Kwani unaniibiaga mimi mtumishi? ??? Hakuna wimbo wako usionigusa mimi na maisha yng. ...mungu akutie nguvu uzidi kuifanya huduma uliyoitiwa. ....amina amina amina!!!
Na ndiomaana neno la Mungu lina tushahuri kwamba tushukuru kwa kila jambo!nipe kukumbuka wema hallelujah Bwana awe nawe katika safari yako yote na azidi kukupa na maharifa kwenye uduma iyo ya uwimbaji👏👍
Nipe kukumbuka wema wako 🙏 Ee Mungu huu wimbo sawasawa unavo nisisimua na kusikiliza ndivo nami unanipa na kunifanikisha kupitia Goodluck... Nipe ✋ Amennnnn ❤
I Love You JESUS You are my Life Nimebak na wewe YESU tu katika hiki kipindi kigumu ninachopita I know one day nitarud hapa na ushuhuda ❤love you JESUS Soomuch
hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mtumishi keep itup ila kama unaimba gosple songs nakushauri usiache au kumwonea haya YESU KRISTO kutaja jina lake nimaombi yangu Roho mtakatifu aongee nawe kwa sauti ya upole
Huu wimbo umenibariki kweli...tumshukuru mungu kwa hali yote.May God bless the work of your hui brother Goodluck..Kama kweli nawe umebarikiwa gonga likes apo chini..
I just discovered this song and I can't believe it was released four years ago!!! It's on repeat now and it just reminds me how faithful our God is! May He increase you in every way Goodluck! Thank you for allowing God to use you all this years and NEVER relent!! ''keep fighting the good fight, you are still in the race and keep the faith''.
Jamani imenitoa machozi, majaribu yananifwatilia kila wakati hadi najikuta nimesahau kuomba kwa wakati machozi tu. Asante kwakunikumbusha nimwite Baba wa wote anisikilize niwe na utulivu. I need love button ❤😘 I love good luck messages in all his songs keep it up. na ukiweza kunishikilia mikono naandika wimbo bali sielewi pakuanzia nafanya kazi inje kama mtumwa bali na matumaini ya ipo siku.nikisikia ushuhuda wako. more love be blessed in all you do.👼🙏❤
Amen brother kwa kazi nzur me naipendaga sana jaman na sichoki kuiangalia kila siku Kama na ww upo pamoja gonga like nyingi nyingi kwa brother goodluck
Oooh,,,, huwa natafakari sana simalizi,,,, ila wimbo huu unanifanya nizidi kmtafuta mungu na nizidi kumtumikia mungu ,,,,,,,,,, eeemungu nikumbushe na mimi
Leo nimejifungia ndani nikiwa nalia baada ya biashara yangu kufugwa na manispaa niliumia sana juzi tu nimeibiwa machine za kazi leo nimeambiwa sina kibali nikafunga ofic nakulia tuu ila nimesikia huu mwimbo Mungu akulinde Mtunishi Soon PYRAMID CAR WASH Tabata Segerea Mwisho. Asante
Ubarikiwe sana.. hakika hata mtu uwe na moyo mgumu kiasi gani kupitia hii nyimbo lazima unyenyekee kwa Bwana.. NIPE ni nyimbo inayotembea na uhalisia wa maisha yetu ya leo hapa duniani.. Ahsante kwa kutukumbusha
Lazima nije nisikilize huu wimboo nikiwa ndani ya gari langu sijuh mwaka gan ila ntakua nasikiliza huu mwimbo ninavo enda kazini ndani ya gari langu.Amen
Brother brother brother brother Brother brother brother brother Yan kabla sijamaliza kuangalia hadi mwisho nmecomment kwanza halaf nitaangalia vizur Nzur Sana brother kwanza nikue kimuziki nitakuja kwa collaboration
Wimbo unanipa faraja mnooooo hasa maisha nilopitia ......nilipompoteza Kaka yangu KIPENZI Peter muda wote nilikuwa nausikiliza naimba na kulia Sanaaaaaaaa! Umekuwa wimbo wa faraja na kunipa TUMAINI jipya kila iitwapo Leo! Barikiwa Sana Kaka! "Mungu wewe ni mkuu kuliko ninavyokutazama unisamehe!
