Hongereni Sana sana Masista wa Grail Nimekuwa nausikia Wimbo huu kupitia Radio Mwangaza - Dodoma na nilikuwa natafuta jinsi ya kupata wimbo wenyewe. Ni wimbo wa unyenyekevu na wenye kutafakarisha. Dah!!!!!! Wimbo huu unanitach mno.
Big up wana Grail hakika huu wimbo unanitia nguvu hasa pale ninapokuwa nimekosa matumaini unanikumbusha kuwa Mungu ndie nguvu yangu na huwa naimarika tena!Mungu awabariki sana
A wonderful work. Mungu na apokee sifa na utukufu kutoka kwa walio wa sura na mfano wake. Am sooooo blessed when I listen the song. Kweli hivi ni vinanda vya mbinguni hapa duniani.
Nilipoondokewa na mwana wangu nikadhihakiwa na kukejeliwa na watu wa karibu yangu, nafarijika sana kuongea na Mungu kupitia utume kwa njia ya wimbo huu, AWABARIKI BABA WA MBINGUNI. ASANTENI SANA
Hongereni masista wa the GRAIL,wimbo ni mtamu tu sana, mashairi yameimbwa kwa ustadi mkubwa, nayanasikiza mara kwa mara yatuliza roho kweli kweli. i really love the album at large. Big ups Mwalimu Ray ufunguo kazi yako iko imara twakubali.
dunno if you guys cares but if you guys are stoned like me atm you can stream pretty much all the new movies and series on instaflixxer. Been streaming with my girlfriend for the last months xD
Hongera kwa producer,masista hongereni kwa shangwela ya miaka 50 hongereni pia kwa uimbaji mzuri na asanteni kwa ujumbe murua.Mzidi kubarikiwa na kudumu katika kuhudumu shambani mwa bwana kupitia utume huo
Dah, hongera kwa kazi nzuri wimbo huu wa wewe Bwana Nguvu zangu unanitoa machozi nikiuskiliza hasa nikiwa katika nyakati za huzuni pale ninaposongwa na mazito moyoni na ninapoyatafakari maneno hayo yanayosindikizwa na Melody tamu iliyo sanifiwa vema bas napata Nguvu mpya,. Hakika kuimba vizuri ni kusali mara mbilimbarikiwe Sana na Mungu awaongezee maarifa zaidi Kila iitwapo leo🙏🙏🙏
hakika mnanifanya nijisikie Niko pepon wakati mwingine nikikaa kuusikiliza wimbo huu mpaka najisahau kua bad nipo duniani nawaombea uimbaji wenu uendane na matendo yenu ili muone utukufu wa mungu ulivo na tumaini La mwito wake jinsi lilivo Be blessed
Asanteni saana wapendwa huu ndio uimbaji tunaotamani kwa kwaya zetu nyimbo TAFAKARISHI NA UNYENYEKEVU. Asante sana mpiga kinanda Swai Mungu akubariki na kazi ya mikono yako. Mt. Secilia msimamizi wa waimbaji akufunike na hasa kipaji chako. AMINA
Congratulations dear brothers and sisters in Christ through this strong song with strong message in it. May the Almighty God shower You with blessings and strengthen You on your missions. 아멘. 축합니다.
This is a very good song. However it should be sung with radiance of hope because it is a worship song. we should be happy when we sing for our Lord God
Hongera sana Ray Ufunguo kwa nyimbo zako pamoja na huu pia. Huu wimbo nimeusilkiliza kama mara 50 hivi, naupenda
Soooo nice. Sichoki kuwasililiza wadogo zangu. Soo beautiful and amazing voice
Mwalimu wangu tumain swai hongera sana kwa kupiga kinanda kwa utulivu mkubwa unanikumbusha mbal sana mwalimu
Hongereni Sana sana Masista wa Grail
Nimekuwa nausikia Wimbo huu kupitia Radio Mwangaza - Dodoma na nilikuwa natafuta jinsi ya kupata wimbo wenyewe.
Ni wimbo wa unyenyekevu na wenye kutafakarisha. Dah!!!!!! Wimbo huu unanitach mno.
