Shekhe Nimeota ndege. Ya maaskari imetuwa uwanjani kwangu mume wangu. kakimbia Nikabaki mie na watoto nikashambuliwa sana lisasi zakwenye kifua karibu nakoo paka nikatamka shahada kwa kuhisi nakufa ilasikufa wala damu haukutoka zidiwalinaichia lisasi zao Ila walini shambulia nkiwa kitandani naomba tafsiri shekhe wangu
Muelekee Allah akulinde na aubatilishe uchawi, umerogwa pia watoto wako target ifuatayo. Huu ni ujumbe mahususi sana usidharau. Kila mtu afanyiwapo tu husda zipo ndoto hupatiwa mfano wa hii
😢Asante sana shekhe wangu ukosawa mwenyezi Mungu Akubarki🤲 Na hivi karibuni niliota nimeletewa jini ililinizuru mama akawa nahofu sanaa ila nikamwambia hawata weza Nikaanza kutaja majina ya mwenyezi Mungu kwawiiingi kama dhikiri Yani kama nasoma Dua
Asalamu alyekum walahmatullah wabalakatu shekhe nimeota nimepanda gali na tumepewa dakika 15 za kutoka njee mimi nilikuwa na ndugu zangu tukashuka na wakanishawishi tundwe mbali kidogo na bus tulipo ludi mda umeisha gali likaanzaa kuondoka na mm nikalikimbiza nikapanda nyuma ya gari na mbele likasimam nikapanda tukawa tunapita njia ina kona kona sana
Nimeota nimeona mayai meeengi lakin yamepasuka tena km yameiva wakati najiuliza nikamuona kunguru kwa pembeni juu ya nguzo ya umeme niahis ndio aliekuwa .
Ndoto ya Kuona umekaa Sehemu na watu wawili wa family huku ukinywa Uji mara kuna Ndege ya Ajabu ikiwa imesimama angapi na kugeuka kila ikienda na Mwisho ikafanya Kupasuka na huku nilipo ikatoa mabofu ya kuchezea watoto ili nilishangaa sana
Hujulisha kupewa wosia au maneno ya hekima. Na lakini hii ndoto ikufanye uishi kwa tahadhari pia kwani hujulisha pia juu ya kuishi maisha magumu kidogo ikiwa ni dhahabu ambayo haijachakatwa.
Assalamualaikum sheikh
Nimeota nywele zangu zimekuwa ndefu nimefunga shungi alafu n nying mno maana yake n nin tafadhal sana 🙏🙏🙏
Shekhe Nimeota ndege. Ya maaskari imetuwa uwanjani kwangu mume wangu. kakimbia Nikabaki mie na watoto nikashambuliwa sana lisasi zakwenye kifua karibu nakoo paka nikatamka shahada kwa kuhisi nakufa ilasikufa wala damu haukutoka zidiwalinaichia lisasi zao Ila walini shambulia nkiwa kitandani naomba tafsiri shekhe wangu
Muelekee Allah akulinde na aubatilishe uchawi, umerogwa pia watoto wako target ifuatayo. Huu ni ujumbe mahususi sana usidharau. Kila mtu afanyiwapo tu husda zipo ndoto hupatiwa mfano wa hii
😢Asante sana shekhe wangu ukosawa mwenyezi Mungu Akubarki🤲 Na hivi karibuni niliota nimeletewa jini ililinizuru mama akawa nahofu sanaa ila nikamwambia hawata weza Nikaanza kutaja majina ya mwenyezi Mungu kwawiiingi kama dhikiri Yani kama nasoma Dua
Asalamu alyekum walahmatullah wabalakatu shekhe nimeota nimepanda gali na tumepewa dakika 15 za kutoka njee mimi nilikuwa na ndugu zangu tukashuka na wakanishawishi tundwe mbali kidogo na bus tulipo ludi mda umeisha gali likaanzaa kuondoka na mm nikalikimbiza nikapanda nyuma ya gari na mbele likasimam nikapanda tukawa tunapita njia ina kona kona sana
Utapitia ugumu kidogo katika hali za maisha lakini badae kila kitu kitaenda vizuri kwaiyo jitahidi kuvumilia hali zotu
Nimeota kunguru amekula mayai
Nimeota nimeona mayai meeengi lakin yamepasuka tena km yameiva wakati najiuliza nikamuona kunguru kwa pembeni juu ya nguzo ya umeme niahis ndio aliekuwa .
Utapatwa na maradhi kama ndoto yako itasema kweli omba dua kwa Mwnyezi Mungu akuepushe na hilo
Ndoto ya Kuona umekaa Sehemu na watu wawili wa family huku ukinywa Uji mara kuna Ndege ya Ajabu ikiwa imesimama angapi na kugeuka kila ikienda na Mwisho ikafanya Kupasuka na huku nilipo ikatoa mabofu ya kuchezea watoto ili nilishangaa sana
Kuona mtu mwenye mvi ndotoni Ina maana gani?
Iseme vyema
Pole sana kaa uombewe inshaallaah. Na ujuombee hasa duaa umesibiwa na husda
Ukiota unaokota dhahabu nini maana yake
Hujulisha kupewa wosia au maneno ya hekima. Na lakini hii ndoto ikufanye uishi kwa tahadhari pia kwani hujulisha pia juu ya kuishi maisha magumu kidogo ikiwa ni dhahabu ambayo haijachakatwa.
@@MTAVASSYTv sawa asante. Maana yalikuwa madonge matatu ya dhahabu