TANZANIA TUNA MSISIMKO MKUBWA WA MPIRA KULIKO KENYA NA UGANDA| RIADHA NDIO SHUGHULI YAO KUBWA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 61

  • @Smart-alecky
    @Smart-alecky ปีที่แล้ว +4

    Wakenya sisi tulishakubali kwamba mpira wa TZ sasa hivi uko juu EA.

  • @MissAbdallah-xf3yu
    @MissAbdallah-xf3yu ปีที่แล้ว +1

    Respect yourself as well, na ww nani kakuambia ukoment hapa kwangu Wacha kiherehere kama unaharisha apa

  • @emmanuelcalist954
    @emmanuelcalist954 ปีที่แล้ว +6

    Kenya mnamakasiriko sana apa ni mpira sio uchumi ..kama mnaona tunajipiga kifua tunavimba leteni timu tucheze nayo simba na yanga zipo..mambo ya uchumi nendeni kapambaneni na south africa uko ..sisi mpira ndo raha yetu

  • @saidimpako5186
    @saidimpako5186 ปีที่แล้ว +1

    Sisi tunapenda sana anasa

  • @chemaohillary1343
    @chemaohillary1343 ปีที่แล้ว +1

    Look at the original idea of Co hosting the tournament period. Hq of EAC will host no problem.

  • @mitanakadorho2356
    @mitanakadorho2356 4 หลายเดือนก่อน

    Ndugu zangu nafuatilia kipindi hiki nikiwa hapa Douala Cameroon, hakika Tanzania kwetu mpira umepanda saana tena saana

  • @Niika870
    @Niika870 4 หลายเดือนก่อน

    Thaman ya pesa sio tatizo,, unaweza kuwa naa pesa strong na matummiiz yakawa yaleyale ukitummia haakuna Tofaut

  • @elgringogringo5238
    @elgringogringo5238 ปีที่แล้ว +1

    Yanga na Simba siyo tena team za TZ pekee....zirisha vuka moakwa zikawa teams za EAC...twazishangilia sote kwenye EAC

  • @omarysaid8725
    @omarysaid8725 ปีที่แล้ว

    Bila kisahau Zanzibar

  • @nakalikyumile3234
    @nakalikyumile3234 6 หลายเดือนก่อน

    Mbeya tunasahaulika sana!kuna vipaji vingi vya soka ila kakiwanja kako kama karai

  • @hillarymaturi4859
    @hillarymaturi4859 ปีที่แล้ว

    Ndio mpira wetu nchini Kenya haufanyi vyema lakini sasa madharau imezidi sasa naona, badala tufurahie uchumi,kibiashara,na pia kumarket our players kutoka muungano wetu wa EAC lakini maajabu ni kujipiga kifua hapa

  • @Kaindo-q2u
    @Kaindo-q2u หลายเดือนก่อน

    kama nyinyi mnaelewa timu yeno yataifa bmona aijawai shinda Didi yakenya kubmafuseno

  • @dnetts
    @dnetts หลายเดือนก่อน +1

    nyie hamjui hapa tanzania kwamba kila waziri tanzania ana timuya mpira kwa kufujia hela na kuzitakasa??? hamna maendeleo ni kufuja hela tu port ya dar es salaam imeuzwa airport ndio inatafutiwa mnunuzi mwalala tu kazi ni pakome aziz chemaloni sijui nani amkeni bana

  • @saitotigeorge654
    @saitotigeorge654 ปีที่แล้ว +1

    Mm nimeishi kenya na ninajua umasikini wao kwaio wasije humu na kuvimba. Mnabadili mada sisi twazungumza mpira nyie mnaleta mada zingine eti uchumi elimu alafu tukihamia kwenye uchumi mnakimbia . Tutafunga mpaka mmoja tu wa namanga mlale njaa alafu mjue nani ndio bosi

  • @francisakatsa3178
    @francisakatsa3178 5 หลายเดือนก่อน

    Opening and closing match in Kenya mtajinyonga

    • @EmmanuelMathayo-nm4kw
      @EmmanuelMathayo-nm4kw 5 หลายเดือนก่อน

      Opening and closing is not problem,arambe itachikua kikombe cha African

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h ปีที่แล้ว +2

    Tanzania inamsisimko wa mpira wa miguu wakati wenzetu wa Kenya wanamsisimko wa uchumi. Hii fursa kwao ni pesa zaidi kuliko mpira. Sisi tuendelee kujitapa kimpira ila maumivu ya uchumi tutaosoma namba.

