Toka Canada ninashukuru kwa swali hilo ndugu mtangazaji kuusu Take One, kwakweli binafsi nimei miss sana. Zamaradi I can't wait to see it again, please and thank you.
I can't get Enough to watching you Zamaradi Everywhere... unautofauti mkubwa ,akili nyingi natamani dunia nzima ijue kuna watu watofauti wenye karama kama Zamaradi wewe Dada you are too blessed and special !!!🙌🙌🙏😘
Hongera sana mwenye kuhoji, lakini pia muhojiwaji(Zamaradi) nafikiri kwa kuwa mmesoma chuo kimoja..... Nice interview. Hongera Zama kwa nidhamu ktk mambo yako ya mahusiano.
Wooow!! Wa dada wa Tanzania 🇹🇿 wange kua na akili kama yako Zamaradi taifa letu linge songa sana hongera sana Mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk kila jambo lako Ruge ana haki ya kulia hato pata mwanamke kama ww kwa dunia ya leo hawsa ktk Tanzania 🇹🇿 yetu wanawake wengi vichaa 😂😂😂Sorry Ladies tubadilike ✌🏾
yani katika wanawake nao wakubali wanao ni inspire wewe ni my number one, nakupenda sana zama, ni vitu vingi sana najifunza kutoka kwako, nimekua nikikufuatilia kwa kipindi kirefu sana huwa naenjoy sana najifunza vingi sanaktk maisha yangu .....Lve u uuu zamaradi...💞💞💞💞💞
@zamaradi Wewe ni mtu wa kipekee ktk tasinia uliyopo umepevuka kwa kiasi cha hali ya juu sana. Moyo wako na kinywa chako kina FILTER una nidhamu ya maisha unajua mipaka kati ya maisha ya kikazi kitaasisi. Biashara binafsi na maisha binafsi kifamilia. HONGERA SANA
Toka Canada ninashukuru kwa swali hilo ndugu mtangazaji kuusu Take One, kwakweli binafsi nimei miss sana. Zamaradi I can't wait to see it again, please and thank you.
You are nice, kind, respectful .....una akili kubwa dada angu, no matharau, heshima na adabu kibao, Stay Blessed ...!
okay ukopoa
Noel Stewart
I can't get Enough to watching you Zamaradi Everywhere... unautofauti mkubwa ,akili nyingi natamani dunia nzima ijue kuna watu watofauti wenye karama kama Zamaradi wewe Dada you are too blessed and special !!!🙌🙌🙏😘
Great zamarad....I DO GREEE WITH YOU
nakupenda sn dada ang,ww n mwanamke jasir na unajiamin,ww n role model wng,I'm proud of u mummy!
nilikua nasubiria kw hamu kumckia zamarad baada ya kuolewa,angalau ht shavu linaonekana mama,umenawir mashaallah
TWO TALENTS IN MEDIA.. ✊ Wakali wamekutana
Beautiful Woman with Brain.. Nakupenda sana Zamaradi.
I realy lv Zamaradi!!! Unajielewa dada kiukweli wewe ni mfano mzuri wa kuigwa natamani kukufaham.
I do love sky, he is very mastering in his work
Hongera Dada uko vizuri unakitu kikubwa ndani yako na mungu azidi kuongeza Mara dufu
Nakupenda sana wewe dada. You really are insipiring me everyday.
You are the best Zama! Greatly appreciated
hongera Dada uko vizuri
Nakupenda sana zamaradi unajitambua Sana mungu akutunze my
Zamaradi got brains....2021
sky wewe ni zaidi ya presenter.
Unauliza maswali ya akili sana, yanayoendana na hali halisi na muda uliopo!
uko very talented same like Millard Ayo
Syliakus P ngeze Yeah huyu Jamaa na Millard ni the best presenters
Kamaliza vipodozi vyote angalau anaonekana kiasi Fulani hivi
Syliakus P ngeze ni ww hpo kwa pp au ni kkko?🤣🤣🤣
@@zaitunimrisho6222 sio kosa lako '
nakupenda zama
Napenda sana Sauti Ya Zamaradi....katulia sana yani
kichwa chako Zama, kipo vizuri, hongera sana.
My zama i love this lady to the foolest..asee😍😍😍
she is Smart!?I salute Zama
She's so inspiring. I love her Account even with her long captions l read them all through. ..Beautiful interview.
Like it soo much
masha ALLAH
Hongera sana mwenye kuhoji, lakini pia muhojiwaji(Zamaradi) nafikiri kwa kuwa mmesoma chuo kimoja..... Nice interview. Hongera Zama kwa nidhamu ktk mambo yako ya mahusiano.
Interested ZAMA uko vzuri na hongera sana Mungu akuongoze na akulindie family yako 👉🇰🇪😙 love zamaradi
I love zamaradi so much...mm pia namiss Take one..asnten kwa kumleta zama
MashaAllah Mungu amekupa uelewa mkubwa sana unautumia ipasavyo
good interview
perfect questions
perfect answers ... thumbs up 👍
zamaradi uko vizuri sana love you somuch
Huyu dada yuko vizuri... ...nimempenda sana...
Wooow!! Wa dada wa Tanzania 🇹🇿 wange kua na akili kama yako Zamaradi taifa letu linge songa sana hongera sana Mwenyezi mungu akufanyie wepesi ktk kila jambo lako Ruge ana haki ya kulia hato pata mwanamke kama ww kwa dunia ya leo hawsa ktk Tanzania 🇹🇿 yetu wanawake wengi vichaa 😂😂😂Sorry Ladies tubadilike ✌🏾
Safi sana umeongea vema Zamaradi uzidi kubarikiwa
yan mpo vzr,Zama na bro Sky safi saaana!nyie co watu wa kutafta kiki kwa pikipiki,mweh!mpo very smart na mnajielewa mnachofanya aisee!big uuuup...
