Mke wa BEKA FLAVOR: Tumeachana, Amempa MIMBA mwanamke, MBOSSO nimemblock, Ana mambo ya kizee

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 361

  • @alexmurithi1327
    @alexmurithi1327 4 ปีที่แล้ว +23

    Bekaflavour kimbia haraka sana bro uombe msamaha kumpoteza huyu dada utazunguka sana ukitafta mwenye ataziba pengo la huyu Dada. Women are women all over the world.. the best thing is to solve your issues.. vyenye ameanza kufanya hizi interviews ni risky Sana sababu wanaume watamtafta Sana bro. Yasije yakawa kama hile ya aslay na Tessy. Run and secure your love

    • @billylusso9920
      @billylusso9920 4 ปีที่แล้ว

      True

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว +2

      Ndugu uyaonayo nje sivyo yalivyo ndani. Wanawake wanajua sana kujieleza mbele ya jamii unaweza fikiri anaonewa ila kiuhalisia hawako hivyo, wengi wao wana maisha feki nje.

    • @billylusso9920
      @billylusso9920 4 ปีที่แล้ว

      Hawafaagi!!!!_ kikubwa yeye asimjibu tuu,,

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว

      @@edwardsichilengwe2330 umeongea point kubwa sana

    • @edwardsichilengwe2330
      @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว

      @@eneolatukio8493 yamenitokea hayo ndugu yangu ndo maana nawashangaa wanaosema hivyo

  • @georginnathornhill4052
    @georginnathornhill4052 4 ปีที่แล้ว +11

    Mzuri wa asili .mtoto wa home kabisa .love mingi from st Louis 🇺🇸

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +15

    Jamani ka cuteee mashaallah

  • @josephinekwaselema5566
    @josephinekwaselema5566 4 ปีที่แล้ว +19

    Happy we mzury Sanaa mmy 💕💕💕❤️😘

  • @aminamnyaruge8574
    @aminamnyaruge8574 4 ปีที่แล้ว +22

    Maswali konki majibu konki... Hongereni sana.. Nimewapenda Bure.. Sio wale wa" NO COMENT"

  • @leylahley3542
    @leylahley3542 4 ปีที่แล้ว +36

    Kama umetokea A town tujuane hapa..lov u happy pambana dear...

  • @msabahamalonda2249
    @msabahamalonda2249 4 ปีที่แล้ว +9

    Nmekukubali mtangazaji unajua namna ya kuuliza maswali, safi sana na wengine wajifunze ili wanogeshe vipindi vyao..

  • @mariej6962
    @mariej6962 4 ปีที่แล้ว +3

    Usije ukaenda peke yako mnapotoa huduma za massage. Ni kazi hatari sana tena sana, unaonekana naive kwenye hilo lakini wanaume wengi hawawezi kutofautisha hiyo huduma na call girls. Be careful before something bad happen.

  • @rozinapaula1694
    @rozinapaula1694 4 ปีที่แล้ว +3

    👍👍mtangazaji uko poa,watangazaji wa block njooni huku mujionee jinsi ya kuuliza maswali.

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว +9

    Ila huyu dada mwanzoni nilimuamini kuwa beka ana makosa,ila tangia aanze media tu nimegundua anapenda show off sasa hakupata attention. huyo kama demu asley walitaka matashiti kama ya diamond vile ryvann!huyo kapata stepping stone kasha janjaruka huyu time will tell

  • @fatmakombo7584
    @fatmakombo7584 4 ปีที่แล้ว +4

    Ni kweli sana my dear wanaume wanajipenda wao bila kuwafikiria wake zao pia wanaboaa sana

  • @barikipeter721
    @barikipeter721 4 ปีที่แล้ว +13

    Mtt wa tarmo krt tu juu gonga like ako apo kama unatukubali au sio

  • @zuhramsuya8194
    @zuhramsuya8194 4 ปีที่แล้ว +10

    Arsha haijawah kutoa vtu fake, beautiful as always.

