แล้ว

    Naomba ntume,mimi nahishi n ndoa yaa Kufugua na washawi. Ubariki. Family yangu na witoe mangojua wote kwajila lá yesu.

  • @user-eb3fh7vf1h
    @user-eb3fh7vf1h 4 หลายเดือนก่อน

    Asante Mungu naomba nipone hofu na wasiwasi naomba aman moyon nimekosea aman baba naamin katika jina lako

  • @suzan4712
    @suzan4712 6 หลายเดือนก่อน

    I received in the name of Jesus 🙏. I'm watching from Dubai

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 5 หลายเดือนก่อน

    Uchumi ukaongezeke kila kazi iongezeke kwa kasi Amen 🙏 🙌 ❤️

  • @TinaJulius-in8rd
    @TinaJulius-in8rd 4 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniopee na mim niolewe ndio ya Baraka nipete nijilie uzao mwema mungu wangu mutumishi wa mungu atakapo omba na mim poake kwajina la yes Amina Amina nimepokea

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 หลายเดือนก่อน

    ❤❤nataka mungu anitendee nifanikiwe kiuchumi

  • @nikolasmndeme
    @nikolasmndeme 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba no pokeeupako naomba kazi nanijege nyumba yangu amina

  • @IrineRingoine
    @IrineRingoine หลายเดือนก่อน

    Naitwa irine Paulo kutoka karatu nashkuru mungu nilikuwa na tatizo kwenye kizazi lakn baada y kuskiliza maombi haya mda huu nimeangalia nimekuta tatizo limeisha

  • @DEVOTAMSENDO
    @DEVOTAMSENDO 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyezi mungu niko mbele zako nakuomba unitendee muujiza nipone uvimbe kwenye mrija wauzazi nanibebe mimba nipate watoto wawili wakike na wakiume

  • @queenmamy8414
    @queenmamy8414 3 ปีที่แล้ว

    Baada ya haya maombi naomba mungu hanifunguwe nyota yangu ya mafanikio ingae bwana yangu shaban mmanga hanipe ela nyungi na haniudume vizuli eee mungu nisaidue Emeee

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea uponyaji wa mwili wangu na napokea mambo mazuri na mafanikio yangu Kwa jina LA yesu

  • @rashidykidaude7599
    @rashidykidaude7599 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu Ni Mwema Nimesikiliza Haya Maombi Leo Lakini Nimehisi Kama Kitu Kimeachia Tumboni, Asante Yesu Ubarikiwe mtumishi Wa bwana

  • @Mwaminihabarugira
    @Mwaminihabarugira 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea kwajina la yesu Krist niweze kubeba mimba myaka 23 nime olewa sijawahi kushika mimba ❤❤❤

  • @ulumbimtemi7625
    @ulumbimtemi7625 2 ปีที่แล้ว

    Navunja roho za utasa ktk uchumo wangu,roho za unyumba wangu nazivunka amina

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 หลายเดือนก่อน

    Namshukuru mungu pia nilmefunguliwa kiuchumi.

  • @DEVOTAMSENDO
    @DEVOTAMSENDO 3 หลายเดือนก่อน

    Ee mwenyezi mungu naomba unisaidie mume wangu aniheshimu anijari

  • @SofiaTabu-jp7gd
    @SofiaTabu-jp7gd หลายเดือนก่อน

    Sohpia swendeni nipone nauzo wangu namumewangu kikohozi nipone❤❤❤

  • @elnasanga8607
    @elnasanga8607 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu anidaiye nijifungue salama nakunisaidiya kutimiza yale niliyo yapa ngapa yakafanikiwe

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 5 หลายเดือนก่อน

    Mponyeshe mjukuuu wangu junior gusa kila Alison kwenye familia yangu uchumi wangu ukaongezeke wateja wa mchele wakanizidie bsriki uzao wa tumbo yangu amina ndugu zangu wakaolewe

