JENGA TABIA NA HIZI UTAFANIKIWA SANA | Ezden Jumanne

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ส.ค. 2024
  • Tabia unazotakiwa kujenga ili kufikia mafanikio yako. Karibu sana katika somo hili tujiongezee ufahamu zaidi kupitia kitabu cha jinsi ya kufikia ndoto zako kiliachoandikwa na Godius Rweyongeza.
    .
    NUNUA KITABU HIKI LEO:
    Wasiliana na mwandishi (Godius Rweyongeza)
    SIMU: 0755848391
    BEI: 20,000 TZS
    .
    Tuandikie kwenye comments nini umejifunza katika somo hili na kama kuna mifano inayoendana na somo hili tafadhali tushirikishe na sisi tujifunze toka kwako, Each One Teach One! Karibu sana.
    .
    LIKE - COMMENT - SUBSCRIBE - SHARE
    .
    WASILIANA NA EZDEN JUMANNE
    Voice-over Talent/ Content Entreprenuer
    Instagram: @ezdenjumanne
    Twitter: @ezdenjumanne
    Facebook: Ezden Jumanne
    Phone: (+255)759 191 076
    Website: tinyurl.com/voi...
    .
    SUBSCRIBE Kwenye channel zetu nyingine:
    .
    HAMASA YA LEO👇🏽
    / hamasayaleo
    .
    JE WAJUA?👇🏽
    / @youtubepesa255
    .
    VOICE-OVER CHANNEL👇🏽
    tinyurl.com/mat...
    .
    .
    #tabia #Mafanikio #Ezden

ความคิดเห็น • 113

  • @successpathnetwork
    @successpathnetwork  ปีที่แล้ว +10

    NUNUA KITABU HIKI LEO:
    Wasiliana na mwandishi (Godius Rweyongeza)
    SIMU: 0755848391
    BEI: 20,000 TZS

    • @mrlimixfilamu
      @mrlimixfilamu หลายเดือนก่อน

      Naitaji kusoma

  • @Nature_adventure
    @Nature_adventure ปีที่แล้ว +16

    02:50 1. Kusoma vitabu
    04:30 2. Kuamka mapema asubuhi
    05:33 3. Kupenda kuandika
    06:38 4. Kunywa maji
    08:10 5. Tunza kumbukumbu kwenye notebook yako
    08:56 6. Kuweka akiba na kuongeza kipato

  • @Dallasbarbers05
    @Dallasbarbers05 ปีที่แล้ว +10

    Tabia ya kusoma vitabu vya dini kila siku mfano Quran... Shukran kwa somo lako zuri

  • @fadhlunsaggaf8240
    @fadhlunsaggaf8240 10 หลายเดือนก่อน +4

    Tibia nyengine ninayo. Ona mm ni kutoa salamu na kusaidia wengine au Sadaka mambo hayo yata kujenga kuwa mtu mwenyevmahusiano mazuri na watu navkujihisi mtu bora kwani wema malipo yake nimakubwa zaidi kwa ww binafsi na wengine

  • @rejoicekamonya8995
    @rejoicekamonya8995 11 หลายเดือนก่อน +2

    Nashukuru sana nimejifuza mengi kutoka kwako

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @Daniel-co9ol
    @Daniel-co9ol ปีที่แล้ว +4

    Naishi Ohio, kila mara masomo yako inanijenga sana kaka, keep it up and lord will reward u

  • @kadior_dream_believer
    @kadior_dream_believer 11 หลายเดือนก่อน +1

    Asante kaka mungu akubariki

  • @user-sr7xk6qm6h
    @user-sr7xk6qm6h 5 หลายเดือนก่อน +1

    mpo vizuri sana

  • @omarmahirizi
    @omarmahirizi ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli kaka ezden masomo yako yanafaida kubwa sana tukilinganisha na ulimwengu wasasa haya ndio masomu yatakayo saidia watu zaidi ALLAH AKUPE HEKIMA ZAIDI

  • @SituSitu-vu3wn
    @SituSitu-vu3wn หลายเดือนก่อน +1

    Shukran kaka nakufata ❤

  • @nhguyrff7350
    @nhguyrff7350 ปีที่แล้ว +4

    Kaka mungu akupe uwezo Zaid endelea kuongeza mambo manzuri Mimi naitwa mchungaji yakobo nipo mkoa wa Mara sirari hogera Sana Kaka gog bless you brother

  • @HadiyaMuhammed-tt2xs
    @HadiyaMuhammed-tt2xs 22 วันที่ผ่านมา +1

    Mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah mashallah

  • @JoshuaMolen-oc3vi
    @JoshuaMolen-oc3vi 11 หลายเดือนก่อน +1

    Mkoko vizuri san

  • @ElizabethNdowo
    @ElizabethNdowo 7 หลายเดือนก่อน +1

    Asant kaka ezden

  • @yumbujackson869
    @yumbujackson869 ปีที่แล้ว +3

    Good learning skills content

  • @stephen9856
    @stephen9856 ปีที่แล้ว +3

    Safi sana kaka mungu akubariki

  • @innocentmushi2721
    @innocentmushi2721 ปีที่แล้ว +1

    #Ezden #Mafanikio Mungu akubariki sana bro najifunza vitu vipya kila iitwaayo siku kutoka kwako, much respect to you bro

