Asante shekhe,mimi nimeota nakwenda kununua bidhaa halafu kapu nikalisau chin ya meza na kutoka na kuludi tena kukuchukua likiwa na fedha humo humo.Asante.❤❤
Asalam aleikum sheikh shukran sana kwa kutuelimisha allah akujaalie kila la kheir sheikh mimi nimeota nanunua vitu dukani vya kula tayari nilipo nunua nikaketi kando ya duka nikaanza kula mara wakatokea watoto wadogo wa nne nakuniangalia kama wana njaa nikamwambia mwenye duka awape na wao nini maana yake sheikh shukran
@@MTAVASSYTvnimeota nanunua mtandio wa kijivu wa kuswalia ulikuwa mzuri Sana. Ilikuwa tunagombania ilikuwa mitatu tu na wanunuzi tulikuwa watatu. Nilitaka zaidi lakini ndiyo alikuwa mitatu tu nini maana yake
Nimeona ndizi mbivu zimepagwa mashungu kwa mashungu nikaona nimenunuwa fungu moja na ndizo moja nikaona naitowa maganda nikailia tamu htri na vimeiva uzuriii Nn maana yk au nimelishwa uchawi shekh
@MTAVASSYTv sheikh kuota unasoma madrasa na ushaacha zamaaani nini maana yake. Pia mwalimu wa madrasa kanichapa fimbo mkono wa kulia karibu fimbo 30 Ila sijasikia maumivu hata kidogo.
Hizo ni hali za watu katika maisha umeona hali yako ndivyo ilivyo kiufupi watu hawafanani acha kusema maisha magumu pambana na hali ilivyo muombe Mola wako mambo yaende
Asalam aley kum warahmatullah wabarakatu, shekh mm nimeota nimenunua kitambaa chenye rangi ya njano je ndoto hiyo inamaana gani? Na rangi ya njano inamaana gani Lau smahat nijibu😭
Asalam alley kum sheikh Jafar je ukiota inatoa pesa kununua samaki na pembeni Kuna mwanaume unajua a nasema ajanunua yy na kutoa pesa mfukoni kwake nn maana
Assalam alaykum . Shehe Mimi nimeota nimelala mahala nafsi yangu ikainuka ila Mimi sikuinuka nikabaki palepale nikawa nakwenda hatimae nikaingia ndani ya chumba nilipo fika mule ndani nikajiona Mimi nimo mule ndani nikashangaa tupo wawili ila yule mwengine anajiangalia kwenye kioo lakini alikuwa mrefu kuliko Mimi nikashituka kutoka kwenye njozi hiyo
fanya toba ya kweli na udumu na msimamo mwema baina yako na watu pia mungu wako, ndoto hii inakubashiria heri inayokujakwako pia, jambo kubwa fuata hayo niliyokuambia pia kwani inaweza kujulisha kukuhitaji kujisafisha kimatendao n.k.
kama unamatatizo basi fanya hivyo muendee sheikh na umuambie afanye hivyo hata kwa ujira mpe, ninapokuambia najua kwamba kuna ikhtilafu kwa baadhi yao wameona haifai lakini walio sahihi ni wanaoona kufaa kwake, sasa ndoto hii kama imekuja bila wewe kuwa na hali ya mambo ya aina nyuma yake basi fanyanililo kueleza, lakini pia hi ndoto huja ikajulishakukuambvia uendee uisilamu kwani ndio usahihi wa itikadi kwako, na hii hii ndoto inaweza ikakujulisha kwamba wewe umeghafirika sana hivyo fuata ushauri wa masheikh
Mm nliota nnanunua sukari tena hiyo sukari nyeupe..alafupia nliota minazi imejaza nazi mpaka nyengine zaanguka zenyewe lakini bado kwenye minazi haziishi.
Angalia huyo mtu amekuwa yeye mwenyewe mvumilivu anaweza kuhimili mamenomaneno na wewe huwezi sasa anazokhabari ambazo akikuambia huyo zitaleta fitna na wewe kifua chako kidogo, au uambiwe kwamba unamajini wanakushauri mambo fulani na Mungu hayataki
A/alekhm ..shekh mama yangu anaumwa na mguu unamsumbua sana tumehangaika sana lakin zaid ya mara moja huwa anaota amepona anatembea vizur,hata mm nmeota anatembea hii ina maana gan shekh?
Wa, salaam. Inaonyesha wewe huota kipindi mama yako anatumia dawa sasa ikiwa hivyo ni ishara haponi hiyo miguu moja kwa moja bali itatulia tu ila kama ni kipindi hatumii dawa basi Fahamu tu kwamba hiyo ni ishara maalum kuwa tatizo lake halijaapta ufumbuzi na yaweza ikajulisha kuwa ndio tatizo kinaongezeka poleni sana Ninaishi wapi?
