EMMET TILL kijana ALIEUWAWA kisa kumpigia MRUZI MZUNGU.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 พ.ย. 2024

ความคิดเห็น • 24

  • @amiltonmichael5377
    @amiltonmichael5377 ปีที่แล้ว +6

    Daaah nliiomba saanaa hii video hapa youtube coz situmii IG..finally umeniskia..blessed🙏

  • @jafarash7749
    @jafarash7749 ปีที่แล้ว +1

    Nashukuru sana kwa kuiweka stori hii niliyoomba kitambo japo ujaenda deep sana mana ni stori ndefu sana.

  • @jeysenbenedict
    @jeysenbenedict ปีที่แล้ว

    Mzee uko vizur sana …historia ya till ni ya ukweli kabisa na umeielezea vizuri sababu Nimetoka kucheki movie yake juzi inaitwa Till 2022 kweli wazungu siyo watu wazuri walikuwa wakatili and still ni wakatili sana🥺

  • @user-ot2io4cy6w
    @user-ot2io4cy6w ปีที่แล้ว

    Hapo kwenye kichwa cha habari umeandika kumpigia mruzi Mzungu halafu kwenye maelezo yako ni tofauti.

  • @DonMooSTUDIO_Express
    @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว

    5:30 wazungu watu wabaya sana 🤔 haya mambo haya

  • @selinanyongole5264
    @selinanyongole5264 ปีที่แล้ว

    hii movie ya emmet inaitwaje naomben mniambie

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 ปีที่แล้ว

    Natumai waliyofanya hayo bado wanachomwa na Moto wa lava huko jehanamu

  • @armandbyangoyi8203
    @armandbyangoyi8203 ปีที่แล้ว

    1:59

  • @amiltonmichael5377
    @amiltonmichael5377 ปีที่แล้ว

    Justine umeelezea juu juu sana..hii stor ni ndefu sana na ilinisikitish mnooo siku ya kwanza kuangalia documentary yake,hasa pale mama yake emitt alipoamua kuianika maiti ya mwanae iliyoharibiwa hadharani kwa zaid ya siku 3 ili dunia nzima ione walichofanya white peoples...inasikitisha sana,na had leo picha za maiti ya emitt zipo mtandaoni

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 ปีที่แล้ว

    Alafa wanilazimisha ongea english😢 munisame eziiyo nilikuwa ichiza abrabi band sijaikw m African ila nawajukia wazungu naafurika bando munawaabduh wazungu mbadilike🇹🇿🇮🇶,,🇴🇲

  • @hekimakiwale5683
    @hekimakiwale5683 ปีที่แล้ว

    Wa kwanza

  • @beatussagalani1397
    @beatussagalani1397 ปีที่แล้ว

    Kaka tuwekee pia story ya Frankie lymen aliyeimba why do fools fall in love

  • @jumananamwa3104
    @jumananamwa3104 ปีที่แล้ว

    Kiongozi tunaomba stori ya kibwetere wa uganda

  • @mangalilikilawe6788
    @mangalilikilawe6788 ปีที่แล้ว

    Naomba unilete story ya hawa mmbwa wanaoitwa pitbull plz

  • @emmamga5495
    @emmamga5495 ปีที่แล้ว

    Bro naomba stor ya slave breeding farms

  • @amlikejames646
    @amlikejames646 ปีที่แล้ว

    Tunaomba story ya peaky blinders

  • @marymurialdo9378
    @marymurialdo9378 ปีที่แล้ว

    Mimi mpaka ntaingia kaburini; kamwe sitakuja kupenda watu wanaoitwa wazungu! Wanatutesa mno watu weusi na mpaka sasa sielewi sisi tumewakosea nini hao wazungu

    • @angeldejoice3202
      @angeldejoice3202 ปีที่แล้ว

      Wanatuchukia cause sisi ndo watu wa kwanza duniani so hili linawaumiza sana..

    • @DonMooSTUDIO_Express
      @DonMooSTUDIO_Express ปีที่แล้ว +1

      @@angeldejoice3202 ni kweli kabisa, isitoshe ngozi zetu ndio original pamoja na miili yetu tofaut na yao.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️👍.

  • @daudmwaipasi5672
    @daudmwaipasi5672 ปีที่แล้ว

    😢😢

  • @Jipsonx-dm1re
    @Jipsonx-dm1re ปีที่แล้ว

    1

  • @selinanyongole5264
    @selinanyongole5264 ปีที่แล้ว

    hii movie ya emmet inaitwaje naomben mniambie

  • @selinanyongole5264
    @selinanyongole5264 ปีที่แล้ว

    hii movie ya emmet inaitwaje naomben mniambie