  • @danamickle9739
    @danamickle9739 4 ปีที่แล้ว +1

    Happy tarimo my wiiii....mzuri natural hata bila makeup..wivu tu unawasumbua..mzuri huyuuu sema cjui alshndwa nn. Kumpepeta beka jmn

    • @happytarimo1406
      @happytarimo1406 4 ปีที่แล้ว

      Mhu happy tarimo tna mbn hilo jina tarimo ni la kichaga akat yy n mwiraq

    • @danamickle9739
      @danamickle9739 4 ปีที่แล้ว +1

      Happy Tarimo ni muiraq ndio

  • @omarykiduka2356
    @omarykiduka2356 4 ปีที่แล้ว +4

    Hapa kuna kitu kimejificha huyu Dada ana mtu alo mfanya amuache beka taari kashaingia mjini

  • @frenchygigi
    @frenchygigi 4 ปีที่แล้ว +3

    She is so pretty.

  • @AliAhmed-tt8se
    @AliAhmed-tt8se 4 ปีที่แล้ว +4

    Kizuri hakidumu😪dada mzuri mpaka unakera

  • @jayma1537
    @jayma1537 4 ปีที่แล้ว +4

    She's Smart ,Cool and wife material,But Ishi na mwanamke kwaakiLi ,

  • @mdmubrak8152
    @mdmubrak8152 4 ปีที่แล้ว +9

    Duh mwaka huu watu wawemakin sana namahusiano pia tumkabidhi mung maan duh

  • @edwardsichilengwe2330
    @edwardsichilengwe2330 4 ปีที่แล้ว +5

    Anapenda vitu vya bei ghali, wkt anajua mimi sina mali......... Beka alikuwa bado hajajijenga kimaisha

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 4 ปีที่แล้ว +1

    Upendo sio uzur jamn kwan wazur ndo awaachwi mwomben tuu Mungu ampe Mme mwema yaan hitaji ambolo mwenyezi Mungu ataona nisahihi kweke huyu Dada

  • @joshuasimon4902
    @joshuasimon4902 4 ปีที่แล้ว +1

    Mrembo kwel kwel ila sisi wanaume tunakuwa na hisia kwenye macho na sio moyoni mh mungu utusaidie maan sio vizuri ndoa kuwachana vilvile mapema..

  • @samxongwambiye4217
    @samxongwambiye4217 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtoto tatizo lakeee anataka mume ataempata afanyee anachokitaka yeye hajuii kua ndaniya nyumba kuna sheria

  • @awazbange7473
    @awazbange7473 4 ปีที่แล้ว +2

    Sababu sijazikubali sana labda kuna ya zaidi ndani yao

  • @husnamtuveta8056
    @husnamtuveta8056 4 ปีที่แล้ว +2

    ,huyu dada anafanana na lulu michael jmn ama n mm tyu naona?

  • @minzajoji7196
    @minzajoji7196 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtangazaji nimekupenda Sana unamaswali yahakili sana siyo wambeya wengine

  • @mwanarusihamisi1706
    @mwanarusihamisi1706 4 ปีที่แล้ว +4

    Munakosea kumuita mke wakatii awajaowana..

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah3644 4 ปีที่แล้ว +2

    She cute mashallah 😘😘 is better hio massage iwe km therapy coz watu wengi hawa heshima kabisa . Thanks creez

  • @yudatadeshayo4434
    @yudatadeshayo4434 4 ปีที่แล้ว +6

    Huyu sasa hivi ataanza kudanga!!ameshaanza kwenda outing na ma sley queen hapa beka ushapoteza mke!!

  • @khayratramadhan5830
    @khayratramadhan5830 4 ปีที่แล้ว

    Jaman

  • @imakulatasumaye6818
    @imakulatasumaye6818 4 ปีที่แล้ว +1

    Sisi ndiyo wairaq jamn dena isowi nimekupenda

  • @emmanuelmchomvu2676
    @emmanuelmchomvu2676 4 ปีที่แล้ว +3

    Et hayupo romantic

    • @supermangi7814
      @supermangi7814 4 ปีที่แล้ว

      Huyo dem ni mmburu au muiraki

  • @christopherlusendeka5557
    @christopherlusendeka5557 4 ปีที่แล้ว +3

    Nakuombea upate mume bora arudishe tena furaha yako sweety wewe n mzuri alaf unajielewa Sana

  • @mariyamgharib940
    @mariyamgharib940 4 ปีที่แล้ว +11

    Ni ngumu mwanamme katika dini zote akimpa mimba mwanamke kumuowa. Inahitaji imani na huruma ya mwanamme apo tena kukuowa. Ni mawazo yangu hayo

    • @خسنموس
      @خسنموس 4 ปีที่แล้ว +1

      Kwel

    • @hawaa2227
      @hawaa2227 4 ปีที่แล้ว +1

      Kweli kbs

    • @smarty1064
      @smarty1064 4 ปีที่แล้ว

      mariyam gharib kuna ukweli hapo , bila huruma huwez kuoa hasa kama ukiwa na mashaka kama unapendwa kwa dhati aisee

    • @mariyamgharib940
      @mariyamgharib940 4 ปีที่แล้ว

      @@smarty1064 eee kamuona jamaa muongo anampindishiya tu kutomuelewa ndo maana kaona aondoke zake. Maana ndoa kila mwanamke anaihitaji.

    • @smarty1064
      @smarty1064 4 ปีที่แล้ว

      @@mariyamgharib940 nakuelewa sana, kama umezaa na binti kuna muda anakuwa amejihakikishia wewe ndo wake milele kuna visheria vipya ambavyo mwanzo alikuwa anakubaliana na wewesasa mkishazaa anaanza kuvileta, sasa kama huna huruma na umezungukwa na wadada wanaokuhitaji na ukiwa hujui moyo wako unahitaji nini nirahisi sana kutamani kwingine na kupuuza kwa aliyekuzalia, kweli inabidi uwe na huruma sana kwa mama mtoto

  • @ashuraally4356
    @ashuraally4356 4 ปีที่แล้ว +4

    Pole bado unampenda mwenzio

  • @zabibunduwimana4612
    @zabibunduwimana4612 4 ปีที่แล้ว +1

    Mansha Allah pole sana

  • @verynicethifilmnuur1alrahb887
    @verynicethifilmnuur1alrahb887 4 ปีที่แล้ว +3

    Mashaallah love so much

  • @salomematias4884
    @salomematias4884 4 ปีที่แล้ว

    Vizuri dear songa mbelee

  • @rozinapaula1694
    @rozinapaula1694 4 ปีที่แล้ว +1

    🤔🤔ila hapo pa kusema si mromantic kidogo umemdhalilisha....atleast umfiche mengine sababu alikuwa mchumba wako,tena haujui ya kesho huenda mukarudiana utaambia nini watu ikiwa tayari umeshamtagazia!!!mbakishie heshima yake kidogo...usiache mbachao kwa msala upitao...ila uko👍👍

    • @freddymsafiri
      @freddymsafiri 4 ปีที่แล้ว +1

      Huyu bado alikuwa anahitaji mambo mengi hakutaka kuwa mke ndio maana kukosa outing kaona amuache mshkaji

  • @AliAhmed-tt8se
    @AliAhmed-tt8se 4 ปีที่แล้ว +3

    Huyu dada Hana Yale majibu no comment so mature❣️💯💯

    • @rozinapaula1694
      @rozinapaula1694 4 ปีที่แล้ว +1

      Hebu mukamuite fahhyvany aje huku....yy ndo wa no comment😂

    • @AliAhmed-tt8se
      @AliAhmed-tt8se 4 ปีที่แล้ว

      @@rozinapaula1694 🤣🤣🤣...tulia kiasi

  • @salamaseif4032
    @salamaseif4032 3 ปีที่แล้ว

    Uyo mwanamke anatamaa sana beka alishachoka kunyanyasika

  • @realremih
    @realremih 4 ปีที่แล้ว +2

    Njoo kenya unikande mgongo mi pia nmeanza kuumwa

  • @ashaali7154
    @ashaali7154 4 ปีที่แล้ว +13

    Hivi kuwa mweupe ndio kujaaliwa na Mungu? Kwa hiyo weusi hajajaaliwa. Hii ndio shida ya kuongea kabla ya kufikiri.

    • @kingcopper_tz
      @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว +4

      Nadhan yupo sahihi kwa upande wake, kila mtu awe proud na kitu chake, hata mm ni black man na nna uwezo wa kuvimba nimebarikiwa rangi nyeusi

    • @brianaloyce8604
      @brianaloyce8604 4 ปีที่แล้ว +1

      Ahahahah umenifanya nicheke kwa nguvuuu,

    • @sekundambilinyi5450
      @sekundambilinyi5450 4 ปีที่แล้ว +2

      Wacha weupe turinge bana hata wenye makalio wanavimba eti wamejaliwa!!Kwani ukiwa flat screen unakuwa hujajaliwa?

