🔴# LIVE: RIPOTI YA LEO SIMULIZI YA HAJJI SEHEMU YA 8 - JAN 25/ 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 30

  • @YasiniMussa-t8t
    @YasiniMussa-t8t 10 หลายเดือนก่อน +8

    Unajua sana acha upewe mauwa yako🌹🌹

  • @vickyshayo7880
    @vickyshayo7880 10 หลายเดือนก่อน

    Vero Mungu akubariki sana Yani unajua kusimulia Kwa hisia sana

  • @vickysteven1172
    @vickysteven1172 10 หลายเดือนก่อน +3

    Aisee haji ananikumbusha mbali saana lkn nashukuru Mungu Sasa nimekua😢😢 ila sisi wanawake

  • @NeemaLameck-mm7pj
    @NeemaLameck-mm7pj 10 หลายเดือนก่อน

    Simulizi ni nzuri sana jamon inagusaa sana da velo nakupenda❤❤❤

  • @johnbenben
    @johnbenben 10 หลายเดือนก่อน +2

    Vero ujambo mama tuwekee namba yaani epsod 1 2 3

  • @fora2009
    @fora2009 10 หลายเดือนก่อน +1

    My sister vero nakupenda sana from Belgium ❤

  • @RoseGosbert
    @RoseGosbert 10 หลายเดือนก่อน

    Aah waoh! Dada Vero kumbe mzur ivi ndonakuona leo jaman

  • @jessicamwasandube944
    @jessicamwasandube944 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu amjarie heri Haji 😢

  • @NghwaniNkwabi
    @NghwaniNkwabi 10 หลายเดือนก่อน +6

    Dada mzuri jamanii unajua kupangilia mambo na unasauti nzuri sana najaribu kuwapatia sura halisi hawa watu hivii huyu mama nimtu kwelii au jini?

    • @vumi8371
      @vumi8371 10 หลายเดือนก่อน

      Ni mtu🤣😂🤣🤣

    • @MariamOmary-ku9ns
      @MariamOmary-ku9ns 10 หลายเดือนก่อน

      ❤❤

  • @magrethkapinga1811
    @magrethkapinga1811 6 หลายเดือนก่อน

    Mmm kuna watu duniani 😢

  • @emilianakangusi
    @emilianakangusi 10 หลายเดือนก่อน +1

    Ehee huyu mama anaonekana mshirikina .roho mbaya amezidisha mno

  • @johnbenben
    @johnbenben 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wanaume mnaumiza sana

  • @SalimaDominick123-qf3eu
    @SalimaDominick123-qf3eu 10 หลายเดือนก่อน

    Dah! seh mu ya 5,6 na 7 mbona siipati da Vero

  • @AshuraIsaack
    @AshuraIsaack 10 หลายเดือนก่อน

    Kwan dodoma chanel yenu kweny redio ni nateseka mm

  • @dorismorris1126
    @dorismorris1126 10 หลายเดือนก่อน

    Da Veronica mbona una achia moja moja . au mm ndosijui kuziangalia. Maana hii ya nane na kwenye redio upo sehem ya 9??????

  • @IreneJohn-z4n
    @IreneJohn-z4n 10 หลายเดือนก่อน +4

    Wakwanza mimi

  • @onesmocostantine4305
    @onesmocostantine4305 10 หลายเดือนก่อน +2

    Yaani Dawa Ime Muingia Baba Mpaka anashindwa kuhema yaani Kila Anacho Ambiwa Na Ma mdogo ni ndio.heee WanaWake Nyie Mhhhh

  • @CorethaTanganyika
    @CorethaTanganyika 10 หลายเดือนก่อน

    DA vero np huk chalinze bwilingu b nakufatilia lakn skuskii vzr

  • @glorymringo3250
    @glorymringo3250 10 หลายเดือนก่อน +1

    Awa wamama wa kambo ni mashetani sana, ile Methali ya mama wa kambo si mama ina maana kubwa sana.. ila huez kuelewa kama hujayapitia, me ndo napitia saiv inafika wakati namuombea baba afariki tu

  • @aishaaisha7097
    @aishaaisha7097 10 หลายเดือนก่อน

    Nakufwatilia nikiwa dubai da veronika

  • @AnnalazzaroAnnalazzarookello
    @AnnalazzaroAnnalazzarookello 10 หลายเดือนก่อน +1

    Dada unasauti nzur jamanii nakufatilia kutoka Rory mara

  • @Thisisgrace979
    @Thisisgrace979 10 หลายเดือนก่อน +1

    Huyo mamdogo ni mkatili jamani, Ila Maliki ni hapa duniani.

  • @janethkomba4485
    @janethkomba4485 10 หลายเดือนก่อน +1

    😢😢😢

  • @abdulsalim1069
    @abdulsalim1069 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mmmmh acje akamuuu baba tu maana inaonekana haji atakuja kupata majeraha xan ndani ya moyo wake" ndo maana ameota mtu anamchoma visu vingi maana yake hayo ni majeraha ya moyo hii so dalil nzur kwa haji

  • @MARIAMUKIBANGA
    @MARIAMUKIBANGA 10 หลายเดือนก่อน +1

    Amesharongwa huyo baba haji
    Mariam kibanga

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 10 หลายเดือนก่อน +1

    Baba haji alikua anapewa kinyume na maumbile mixa madawa eti mamdogo kama nyumba niyake aisee