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 ปีที่แล้ว

      Pumzika

    • @lucasmartin431
      @lucasmartin431 ปีที่แล้ว +2

      Bado hujasema.....Ulaya wana msisimko wa Mpira hawana Msisimko wa Uchumi, Unataka kusema Uchumi wa Kenya Ni mkubwa kwa Kiasi hicho ......Pita kule 🚮

    • @sashawambura
      @sashawambura ปีที่แล้ว

      Afanye tafiti..ni kiasi gani Uingereza na Ulaya Football inachangia asilimia ngapi katika Uchumi wa Nchi..someni muongeze ufahamu..

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 10 หลายเดือนก่อน

      Akili ndogo

  • @danielodinga7317
    @danielodinga7317 ปีที่แล้ว

    Ume sema ndipo edoo

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 ปีที่แล้ว

    NA ADELA NA B LEVO BAA,,WATABAKI KUWA NYOTA WA MCHEZO SIKU ZOTE.

  • @felixkiplagat2330
    @felixkiplagat2330 ปีที่แล้ว +2

    East africa needs to thank president ruto because he is the one who initiated the process

  • @Kengele
    @Kengele ปีที่แล้ว +1

    On the matters concerning soccer I agree Tz internal leagues are better than Kenya ang ug, then for the national teams Uganda is better followed by Kenya Tz is way bellow, addition to that is when it comes to internet you guyz U must understand that Kenya is number one in Africa Tz and Ug are way bellow, natumai mtaelewa ninacho kisema, but its good for our teams #+254 #kengele

  • @balusilunganyi1387
    @balusilunganyi1387 หลายเดือนก่อน

    But you forgetting even england has the best league on the world. Anything to show.

  • @KennahMbimo
    @KennahMbimo หลายเดือนก่อน

    huyu fala anadhani football ndiyo kujenga nchi

    • @Billyxtx
      @Billyxtx 29 วันที่ผ่านมา

      Usikue hivo bna😂😂

  • @kamaustephen7726
    @kamaustephen7726 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mabingwa wa mdomo

  • @sempaysensey6486
    @sempaysensey6486 ปีที่แล้ว

    Chuga stadium

  • @JosephJumbe-w6h
    @JosephJumbe-w6h ปีที่แล้ว

    Tuendelee kushangilia mpira wkt wenzetu Kenya wanawaza kukuza uchumi wao.

    • @selemanmaganga-le4zg
      @selemanmaganga-le4zg ปีที่แล้ว

      Wanauchumi gani masikini wakutupwa , maisha magumu Sana huko watu wanashindia uji tu.

  • @wimranpatrick
    @wimranpatrick ปีที่แล้ว

    ndio maana naipenda Tz kuliko ht my country 250 nimaacha european football kbsa natamani siku mija nimuo e edo na kaliua boyys

  • @POKOTMALIK
    @POKOTMALIK ปีที่แล้ว +1

    Mimi ni mkenya na unaongea ukweli

  • @BarakaMsukuma-g1q
    @BarakaMsukuma-g1q 3 หลายเดือนก่อน

    WAKO VIZURI KWENYE ENGLISH WENZETU

    • @ashamkesa979
      @ashamkesa979 26 วันที่ผ่านมา

      English inawasaidia nini wameendekeza ukabila

  • @RoseKipimo-e4g
    @RoseKipimo-e4g ปีที่แล้ว +2

    uyo Rais hana lolote umeme hatuna anawauwa wamwsai kuwathamini waharabu anauza nchi yetu anachukua mpira kuwa chaka lakujifichia #KATIBA MPYA NI SASA

  • @MissAbdallah-xf3yu
    @MissAbdallah-xf3yu ปีที่แล้ว

    Wapumbavu msisimko Gani mko nao kuliko wenzenu? Mbona hamui washindi basi uko Afcon?

