Nakuomba sana umtafute Mch Oltesh Metili na Mch Chagulilo ili mrekodi hivi vipaji angali mkiwa hai ili vizazi vingine viweze kufaidi mkiondoka Duniani. Nyie mkiimba au kuongoza litrujia kwetu ni mpya kila siku! Mungu awatunze
TUNAKUPENDA SANA MTUMISHI WA MUNGU, SAUTI YAKO IMEPAKWA TUNABARIKIWA SANAA NA UIMBAJI WAKI, BWANA AZIDI KUKUVUVIA NA KUKUTUMIA KWA UTUKUFU WAKE KWA JINA LA YESU TUNAOMBA
Mungu akubariki mtumishi. Kazi unayoifanya ni zaidi ya utumishi, Mungu ana makusudi na wewe. Nikutie moyo tu kuwa kazi hii si bure mbele za Bwana bali thawabu yako ni kubwa mbinguni. Amen
Nabarikiwa Sana na huduma unayotoa mtumishi,nimetafuta namna ya kukupata ktk social media leo nmefanikiwa☺️☺️uzidi kuinuliwa ili nasi tuinuliwe zaidi Barikiwa sana
Oh! I MISS My Mother, she was down sick ( cancer ) and she use to call us and tell us to sing with her this song. Rest In Eternal Peace Mother.
Amina, very strong 🎵
Amen, keep that faith all the time
Asante Yesu kwa kiumbe huyu anatubari kwa nyimbo ktk Ulimwengu huu wa mapambano
Utukufu na heshima umwendee Mungu aliye kiumba kiumbe hiki
Nakuomba sana umtafute Mch Oltesh Metili na Mch Chagulilo ili mrekodi hivi vipaji angali mkiwa hai ili vizazi vingine viweze kufaidi mkiondoka Duniani. Nyie mkiimba au kuongoza litrujia kwetu ni mpya kila siku! Mungu awatunze
Kwann siku hizi yuko wapi maana hata azania front simuoni kabisa
Ubarikiwe mtumishi kwa wimbo mzuri na wenye nguvu
Nabarikiwa mno nawewe mtumishi,more grace to you
YESU UNISIKIE BWANA MWEMA ❤
Yes ndiye njia ya uzima
Ndugu yangu.
Mungu awe na WEWE!!
Ubarikiwe sana mchungaji kwa kazi zako
TUNAKUPENDA SANA MTUMISHI WA MUNGU, SAUTI YAKO IMEPAKWA TUNABARIKIWA SANAA NA UIMBAJI WAKI, BWANA AZIDI KUKUVUVIA NA KUKUTUMIA KWA UTUKUFU WAKE KWA JINA LA YESU TUNAOMBA
Barikiwa sana mtumishi Mungu wa mbinguni akutunze
Mungu akubariki mtumishi. Kazi unayoifanya ni zaidi ya utumishi, Mungu ana makusudi na wewe. Nikutie moyo tu kuwa kazi hii si bure mbele za Bwana bali thawabu yako ni kubwa mbinguni. Amen
Aaaaamen
Absolutely marvelous
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu kwani uimbaji wako unaponya roho zetu na tunabarikiwa sana kiroho.
Barikiwa mtu wa Mungu
MUNGU ni mkuu sana
Kupitia utumishi wako nina imani watu wengi wanapokea baraka kupitia uimbaji wako
Balikiwa sanaa mtumishi wa Mungu
Am spechless its amazing song....God be with you pastor
Glory be to God above
Unasauti nzuri sana mchungaji.Mungu amekupa vingi,atakudai vingi.
Amen Jane
Mkono wa Mungu ukufunike baba. Watu wako tunabarikiwa sana
Barikiwa sana mchungaji Gwakisa.
Barikiwa sana baba, Mungu azidi kuitumia sauti yako kujitwalia sifa
Be blessed Pastor
Sauti ya mch gwakisa ina roho ya kumsifu Mungu kwa utakatifu wake
Utukufu kwa Mungu for sure
So incredible
Stay blessed servant of God
Aaamen
nabrikiwa sana
be blessed pastor🙏
Is this St Albans? Dar-essalaam?
Asante Pastor
Nabarikiwa Sana na huduma unayotoa mtumishi,nimetafuta namna ya kukupata ktk social media leo nmefanikiwa☺️☺️uzidi kuinuliwa ili nasi tuinuliwe zaidi
Barikiwa sana
Amina ndugu yangu
nimeona ndugu zangu wawil wakikuweka ktk status zao, imenipasa nikufatilie
Ubarikw mtumish
Amina ndugu yangu
WAOO WONDERFUL 👏
GLORY TO GOD
Kazi hii imetukuka
Ahimidiwe awezaye kuliko sisi
Usinipite Baba
Usinipite mokozi unisikie yes
Ameni
Kayla akusaje
Usinipe mwokozi
🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿😍
Amen
Usinipite mwokozi
Amina