Big up wana Grail hakika huu wimbo unanitia nguvu hasa pale ninapokuwa nimekosa matumaini unanikumbusha kuwa Mungu ndie nguvu yangu na huwa naimarika tena!Mungu awabariki sana
Wewe Bwana nguvu zangu
Asante yesu kwa pumzi kila iitwapo leo. Mbarikiwe sana masista kwa wimbo mzuri
Hongereni kwa wimbo mzuri, sitachoka kuusikiliza, hakika Bwana ni nguvu zangu, jabali langu na Mwokozi wangu. Be blessed all🙏
A wonderful work. Mungu na apokee sifa na utukufu kutoka kwa walio wa sura na mfano wake. Am sooooo blessed when I listen the song. Kweli hivi ni vinanda vya mbinguni hapa duniani.
Nilipoondokewa na mwana wangu nikadhihakiwa na kukejeliwa na watu wa karibu yangu, nafarijika sana kuongea na Mungu kupitia utume kwa njia ya wimbo huu, AWABARIKI BABA WA MBINGUNI. ASANTENI SANA
Pole sana Gabriel.
nawapenda mpaka naumwa!Mwenyezi Mungu adizi kuwaimarisha ktk utume wenu
HONGERENI SANA DADA ZETU. MUNGU AWAPE NGUVU YA KUSONGA MBELE, NA UTUMR WENU.
Hongereni masista wa the GRAIL,wimbo ni mtamu tu sana,
mashairi yameimbwa kwa ustadi mkubwa, nayanasikiza mara kwa mara yatuliza roho kweli kweli.
i really love the album at large.
Big ups Mwalimu Ray ufunguo kazi yako iko imara twakubali.
Hongereni sana kwa kazi nzuri na iliyotumika. Mwenyezi MUNGU azidi kuwabariki zaidi na zaidi. Mko juu sana.
Hongereni sana masista kwa nyimbo yenye tafakari nzuri pia Uimbaji wa unyenyekevu ...
Mbarikiwe sana Amina
Wewe Ray unachanganya watu,kumbe uko hivo,sarute to you my Brother as well as organist big up.
Huu wimbo umenibariki Sana, hongereni nyote
Bwana ni Jabali na mwokozi wangu🙏🏼🤲🏻🙌🏻🧎🏼♀🧎🏼♀
Hongereni sana mama zangu kwa utume uliotukuka
Mungu awazidishie kila neema na baraka mzidi kudumu katika utume wenu kwa Taifa la Mungu
Hongera sana RAJO uinjilishaji wako unatuweka karibu Mwenyezi Mungu,ubarikiwe sana.
^^^^"NA MWOKOZI WANGU"-----"FURAHINI, NA KUSHANGILIA, TUMWIMBIE SIFA, KWA KUWA NI MWEMA,PIGENI KELELE ZA SHANGWE ENYI MCHAO, ***YANIGUSA SANA AMINA
Hongereni saaaana kwa utume,Mungu azidi wapa nguvu na uwezo mkubwa Wa kumuabudu na kuinjilisha.Hongera st Genofeva
dunno if you guys cares but if you guys are stoned like me atm you can stream pretty much all the new movies and series on instaflixxer. Been streaming with my girlfriend for the last months xD
@Ben Prince Yea, been using instaflixxer for years myself =)
@Ben Prince definitely, have been watching on instaflixxer for months myself =)
Hongereni kwa wimbo mzuri, umenibariki sana, napenda kuusikiliza muda wote
Mshukuruni bwana kwakuwa nimwema kwamaana fadhili zake nizamilele huo ubeti umenikumbusha mbali
Hongera kwa producer,masista hongereni kwa shangwela ya miaka 50 hongereni pia kwa uimbaji mzuri na asanteni kwa ujumbe murua.Mzidi kubarikiwa na kudumu katika kuhudumu shambani mwa bwana kupitia utume huo
kilimanjaro Mwanga kisekibaha......bado nawapenda sana salam kwa st.Aquilline
Oooh!!!hongeren sana Dada zetu kwa saut nzur na wimbo wenye tafakar.nawatakia maandaliz mazur na shereh njema ya jubile yenu(Br.Jude Thaddeus)
Na mwokozi waaaangu
Ee Mungu nakushukuru kwa ajili ya hawa wana kwaya.