  • @Mwaminihabarugira
    @Mwaminihabarugira 5 หลายเดือนก่อน

    Nahitaji kufunguriwa tombo rangu rauzazi niweze kubeba mimba mtume aniombee kupitia Sim yangu and shine nayipendasana Asante Samuel

  • @SleepyBallet-yp2cu
    @SleepyBallet-yp2cu 5 หลายเดือนก่อน

    Najiungamanisha na maombi haya komboa familiy kwa jina la yesu kirsto ameeeen,

  • @noellaNigaba-qg5vj
    @noellaNigaba-qg5vj 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba ubadilishe Baba watoto wangu aweze kuaudumiya

  • @MakinginhaSahani
    @MakinginhaSahani 5 หลายเดือนก่อน

    Baba napokea neema napokea upako ninamimba ya miezi 2 inanitesa sana naumwa sana napokea uponyaji ameeee

  • @emmymwakyusa2138
    @emmymwakyusa2138 2 ปีที่แล้ว

    Amen najiunganisha na madhabuu hii mdg wng afunguliwe ache ulevi anaitwa nashony

  • @user-wn2zx4kd2r
    @user-wn2zx4kd2r หลายเดือนก่อน

    Nafunguliwe na mm leo hii kiuchumi biashara yangu nizidiwe nawateja amina wateja

  • @user-xi3kn2rf9w
    @user-xi3kn2rf9w 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu nakuomba nifungulie kiuchumi nakuomba mungu nikapone tumbo nakuomba mungu wadogo zangu wakabalikiwe na mama yangu akapone tumbo

  • @jasminmashaallahjohn447
    @jasminmashaallahjohn447 3 ปีที่แล้ว +1

    Napokea miujiza kwenye ndoa Yang,biashara ,watt Wang mama yangu ambae ni mgonjwa
    Mi pia ugonjwa sukari napokea uponyaji
    Amen

  • @SarahSaraha-ct1cg
    @SarahSaraha-ct1cg 2 หลายเดือนก่อน

    Ameen naomba Mungu atend mujiza kwenye ndoa

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea uponyaji wa mwili wangu Kwa jina LA yesu

  • @DEVOTAMSENDO
    @DEVOTAMSENDO 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba, mungu uwaepushe wanangu maradhi

  • @HagaiAron
    @HagaiAron 9 หลายเดือนก่อน

    Naamini napokea nguvu za Mungu,kama Prophet Mwamposa mtumishi wa Mungu ulivyosema.Amen

  • @rusiamboma9164
    @rusiamboma9164 3 ปีที่แล้ว

    Namuchukuru mungu nirikuwa nasikiya maumivu ubavuni sayivi siyasikiyi tena naitwa rucia mboma Niko seychelles

  • @elifarajasarwat
    @elifarajasarwat 5 หลายเดือนก่อน

    Nataka kujifungua mipango yangu yote ya mwaka 2024,,, nifunguliwe kiafya. Kiuchumi na kifamilia watoto wafunguliwe kiafya na kitaaluma Kwa jina la Yesu kristo

  • @marypaulo1363
    @marypaulo1363 5 หลายเดือนก่อน

    Kwa kupitia madhabahu ya inuka uangaze Leo nafunguliw biashara yangu amen

  • @gideonmichael8757
    @gideonmichael8757 ปีที่แล้ว

    Bwana safiwe MTUMISHI najiganisha nikiwa namanga

  • @benwamanzimulumba8121
    @benwamanzimulumba8121 3 ปีที่แล้ว

    Naomba mungu anipoye casa yadamu na sina kazi ata watoto mungu anisikiliye uruma anifunguwe ndachuudiye manguu yamungu

  • @user-ee8fo8zl3k
    @user-ee8fo8zl3k 4 หลายเดือนก่อน

    Namim apostle naomba uniombee nipo Rwanda ndoa yangu inamsukosuko sana ifunguriwe kwa jina la yesu christo

  • @Ashura-sr4uv
    @Ashura-sr4uv 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba nipate mume sahihi kwenye maisha yangu nifungulie ameeeeeen

  • @MarietaRukag-ch1vr
    @MarietaRukag-ch1vr 2 หลายเดือนก่อน

    Amina Amina !!!!!!.
    Nimepokea ❤❤🎉🎉

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka mungu anitendee uponyaji wa tumbo.

