Viongozi wa Lamu wakarabisha hatua ya serikali kuu kutangaza mpango wa kuufungua mpaka wa Somalia

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ต.ค. 2024
  • Huenda wakaazi wa Kiunga kijiji kilichoko mpakani mwa Kenya na Somalia Kaunti ya Lamu wakapata soko la karibu la kuuza mazao yao ya samaki, katika taifa jirani. Hii ni kufuatia hatua ya serikali kuu ya kutangaza mpango wa kuufungua mpaka huo wa Somalia.

ความคิดเห็น • 1

  • @mariaana9808
    @mariaana9808 ปีที่แล้ว

    Bora alshabab wasiingie tu