RAIS RUTO AVUNJA BARAZA LA MAWAZIRI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 20

  • @shammhagama2527
    @shammhagama2527 2 หลายเดือนก่อน +2

    Maombi ya Eric Omondi yamejibiwa😅😅😅

  • @AudaxLwekamwa-kt6eg
    @AudaxLwekamwa-kt6eg 2 หลายเดือนก่อน +2

    Ila wanangu eeh ...Wakenya ni wanaume khaa😃😃😃

  • @agathahasote9894
    @agathahasote9894 2 หลายเดือนก่อน +1

    Tanzania bado tupo kama Kobe sijui tunawaza nn... sijui ndo uoga😢😢

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 2 หลายเดือนก่อน +3

    Kumbe nguvu ya wananchi inaweza kubadili mambo eeeh?

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 หลายเดือนก่อน

      ​@RasTempaKalennjiki2024 Hata wakenya wamepigwa hadi kuuwawa ila wamepata matakwa yao, waTz ni waoga sana bora washabikie timu za mipira ama Diamond na harmonize 😅😅😅😅

    • @lenniefei6710
      @lenniefei6710 2 หลายเดือนก่อน +1

      sana tu, ila nyie munapenda amani kuliko maisha bora....Laleni bado hakujakucha !😂😂😂😂

    • @kingsolomonsele9967
      @kingsolomonsele9967 2 หลายเดือนก่อน

      power Iko na mwananchi hata sisi walitupiga nasi tukawapiga hawana lolote mkiwaamulia wabunge walikimbizwa kama watoto. Amkeni wabongo

  • @kingsolomonsele9967
    @kingsolomonsele9967 2 หลายเดือนก่อน

    Namuelewa ayo bongo uhuru wa wanahabari hamna akijaribu kukosoa tu atajipata pabaya

  • @kagombaEnok
    @kagombaEnok 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto amesha panic jamani uongozi ni mgumu

    • @upendoeliya9329
      @upendoeliya9329 หลายเดือนก่อน

      Hayo ni mawazo yako. Raisi Ruto yuko ngangari, jasiri na mwenye kutumia akili kubwa na Hekima pia. Ndani ya baraza kulikuwa na mamluki.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 หลายเดือนก่อน +1

    Wabunge wote nje

  • @HabibzDullah
    @HabibzDullah 2 หลายเดือนก่อน

    Saahi Azimio ndani ndani kabisa

    • @TheJamaa001
      @TheJamaa001 2 หลายเดือนก่อน +1

      gen z hawakukufa ndio azimio wakule..no

  • @jizzotheking9238
    @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน +1

    Ruto ni mfamaji

    • @TheJamaa001
      @TheJamaa001 2 หลายเดือนก่อน

      mfamaji?

    • @jizzotheking9238
      @jizzotheking9238 2 หลายเดือนก่อน

      @@TheJamaa001 anaongozwa na hisia za wananchi, hajiamin, hajui nn hanataka, anafany vitu kwa shinikizo kwa kutetea tumbo lake aonekane mwema

  • @anatoliwema3664
    @anatoliwema3664 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hupost yanayoendelea Tz, ya jirani yanakuhusu nini Millard Ayo😂

    • @shammhagama2527
      @shammhagama2527 2 หลายเดือนก่อน

      Acha ushamba wewe, Habari za majirani hata sisi zinatuhusu.