Tatizo mademu wengi WA sasa hivi ukimfanyia hayo mazuri yote anakuona ni wewe mwanaume bwege, na anaweza kukusumbua sana Kwa kuwa unamnyenyekea sana.. haya mapenzi ni Pasua kichwa.
#Liza unayosema ni sahihi ila swali gumu kwa mwanamke ukimuuliza je unataka mwanaume wa sifa zipi. Wengi wao hivyo vigezo ulivyotaja hawaviangalii kabisa. Hakika machozi yatakuwa jirani yao milele.
UMENENEPA SANA BWAANAA😊😊
Tatizo mademu wengi WA sasa hivi ukimfanyia hayo mazuri yote anakuona ni wewe mwanaume bwege, na anaweza kukusumbua sana Kwa kuwa unamnyenyekea sana.. haya mapenzi ni Pasua kichwa.
Kusema kweli mimi hayo lo sema sifa ninazo tana ghaswa mungu shahidi namshukuru allh
Nashukuru mungu sifa zote ulizosema ninazo...
According to your understanding and your interest. Wanawake wengine wana priority zao.
Sawa
wow, thanx alot sister
Hongera Sana maadamu
Nakupongeza saana Dada Elimu unayotoa Kwa wadada zetu mtaan
Naona pis qal pemben hapo😁😁
sister wewe ni mrembo sana
Shukran kwa maoni yako matamu
#Liza unayosema ni sahihi ila swali gumu kwa mwanamke ukimuuliza je unataka mwanaume wa sifa zipi. Wengi wao hivyo vigezo ulivyotaja hawaviangalii kabisa. Hakika machozi yatakuwa jirani yao milele.
Nimekumisi dadangu
Dada umejirecord Video public zone, naona upo restaurant hapo
Mtoto unasauti tamuu wewe
ni za au ya?
ila si umeelewa😂