Assalam alaykum . Shehe Mimi nimeota nimelala mahala nafsi yangu ikainuka ila Mimi sikuinuka nikabaki palepale nikawa nakwenda hatimae nikaingia ndani ya chumba nilipo fika mule ndani nikajiona Mimi nimo mule ndani nikashangaa tupo wawili ila yule mwengine anajiangalia kwenye kioo lakini alikuwa mrefu kuliko Mimi nikashituka kutoka kwenye njozi hiyo
Ubarikiwe shekhe
Mungu akulinde na kukubariki sheh, inshallah 🙏
Asante shekhe,mimi nimeota nakwenda kununua bidhaa halafu kapu nikalisau chin ya meza na kutoka na kuludi tena kukuchukua likiwa na fedha humo humo.Asante.❤❤
Natamani kujua vingi zaidi
Waalykum msaalam waramatulah wabarakatul. Shukran jazaak Allah kheir
Jitahaidi sauti uongeze sheikh
Kaka nimeota nanunuwa nyama
Kuota unanunua mçhele Ina maana gani sheikh tafadhali
Niota nimenunua rinda nzuri na kulivaa na likawa ndogo. Kisha nikapewa lingine kama hilo na likanitosha vizuri
Huku ni kuachana na mtu na kumpata mbadala wake na mnasaba kwako
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
Asante sheikh wangu wa jina la bb yangu jazzaka ullah kheir
Allahumma aamiyn juzit khayra
Mm nmeota nanunua Unga tena kwa bei ghari sana nn maana yake shekh
fanya siri mambo yako .
@@MTAVASSYTvnimeota nanunua nguo nini maana yake
Nimeota nimenunua kiwanja kikubwa kama eka1 na kwenye kiwanja kuna minazi na majani mafupi mafupi yaliyo stawi vzuri nini maana yakee
Mmi nimeota na nunua unga WA sima
Asalam aleikum sheikh shukran sana kwa kutuelimisha allah akujaalie kila la kheir sheikh mimi nimeota nanunua vitu dukani vya kula tayari nilipo nunua nikaketi kando ya duka nikaanza kula mara wakatokea watoto wadogo wa nne nakuniangalia kama wana njaa nikamwambia mwenye duka awape na wao nini maana yake sheikh shukran
utapata pesa usije ukasahau kutoa swadaka katika sehemu ya hiyo pesa inshaallaah au utapata neema
@@MTAVASSYTv shukran sana sheikh allah akujaalie pepo kwa rehma zake
@@MTAVASSYTvnimeota nanunua nyumba nini maana yake
Amen
Shekh mimi mara kwa mara,huota sehemu ya kazi yangu ya zamani,naongea na bosi wangu
Kuwa makini sana na jiombee dua kwasababu kuna mambo kadhaa sio mazuri kwa muonaji wa ndoto hii huweza kujitokeza Allah akuepushe
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
Asalam alaikum warahtulilah wabarakatuh ustadh,,mm nliota nko sokoni lkn nlikuwa nanunua nguo
ishAllah ❤❤ ñimeota nimenunua cim tano
hujapata taarifa yoyote kubwa na ya umuhimu kwako ? ikiwa sio basi badirisha baadhi ya matendo yako muamngalie sana aliyekuumba
@@MTAVASSYTvnimeota nanunua mtandio wa kijivu wa kuswalia ulikuwa mzuri Sana. Ilikuwa tunagombania ilikuwa mitatu tu na wanunuzi tulikuwa watatu. Nilitaka zaidi lakini ndiyo alikuwa mitatu tu nini maana yake
Naomba msaada mm niliota ndoto nanunu nyama mbich nanikaondokanayo kwenda kukata maana yake nn
Pesa ya haramu au kuhongwa
@@MTAVASSYTvnimeota nimenunua nguo nini maana yake
Asalam walaykum shekh mm nimeota kuna mtu tuligomban ila nimemuota anachimba kabur
Aamin
Nimeota nanunua jiko
Mimi nimeota nimenunua chuvi ya mawe nini maana yake
Mm nimeota nimenunua miwani
Me nimeota nanunua icecreme
Nimeona ndizi mbivu zimepagwa mashungu kwa mashungu nikaona nimenunuwa fungu moja na ndizo moja nikaona naitowa maganda nikailia tamu htri na vimeiva uzuriii
Nn maana yk au nimelishwa uchawi shekh
Hapana, kama hujaingiliana kimwili na mtu yaani kufanya ngono, basi itajulisha hii ndoto kupata pesa inshaallaah
@MTAVASSYTv sheikh kuota unasoma madrasa na ushaacha zamaaani nini maana yake. Pia mwalimu wa madrasa kanichapa fimbo mkono wa kulia karibu fimbo 30 Ila sijasikia maumivu hata kidogo.
