😂😂kupenda mteremko jamani muwe makini na elfu hamsin izo ata ukimwi aukuogopa ata maradhi ya zinaa nacheka kama mazuri davi nawe ivyo vindimu na vichumvi na vipipili story inazidi kuwa nzuri
Huyo mama atakuwa anapata maneno mazuriii... Kuliko anayoyapata kwa mumewe, Si unajua tena nyie wanawake mnachanganywa na maneno matamu, kubembelezwa n.k
@@africandarling6925 Si ni kweli lakini!! Moyo wa mwanamke unahangaika kutafuta upendo tu basi! Wala si pesa. Ukiwa na maneno mazuri! Unajali, huongei kwa kukaripia.. Yaani aone ww ndiye mtetezi wake! Unampata hata kama ni mke wa mtu.
I dont mean to be offtopic but does someone know a trick to log back into an instagram account?? I stupidly forgot the login password. I appreciate any tricks you can offer me.
@Brysen Jasper I really appreciate your reply. I found the site thru google and im in the hacking process atm. Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
Mr Mata! This is another good story! I like that guy very much! Ukiona kuna pahali hela inatokea smart.
Wanaitwa slaykings .lugha ya mtaana huku 254 ,,they can do anything for money.anyway Davis this story is interesting.
Mtangazaji huko vizuri😀😀😀
Another yummy yum 😋 😋😋🤗
Kibe10
Davistar mm napenda sanaaa historia zako,Big up uko juu watuelimisha sanaaaaaaaa
Na cheka kizungu wallah vibeteni (10) com.🤣🤣🤣🤣💯
Davistar ! Hiyo 🎹 Piano music background INAUDHI KWELI! huwezi kusikia hiyo stori unasikiliza iyo music 🎶 rekebisha weka background 🎶 pole pole.
Mmh
Wanaume wa napenda sana mteremko hawafikilii magonjwa
Yaani siwachi kukufuatilia bro we are together we shall support you bro gud job keep it up Mr #Fact
Abdalla Gakweli be
Davistar fundi sana umekaa kitaalamu sana mzee
Tabasam hilo davistar
Hongera kwa kipindi kizuri chenye kuelimisha jamii broo..
Hassan Mwanganga
Safi Mr Mata Kwa Kazi yako Mzuri Tupo pamoja
Davistar Unanifulahisha jaman et ukatemwa ukamwaga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ukishikwa shikamana kijana kama mim ningempenda balaa
✌👊
Maisha ya kuekwa sio mazuri kwa kweli
Jigallow
We Kama Aunaga Pati2 Bola Usitupie Stol Unazingua Sana Sana Mtu Anasmulia Mwanzo Mwisho Wewe Unaeka Nusu Tu
Leo nicheke tu 😁😁😁🚶♀️
Vijana tafuteni Kazi mufanye hakuna kiti Cha bure duniani hongera Mr Mata Kwa Kazi Mzuri ❤️
😂😂😂😂😂😂😂mambo ya shoo hayooo davista mbona umeshtuka kusikia Toto anaenda kufanya mazoeziii😆😆😆😆😆😂😂😂
Tanzania Kuna vituko
😂😂😂😂😂Eti mama nikampiga shoo nikamkoleza kweli kweli mpka yeye kanikubar ngoja nicheke tena🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣sio kwa comments hino yaani show kinomanoma+254
Anajihami
Dah tunayaita mama la mama
Ujana Ni nusu ya Wendawazimu.
😂😂😂😂
Davister we mzushi,😂ukatemwa, ukaachwa,ukamwagwa......😂🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yaan nimecheka sana duuuh
😆😆😆
🤣🤣🤣
Jini huyooo mnakutana na majini
]pp
Kaka zetu acheni kupenda miteremko fanyeni kazi
Wewe kaka si umesema kuna wakati ulimpenda pia,mbona sasa sai wasema hukumpenda ila hizi hela zake,sasa umekosa kite,wacha tamaa kijana
😂😂kupenda mteremko jamani muwe makini na elfu hamsin izo ata ukimwi aukuogopa ata maradhi ya zinaa nacheka kama mazuri davi nawe ivyo vindimu na vichumvi na vipipili story inazidi kuwa nzuri
hakuna chabure
Hahahahaha! Nimeishia kucheka tu!
Huyo jamaa hajui...dawa ya shoo ni mazoez na kula vizur...wala so pombe na madawa kujibust..bg up davistar
Aboud Juma... Sawa fundi..
Ukitunukiwa na majimama utafaidi Sana .ilaa elewa Kama hamkai nyumba moja Basi haupo pekeyako maranyingi hua wapo na mapendeshee
hata wewe unaweza kubali 😂😂
Ha ha ha ha Hallooo yupo kk mmoja hivi analelewa na mke wa mtu mpaka hivi leo jamani dooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huyo mama atakuwa anapata maneno mazuriii... Kuliko anayoyapata kwa mumewe, Si unajua tena nyie wanawake mnachanganywa na maneno matamu, kubembelezwa n.k
Samsini nikandi acha kufuraisha mie aaahhh🤣🤣🤣🤣🤣
@@africandarling6925 Si ni kweli lakini!! Moyo wa mwanamke unahangaika kutafuta upendo tu basi! Wala si pesa. Ukiwa na maneno mazuri! Unajali, huongei kwa kukaripia.. Yaani aone ww ndiye mtetezi wake! Unampata hata kama ni mke wa mtu.