  • @FatmaAbdulkadir-in2zx
    @FatmaAbdulkadir-in2zx 3 หลายเดือนก่อน +1

    MashAllah nimepata faida ktk kuweka akiba

  • @umunazaarabdulhamid965
    @umunazaarabdulhamid965 ปีที่แล้ว +1

    Good job

  • @GilvistaLucasSimone-nj1kw
    @GilvistaLucasSimone-nj1kw 9 หลายเดือนก่อน +1

    Napenda sana video vyako. Está de parabéns. Moçambique

  • @user-fj6rb1du1d
    @user-fj6rb1du1d ปีที่แล้ว +1

    Hakika mwenyezi Mungu akubariki Sana. Nikianza program ya vijana nitakutafuta.

  • @neyluge6951
    @neyluge6951 ปีที่แล้ว +1

    Asante San

  • @sharifamsuri
    @sharifamsuri ปีที่แล้ว +1

    Mashallah Mafunzo mazuri

  • @wababyamungu2646
    @wababyamungu2646 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru tunguzangu kwakutuhimarisha kwaushauri wamafanikiyo, Mungu peke awazidishiye.

  • @adelaideongoma8097
    @adelaideongoma8097 ปีที่แล้ว

    Shukran Bw.Ezden

  • @IreneMayanja
    @IreneMayanja 14 วันที่ผ่านมา

    Asante kwa somo..

  • @user-wl5wb5dj6d
    @user-wl5wb5dj6d ปีที่แล้ว

    Asante ubarikiwe❤❤

  • @saumusanjiama6991
    @saumusanjiama6991 3 หลายเดือนก่อน

    Shukran sana

  • @feisalakbar4759
    @feisalakbar4759 7 หลายเดือนก่อน

    Mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla mashalla

  • @noellameckkapinga8672
    @noellameckkapinga8672 ปีที่แล้ว

    Shukrani kaka nimejifunza kitu leo

  • @imankya7346
    @imankya7346 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubrik san kak kwa elimuyako unayo tupatia

  • @anafisuleimani7083
    @anafisuleimani7083 ปีที่แล้ว +3

    Nimependa sana somo hili kaka Ezden

  • @AshaMasoud-dt9xd
    @AshaMasoud-dt9xd ปีที่แล้ว +1

    So nice my brother ,nimependa maoni yako mungu akuuze kazi yako hii

  • @mainiyanyoka254
    @mainiyanyoka254 ปีที่แล้ว +1

    Nikweli kabisa

  • @user-dz6pr8ke8i
    @user-dz6pr8ke8i ปีที่แล้ว +1

    ❤ brother thank you so much 🙏❤️

  • @yussufoupaulo4940
    @yussufoupaulo4940 ปีที่แล้ว +1

    Safi kabsa kaka Yussuph kutoka Mozambique Estamos junto tuko pamoja

  • @jameskagulu4228
    @jameskagulu4228 ปีที่แล้ว +1

    Asante sna bro

  • @julianaharrison4356
    @julianaharrison4356 ปีที่แล้ว +3

    Mimi nilikuwa napenda kuandika kila jambo langu linavyokuja mwanaume wangu akawa ananiambia upo kama kichaa kuandika kuandika . Mpaka leo ndio tabia yangu imenisaidia sana

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  ปีที่แล้ว +1

      Hahahaha... Tabia ya kuandika kuandika ikamsaidia kichaa🤣🤣🤣. Hongera sana Juliana

  • @ireneemmanuel1637
    @ireneemmanuel1637 2 หลายเดือนก่อน

    Asalam aleykum warahmatullah waabarakatuh ,
    Naomba nisaidie kitabu cha "MAAJABU YA KUSOMA VITABU"

  • @davidnjue6274
    @davidnjue6274 ปีที่แล้ว +1

    Teacher ezde Mimi nakufuatilia nikiwa nrbi Kenya nitapata kitabu aje like elimu ya msingi ya fedha

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  ปีที่แล้ว

      Kitabu kinapatikana tafadhali niandikie whatsapp +255759191076

  • @Mr_Ben255
    @Mr_Ben255 ปีที่แล้ว +1

    Thanks brother

  • @user-wv6tl3uh6k
    @user-wv6tl3uh6k 8 หลายเดือนก่อน

    Safsanaa

  • @kennedynovath3602
    @kennedynovath3602 ปีที่แล้ว

    kaka naomba bas iko kitabu jaman

  • @lucyjeremia1381
    @lucyjeremia1381 ปีที่แล้ว +1

    Mim sijui Nina tatizo gani kwenye kusoma nakala ndefu vitabu yaan siwezi

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  9 หลายเดือนก่อน

      Kaa karibu Kuna kitabu kidogo nakitoa hivi karibuni kitakusaidia sana kuishinda hiyo hali...

