ALIKIBA asheherekea sikukuu na watoto kwa AMINA Mombasa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 49

  • @MbomabolonyaPatrick
    @MbomabolonyaPatrick 18 วันที่ผ่านมา +16

    Alikiba afanye nguvu arudishe Amina

    • @mussandikumana3561
      @mussandikumana3561 18 วันที่ผ่านมา +1

      Kwa nini Amina asifanye izo nguvu wote wanaitajiyana kwa ajili ya watoto wao

    • @Sidrasidra636
      @Sidrasidra636 18 วันที่ผ่านมา

      Kabisa

  • @issashabani-c7r
    @issashabani-c7r 18 วันที่ผ่านมา +27

    Nyinyi mtaongea lakini mwisho wa siku siri za ali kiba hamtozijuwa ng'oooooo mbaka mtakufa 😂😂

  • @zuweinaalhabsya8773
    @zuweinaalhabsya8773 18 วันที่ผ่านมา +9

    Ali kiba ni mwislam kwa hivyo hasherekei christmas.

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 18 วันที่ผ่านมา +9

    Alikiba atakuwa na nyumba mombasa

    • @princekarani7836
      @princekarani7836 17 วันที่ผ่านมา +1

      Ndio,aliinunuaga kitambo sana,baada ya kufunga ndoa na Mke wake Amina

  • @EMMANUELGENERAL-n1r
    @EMMANUELGENERAL-n1r 18 วันที่ผ่านมา +5

    #Sns Kwani Mna Uhakika Alikiba aliachana na Amina??

  • @mjsaidkeya
    @mjsaidkeya 15 วันที่ผ่านมา

    Watoto wa Amina au watoto wake 😂😂😂😂😂😂

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 18 วันที่ผ่านมา +6

    Kiba the KING🔥🔥🔥

    • @Aisha-k2o
      @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

      Kiba shem tunatakq dem kimya kimya

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 18 วันที่ผ่านมา +5

    SnS mbona mnajisahau?hii ni mara 3 mwaka huu King kuwa na watoto since wagombane Nanyie pia mlipostigi Ali alivyoendaga kuwaona watoto n kucheza nao😢 After kuandika I'm free Amina, Ali aliwaigi kukanusha hajawaigi kutoa talaka muwe n kumbukumbu wandugu😢

  • @pedropedroagira3980
    @pedropedroagira3980 18 วันที่ผ่านมา +2

    Mimi nasherekea Leo mz🇲🇿

  • @EsperanceNamagajo
    @EsperanceNamagajo 14 วันที่ผ่านมา

    Sisi wanawake tunakuwaga wepesi sana kwa kuomba talaka tatizo ni kwamba mwanaume wako akiwa mwe pesi pia mwenye hasira zaharaka bila kufikiria anaweza kukupa talaka yako haraka sana alafu nyuma mwana muke akaja kujutia nakudai kama mume wake hakuwa namupenda

  • @SeifJuma-l8t
    @SeifJuma-l8t 15 วันที่ผ่านมา

    Mnakosa chakufa mansema watu kwan Amina c mzaz mwenzake lazkma akawaone wanae

  • @MsAggie5
    @MsAggie5 18 วันที่ผ่านมา +3

    Hebu acheni kumuweka mtu Kati mdada WA wenyewe, kwani ukielewa na kuwa na watoto wawili ndo unatakiwa ukae mwenyewe bila mahusiano miaka mingapi? Na wakati mumeo ana wadada kila siku! Kwani nani kawaambia ki biologia tumeumbwa tofauti?

  • @makaroyakisasa7199
    @makaroyakisasa7199 18 วันที่ผ่านมา +4

    Safi sana my role model

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 18 วันที่ผ่านมา +1

    Uyo bahati ako n emotions zake....ashatendwa

  • @ashamahadi5281
    @ashamahadi5281 18 วันที่ผ่านมา +2

    Hakuna kuachana hapo zuga tu mambo ndio kwanza bulbul. Imshallah atadumu naye, mambo ya.mtandao nayo yanakera hata ukikwama na mwimba wa samaki, inakuwa nongwa.