Acha umbea African darling, kwan we inakuuma nn?
nakutabiria makubwa sana mbeleni davistar wewe ni mangazaji bora kabisa
Daah Utamu jaman namimi kama kuna jimama aje DM tubonge😍
Nyambafuu😂😂😂
Mtakufa kumanina nyinyi mtavunjwa viuno
chezea mteremko ww
😂😂😂anataka show, hakiyamungu nimechekaaa
Vya bule ndyo vinafanya mnaolewa wanaume
Mpaka gym na mitishamb😀😀😀
Unawafikisha KULELENI WANAFURAHIII
😂😂😂 upuzi huo jamani
Bro Videos zina Adds nyng bhn zakera
duuu pole cn mkuuu
Kwa hizo hela nyingi umejijengaje?
Hujamaa Yuko sawa katka utangazaji davi
Wanaume wadar mnamambo
Mmmh
na unavoikazia sasa ukachwaa ukatemwa we sio mzima
Hatare 🔥
Dha hahahahaaaaa
Imekshuaaa bifoo
Umeshaa bugiiii
Mtangazaji🔥🔥🔥🔥
uko vizur sana
Ukianza dawa kijana huji kurudi kawaida
Ulikula bata mpaka kuku wakaona wivu
Anapenda mtelemko mwanaume kupewa pesa🤣🤣atapata magojwa
Together vista
Vijana nawa vulia kofiaaa sana duuuu🤣😂🤣😂 umepiga shoo uka mkoleza kweli🤣😂🤣😂
Kaka huo mdomo unaonyesha tu umezoea kunyonya vitu vyenye kutu, na ukiendelea hutaowa kabisa
Hahahahaaaaa
😂😂😂
Chunga ukimwi bro!
Nkubaya 🙆
🤣 🤣 🤣
Wanawake kwa kuponda bana. Mpeni pole bro sio kumpondea. Mbona nyie huwa hatusemi sisi? Asee chali pole sana ila achana na wamama hawa sio poa
Uyu mkaka anae toa story kafanana na mau fundi
Kuachwa kutemwa kumwagwa 🤣🤣
Hahahaa
😂😂 hii Story pia inachekesha sana Jimama Davistar mrudishe tena huyo Kijana 😆
Ukawachwa..
Ukatemwa...
Ukamwagwa..
🤣🤣🤣🤣Dah!
👍
Mkuje ukuu kwa mr mata kumenoga🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😋😃
Hahahahaha hahahahaha hahahahaha tupooooo
Uliachwa,ukatemwa,ukamwaga
😂😂😂nimecheka adimwisho 😃
Handsome boy
Toa hio music ina kera
Mmmh 😇😇😇
Jamaaa liongo kinyama
Utakufa kwa bei rahis maana hukutaka hata kuhakiki afya ukimwi upo kenge ww
Alivaa barakoa ya chini labda
@@expert5898 kwa tamaa anazoenekana nazo hakuna barakoa wala nn
😂😂mi nafurahishwa tu na maoni yenu
Ha ha ha acha tu from 254
Dah kwer
Story yenyewe iko top part 2. Kenya 🇰🇪
Hahahahaha nikaona nipige shooooo
Davistar leo umepamia visiki
Big up Davister
I dont mean to be offtopic but does someone know a trick to log back into an instagram account??
I stupidly forgot the login password. I appreciate any tricks you can offer me.
@Jaime Wells Instablaster =)
@Brysen Jasper I really appreciate your reply. I found the site thru google and im in the hacking process atm.
Seems to take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.
@Brysen Jasper it worked and I actually got access to my account again. I'm so happy!
Thank you so much you saved my ass !
@Jaime Wells Happy to help :)
Hii chanell nzur nishasubcribe mkaka uko vzr wifi sasa nitaitumia ipasavyo😂😂😂thanks alot
Wakala
Mwanaume nkujituma wewe wacha bwege wewe utatongoza majin mshenz
Ha!
NA kunywa dawa nampiga shoo Kweli kweli 😂😂😂
Ukatemwa..!ukaachwa..!ukamwagwa....! Davstar unazngua😆
Watching from Japan 🇯🇵
Bahati katembo uko wapi exactly my dear? Niko Saitama, mkenya
Yuko japani ya tandale mama
Makubwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hilo no lishoga mbona
Hapa ninyumbani
Mpaka gym 🤣🤣🤣
😀😀😀 ww kaka umenifuraisha
Poa dogo. Lkn ucrudie
Kampita kimri😂😂😂😂😂
😂😂
Davis nikuombe tu kaka anfu tafuta maiki ya pili msiwe mnapokezana kihivyo Achana na corona magonjwa ni mengi hata TB broo kuwa makini mate hayo
Ukisha zoeya miji mam kuacha nikaz sana
Hakulewa sana ni game tu ya wamama
Story ya kutengenngenezwa fala nyieh
Ilaa jamaaniiii😂😂😂😂 hii dunia jaman ina viumbee🤣 huyu anatafta danga lingine huyuu hana lolotee😂 shoo shoo🤣