Yan sihitaji kuangalia mpaka mwisho ni sekunde 10 za kwanza U hv killed it SON OF GOZBERT 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Alwayz mkng us proud hata ambao hatuendi kanisani sana unatukumbusha !!!!! 😋
Mungu nipe kumbuka wema una niwezesha kulipa kodi nakula kilasiku japo sina kazi na mavazi una nipa japo mimi ni mweyne zambi lakini iyi mwiyaka 4 yote ata siku moja auku ni sahahu Asante Mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️
Unagusa nafsi za Wakristo wengi Unawagusa wenye dini nyingine Umekuwa Mtakatifu wa wengi Naomba uendeleze adhma yako Mungu akutegemeze zaidi Uokoe nafsi za wazima duniani Na uzima wa milele
this great song is a true reflection of my life back in 2016 after i lost my job,,,back to the village ....things were tough...but i thank almighty for who i am now...Bless you Goodluck
You're indeed a blessing to so many souls sometimes when I'm down and thinking of giving up i always remember your songs when I listen to them they give me hope they inspire me a lot and give me strength to keep pressing and never give up. God bless you my brother.
Goodluck nimekuwa nafarijika sana kila naposikiliza nyimbo zako na kunitia nguvu....Nipe ni nyimbo nzuri yenye kila sababu ya kusikiliza hata kama sio mkristo unajifunza na kupata elimu ya kushukuru kwa kila jambo zuri or baya Mungu akubariki sana na pia nakuombea baraka tele.
Love this song... Kuna nyakati nadhan hii dunia labda ni ya ushindani, Natumia akili zangu za ndani ila bado nashindwa kuendelea. ...Ikiwa kama nikisahau unikumbushe
Hivi hivyo vidole vilivyoangalia chini bahati mbaya au wanamaanisha..??? kwa jeuri gani tulionao tushindwe kushukuru kwa haya yote Mungu anatenda kwetu. go go go Goodluck Gozbert wengine tunashukuru sana sana Mungu kwa sbb bila yy tusingefika hapa.
An Nikimckiaga Godruck Gozbert Huwa Nakuwa Nafuraha Sana Kiukweli Namkubali Anakipaji Cha Ari Yajuu Huwa Namuombea Kwamungu Azid Kuitangaza Injiri Na Mafanikio Azid Kuyapata
this song Always be my soothen.while i am in troublesomes. i can't stop to listen it coz it inspire and give me strngth. am proud of u @Goodluck Gozerbert
Ni 2024 June 16 na hii kibao inanihudumia. It is ministering to me in ways I cannot explain. A bad time is not equal to a bad life.. instead of complaining, I will pray.. favourite line: "...Umeshatenda mengi, Nikiwa hapa.." I never comment on songs but this one.. whenever anyone likes this, I want to remember the conviction I had on this day. Bless🙏
Tujuane tunaoiangaria mpaka sasa 2024😅
Jmn wimbo wa kunipa farajaa
2024 still Bado nakupenda huu wimbo Yan ata nikikutana na gumu gan nakumbuka wema wa Mungu kwangu🙏
Km una mkubali Good luck gonga like,,,tuixogeze injili mbeleee
jamani wimbo umenibariki mno,umeimbwa as if anajua maisha yangu
nampenda sana huyu kaka
ok tazama hiii th-cam.com/video/lH2Gd-CRv-g/w-d-xo.html
Nzuri
Nzuri sana
“Kuna kipindi najisahau na kujivunia mafanikio na wengine kuwaona takataka ila nikumbushe hapa duniani tunapita tu na uhai wangu sio faida bila wewe”
Yesu ni bwana
Kazi nzuri umefanyia Nairobi Kenya karibu Kenya Goodluck the kind of gospel we need in Kenya
👏👏👏 karibu kutazama video zangu za Gospel.
Barikiwa sana.