    • @AyubuJumanne-nv3yq
      @AyubuJumanne-nv3yq ปีที่แล้ว

      Nyamaza Wewe mtu asiye kuwa na adabu umeulizwa acha kiherehere

  • @rogerabdallah439
    @rogerabdallah439 ปีที่แล้ว +1

    Sisi wakenya tuko vizuri na uchumi nyinyi kwanza rais wenu mwanamuke

    • @shedadiabdul654
      @shedadiabdul654 3 หลายเดือนก่อน

      Ndo Maana Mnabaguana sasa Mwanamke sio Binadamu?Huyu Mruo.huyu Mmeru 😅😅😅 kazi Mnayo

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 3 หลายเดือนก่อน

      @@shedadiabdul654 enda uko uyo malaya

    • @HAPPYTADEI
      @HAPPYTADEI 3 วันที่ผ่านมา

      Mwanamke na kasongo yup bora😂

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 ปีที่แล้ว +1

    University wa Tanzania nisawa na class 4 wa Kenya kiilimu😂😂😂

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂pambaneni kwanza kupunguza umasikini na njaa halafu musisahau kuwakumbusha chokoraa za kibera na Mathare wajenge nyumba Bora za kuishi waache kuishi kwenye mazizi ya Nguruwe

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 ปีที่แล้ว

      @@mohamedihamisi292 kwani huku Tanzania kwetu hatuna mitaa ya mabanda? Tusemeni ukweli tuache ushabiki wenzetu Kenya wako mbele kimaendeleo,ushafika nairobi wewe,nenda siku Moja ukakionee ulaya huko,sisi tuko nyuma ya kenya

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 ปีที่แล้ว

      @@sheehamadnganzi8317 bahati mzuri au mbayaa naangalia Sanaa Citizen, KBC, k24, NTV Tena Hadi taarifa za Habari kiufupi halisi ya maisha ya wakenya Ni masikini mnoo sijaona chochote Cha kusema wakenya wajipige kifua mbele Wakati uhalisia wa maisha na kipato Cha mtu mmoja mmoja Ni duni haya Mimi nipo Dar es salaam Sasa hvi nitajie maeneo ya Dar es salaam yenye vibanda vya udongo na mazizi ya Nguruwe wanayoishi watu Kama huko Mathare, kawangware, kibera, na mukulu kwa njenga hukoo😂😂😂😂

    • @mohamedihamisi292
      @mohamedihamisi292 ปีที่แล้ว +1

      @@sheehamadnganzi8317 😂😂😂 halafu siku nyingine kuwa na Adabu ulaya hakuna mazizi ya Nguruwe na vibanda vya udongo Kama Nairobi ulaya Ni dunia nyingine

    • @sheehamadnganzi8317
      @sheehamadnganzi8317 ปีที่แล้ว

      @@mohamedihamisi292 my friend go back to school and travel for tourists visa and see your self don't be an academic dwaf wewe katembee Kenya wacha ushabiki husiokua na maana,sisi Tanzania mtu alifika chuo kikuu anashindwa na class 3 wa Kenya,tukubali tuko nyuma

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 ปีที่แล้ว

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @francisakatsa3178
    @francisakatsa3178 5 หลายเดือนก่อน

    Ati Tanzania mko juu social media 😂😂😂😂😂😂 do you know what you are talking about

  • @sheehamadnganzi8317
    @sheehamadnganzi8317 ปีที่แล้ว +1

    This people should go back to school