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

    Zari naye awezi kukaa bila mume but sisi wanawake wakenya tunajieshimu siwote ata tz wako

  • @kahimbeshamu7270
    @kahimbeshamu7270 18 วันที่ผ่านมา +1

    Kaongea ukweli muuni oyo kasema ukweli kwake anavimshindo

  • @mohammededy7086
    @mohammededy7086 18 วันที่ผ่านมา +5

    Kiba msiri

  • @djumajaymoni1088
    @djumajaymoni1088 18 วันที่ผ่านมา

    Kumbe Esma platnumz ni mtangazaji😢

  • @frankmushi509
    @frankmushi509 18 วันที่ผ่านมา

    Minnesota masaa 9🇺🇸🇹🇿

  • @AminaKazungu-r4j
    @AminaKazungu-r4j 17 วันที่ผ่านมา

    👍👍

  • @hajjiomary2383
    @hajjiomary2383 13 วันที่ผ่านมา

    Ajakwenda kitambo mond anakwenda jobeg kila mda so mwache aende mda mlefu sasa

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

    Katika kiislamu mwanamuke akiwa mume wake ajamuingilia kwa miezi kumi siwako tena atakama ujampa talaka

  • @FestoMadumba
    @FestoMadumba 18 วันที่ผ่านมา +9

    Yeye n muislam na Christmas wap na wapi

    • @ClementJonh-g5u
      @ClementJonh-g5u 18 วันที่ผ่านมา +3

      Ndio ujinga wenyu iyo Muslims kwani asitembelea watoto wake

    • @nikrahayubu-sz3pw
      @nikrahayubu-sz3pw 18 วันที่ผ่านมา

      Aende lkn sii kusherekea sisi waislam ni Haram kusherekea hyo shereh wanao sherekea mabubu na Wala hawaijui dini Yao ​@@ClementJonh-g5u

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

    Mtu zalie wakike

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

    Kwasai kama ajamuingia simke wake tena

  • @Aisha-k2o
    @Aisha-k2o 17 วันที่ผ่านมา

    Kwanza ajawahi kumpa talaka

  • @farahali6041
    @farahali6041 18 วันที่ผ่านมา +1

    Sikuku gani inayomuhusu nyie

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 18 วันที่ผ่านมา

    Mna juaaje
    !? Kama hakumpa talaka tatu ina swihi kurudiana

  • @AminaKazungu-r4j
    @AminaKazungu-r4j 17 วันที่ผ่านมา

    😅😅

  • @mdbosco1640
    @mdbosco1640 18 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @SadikiMapesa-s5n
    @SadikiMapesa-s5n 18 วันที่ผ่านมา +2

    HANA JIPYA HASHTUI BADO YUPO KIZAMANI

    • @Qqambaa
      @Qqambaa 18 วันที่ผ่านมา +3

      We kenge Nini? iyo michuki yako itakupeleka wapi wenzako wanapiga hela we uko apo 2 kojoa kalale toto

    • @issashabani-c7r
      @issashabani-c7r 18 วันที่ผ่านมา +2

      Wewe ulie kuwepo kisasa nana unae mshtuwa kwenye hii dunia ?

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 17 วันที่ผ่านมา +1

      Maishi Ni Kupanga Na Kuchagua . Kachagua Kuishi Kizamani Hayo Ni Maisha Yake Na Kachagua Kuwa Hivyo Sasa Wewe Unayeishi Kisasa Umemzidi Nini

    • @salminisaleh9249
      @salminisaleh9249 17 วันที่ผ่านมา

      Mtoto Wa Kiume Kuwa Na Majungu Haipendezi

    • @khamisally7550
      @khamisally7550 16 วันที่ผ่านมา

      Yule freemason ambaye yuko kisasa alishatofovyokewa na P Diddy. Period.