HOPES TV hapo n keny
@@mgangaevarist9760 yeah I can see there eastleigh commuter sacco mathree hapo
good...!!!!
Kweli kabisa unakaribishwa wakati wowote
yaaani sijui nikwambieje mtumishi umenigusa kiasi gani
Kwani unaniibiaga mimi mtumishi? ??? Hakuna wimbo wako usionigusa mimi na maisha yng. ...mungu akutie nguvu uzidi kuifanya huduma uliyoitiwa. ....amina amina amina!!!
😁😁😁atakua anakjua ndo maan
@@kissraymond3320 kwa kweli jaman. .....😂😂😂😂
Mungu akubariki mno
Oliver Mollel amen
Oliver Mollel mungu amtunze daima
Na ndiomaana neno la Mungu lina tushahuri kwamba tushukuru kwa kila jambo!nipe kukumbuka wema hallelujah Bwana awe nawe katika safari yako yote na azidi kukupa na maharifa kwenye uduma iyo ya uwimbaji👏👍
Kaka hapa. Ukuu wa Mungu unadhihirika wazi kupitia uinjilishaji wa nyimbo ubarikwe sana
"Hata nikiwa cna chakula isinifanye nisahau ulinilisha nikasaza"
🙏🙏 ma lord 4 ur kindness
Kazi nzr bro kma uko online unaitazama mgoma hii gonga like
Naijia matikiti
@@raymondsuha9342 karibu jamaa
th-cam.com/video/eNqeLniMnnI/w-d-xo.html
Lyson Richard xana brother
@@yusuphmbilinyi612 pmoja sna
Nipe kukumbuka wema wako 🙏 Ee Mungu huu wimbo sawasawa unavo nisisimua na kusikiliza ndivo nami unanipa na kunifanikisha kupitia Goodluck... Nipe ✋ Amennnnn ❤
Am a muslim bt i love the messege in this gospel
Wow God bless you wherever you're
Usifanye shinda kidogo zisahau wema wako mungu🙏
I Love You JESUS
You are my Life
Nimebak na wewe YESU tu katika hiki kipindi kigumu ninachopita
I know one day nitarud hapa na ushuhuda
❤love you JESUS Soomuch
Haya sasa wasoma comment gonga like hapa twende sawa Godluck gozbert🔥🔥🔥🔥
Wimbo mzur xana huuu
hongera kwa kazi nzuri unayoifanya mtumishi keep itup ila kama unaimba gosple songs nakushauri usiache au kumwonea haya YESU KRISTO kutaja jina lake nimaombi yangu Roho mtakatifu aongee nawe kwa sauti ya upole
Shuka na like km unampenda Good luck
Hili ndilo jopo analotumia shetani kukamata watu...waimbaji wa injili waliomkataa Yesu na kamwe hawathubutu kumtaja Yesu kwenye nyimbo zao
Huu wimbo umenibariki kweli...tumshukuru mungu kwa hali yote.May God bless the work of your hui brother Goodluck..Kama kweli nawe umebarikiwa gonga likes apo chini..
Nyimbo safi kabisa
Barikiwa
Kaka
I just discovered this song and I can't believe it was released four years ago!!!
It's on repeat now and it just reminds me how faithful our God is! May He increase you in every way Goodluck!
Thank you for allowing God to use you all this years and NEVER relent!! ''keep fighting the good fight, you are still in the race and keep the faith''.
Jamani imenitoa machozi, majaribu yananifwatilia kila wakati hadi najikuta nimesahau kuomba kwa wakati machozi tu. Asante kwakunikumbusha nimwite Baba wa wote anisikilize niwe na utulivu. I need love button ❤😘 I love good luck messages in all his songs keep it up. na ukiweza kunishikilia mikono naandika wimbo bali sielewi pakuanzia nafanya kazi inje kama mtumwa bali na matumaini ya ipo siku.nikisikia ushuhuda wako. more love be blessed in all you do.👼🙏❤
nakuku Bali Sana ww
Hi
Mungu wew ni mkuu kuliko vile nakuta a baba unisamehe🙏
diamond wa gospel songi ......simbaaaaa npe like kam unamkubali uyu jamaa
This my favorite song 🎶
Kiss raymond uyo nizaid ya mond japo mm mwenyew wasaf ila mungu mbele kwanza
Amen brother kwa kazi nzur me naipendaga sana jaman na sichoki kuiangalia kila siku Kama na ww upo pamoja gonga like nyingi nyingi kwa brother goodluck
Brother you inspire us more and indeed.... Like back... God bless u forever more
Tanzanians Mumebarikiwa viongozi Bora , gospel Bora ATA bongo ,akina hayati kanumba lo! . Barikiwa kutoka Kenya
Yani nyimbo zako zamfanya mtu asiye okoka atamani kuokoka 👌👌👌Awesome
Oooh,,,, huwa natafakari sana simalizi,,,, ila wimbo huu unanifanya nizidi kmtafuta mungu na nizidi kumtumikia mungu ,,,,,,,,,, eeemungu nikumbushe na mimi
Leo nimejifungia ndani nikiwa nalia baada ya biashara yangu kufugwa na manispaa niliumia sana juzi tu nimeibiwa machine za kazi leo nimeambiwa sina kibali nikafunga ofic nakulia tuu ila nimesikia huu mwimbo Mungu akulinde Mtunishi Soon PYRAMID CAR WASH
Tabata Segerea Mwisho.
Asante
Pole sana
Pole sana kaka
Amen
Pole sana
Pole saana
I really love the message ... we tend to forget God when we have it all but remember Him when we are lacking. He should be praised at all times.
Sure
Its true..
True
Here from Kenya before 7,000k views.... Awesome song, nice melodies, nice message. Ombi langu pia ni nsiwai sahau wema wake.
amina
Taabu kidogo zisifanye nikusahau umeshatenda mengi nikiwa hapa...Nipe kukumbuka wema wako Baba🙏
Mbona wapo marafiki wanakosa kula na kuvaa hawalalamiki,tabu kidogo zisifanye nikusahau,nipe kukumbuka wema
Baba Nipe kumbuka wema 🤲
Much love from kenya 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ubarikiwe sana.. hakika hata mtu uwe na moyo mgumu kiasi gani kupitia hii nyimbo lazima unyenyekee kwa Bwana.. NIPE ni nyimbo inayotembea na uhalisia wa maisha yetu ya leo hapa duniani.. Ahsante kwa kutukumbusha
Lazima nije nisikilize huu wimboo nikiwa ndani ya gari langu sijuh mwaka gan ila ntakua nasikiliza huu mwimbo ninavo enda kazini ndani ya gari langu.Amen
Huu wimbo umebeba ujumbe wangu,kila neno nililotegemea kuskia mwaka huu 2019
Jamani nipeni likes za Goodluck.#Mwakawakupata
Nice song
Ameen mtumishi wa Mungu 🙏🙏
Huyu jamaa mm muslim nasikiliza nyimbo zake ukitaja mungu tu inatosha
Mzur sanaah nipee kukumbuka mema... 🙏🙏
Goodluck huwa naimba hii song daily unibariki sana.
Brother brother brother brother
Brother brother brother brother
Yan kabla sijamaliza kuangalia hadi mwisho nmecomment kwanza halaf nitaangalia vizur
Nzur Sana brother kwanza
nikue kimuziki nitakuja kwa collaboration
yelelemama
unajua sana, Mungu akutumie zaidi kwenye huduma ya uombaji, shabiki mwenzangu gonga like nyingi twende sawa.
Jamani lol mbona unazidi kua mbunifu kila kukicha napenda kaz zako Sana'a ubarikiwe
Wimbo unanipa faraja mnooooo hasa maisha nilopitia
......nilipompoteza Kaka yangu KIPENZI Peter muda wote nilikuwa nausikiliza naimba na kulia Sanaaaaaaaa! Umekuwa wimbo wa faraja na kunipa TUMAINI jipya kila iitwapo Leo!