  • @salehabdallah2737
    @salehabdallah2737 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH akulipe bro

  • @godifundii
    @godifundii ปีที่แล้ว +1

    San bloo

  • @housemanagmentfinishing1151
    @housemanagmentfinishing1151 ปีที่แล้ว

    shukrani kaka ezden nimejifunza kitu kutoka kwenye somo hili

  • @TommyMkilya
    @TommyMkilya 4 หลายเดือนก่อน

    Nimependa San somo rako Ndio mna kila crp nafatilia sna

  • @gabrielapril1469
    @gabrielapril1469 ปีที่แล้ว +1

    Aksante sana bro.

  • @seraphinentimpirangeza4633
    @seraphinentimpirangeza4633 ปีที่แล้ว +1

    safi saa kaka kazi nzuri kabisa,ila umesahau kutwachia ile e mail kwa ajili ya kile kitabu cha bure

  • @festoamos_tz
    @festoamos_tz ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @mussadionizi9418
    @mussadionizi9418 ปีที่แล้ว +1

    God bless you my brother.. Ezden

  • @habibaally2943
    @habibaally2943 ปีที่แล้ว +1

    Shukran

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 ปีที่แล้ว

    Shukran sana naelimika kupitia masomo yako

  • @muranisalim3572
    @muranisalim3572 ปีที่แล้ว +1

    Wow

  • @paulmbuya4880
    @paulmbuya4880 ปีที่แล้ว

    Thanks Br...
    #FACT!!

  • @omarmahirizi
    @omarmahirizi ปีที่แล้ว

    Naomba kitabu tafadhali

  • @HappyG-zk9qb
    @HappyG-zk9qb ปีที่แล้ว +1

    Unge soma zote

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  ปีที่แล้ว

      Okay... lakini katika hayo machache naamini umepata jambo

  • @maliyawatubusiness
    @maliyawatubusiness ปีที่แล้ว

    Thanks bro

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 ปีที่แล้ว

    ASANTE

  • @mwanatz5980
    @mwanatz5980 ปีที่แล้ว

    Asante.

  • @noelsaidi7144
    @noelsaidi7144 ปีที่แล้ว

    Naipenda

  • @edisonjoseph4087
    @edisonjoseph4087 ปีที่แล้ว

    Ahsante sana

  • @omarmahirizi
    @omarmahirizi ปีที่แล้ว

    Kwanza Hio tabia ya kuweka hakiba ni muhimu zaidi

  • @subiramahmoud6863
    @subiramahmoud6863 ปีที่แล้ว +1

    Naamini sana bro

  • @rubbenmacha7254
    @rubbenmacha7254 ปีที่แล้ว

    Masomo yenu mazur

  • @mickpatrick3375
    @mickpatrick3375 ปีที่แล้ว

    Amin

  • @mustafadjuma6504
    @mustafadjuma6504 ปีที่แล้ว

    Shukrain akiba ni yamuhimu san

  • @sozishija7978
    @sozishija7978 ปีที่แล้ว +1

    💕

  • @graciousnodphrey1610
    @graciousnodphrey1610 ปีที่แล้ว

    Mmezingua background

  • @pastorcarolicarlostokunmbo826
    @pastorcarolicarlostokunmbo826 ปีที่แล้ว +1

    Maajabu ya kusoma vitabu. Please where us an email i want the book brother.

  • @ramzmw1763
    @ramzmw1763 ปีที่แล้ว +1

    Nice bro, keep it on, najifunza vitu vingi kutoka kwako bro.
    kutoka huku Malawi🇲🇼

  • @AliMohamed-wp1op
    @AliMohamed-wp1op ปีที่แล้ว

    poa

  • @evancebruno8659
    @evancebruno8659 ปีที่แล้ว +1

    Kunywa Maji utaposikia kiu tuu ili kuepuka magonjwa yanayotakan fluid over load Kama magojwa ya figo na moyo

  • @pontianrweyongeza6240
    @pontianrweyongeza6240 ปีที่แล้ว +1

    Vitabu tunakupenda rakini atuvioni uku mkoa wa kagera

  • @LebahatiMichael
    @LebahatiMichael 2 หลายเดือนก่อน

    Tuma namba ya mwandishi wa hicho kitabu

  • @zeynabmohamedzeynab4753
    @zeynabmohamedzeynab4753 ปีที่แล้ว

    Mm nikinywa maj kila saa mkojooo🤔

  • @abdulazizzali6218
    @abdulazizzali6218 ปีที่แล้ว +1

    Nataka kitabu hichoo

  • @chefkesy
    @chefkesy ปีที่แล้ว +1

    Naeza pata kitabu nikiwa kenya ??

  • @HemedMwangu-og3fd
    @HemedMwangu-og3fd ปีที่แล้ว

    Navipata wapi hivyo viabu

  • @johnrenard492
    @johnrenard492 ปีที่แล้ว

    Nataka kitabu guvu ya vitu vidogo kuwa vikubwa

  • @isabellakomba7220
    @isabellakomba7220 ปีที่แล้ว +1

    Naomba namba na email. Nahitaji kunujua kitabu

  • @wababyamungu2646
    @wababyamungu2646 ปีที่แล้ว +1

    Tunashukuru tunguzangu kwakutuhimarisha kwaushauri wamafanikiyo, Mungu peke awazidishiye.