Ukiota umenunua simu
Jambo zuri, kupata mahusiano au taarifa kutoka sehemu maashaallaah kwa kila hali ni nzuri hii
Shehk. Mm nimeota tupo kwenye msafala watu wengi. Wengine wana magari, wengine pikipiki, wengene baiskeli, wengine na miguu. Na Mimi nipo na baiskeli.
Hizo ni hali za watu katika maisha umeona hali yako ndivyo ilivyo kiufupi watu hawafanani acha kusema maisha magumu pambana na hali ilivyo muombe Mola wako mambo yaende
@@MTAVASSYTvnimeota nimenunua nguo nini maana yake
Kununuwa mukaa
Kununua samaki je?
Hela hiyo au rizki
Shukran
Asalam aley kum warahmatullah wabarakatu, shekh mm nimeota nimenunua kitambaa chenye rangi ya njano je ndoto hiyo inamaana gani? Na rangi ya njano inamaana gani Lau smahat nijibu😭
Asante
Nmeota nanunua nguo
Hayo ni mahusiano mapya au kupata neema inshallah
Samahan kwenye mausiano mapya una maanisha kama una Mke/mume mtaachana na utapata mwengine au?
@@MTAVASSYTvamiin
Asante sana
Asalam aleykum shekhe ukiota na watu unaowajua na wamefunga ukawanunulia futal na Nguo mpya maana yake ninni
maashallaaah bila shaka ni siku tukufu umeziona, na umetoa sadaka pia, wewe huzuni zako zitaondoka maashaaallah
Assalamualaikum shehe mimi nimeota nimeenda kununua kiwanja lakin nikaona bei ni kubwa nikagail kisha kurud nyumban hii ndoto maana yake ninini?
habali shehe jemm nasumbuliwa nandoto ndoizo zakusoma quran marakwamara sijaelewa zinamaanisha nn ingali mm simuislamu tenahua nasomakwa halaka
naomba kuuliza mim niliota yaan boss wang mke wake amuona akinitaka na akaachukua waya akamchapa nao ila mim hakunichapa inamaan gan
huyo mwanaume kama hatomtenda mke wake basi ni mambo mawili atakutwa na mahusiano nawe au mke atakuwa na mimba
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
Asalam alley kum sheikh Jafar je ukiota inatoa pesa kununua samaki na pembeni Kuna mwanaume unajua a nasema ajanunua yy na kutoa pesa mfukoni kwake nn maana
Mm nimeota nanunua dagaa na mwenye duka akaniongeza ,manaake ni nn
Angalia hali zako kouchumi kama ni ngumu badi ndoto inaongelea hilo ila inaweza hii ikamaanisha juhitaji kufanyiwa uadilifu ambao huna wewe
Assalam alaykum . Shehe Mimi nimeota nimelala mahala nafsi yangu ikainuka ila Mimi sikuinuka nikabaki palepale nikawa nakwenda hatimae nikaingia ndani ya chumba nilipo fika mule ndani nikajiona Mimi nimo mule ndani nikashangaa tupo wawili ila yule mwengine anajiangalia kwenye kioo lakini alikuwa mrefu kuliko Mimi nikashituka kutoka kwenye njozi hiyo
Nimeota nimenunua friza la biashara kwa mtu kwa lak 4 ni kubwa
Nimeota naenda kununua vitunguu maji inamaan gani
Nliota nmenunua sabuni
fanya toba ya kweli na udumu na msimamo mwema baina yako na watu pia mungu wako, ndoto hii inakubashiria heri inayokujakwako pia, jambo kubwa fuata hayo niliyokuambia pia kwani inaweza kujulisha kukuhitaji kujisafisha kimatendao n.k.
