Maandamano ya Makardinali, Maaskofu na Mapadre, Misa ya Ufunguzi wa Mkutano wa AMECEA Tanzania 2022

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 33

  • @bibianabenedict2459
    @bibianabenedict2459 2 ปีที่แล้ว +6

    Najivunia kuwa mkristo mkatoliki, Mungu awaongoze maaskofu wetu mkutano wenu ufanyike kwa imani ili muweze kueneza injili kwa Africa na Dunia nzima

  • @suzypaul4559
    @suzypaul4559 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki Sana Jugo media

  • @erastomushi7471
    @erastomushi7471 2 ปีที่แล้ว +6

    Mwenyezi Mungu aufanikishe huu mkutano wenu Maaskofu wetu,kwani ni kwa ajili ya ustawi wa taifa lote la Mungu.

  • @paulbugwi6647
    @paulbugwi6647 2 ปีที่แล้ว +2

    Karibuni TANZANIA AMECEA,MAKADINALI, ASKOFU WAKUU,MAPADRE TUIMARISHE JUMUIYA ZETU 🇹🇿🇺🇬🇧🇮🇨🇩🇰🇪🇿🇲🇷🇼⛪

  • @manyangagrace4342
    @manyangagrace4342 2 ปีที่แล้ว

    Waooo Good arrangement

  • @catholiccollections112
    @catholiccollections112 2 ปีที่แล้ว

    what a wonderful time an from Ethiopia 🇪🇹

  • @kelvinkibesise7091
    @kelvinkibesise7091 2 ปีที่แล้ว

    Mungu ibariki tz

  • @victoriakiwanuka5428
    @victoriakiwanuka5428 2 ปีที่แล้ว +4

    Mungu ibariki Tanzania na Africa kwa ujumla 🙏🙏🙏

  • @janembuligwe3755
    @janembuligwe3755 2 ปีที่แล้ว +2

    Najivunia Ukatoliki wangu

  • @gladysgesare9549
    @gladysgesare9549 2 ปีที่แล้ว +2

    Aman be blessed watch from kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @patrickkomu3198
    @patrickkomu3198 2 ปีที่แล้ว +2

    Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema awatunze na kuwajalia kila mema katika kuujenga mwili wa kristu

  • @priscillarindi3098
    @priscillarindi3098 2 ปีที่แล้ว

    All these goodness oh we missed it TZ

  • @IT-Master_official2024.
    @IT-Master_official2024. 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu awaongoze mkutano umalizike kwa Amani na Upendo kama desturi yetu Wakristo

  • @priscillarindi3098
    @priscillarindi3098 2 ปีที่แล้ว

    It was so good with all these we praise our God

  • @isaackkiziba5109
    @isaackkiziba5109 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakika ninamshukuru Mungu kuzaliwa mkatoliki na Sasa Nina Imani katoliki na la mitume

  • @nmatuja2191
    @nmatuja2191 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana wanakwaya wote Mungu awabariki Kwa majitoleo yenu mumeitendea haki Amecea.

  • @livinusmugisha5469
    @livinusmugisha5469 2 ปีที่แล้ว

    Amina mbalikiwe wote

  • @rosemallya4757
    @rosemallya4757 2 ปีที่แล้ว +1

    Kila kitu kiende kulingana mpango wa Mungu,🙏

  • @noelinasaru1496
    @noelinasaru1496 2 ปีที่แล้ว

    Mungu libariki kanisa lako katholiki

  • @geroldjacob9180
    @geroldjacob9180 2 ปีที่แล้ว

    Katoliki mambo safii💯👏

  • @edithamushi430
    @edithamushi430 2 ปีที่แล้ว +1

    Ni utukufu full

  • @frankndenga783
    @frankndenga783 2 ปีที่แล้ว

    Amina,amina

  • @TecPeacemonitor-rl6mi
    @TecPeacemonitor-rl6mi 2 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Jugo

  • @adolfinaandrea5234
    @adolfinaandrea5234 2 ปีที่แล้ว +1

    Ninawatakia Amani na furaha .kwakweli tuko pamoja nimefuata misa nikiwa hapa Italia nawatakia baraka nyote.

  • @priscillarindi3098
    @priscillarindi3098 2 ปีที่แล้ว

    Men

  • @imelidamfikwa7954
    @imelidamfikwa7954 2 ปีที่แล้ว

    Viwanja vya wapi hivi

    • @jumakapilima7295
      @jumakapilima7295 2 ปีที่แล้ว

      Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam

  • @erastomushi7471
    @erastomushi7471 2 ปีที่แล้ว +3

    Mwenyezi Mungu aufanikishe huu mkutano wenu Maaskofu wetu,kwani ni kwa ajili ya ustawi wa taifa lote la Mungu.

  • @selinambeho5679
    @selinambeho5679 2 ปีที่แล้ว

    Amina kuu