  • @IMAKULATAMWENGWA
    @IMAKULATAMWENGWA 5 หลายเดือนก่อน

    Amen ninapokea kibali cha kupona kwangu naninapokea kibali cha kurudi kwa ndoa yangu kufunguliwa 5:55 5:59

  • @shshsus6337
    @shshsus6337 4 ปีที่แล้ว +4

    Napokea taarifa njema kwa mtoto wangu ramadhani amepokea furaha katika maisha yake

  • @Mwaminihabarugira
    @Mwaminihabarugira 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba uniondolee hofu kwamoyo wang yesu❤❤❤❤❤

  • @nittysaloon2720
    @nittysaloon2720 2 ปีที่แล้ว

    Naitwa Rebekah mwashambwa naomba mumuombee baba yangu anakisukali pia naomba miujija itende mungu wangu

  • @LovenessKileo-fc1tk
    @LovenessKileo-fc1tk 4 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba unipe watoto mapacha mwaka huu na uponye Juma msunza akapoke uponyaji popote alipo mungu naomba

  • @maryamjumah
    @maryamjumah 2 หลายเดือนก่อน

    Naitwa mariam naomba kufunguliwa mwili ndoa na watoto na maisha yangu

  • @SofiaTabu-jp7gd
    @SofiaTabu-jp7gd หลายเดือนก่อน

    Amen nitapona namu.yangu nauzawo wangu

  • @ulumbimtemi1669
    @ulumbimtemi1669 2 ปีที่แล้ว

    Asante mungu nimepata faraja sana leo amina

  • @farijiedward7338
    @farijiedward7338 6 หลายเดือนก่อน

    Nipo Oman . Mimba yangu nimshahara mdgo . Nataka Leo nijifungue bila uchungu wa LAAANA mshaara wangu uongezwa

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka mungu anitendee nilipe hela ya marejesho niliyo mkopeshea mtu flan

  • @roseboamo5777
    @roseboamo5777 3 หลายเดือนก่อน

    Nataka mungu anitensee niuze shamba kirahii

  • @user-uj1rt8vl9j
    @user-uj1rt8vl9j 5 หลายเดือนก่อน

    Mm devotha Antony nilikuwa nikibeba mimba ninauguwa sana halaf nikizaa watoto wanakufa lakn nimebebwa hii mimba nikajiungamanisha nahaya maombi siuguwi tena

  • @ewadimlay2040
    @ewadimlay2040 3 ปีที่แล้ว +1

    Amina mtumishi

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba motor wangu Lillian kufunguliwa kupata mume kutoka kwa yesu amina

  • @mwanaidbaraka8475
    @mwanaidbaraka8475 2 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi mungu kupitia mazabahu yamtume burudosa mwamposa uniponye maradhiyote yanayo nisumbua,ipepe familia yangu uwezo na mafanikio

  • @WilliamKulalu
    @WilliamKulalu หลายเดือนก่อน

    Mimi ni wiliamu mwaluko kulalu mutumishinakuomba kwa i'mani familia yangu ikae kwenye mukono wa mungu namutumishi wa bwana kupitia maombi haya familia yangu itakaa kwenye mukono wabwana

  • @kashindiburimwengu3666
    @kashindiburimwengu3666 2 ปีที่แล้ว

    Ninahitaji kufunguliwa maisha yangu ktk jina la yesu

  • @lilywei6616
    @lilywei6616 3 ปีที่แล้ว +1

    Mungu naomba unifunguwe vifungo vyote nilivyo tupiwa katika maisha yangu

  • @mwallusaguda1568
    @mwallusaguda1568 2 ปีที่แล้ว

    Naomba nfungue Mimi na watoto na mume wangu 2nipate hela za kusomesha watoto wangu 3 Jana asubuhi akatua jiwa na kufa nilipokaa na wenzanu 4 nyumba yangu mifugo yangu 4 nilikua naumwa nyonga nimepona kutumia maji ya upako