    • @jadoob5421
      @jadoob5421 4 ปีที่แล้ว +1

      @@kingcopper_tz 👏👏👏👏

    • @irenebeatus9481
      @irenebeatus9481 4 ปีที่แล้ว

      Umeona Eeh kanikera kusema hana kasoro wakat namjua kindakndaki chuo afu anasema hana kasoro

  • @fefenailsandmakeup1353
    @fefenailsandmakeup1353 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyu dada msela sanaa, mwanamke anaongea yaan sijui yupoje wallah madem wa Arusha loh😂😂😂

  • @bettymwikali8019
    @bettymwikali8019 4 ปีที่แล้ว +13

    Kafanana Lulu vilee

  • @merrymakuli7132
    @merrymakuli7132 4 ปีที่แล้ว +3

    Duuuuu huyu Dada etiii mapenzi yakizee

  • @asiakibonge4699
    @asiakibonge4699 4 ปีที่แล้ว +5

    Wasanii wagumu kweli kuoa wanachezea tu

  • @gracedelence9163
    @gracedelence9163 4 ปีที่แล้ว +4

    Jomoni shikamo mapezi
    Yamekuwa alie kuwa
    Maskini beka
    Moyo gode

  • @sumasullesulle419
    @sumasullesulle419 4 ปีที่แล้ว +1

    Chakula Cha wanaume Sasa uyu na hii kazi yake sio powa

  • @phayphay8471
    @phayphay8471 4 ปีที่แล้ว +4

    Simba simba simba Upo wapi chakula hicho kula free😂😂😂

  • @emmanueljoseph2576
    @emmanueljoseph2576 4 ปีที่แล้ว +6

    Demu mzuri Sana alafu anaongea serious hachekicheki ovyo Kama yale machangudoa ila namshauri aachane na kazi ya masagi sio nzuri kwa mrembo Kama, yeye hata Kama hufanyi ya kufurahisha ipo siku utashawishika tu

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +9

    Beka angemtafuta sasa aliejenga hisia labda ndie wangependana kwa dhati! Sasa kudanganyika na picha duuh! Anyways umejitahidi mrembo ila ndo ivo huwa hawabebeki, tamaa nyingi!

  • @asiajuma8330
    @asiajuma8330 4 ปีที่แล้ว +10

    Yani wanaume ata awe na mke mzuri vp lzima atachepuke tu sijui kwanini dada mzuri ivo

  • @aishaabdulrahman6995
    @aishaabdulrahman6995 4 ปีที่แล้ว +30

    Wee happy wamjua simba ama diamond atakutafuta soon 🙃

    • @wendylightness1897
      @wendylightness1897 4 ปีที่แล้ว

      😁😁😁

    • @evelinaluvata1471
      @evelinaluvata1471 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣alaaaaaa

    • @bahatistrongwoman
      @bahatistrongwoman 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Umenibamba hehehee

    • @aishaabdulrahman6995
      @aishaabdulrahman6995 4 ปีที่แล้ว +4

      @@bahatistrongwoman tusemeni kweli simba hatamuacha salama 😂😂😂😂

    • @fatumaally3444
      @fatumaally3444 4 ปีที่แล้ว

      Aisha umeongea kwel apo...soon atakimbizana na Tanasha uyu

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu siyo mwanamke wa kuowa anafanya masaji mara nini hafai kuwa mke wa mtu huyu

  • @abuuzacky3971
    @abuuzacky3971 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwn anaumri gani huyu, maana daaaah mahusiano walianza 2014 mbn anaonekana mdogo. Khaaaa jamn Tangoooo

  • @zedeeboy1393
    @zedeeboy1393 4 ปีที่แล้ว +2

    Ukweli sipendi wanawake kama hawa

    • @asiakomba7837
      @asiakomba7837 4 ปีที่แล้ว +1

      zedee support why jamani

    • @zedeeboy1393
      @zedeeboy1393 4 ปีที่แล้ว +1

      @@asiakomba7837 kwa mimi siwapendi mana hapo sababu moja kwa moja ni huyu demu sipendi watu wanao achana wanaona raha sana . mademu bana sasa hapo anajiona star ndo wakina tessy hawa

    • @jadoob5421
      @jadoob5421 4 ปีที่แล้ว +1

      like me 😂😂😂😂😂

  • @anethdaud2456
    @anethdaud2456 4 ปีที่แล้ว +1

    Cute hyu mdada

  • @asma2464
    @asma2464 4 ปีที่แล้ว +1

    Kwa kazi hiyo hauwezi kupata mume lazima kutembea na wanaume tu

  • @fatumahussein9764
    @fatumahussein9764 3 ปีที่แล้ว

    Etii haoni akirudiana na beka ona sasaaaa Kaka kaja na gear ganiii internet haisahau