@@MTAVASSYTvnimeota mama yangu kaja nilipokuwa nikampa kiti akae akafurahi sana
Nimeota ninamnunulia mtoto wangu nguo mpya zote
Maashaallaah hii nzuri sana👍
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nyumba nini maana yake
@@Catherine-mh8sw mahusiano mapya au ndoa au utapata hifadhi juu ya shida fupani n.k
@@MTAVASSYTv ooooh Asante kwa kunijibu shekh. Nimefurahi sana. Asante. Mwenyezi Mungu akubariki
@@MTAVASSYTvukiota umenunua mtandio nini maana yake
Ndoto ya manunuzi kweli huwa napata pesa
Naomba nisaidie nimeota Kuna Aya kwenye kitabu cha kiISLAM nikaandikiwa nanikaweka chini ya mtowang et nikama Kinga kwang. Jeina maana gan
kama unamatatizo basi fanya hivyo muendee sheikh na umuambie afanye hivyo hata kwa ujira mpe, ninapokuambia najua kwamba kuna ikhtilafu kwa baadhi yao wameona haifai lakini walio sahihi ni wanaoona kufaa kwake, sasa ndoto hii kama imekuja bila wewe kuwa na hali ya mambo ya aina nyuma yake basi fanyanililo kueleza, lakini pia hi ndoto huja ikajulishakukuambvia uendee uisilamu kwani ndio usahihi wa itikadi kwako, na hii hii ndoto inaweza ikakujulisha kwamba wewe umeghafirika sana hivyo fuata ushauri wa masheikh
She nimetoa nimenunua gari 3
Maashaallaaj gari gani? Jipya au mtumba
@@MTAVASSYTvnimeota nimenunua nyumba nini maana yake
Mm niliota nanunua sukar unMaanagani supamaket alafu nikaota tena mvua inanyesha maji yanaelekea kwangu nikawa nakimbia naenda kwangy
je ukiota unanunua mkaa dukani?
asalam alykum shehe ukimuota MTU Mara kwa Mara Mara analia akusikitia au anakuangukia maan yake nn
Wa,salaamu warahmatullahi, hebu niwekee sawa hii anakuangikia vipi
@@MTAVASSYTvukiota umenunua nguo nini maana yake
Mm nliota nnanunua sukari tena hiyo sukari nyeupe..alafupia nliota minazi imejaza nazi mpaka nyengine zaanguka zenyewe lakini bado kwenye minazi haziishi.
Sheikh minaota mara kwa mara nacheza rede na waschana wenzangu je nn maana yake
Mm nimeota mtu kapitisha mikoba na nikanunua alikuwa anauza 3000
Na ukiota mtu amechoma nyoka mkubwa ameiva vzr anakula kisha akanipa nile Mume wangu akanikataza je maana yake nini
Angalia huyo mtu amekuwa yeye mwenyewe mvumilivu anaweza kuhimili mamenomaneno na wewe huwezi sasa anazokhabari ambazo akikuambia huyo zitaleta fitna na wewe kifua chako kidogo, au uambiwe kwamba unamajini wanakushauri mambo fulani na Mungu hayataki
Nimeota nimenunuliwa nguo mpya za aina tofauti tofauti na mjoba wango. Katika box hiyo, kulikuwemo nguo na viatu. Vyote vya mpya.
Mahusiano mapya au ndoa
A/alekhm ..shekh mama yangu anaumwa na mguu unamsumbua sana tumehangaika sana lakin zaid ya mara moja huwa anaota amepona anatembea vizur,hata mm nmeota anatembea hii ina maana gan shekh?
Wa, salaam.
Inaonyesha wewe huota kipindi mama yako anatumia dawa sasa ikiwa hivyo ni ishara haponi hiyo miguu moja kwa moja bali itatulia tu ila kama ni kipindi hatumii dawa basi Fahamu tu kwamba hiyo ni ishara maalum kuwa tatizo lake halijaapta ufumbuzi na yaweza ikajulisha kuwa ndio tatizo kinaongezeka poleni sana
Ninaishi wapi?
@@MTAVASSYTv asante shekh Mw Mungu atufanyie wepesi...anaishi ukonga darresalaam
@@MTAVASSYTvukiota umeshika pesa lakini ya udongo nini maana yake
Niliota nanunua nguo aina ya jacket halafu ni zilikuwa mbili zenye zinanipendeza na nilitaka kuzichukua zote
Hao ni watu wawili tofauti na wote unahitaji kuwa nao katika mahusiano au unatamani kufanya hivyo, jaalia kwamba hizo nguo ni wenza au kazi
Mwalim nimeota nanunuwa simu
utapata taarifa au habari mpya
@@MTAVASSYTvndoto ya kununua matunda Ina maana gani
@@MTAVASSYTvndoto ya kununua mtandio nini maana yake
Assalam alaykum . Shehe Mimi nimeota nimelala mahala nafsi yangu ikainuka ila Mimi sikuinuka nikabaki palepale nikawa nakwenda hatimae nikaingia ndani ya chumba nilipo fika mule ndani nikajiona Mimi nimo mule ndani nikashangaa tupo wawili ila yule mwengine anajiangalia kwenye kioo lakini alikuwa mrefu kuliko Mimi nikashituka kutoka kwenye njozi hiyo
Omba Sana dua si ndoto njema