Hiki ndicho kinatokea wakati Serikali inaendelea kushindwa mara kwa mara kusolve matatizo makubwa kama uibaji wa watoto. Uaminifu unavunjika na Watu huwa wanafanya kile wanachohisi ni sawa. Serikali na wananchi wote wana makosa hapa.
Hii inaonyesha kuwa Tanzania hatuaminia na kuna sababu ya kutokuaminiana so jeshi la police kuna haja ya kutuaminisha sisi wananchi kuwa sisi wenye nchi tupo salama ,sio kwa maneno ila kwa vitendo
Amani na uaminifu kwa vyombo vyetu vya ulizi na usalama dhidi yetu wananchi unapotea siku Hadi siku tutafika sehemu vitaanza visasi. Twendeni safari yetu IPO karibu kufikia mwisho.
SIYO HIVYO, HAYO NI MATUNDA YA BAADHI YA WANASIASA KUWALISHA SUMU WANANCHI KWA AJILI YA MALENGO YAO BINAFSI KIASI IMEFIKIA WAKATI WAMEWAVURUGA MPAKA HAWAJUI LIPI NI LIPI?! LIPI NI LA KWELI NA LIPI NI LA UONGO.
Fanyeni vyote andamaneni mtaani barabaran kote fungeni barabara chomeni matairi ila kuvamia kituo Cha police ni hatari sana msije kujaribu ata siku Moja 😢😢achen kabisa
Sasa wananchi na sisi jamani iyo si aibu ?? Na je mngewauwa kumbe ndo wazazi je mngewalea awo watot ??? Miemuko mingine iyo iwe yenye akili na alieanzisha uyo afunguliwe kesi y jinaiii
😂😂😂😂 duhuu huko hakufai kuishi ase maana mm navyo penda watoto naweza kuwawa huko tofauti na watoto wangu huaga nikifika mahali Kuna watoto wanacheza napenda kupiga nao story Sana hatakuwapa zawadi baada ya kumaliza story nao Sasa huko siwataniuwa dakika moja😂😂
Wananchi wa geita ndo tabia zao kujichukulia sheria mkononi yan wakihisi tu hata kama ni wizi kama hakuna mtu anayekufaham kwa haraka wanakuua ndo tabia zao kuna jamaa mmoja alinusurika kuuwawa ila alipigika sana na aliokolewa na mwanajeshi mmoja alikuwa anamfaham... Walikamata mwizi wakamwambia ataje wenzake akataja jina wakamfuata kijana huyo kwavile nae anaitwa jina hilo hilo wakaanza kumpiga wakijua ndo yeye....... Hao wanakijiji ni kukamata na kuweka ndani hata miaka 2 washenzi sana
Nilikua naogopa kutoa maoni kwa kuhofia kutekwa na wasiojulikana lakini hapa nachangia kidogo Kama ifuatavyo. Hilo jengo la polisi ndiko wakofanyia kazi waadhiriwa wa kikokotoo au Hilo jengo halitumiki kwa sasa. Je? Hili jengo linapatika Ile nchi iliojiongezea kipato kwa kubinafisisha bandari Yao kwa Dola nyingi au ni kungine tunaliona na je? Mihali pa kufanyia kazi kwa jeshi letu la polisi ndio hapo kweli? Au wao wameridhika
Nahisi hii stori ni tofauti na asemavyo Mkuu wa Mkoa!
Tena anaifanya ni ya chama cha siasa
Mm ningependa tu kuulza vurugu kama hyo ikitoea polisi ndo wanahaki ya kuwatawanya wanainchi wake kwa kuwapga risasi?
Huu ujinga ulinikuta kariakoo miaka ya 2013 wezi wawili walinitia mwizi niliokolewa na mzèe mmoja mpaka leo sikumjua lengo lao ilikuwa kuchukuwa simu
Mungu atupe subra ktk kufanya maamuzi
Hio ni zana walio tengeneza serikali wenyewe mana itakuwa mtu hatembei na mwanae wanataka tuuane sisi kwa sisi yani mambo ya hovyo hii nchi 😢😢😢
Police sio watu wa kuwaamini tena
Wananchi hawawataki polisi, fungeni kituo
police pia wajitathimini aisee raia wamekuwa hawawamini police kabisa...siungi mkono hawa wananchi...kufanya accuse ....
Sasa ndo naanzakuamini wananchi tunaishi kwa hofu mungu tuhulumie
Hiki ndicho kinatokea wakati Serikali inaendelea kushindwa mara kwa mara kusolve matatizo makubwa kama uibaji wa watoto. Uaminifu unavunjika na Watu huwa wanafanya kile wanachohisi ni sawa. Serikali na wananchi wote wana makosa hapa.
Hii inaonyesha kuwa Tanzania hatuaminia na kuna sababu ya kutokuaminiana so jeshi la police kuna haja ya kutuaminisha sisi wananchi kuwa sisi wenye nchi tupo salama ,sio kwa maneno ila kwa vitendo
Amani na uaminifu kwa vyombo vyetu vya ulizi na usalama dhidi yetu wananchi unapotea siku Hadi siku tutafika sehemu vitaanza visasi. Twendeni safari yetu IPO karibu kufikia mwisho.