  • @happynicholaus6474
    @happynicholaus6474 4 ปีที่แล้ว +9

    Tatizo beka kazoea waruguru wezie

  • @pendojeremiah9111
    @pendojeremiah9111 4 ปีที่แล้ว +1

    Ila wAmburu na wairaq wanahasira sana

  • @mutwalesylvie7443
    @mutwalesylvie7443 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazuri

  • @eneolatukio8493
    @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว +15

    Acha kuwabania wenzio ndo kashatoa namba ivo, wapige tu yeye mwenyewe ndo atajua waongee nini🤨🤨ka nawaona kaka zangu foleni ya massage Sinza makaburini😁😁😁

  • @officialifruit_x7549
    @officialifruit_x7549 4 ปีที่แล้ว +3

    Wasanii wakorofi kwel hawa sijui mzikii kweli ni laana' ama laana wanazo wao sielewi.!!! Mtu wasipo wachana basi watazaana nje ama kufa na ukimwi

  • @mariej6962
    @mariej6962 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo nywele dah, huhitaji hata wigi mama.

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 4 ปีที่แล้ว

    Hiyo biashara ya masage hapana kumfata mtu nyumbani is not safe huo niufuska

  • @youngwildbutloyal4175
    @youngwildbutloyal4175 4 ปีที่แล้ว +3

    Nimekuwa nikiwafuatilia kwa undanj zaidi mbali na ku-subscribe TH-cam channel yenu pia hata ku-follow IG account zenu kuona ni habari zipi hasa mnashare ila most of the infoz ni udaku na story zinazohusu celebs pekee,kwa mtazamo wangu niliona mngeongeza vision yenu kama media kwasababu tayari ishakuwa kubwa hivyo pia hata habari zenu zingegusa siasa,uchumi na hata kijamii....tupate taharifa zote muhim,mtazamo!!

    • @oportunaanatholy9303
      @oportunaanatholy9303 4 ปีที่แล้ว +1

      Naongezea hapo inabidi waweke round up za michezo na makala tofauti sio udaku tuuuh sns ni wakubwa saizi

    • @oportunaanatholy9303
      @oportunaanatholy9303 4 ปีที่แล้ว +1

      Naongezea hapo inabidi waweke round up za michezo na makala tofauti sio udaku tuuuh sns ni wakubwa saizi

    • @youngwildbutloyal4175
      @youngwildbutloyal4175 4 ปีที่แล้ว +1

      Uko sahihi ndugu, nashukuru sanaa kwa kuniunga mkono hoja yangu....juzi wamewekwa kwenye kinyang'anyiro cha tuzo sns ikishindana na millard Ayo na sammisago,ukiangalia kwa makala kuna utofaut mkubwa sana kati ya sns na millard Ayo,pia sns na sammisago!sns mnavyozidi kukuaaa na makala zenu pia zikue,mtoke udaku muongeze vitu flaan ambavyo kila mtu wa umri wowote na jinsia yoyote awe ni mdau wa sns kwa makala zenu

    • @oportunaanatholy9303
      @oportunaanatholy9303 4 ปีที่แล้ว

      Ni kweli sam anachanganya.sns mi nawakubali sana ila udaku umezidi kuna taarifa nyingi sana nzuri angalieni wasafi kuna the story book creez.esco waongeze creativity

  • @amenyemwansile7943
    @amenyemwansile7943 4 ปีที่แล้ว +5

    Simba Simba uko wap baba mtoto anawaka najua wewe utamtuliza huyu binti beka kashindwa

    • @jadoob5421
      @jadoob5421 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂

  • @minzajoji7196
    @minzajoji7196 4 ปีที่แล้ว +7

    Wazazi tunahasala jaman tunazaa kwauchungu tunalee mtoto kwashida akiumwa hulali unamsomesha kwa galama toka mimba mpaka kuzama kulee kusomesha galama kibao mtoto wako anakuja kuzalishwa bulee t unaleea tena mjuukuu bule hasala sana mtoto wako mzur wat wanajibabee hata nusu hasala hawakupi wanaume pumbavu zenu sana

  • @salamaseif4032
    @salamaseif4032 3 ปีที่แล้ว

    Kuwa making Dada mueshimu aliekufanya uwe juu mueshimu beka

  • @dianajavana9435
    @dianajavana9435 3 ปีที่แล้ว

    Huku Dodoma akijaga beka anakutaniza sana huyo

  • @farhanhassan6858
    @farhanhassan6858 4 ปีที่แล้ว +4

    Yan wanawake ukishasifiwa mzr basi unaleta zarahu kwa mmeo,unajua utatongozwa 2 ujui kama bdo unasafari ndefu tulia malizen tofauti zenu.