Munira Shaban Mnubi a
mashaallah Zama nakupenda sana mwanamke unaejielewa
Zama am so proud of you!big up Allah bless you always!
nawapenda Sana Sana dizzim TV ,from voi kenya
Zamaradi muda mwengine huwa nakudharau kwann ulizaa bila ya ndoa ila kwa leo nimezidi kukuelewa uko vizur sana Allah akusimamie ktk ndoa yako
"Soo professional interview" ....... Perfect
One of the best interviews. Mtangazaji na Mtangazwaji wote mmfefanya vizuri sana.
Nikimfikiria huyu dada simpatii majibu ni mwanamke jasiri na anajitambua sana ndiyo mana aliamua kumoveon na maisha yake
Masha Allah nimejifunza kitu kutoka kwa Zama.
i like the way u you talk your confident enough
Mungu hakubariki zama your the hero ukipata nafasi your well come to swiss hongera unafanya kazi nzuri Mungu hakuongoze wewe na FAMILY yako ubarikiwe
nakupend sana dada zamaradi
Zama wewe ni mwanamke unaejielewa Sana your my real model.keep it up
Mashaa Allah. Umevuka mama wewe ni mwanamke jasiri. Ila rudi sana kwa mola wko jistiri wewe mtoto wa kiislam itapendeza Zaidi
i love zamaradi.......ur the my superwoman
upo safi Sana zama
Sijawahi kuchoka kusikiliza sauti yko, cjawahi kuchoka kukupenda, lkn kubwa zaidi unanifurahishaga zaidi kwenye matumizi ya R na L, hongera
Unaakilli sana zama kipindi kizuri sana sky big up
Fredrick bundala,,, nice bro
yani katika wanawake nao wakubali wanao ni inspire wewe ni my number one, nakupenda sana zama, ni vitu vingi sana najifunza kutoka kwako, nimekua nikikufuatilia kwa kipindi kirefu sana huwa naenjoy sana najifunza vingi sanaktk maisha yangu .....Lve u uuu zamaradi...💞💞💞💞💞
Jamani nampenda uyu dada anajielewa sana
She Seems Happy and No Stress at All Mashalaaah..,.Hata Kunawiri Amenawiri sasa Mashaalah Mashaalaah !
shavu Dodo
Good woman, very smart kichwani.
Mungu akujaalie maisha marefu sana Zama
I really love u!coz najitunza mengi kupitia ww kiukweli unanibariki
@zamaradi
Wewe ni mtu wa kipekee ktk tasinia uliyopo umepevuka kwa kiasi cha hali ya juu sana. Moyo wako na kinywa chako kina FILTER una nidhamu ya maisha unajua mipaka kati ya maisha ya kikazi kitaasisi. Biashara binafsi na maisha binafsi kifamilia. HONGERA SANA
I love this woman..Maasha'Allah very intelligent..well said about Instagram Zamaradi
Amenenepa mashallah
Hongera sana my dear Zamaradi, love you mamy, wewe Jasir sana, love you jamani, unani inspire sana.
Love ure voice.
hongera my
Napenda lafudhi ya Kiswahili kyake 👍
Kuolewa munaHaki wala msihite bahati, pia Kuolewa siolazima japo inaongeza Heshima...
Nimekupenda zama
Sisy Zama nakupenda saana,kiukweli huwa najifunza kupitia ww,keep it up!!!
Niheri mego kavu kukiliko nyumba ya sherehe na maumivu.. Hongera Zama.
hongera #endelea kupambana siku moja utakua sehemu nyingine zama
Zamaradi nakupenda sana nimwanamke mwenye akili sana
Nakuoenda sanaa zamaradi ww nishuja sanaa♥️😚
So woww good job zamaa
I low u Zama,ur strong woman, God bless u.
Mungu akutangulie mpenzi nimekupenda sana
Nampenda Zamaradi tayari.
I do like this woman
Huyu mtangazaji ana sauti nzri imetulia kweli...zamarad uko juu mama
Matoto ya Kigoma bana, safi sana
safi nimekipenda kipindi kimetuliaaa hongereni wote nilitaman kisiishe
KUNA WATU WAMEJALIWA KUPATA WAKE WEMA, ALIYEMUOA ZAMARADI HAKIKA AMEPATA MKE MWEMA.
Hongeraa sana Zamaradi nakupenda
mungu akuzidishie
I like the Dada, I love you ZAMAR
Followers wote hao saa hii ni 5.8 million lakini wajumbe walimpiga na chini na hata Raisi hakufikiria kumpa kama kina mwana FA.
Alihamndulillah zamaradi nimekuelewa
l
haongeagi ujinga huyu dada wallah nampenda sana
I love you Zamaradi
Ubarikiwe da Zama
Nakupnda sana Zamarady mketema napenda sauti yako haswa kicheko chako mamy Penda sana we dada
Nakupenda Sana zama wangu wewe
Jomba We ni Bonge la Presenter... Much respect
She is too smart
nampenda sana zamaradi.jamani huyu dada anajitambua
Ndio maana nampenda huyu Dada she's always real😍😍
weninoma hongera
This lady is gorgeous, great voice, beautiful and smart! The only Tanzanian star that our daughters could emulate her example!
Big up Zamaradi!
Well done move on...... Wanaume wengi Hongera Sana tusitoane nyongooo....good mommy
Wow!kumbe we ndo sky nimezoe kusikia sauti yako SNS kweli saut yako inashawish kukusikiliza hongera kwa hilo bro.
Joyce Kweka yes ndo huyu
mungu akulinde
big up sky.