1Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri neno lake kwa moto ‘takatifu. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie yote! 2Tu jeshi kubwa la askari, tu safi kati’ damu. Mfalme wetu, Yesu Kristo, ni kiongozi wetu. Kwa nguvu yake kubwa mno tutadumu hata kufa.Tuendelee, mbele, mbele, tumshukuru Mungu. 3Kwa Yesu tuna uhodari na mamlaka kubwa, maana tunayaamini maneno yake yote. Kisima wazi, cha ajabu, kinatoka msalaba, tuliyakunywa maji yake, ni maji ya uzima. 4Mbinguni nchi ya asili [raha], ya haki na amani, tuta’pofika huko juu tutamwimbia Yesu. Na kila chozi litafutwa na mkono wa Mwokozi. Kwa shangwe kubwa tutarithi ufalme wa ahadi.
Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri Neno lake kwa moto ,takatifu. Tuendelee mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie yote! . Tu jeshi kubwa la askari, tu safi kati^damu. Mfalme wetu, Yesu Kristo, ni kiongozi wetu. Kwa nguvu yake kubwa mno tutadumu hata kufa. Tuendelee mbele, mbele, tu^mshukuru Mungu! Kwa Yesu tuna uhodari na mamlaka kubwa, maana tunayaamini maneno yake yote. Kisima wazi, cha ajabu, kinatoka msalaba, tuliya kunywa maji yale, ni maji ya uzima. Mbinguni, nchi ya raha, ya haki na amani, tuta^pofika huko juu tutamwimbia Yesu Na kila chozi litafutwa na mkono wa Mwokozi. Kwa shangwe kubwa tutarithi ufalme wa ahadi.
Baudelaire Kimanuka wakati anasikiliza ukiimba unanifariji namachozi ya nanitoka kweli Mfalme wetu YESU KRISTO azidi kukubarika kukazi unayoifanya ya kutangaza injili yake.kongwa. kwaRurema wetu.
Uzidi kupewa nguvu baba mungu akulinde kwakutibariki na nyimbo
1Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri neno lake kwa moto ‘takatifu. Tuendelee, mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie yote!
2Tu jeshi kubwa la askari, tu safi kati’ damu. Mfalme wetu, Yesu Kristo, ni kiongozi wetu. Kwa nguvu yake kubwa mno tutadumu hata kufa.Tuendelee, mbele, mbele, tumshukuru Mungu.
3Kwa Yesu tuna uhodari na mamlaka kubwa, maana tunayaamini maneno yake yote. Kisima wazi, cha ajabu, kinatoka msalaba, tuliyakunywa maji yake, ni maji ya uzima.
4Mbinguni nchi ya asili [raha], ya haki na amani, tuta’pofika huko juu tutamwimbia Yesu. Na kila chozi litafutwa na mkono wa Mwokozi. Kwa shangwe kubwa tutarithi ufalme wa ahadi.
Amen Amen ! Mungu aku bariki kutiya iyi Mwimbo... C'est Notre chanson d'entree au Ciel 🥳🥳🥳🥳🎊🎊🎊🎊🥳🥳🥳💯💫💫💫🌹🌹🌹🌹
🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌😍
Amen thank you Jesus
Tu watu huru, huru kweli katika Yesu Kristo. Tunahubiri Neno lake kwa moto ,takatifu. Tuendelee mbele, mbele, tukashinde majaribu! Twapiga vita ya imani, tuvumilie yote!
. Tu jeshi kubwa la askari, tu safi kati^damu. Mfalme wetu, Yesu Kristo, ni kiongozi wetu. Kwa nguvu yake kubwa mno tutadumu hata kufa. Tuendelee mbele, mbele, tu^mshukuru Mungu!
Kwa Yesu tuna uhodari na mamlaka kubwa, maana tunayaamini maneno yake yote. Kisima wazi, cha ajabu, kinatoka msalaba, tuliya kunywa maji yale, ni maji ya uzima.
Mbinguni, nchi ya raha, ya haki na amani, tuta^pofika huko juu tutamwimbia Yesu
Na kila chozi litafutwa na mkono wa Mwokozi. Kwa shangwe kubwa tutarithi ufalme wa ahadi.