  • @hamidabaliyanga2584
    @hamidabaliyanga2584 4 ปีที่แล้ว +1

    pole sana yaani wanaume hatawapewe nini awaridhiki

    • @yasinshaban4933
      @yasinshaban4933 4 ปีที่แล้ว

      Kwan kwa maelezo hayo, ambaye haridhik ni mwanaume au mwanamke???
      Mwanaume karidhika kukaa na yeye tu but mwanamke bado anataka starehe "mambo ya outing" badala ya kufight maisha"

  • @danamickle9739
    @danamickle9739 4 ปีที่แล้ว +4

    Weweee we weeee weee eb mrudie mmeo uache ujinga umeniuz..yaaaan out ndo zmekutoa kwa mumeo..khaaaa happppy wwww

  • @josphinedarani6203
    @josphinedarani6203 4 ปีที่แล้ว +3

    Beka Group ya kina aslay mboso waongo hua wanachezea mademu hawako seriouse kwa kuimba sawa pia ww hua wangalia cat fish ww mkali

  • @asinathasinath5090
    @asinathasinath5090 4 ปีที่แล้ว +1

    dada anakili mingi uyu Kama zangu nakupenda mnoo 🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌👌👌👌👌😎😎😎😎😎🔥🔥🔥🔥🌺❤❤❤❤👌

  • @mahijamasukuzi9246
    @mahijamasukuzi9246 4 ปีที่แล้ว +4

    Aka kazuri kametulia ila kanataka maisha ya starehe

  • @agnesmwau3051
    @agnesmwau3051 4 ปีที่แล้ว +1

    Walilia kutolewa out,umaskini huo

  • @ummiyahlam5129
    @ummiyahlam5129 4 ปีที่แล้ว +3

    Wewe dada kama unachoka mapenzi vipi mapenzi haya zeeki kama utakuwa hivo hata ukimpata mpya utamchoka tu

  • @eliassabbath2480
    @eliassabbath2480 4 ปีที่แล้ว +6

    Kwl skuiz hakuna wanawake

  • @mr.yahzadochuno7914
    @mr.yahzadochuno7914 4 ปีที่แล้ว +1

    I love this girl ❤️❤️

  • @officialifruit_x7549
    @officialifruit_x7549 4 ปีที่แล้ว +5

    Sasa mtoto mkali kwanza alafu anajielwa adi msamaha kisha unashindwaje mtunza huyu...... Wasanii maseng* tu na mutadedi na ukimwi ndio zawadi yenu tu hiyo maana munadedi sana na #UKIMWI# na kujaza Shehena za mitoto nje nje kama majibwa

  • @latriciah01augustino67
    @latriciah01augustino67 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu dada alitaka show off😃 sasa kakuta huyo beka hana hayo mambo na ndio maana hajawah kuweka wazi mahusiano yake ni wewe ndo wa kwanza si kukufahamu 😊 huyu dada anaonekana anataka yale maisha ya spot light😃😃 ndo maana alivyoachana tu na baby daddy wake anafanya media tour 😂

    • @fortuhokahtaresh5149
      @fortuhokahtaresh5149 4 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa kafuata nyayo za mke wa Aslay

    • @kingcopper_tz
      @kingcopper_tz 4 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂😂😂 eti media tour we jama fala sana, sema inasaund gudi

  • @zhuraab7223
    @zhuraab7223 4 ปีที่แล้ว

    Mashallah mzuri

  • @ishinasitanzania
    @ishinasitanzania 4 ปีที่แล้ว +1

    she is beautiful

  • @jafariholota9200
    @jafariholota9200 4 ปีที่แล้ว +9

    Huyu mmbulu.... ila tunaojiita wagumu tunadilike kidg tuwe romantic kidg😂😂

  • @Bayothomusic
    @Bayothomusic 4 ปีที่แล้ว +2

    th-cam.com/video/99u5eZQM9AM/w-d-xo.html
    like, subscribe na comment baada ya kubonyeza hii link

  • @estherboke782
    @estherboke782 4 ปีที่แล้ว

    Daaah umejitakia makubwa Ila ipo cku utakuja mkumbuka kw hii dunia!