Barikiwa Sana Kaka!
"Mungu wewe ni mkuu kuliko ninavyokutazama unisamehe!
Mungu mkubwa dada
Yan sihitaji kuangalia mpaka mwisho ni sekunde 10 za kwanza U hv killed it SON OF GOZBERT 🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌 Alwayz mkng us proud hata ambao hatuendi kanisani sana unatukumbusha !!!!! 😋
Kazi safi
Blessed kaka
😍😍😍
Mungu nipe kumbuka wema una niwezesha kulipa kodi nakula kilasiku japo sina kazi na mavazi una nipa japo mimi ni mweyne zambi lakini iyi mwiyaka 4 yote ata siku moja auku ni sahahu Asante Mungu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤️❤️
Nikumbushe wema wako mungu wangu haswa wakati wa magumu nipate kukushukuru kila nyakati
Baba nipe kukumbuka wema wako kwa maisha yangu katika Hali zote
Nipe kukumbuka wema!how many likes for this song.This song has ministered to me a lot.
hongera wimbo ni mzuri mno
Naupenda sana huu wimbo jaman Mimi nilikupa nini Baba cha kunipa kibali BARIKIWA SANA
Hii huduma ilikuwa ya kwako kabisaa, Mungu aendelee kukutumikia,wanibariki na nyimbo zako sana🙏🙏🙏
Unagusa nafsi za Wakristo wengi
Unawagusa wenye dini nyingine
Umekuwa Mtakatifu wa wengi
Naomba uendeleze adhma yako
Mungu akutegemeze zaidi
Uokoe nafsi za wazima duniani
Na uzima wa milele
This is a big......may it bless the world.
Johnttez krucial sounds the audio is More than lit....Video Sammy dee 🔥🔥
#MukambaInternational was here
Jmn gozbert yn... Nakukubal saaaaana...#team@gozbert.....We rock.....nymbo zako always znanbariki....@respect........
2024,.Niko hapa kukumbuka Wema🙏
Wapi wakenya ndugu zangu wapenda gospel nzuri zenye Mantic kwa maisha ya wanadamu twende sawa hapa chini🤙🏼👈👍👍👍👎
brother nilikuwa naisubiri hiii umenikonga moyo wangu Mungu akupe kunyenyekea zaidi #NIPE umeitendea haki big up brother
Mungu azidi kukutia nguvu unanyimbo zenye kumtia mtu moyo
Anaye barikiwa na huu wimbo 2021 agonge like za kutosha
Nimebarikiwa sana kwa wimbo huu Mungu azidi kukuweka duniani uzidi kimtukuza yeye
this great song is a true reflection of my life back in 2016 after i lost my job,,,back to the village ....things were tough...but i thank almighty for who i am now...Bless you Goodluck
❤❤❤❤❤❤254 nabarikiwa sana nikiwa kenya.
You're indeed a blessing to so many souls sometimes when I'm down and thinking of giving up i always remember your songs when I listen to them they give me hope they inspire me a lot and give me strength to keep pressing and never give up. God bless you my brother.
Huu wimbo unanibariki kila ninapousikia. Kunikumbusha kwa kila jambo nisiwai sahau Wema wa Mungu jaoukuwa sina maisha mazuri
Mungu nipe, nifundishe baba na unikumbushe kama nitasahau kukusifu.
Amen
Good song nimejifunza kupitia wimbo huu baadhi ya matendo ya Mungu
Awesome, great work bro... Congratulations, the Lord keep you Shining for His glory
Nyimbo nzuri ya Injili.Inanibariki.Endelea na kazi nzuri ya Mungu.
I just realized God has held my hands without me knowing, just being alive itself it is a blessing, just noticed this song today wow, thanks so much
Goodluck nimekuwa nafarijika sana kila naposikiliza nyimbo zako na kunitia nguvu....Nipe ni nyimbo nzuri yenye kila sababu ya kusikiliza hata kama sio mkristo unajifunza na kupata elimu ya kushukuru kwa kila jambo zuri or baya Mungu akubariki sana na pia nakuombea baraka tele.
Thank you Lord for the far you've carried us, from before till the end ,his mercies will never ever end
Ahsante Mungu kwa yote uliyonifanyia toka mwanzo wa 2024 hatimae mwaka umekwisha
Kama unasoma comment uku ukiangalia ngoma hii gonga like hap
Kabisa
Amen nice message
Ni hatar
,ha
See àsara@@josephmarimbet7289
Ɔ❤
Love this song... Kuna nyakati nadhan hii dunia labda ni ya ushindani, Natumia akili zangu za ndani ila bado nashindwa kuendelea. ...Ikiwa kama nikisahau unikumbushe
I knew you through this song,I was going really thru a lot that time.God bless you and keep on uplifting you Servant of the Most HIGH GOD
Asifiwe yesu naomba tu ukue ukiweka free Ili mtu akitaka ku download aweke ku download love your songs love pia from kenya
Nipe kukumbuka wema wako MUNGU wangu...nisikufuru mbele zako🙏🙏🙏
Heavenly princess katika wimbo huu goodluck hajamtaja Mungu.😲😲🤓🕺
HEAVENLY PRINCESS nakumbukawema
Nipe kumbuka wema
Hivi hivyo vidole vilivyoangalia chini bahati mbaya au wanamaanisha..??? kwa jeuri gani tulionao tushindwe kushukuru kwa haya yote Mungu anatenda kwetu. go go go Goodluck Gozbert wengine tunashukuru sana sana Mungu kwa sbb bila yy tusingefika hapa.
haleluyaaaa maana ulinisisha nikazaza
An Nikimckiaga Godruck Gozbert Huwa Nakuwa Nafuraha Sana Kiukweli Namkubali Anakipaji Cha Ari Yajuu Huwa Namuombea Kwamungu Azid Kuitangaza Injiri Na Mafanikio Azid Kuyapata
When i listen to this song .... I take a minute to thank God for my life....
Yaan nlitegemea huu wimbo ungekua na zero dislikes I wonder those disliking such a powerful message with beautiful melody kazi nzur sana bro
Vizur mtumishi wa Mungu godluck napenda sana kazi zako Mungu azidi kukutia nguvu
irene Pm sana
vzr mtumish goodluck mm napenda nyimb zak znanifariji sana hasa pale ninapokata tamaa nasikilza nyimb zak.kwakwel mung akupeleke viwang vngne
Tamilwai Dhahabu kweli nyimbo zake zinatia faraja
irene Pm ubalikiwe mutumishi kwahuduma yauimbajj nibalikiwa sana nayimbozako
Amen nabalikiwa sana kupitia hii nyimbo
Sure God remind me your goodness..Awwwh I love this song..hit hit
Wimbo huu unaniinua kiwango cha iman Kutoka sehemu Moja kwenda nyingine, Mungu akubariki sana
am goin to receiv blessings Coz of this song is make me to hold the hope in my heart daily, Nipe💥💥💥
Beautiful song mungu akubariki wewe ni baraka kwa Dunia baraka tele
,,,duh! The king himself bonge la kazi kaka mungu akupe mwanga zaidi!!
ile part anamuonyesha mbwa barua.. so REAL. Bwana akikutendea kwa kiwango Chake lazima udate.
Mtu asieishiwa mashairi... Umebarikiwa sana Goodluck...
Tabu ama shida kidogo zisinifanye nikusahau eee Baba 🙏🙏❤️❤️
huu wimbo unanifarj xana hongera kaka
Barikiwa kaka unaimba mungu azid kukuinua viwango vya juu.
my favorite song since 2019, during night shift at Maranatha Hospital, I used to play this song on repeat till morning
The song penetrates to the pumping stations of my heart such that it dominates my playlist for a day:big up!!!!!!!!!
I feel the same when listening it
🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾NIPE
Real gospel music that's make me emotional and uplifts me at the same time. Hao watu 741 ambao hawapendi hii muziki, kasoro liko wapi?
Taabu kidogo isifanye nikusahau yesu❣️