Thanks for translate
😊😊😊😊napenda Sana nyimbo zako. Zonafanya unatoka 😢😢kila wakat mbele za Mungu Alie hai 😢 Barikiwa Sana
Amen 🙌🙏🙌 Mtumishi wa Mungu ❤
Nimebalikiwa kwa nyimbo nzuri sanaaa mbalikiwe nyote imana yacyu arinyembaraga ibafashe🇹🇿🇹🇿
Kwa Shangwe kubwa, Tuta rizi, Ufalme wa Ahadi. This song makes me feeling like in Heaven. Je l'ecoute en fermant Les Yeux
Kisima wazi kia adjabu kina toka musalaba.tuliye ya kunua. Amen Amen♥️♥️♥️♥️♥️
Merci beaucoup mon frère David kua mwimbo zuri nsana machozi ku macho yangu mungu akubarikiwe🙏❤️❤️❤️❤️👏👏👏😭
Baudelaire Kimanuka wakati anasikiliza ukiimba unanifariji namachozi ya nanitoka kweli Mfalme wetu YESU KRISTO azidi kukubarika kukazi unayoifanya ya kutangaza injili yake.kongwa. kwaRurema wetu.
YpVU
Wimbo huu ni mpya kila siku. Ubarikiwe sana David Imani
Barikiwa zaidi
Mungu akubariki uendelee hivyo hivyo huwa unanibaliki sana
Amina mtumishi nyimbo hii inanikumbusha kwaya yangu ya kwanza ; wewe ni mwombaji ubarikiwe Roho mtakatifu akuongezeye upako wa milele
Amina kubwa ubarikiwe sn! ❤🥰.
Amina Kaka ubarikiwe lakini tunaitaji namba za nyimbo unapo weka wimbo onyesha ni namba ngapi tafadhali amina
Ubarikiwe sana ndugu
Barikuw Kaka yangu
Mungu aku bariki kaka David
Lelelele mungu asifiwe.
Amen kwa kazi ya Mungu unayo fanya
Maji ya ubavuni mwa Yesu unitakase
Amina. Injili iendelee mbele kabisaaa.
Umenibaliki katika nyimbo hiii mbalikiwa namwenyezi mungu
Huu wimbo umenibariki sana,
Ugashanirwe waliha
Rurema aku gashanire
Napenda sana nyimbo Yako mwenyezi Mungu asifiwe na akubariki
Be blessed brother. Ninabarikiwa na kipawa hiki. David Bulambo
Ninebarikiwa sana asubuhi y’a leo na wimbo huuu Mungu akubariki kaka
Que Dieu soit loué
Tu watu uru kweli kweli
Ndugu Imani ubarikiw sana kwa wimbo :mayotte tunakuskiza
Nani atanihukumu tena wakati YESU ameniweka huru
Ongera sana kwa wimbo mzuri sauti yako tu Yesu aitunze isichakae
Eeehh Yesu Bwana nikupe nini Baba? Nashkuru kwa yote
Amen amen niko huru kwa yesu wangu
Nina Imani nimeshinda
I am blessed
Ubarikiwe Davi
Amen
Mume nibariki sana
Please put your album from eagle fly ministry, that was my best
Kwanguvu zake kubwa munoooo🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Huu wimbo hua unanibariki sana🔥🔥
Amen I'm so blessed 🙌🏾
Mubarikiwe
Gloire à Dieu nimeshinda majaribu
Tuwatuhuru twapiga vitayaimani tuvimiliye yote Halleluya halleluyaaaaaa
Amen,tu watu huru
Amen mutumishi devid imani
Kweli kabisa
Amen amen amen ✌️
Amina ❤️ nyimbo iya nigusa sana asante
Amen 🙏 thank you brother
Woooooow
Tunakubeda
be blessed
AMEN KUBWA 🙏🏿
Amen to this message, so powerful
Nyimbo zako zinanibariki sana..Mungu akusimamie.
que Dieu vous Bénisse Abondamment
Blessed
Berry good
Amina
Amen
Amen Amen Amen
Vs connaîtrez la vérité et elle vs affranchira. Jésus Christ est DIEU
Amen ❤
hallelujah
Gloire à Dieu
Amém
Holy melody
Amen 🙏
Gloire au seigneur
🙏🏾🙏🏾🙏🏾❤❤
❤❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥
LILILIL
Huu wimbo umenibariki sana,
Amen Amen
Amen
Gloire à Dieu
Amen Amen
Amen
Amen
Amen Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen