350 Maji yako ya Akiba

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 1 ก.ย. 2021
  • Wimbo huu unatukumbusha suala la upendo unaodhirishwa katika matendo.
    Matendo ya upendo ni pamoja na:-
    a) Kutambua uhitaji wa watu wengine katika maisha yao.
    b) Kushirikisha wengine baraka tunazokirimiwa na Mungu.
    c) Mungu hubariki sadaka na matokeo yetu tukitoa kwa imani na kwa kumtanguliza Yeye.
    d) Kuwasaidia wengine ni kuweka akiba au limbikizo kwa Mungu.
    e) Roho yenye Upendo humtegemea Mungu daima.
    Tuzidi kupendana

ความคิดเห็น • 13

  • @FrankBSanare-pi8hr
    @FrankBSanare-pi8hr 7 หลายเดือนก่อน

    Asante baba najifunza nyimbo nyingi sana kupitia wewe

  • @charleskatoto2017
    @charleskatoto2017 3 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa mtumishi

  • @fredyjames7019
    @fredyjames7019 3 หลายเดือนก่อน

    Asantee sana father, umenifundisha sana kuimba

  • @biccochunga7771
    @biccochunga7771 2 ปีที่แล้ว +1

    Huwa unanibariki Sana mch wangu mwaipopo

  • @nsajigwarichard1951
    @nsajigwarichard1951 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen

  • @jenithafred2084
    @jenithafred2084 2 ปีที่แล้ว

    Asante sana mtumishi wa Mungu, kweli najifunza nyimbo nyingi sana za Tumwabudu Mungu wetu kupitia wewe hasa nyimbo za nota Mungu akubariki sana

  • @stonedicksonkisamo809
    @stonedicksonkisamo809 2 ปีที่แล้ว

    Mchungaji naomba uimbe nyimbo 335 Sisi tulio watoto 🙏🏼🙏🏼

  • @kagemlochristopher8730
    @kagemlochristopher8730 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu

  • @stevensteven4666
    @stevensteven4666 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki sana mchungaji

  • @stevenmwakasitu9787
    @stevenmwakasitu9787 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo huu nilibarikiwa nao sana Jumapili church

  • @happinesspatrick3902
    @happinesspatrick3902 2 ปีที่แล้ว

    Maji yako ya akiba🔥🔥

  • @angelnamala6354
    @angelnamala6354 2 ปีที่แล้ว

    Ooh Hallelujah

  • @hilgathjoshua8804
    @hilgathjoshua8804 2 ปีที่แล้ว

    Amina