  • @marypaulo1363
    @marypaulo1363 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba nijibiw ombi langu nimalizie kujenga kwa njia rahisi

  • @munirasaga6494
    @munirasaga6494 3 ปีที่แล้ว

    Bwana yesu asifiwe.. Naitwa munira nipo Oman nimeguswa sana na maombi nilikuwa kondoo niliye potea 😭😭mchungaji Asante Sana 🙏🙏 kwakunifungua ufahamu wangu 🙏

  • @Ashura-sr4uv
    @Ashura-sr4uv 5 หลายเดือนก่อน

    Leo nafunguliwa mm Leo napokea ameeeeeen

  • @josephinachipa3928
    @josephinachipa3928 5 หลายเดือนก่อน

    Napokea uponyaji wa mwanangu kuacha bangi kiurahisi .amen

  • @elifarajasarwat
    @elifarajasarwat 5 หลายเดือนก่อน

    Nataka kupona UTI wa mgongo leo. Kila nguvu za Giza zikome leo katika maisha yangu

  • @durmoizeally875
    @durmoizeally875 3 ปีที่แล้ว

    Naomba nipate kazi ameeen

  • @joycekiboko7750
    @joycekiboko7750 3 ปีที่แล้ว

    Ee yes saidia maisha yangu yawe ya fulaa siku zote

  • @noellaNigaba-qg5vj
    @noellaNigaba-qg5vj 5 หลายเดือนก่อน

    Naomba mungu aniteteye katikanyumba ninayo ishi

  • @zainabujumarajabujumarajab8260
    @zainabujumarajabujumarajab8260 2 ปีที่แล้ว

    Nitendewe miujiza nipate wateja wengi changu kikawe changu.nipate mtu atakae niinua kiuchumi 🙏🤲

  • @aswaatulquran7936
    @aswaatulquran7936 3 ปีที่แล้ว

    Amina mtumishi mina taka watoto mapacha wakike na wakiume

  • @elisimalongo4965
    @elisimalongo4965 2 ปีที่แล้ว

    Nataka yesu anifunguliwa kwenye uchumi wangu

  • @user-nc4xg8yp2g
    @user-nc4xg8yp2g 7 หลายเดือนก่อน

    Mimi naomba mungu anibadirishie maisha najiuza naomba mungu anibadishie maisha

  • @Fatma-qi9yc
    @Fatma-qi9yc 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba maombi nipate mme mwema 🙏 amen

  • @cathymock
    @cathymock 4 ปีที่แล้ว +2

    Namshukuru Mungu kwa kupitia mafuta ya upako na neno la mtumishi wa mungu God gave me a business idea during this pandemic I asked God to find me a second income and I came with the idea of delivering groceries to people's house. So thank God I have a second income I deliver groceries in the earned income just for four hours every single day the word that says do not be afraid give me the courage to go out when people are hiding I'm out in the grocery store getting groceries for my customers and take it to their home. I live in a town under quarantine in the USA
    Asante sana bwana Yesu through your 7th of God forgive me this opportunity especially during these difficult times

    • @emanuelmbughi3583
      @emanuelmbughi3583 3 ปีที่แล้ว +1

      Bwana yesu naitwa hawa nipo mbeya,kila nikisikiliza maombi kupitia inuka uangaze mungu ananifungulia milango lakini ninapopata pesa zinaishia kwenye ulevi naomba maombi katika hilo kwani nahitaji mafanikio makubwa

    • @emanuelmbughi3583
      @emanuelmbughi3583 3 ปีที่แล้ว

      Mtume naomba maombi ya ulinzi wa kazi yangu na matumizi sahihi ya pesa kwani nikipokea zinaishia kwenye vitu visivyo sahihi na kushindwa kufanya malengo