  • @chainassnga1840
    @chainassnga1840 4 ปีที่แล้ว

    Bro alitisha bonge la interview

  • @rehemand0mwa657
    @rehemand0mwa657 4 ปีที่แล้ว

    Huyu dada nampenda sana anaongea vizur sana unanifanya nafurahi

    • @PaziTuktuk
      @PaziTuktuk 4 ปีที่แล้ว

      Vipi kuhusu sister fey nae wana wake wa kitanzania niwazuri na nawapenda sana lakini kiukweli mmenishinda tabia..

  • @chibongemwaipopo9160
    @chibongemwaipopo9160 4 ปีที่แล้ว

    Mmh

  • @amourabdallah2978
    @amourabdallah2978 4 ปีที่แล้ว

    Huyu akilizake nisawa na Oficial lyn

  • @agneshumry422
    @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว +3

    Kuna kitu watu hawajui sisi wairaq huwa hatubabaishwi kabisa tunajikubali wazuri tunajiewa tunajua kutafuta pesa

    • @soudybrown1494
      @soudybrown1494 4 ปีที่แล้ว +1

      Sifa yenu kubwa ni umalaya tu

    • @agneshumry422
      @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว

      @@soudybrown1494 hakuna kabila lisilo nalaya

    • @soudybrown1494
      @soudybrown1494 4 ปีที่แล้ว +1

      @@agneshumry422 kuna kuzidiana Sana,mm nimekaa karatu Yan wairaq ni wazuri weupe Wana nywele nzur lkn kila demu nitakae gusa lazma nimle hakuna hta mmoja alieleta upinzan

    • @agneshumry422
      @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว

      @@soudybrown1494 wakati unatongoza unatemea nini walikupa ulichomba wakarimu

    • @agneshumry422
      @agneshumry422 4 ปีที่แล้ว

      @@soudybrown1494 wahaya malaya wamejaa kibao

  • @priscangosi2740
    @priscangosi2740 4 ปีที่แล้ว +1

    Kazur ww

  • @faridakidoti6734
    @faridakidoti6734 4 ปีที่แล้ว +4

    Kama unakumbuka beka alimsifia Sana huyu Happy na kuwapondea waschana wote akasema mke wake ametoka kwenye pesa na hana tamaa pia anaijua dini 😂😂😂chakike

  • @khadijakhadija6212
    @khadijakhadija6212 4 ปีที่แล้ว +3

    Kazur

  • @stevenmasato5787
    @stevenmasato5787 4 ปีที่แล้ว

    hata hivo hawa wanawake wazuri wanamatatizo yao makubwa sanaaa

    • @hassansaid8260
      @hassansaid8260 4 ปีที่แล้ว

      Wanapenda kutumia uzur au rangi zao kama fimbo yakumchapa mwanaume yan atakupelekesha kama gari bovu ata akikukosea yy atataka umuombe yy msamaha 😒😒

  • @chefamos4422
    @chefamos4422 4 ปีที่แล้ว

    Unaona uyo Mzee babu anavo kunywa kunywa ...n hatar sana

    • @mmn7480
      @mmn7480 4 ปีที่แล้ว +1

      Kumbe na ww umeonaee

  • @lilianjeremia1024
    @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว +1

    Sasa aliachan n beka kisa walikuwa hawatoki out kila siku yupo home 2 now anajitoa mwenyewe sasa mwanzon alishindwa nn kujitoa? Mmh mapenz aya 🙌🙌 ati hana jipya😊😊

    • @siaammo1104
      @siaammo1104 4 ปีที่แล้ว

      ALIKUWA CHINI YA HIMAYA YA MTU WE UNAFIKIRI ANGETOKAJE NA MUMEWE HATAKI.

    • @lilianjeremia1024
      @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว

      @@siaammo1104 wap kasema alikuw anamkatza kutoka

    • @eneolatukio8493
      @eneolatukio8493 4 ปีที่แล้ว

      @@lilianjeremia1024 kuna sehemu kasema hata mie nimeskia, pia kasema Beka alikuwa na mapenzi ya kizee yani hana mambo ya kwenda na mpenzie out

    • @lilianjeremia1024
      @lilianjeremia1024 4 ปีที่แล้ว

      @@eneolatukio8493 kwani mapenzi ya kizee kayaona sasa?