Inaonekana ata wananchi hawaamini hao polisi
SIYO HIVYO, HAYO NI MATUNDA YA BAADHI YA WANASIASA KUWALISHA SUMU WANANCHI KWA AJILI YA MALENGO YAO BINAFSI KIASI IMEFIKIA WAKATI WAMEWAVURUGA MPAKA HAWAJUI LIPI NI LIPI?! LIPI NI LA KWELI NA LIPI NI LA UONGO.
@@rayisadesigns2646Wewe Unaonekana Kabisa Unaingiza Uchama Acha Kuleta Mambo Ya Vyama Kwenye Vitu Vya Raia Wakikasilika
Watu wanataharuki kubwa Sana Mimi siwalaumu they. Are right kwasababu tunaona yanayoendelea lakini police wanarahisisha mambo
Hicho kituo chenyewe ni shida tupu!!! Jengeni kituo bora cha kisasa .... hii ni aibu 😢
Iv selikar amuoni kama nitatizo ilitokea ramadi Leo lurembela na asila inaishia kwenye vituo vya police kiukweli tatizo sio la wananchi nipolisi
Police sio watu wa kuwa amini
Fanyeni vyote andamaneni mtaani barabaran kote fungeni barabara chomeni matairi ila kuvamia kituo Cha police ni hatari sana msije kujaribu ata siku Moja 😢😢achen kabisa
Kwani kitu chapolic kinanini kisivamiwe ww kweli jinga watu wanavamia ikulu bungeni ijekuwa kituo
Waandishi fanyeni utafiti vizur kwa Nini yanatokea muelimishe jamii
Mama unaowqamink wanakuangusha mtaani na wanavyokuomesha ni tofauti kabisa
Naomba jeshi la polisi kuwasaka wote waliokuwa wanachochea vurugu mpaka wanasababisha binti kupoteza maisha bule
5:48
5:54
Bado kaziii inaenderea😊
Kwanini jeshi la police watumie nguvu kubwa kwenye jambo dogo
Wananchi sashv hawamini tena Police
Hatuna wa kumuamini kwa Sasa nchi hii
Sasa wananchi na sisi jamani iyo si aibu ?? Na je mngewauwa kumbe ndo wazazi je mngewalea awo watot ??? Miemuko mingine iyo iwe yenye akili na alieanzisha uyo afunguliwe kesi y jinaiii
Kwa maana hiyo huko geita wanaume hawaluhusiwi kubeba watoto wao
😂😂😂😂 duhuu huko hakufai kuishi ase maana mm navyo penda watoto naweza kuwawa huko tofauti na watoto wangu huaga nikifika mahali Kuna watoto wanacheza napenda kupiga nao story Sana hatakuwapa zawadi baada ya kumaliza story nao Sasa huko siwataniuwa dakika moja😂😂
Kwa nini ?polis wasiwakamate ao wez wawatoto mbona bangi wanakamata au kunachochote wanapata utekajiuo
Geita matukio hayo yamezd Tena kutekwa watoto
Kwan police nao wanachukulia hatua wap kama sio mkononi
Simanzi na hofu kwa watanzia ni kubwa ngoja wananchi waanze kuchukua sheria mkonon
Wananchi wa geita ndo tabia zao kujichukulia sheria mkononi yan wakihisi tu hata kama ni wizi kama hakuna mtu anayekufaham kwa haraka wanakuua ndo tabia zao kuna jamaa mmoja alinusurika kuuwawa ila alipigika sana na aliokolewa na mwanajeshi mmoja alikuwa anamfaham... Walikamata mwizi wakamwambia ataje wenzake akataja jina wakamfuata kijana huyo kwavile nae anaitwa jina hilo hilo wakaanza kumpiga wakijua ndo yeye....... Hao wanakijiji ni kukamata na kuweka ndani hata miaka 2 washenzi sana
Wametumia risasi za moto kaaaah bado watatumia adi makombola ili watumalize wote
Nilikua naogopa kutoa maoni kwa kuhofia kutekwa na wasiojulikana lakini hapa nachangia kidogo Kama ifuatavyo. Hilo jengo la polisi ndiko wakofanyia kazi waadhiriwa wa kikokotoo au Hilo jengo halitumiki kwa sasa. Je? Hili jengo linapatika Ile nchi iliojiongezea kipato kwa kubinafisisha bandari Yao kwa Dola nyingi au ni kungine tunaliona na je? Mihali pa kufanyia kazi kwa jeshi letu la polisi ndio hapo kweli? Au wao wameridhika
Siraha walizo nazo polisi hazina matumizi kazi yake ni kwa ajili ya raia mmmh
Watanzania huwa sio wapumbavu lakini kadiri siku zinaenda tunaharibiwa na mihemiko tu sasa vipi unamuhukumu mtu mwizi hauna uhakika?
Kumeanza kuchangamka 😅
Kumechangamka kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂
Yani acha kabisaa nguvu nimoja tu ni mwendo wakuchomea huko huko kituoni tukisha malizana nao turudi kwa hao wanasiasa
Kweny maamuz kukurupuka mwisho wake ni hasara
Mama unafeli
h
Hizi habali Hua mdamwingine Hua hazina ukweli wananchi sio wajinga paka wakapige kituo cha polisi sema kunavitu vingine mmeamua kupindisha tu
Sio "KITU" andika KITUO
Ila mjuaj c umeelew n kituo
Tanzania imeanza kuchangamka