    • @emanuelmbughi3583
      @emanuelmbughi3583 3 ปีที่แล้ว

      Mtume nimepokea baraka na mafanikio kuanzia leo eee mungu nabarikiwa na kuinuliwa kupitia maombi ya inuka uangaze nipo live kupitia you tube

    • @hakizimanaphilemon9968
      @hakizimanaphilemon9968 2 ปีที่แล้ว

      Dada unabidi kuwa mpekuzi wa bibilia usifuate sana ,miujiza,utaingizwa mjini

    • @hakizimanaphilemon9968
      @hakizimanaphilemon9968 2 ปีที่แล้ว

      Huu niunajimu

  • @marypaulo1363
    @marypaulo1363 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu naomba maombi yangu yajibiw ndan ya mweza huu tanesco waondoe nyaya zao bila garama yeyote

  • @shukranisekaga9609
    @shukranisekaga9609 3 ปีที่แล้ว

    Ee Mungu naomba jibu kila hitaji la moyo wngu.

  • @user-zj8hz5rv3q
    @user-zj8hz5rv3q 5 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu rehema afunguliwe kazi zimkimbiliye

  • @theonestinakaizilege9974
    @theonestinakaizilege9974 5 หลายเดือนก่อน

    Kupitia dhabahu hii ifungue familia uchumi uzao biasshara ndugu zangu roho za kutoolewa nanafunguliwa Amina

  • @user-nc4xg8yp2g
    @user-nc4xg8yp2g 7 หลายเดือนก่อน

    naomba mungu anifungue vifungo nie namayisha mampya

  • @catherinegeorge397
    @catherinegeorge397 3 ปีที่แล้ว

    Na uibariki kazi ya mikono yangu ujalie familia yangu izidi kuwa na furaha na ujalie maisha yangu yawe yeny furaha siku zote kwa jina la mungu baba na mwna na roho mtakatifu amen naitwa janeth rameki

  • @RoseLukandonda
    @RoseLukandonda 3 หลายเดือนก่อน

    Naomba kupokea uponyaji, naomba kufunguliwa kila kitu kwenye maisha yangu, naomba kupokea uponyaji kwenye kizazi changu, kazin kwangu, kila njia ya mafanikio, navunja kila mikosi, laana, kupona ugonjwa, Leo napokea katika Jina Yesu Amen

  • @nicholausjoseph3391
    @nicholausjoseph3391 3 ปีที่แล้ว

    Asante mungu nikaweze kufungulia ugonjwa wa yutihai inasisumbua sana hakika wewe jemedali wangu nimetumia dawa lakini siponi mala sindano lakini kwako hakuna linashindikana

  • @dorisjohn1272
    @dorisjohn1272 หลายเดือนก่อน

    Mungu..nataka..nipate..kazi..kiula..hihi..Sana..kwa..jina..la..yesu

  • @malishakija7493
    @malishakija7493 3 ปีที่แล้ว

    Aminaaa najua shida zangu zote zinaishia leo maisha yangu yawe ya furaha na upendo mme wangu anaiheshimu ndoa yetu.idumu .

  • @atanito1327
    @atanito1327 3 ปีที่แล้ว

    aleluyaaa mwamposa tupe neno amen naomba uniondolee hofu ninachohitaji ni heshima kwa kila mtu na mafanikio amen naomba nisaidie baraka amen amen baba yetu naomba nipate hela kimiujiza and kuniomba msamaha

    • @paumkulia1547
      @paumkulia1547 2 ปีที่แล้ว

      Naomba nizidiwe na wateja na niipate mafanikio ,nitumiapo majia yaha🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @maryamjumah
    @maryamjumah หลายเดือนก่อน

    Naomba kupokea kupona mwili wangu naomba ndoa mm khalid naomba na watoto mapacha umri wangu umeenda sana nimeteseka sna na majin uchawi nimezunguka kwa waganga wengi sana nipo oman nafanya kazi za ndani nimepata mchumba mwarabu aitwa khalid mm naitwa mariam lkn huyu mchumba sijui nini kinakwamisha