Wananibariki sana.
Thank you Jennifer. Barikiwa sana.
@@rajopro Amina Amina
Tubarikiwe sote
Hongereni sanaa kwa utume mtukufu wenye kujawa na jumbe nzuri na tafakali nzuri, i have enjoyed for sure.
Hongereni Sana Masister kwa kuimba vizuri Mungu Awabariki sana.
Congratulations kwa uinjilishaji mzuri mungu awabariki sana nawatakieni jubilei njema by marcos Emmanuel
Dah, hongera kwa kazi nzuri wimbo huu wa wewe Bwana Nguvu zangu unanitoa machozi nikiuskiliza hasa nikiwa katika nyakati za huzuni pale ninaposongwa na mazito moyoni na ninapoyatafakari maneno hayo yanayosindikizwa na Melody tamu iliyo sanifiwa vema bas napata Nguvu mpya,. Hakika kuimba vizuri ni kusali mara mbilimbarikiwe Sana na Mungu awaongezee maarifa zaidi Kila iitwapo leo🙏🙏🙏
NIMEMWONA DADA IMELDA , HONGERA SANA MAMA KWA KUJITOA KIMWILI NA KIROHO
Hongereni Sana Mungu awabariki kazi nzuri sana wimbo hauishi hamu kuusikiliza
Hongereni sana masista nabarikiwa pia kaka Ray hongera
Asante sana Lucy
Huu wimbo 🔥🔥🔥🔥🔥👏🏽.Bwana ni mwokozi wangu.
Mungu awabariki sana kwa wasikilizaji wote katika kipindi hiki kitakatifu cha mungu
Mungu awabariki Waimbaji wote kwa Wimbo huu mzuri wenye tafakari ya kina.
Hongereni Masista kwa uimbaji mzuri endeleeni na utume wa bwana kwa uaminifu mkubwa.
hakika mnanifanya nijisikie Niko pepon wakati mwingine nikikaa kuusikiliza wimbo huu mpaka najisahau kua bad nipo duniani nawaombea uimbaji wenu uendane na matendo yenu ili muone utukufu wa mungu ulivo na tumaini La mwito wake jinsi lilivo Be blessed
hongera sana rajo good song and very impressive and strengthening our faith amen
Caroly Kiplimo
WanaGrail hongereni sana.
Nyimbo nzuri mno.
Kweli haiishi hamu kusikiliza Mungu awabariki sana kwa uinjilishaji huo
Asanteni saana wapendwa huu ndio uimbaji tunaotamani kwa kwaya zetu nyimbo TAFAKARISHI NA UNYENYEKEVU.
Asante sana mpiga kinanda Swai Mungu akubariki na kazi ya mikono yako. Mt. Secilia msimamizi wa waimbaji akufunike na hasa kipaji chako. AMINA
MSHUKURUNI BWANA KWAKUA NI MWEMA MAANA FADHIRI ZAKE NI ZA MILELE.
Mungu wabariki hawa watawa na mtunzi
Hongereni Dada zetu na Mama zetu wa kiroho , Mungu awabariki Mmeacha yote Mazuri na Kuamua kufuatana na Mama Bikra Maria.
Hongera kaka Ray kwa tungo yenye fukuto rohoni napia hongera Rajo kwa production, go on brother
Ray uko juu tu sana nipo hapa Nairobi Kenya
Wimbo mzuri Sana umenibariki👏👏🙏
Bwana ni jabali langu...
We feel nourished by your beautiful singing 🙏
Mungu awabariki sana ujumbe mzuri ,unyenyekevu uimbaji mzuri
Ray ufunguo Ahsante, Barikiwa sana
Congratulations saan, Mwenyez Mungu aendelee kuwatunza daima..See u my headgirl from Ifunda girls( Sr Sarah)
Congratulations dear brothers and sisters in Christ through this strong song with strong message in it. May the Almighty God shower You with blessings and strengthen You on your missions. 아멘. 축합니다.
Kazi nzuri wapendwa wa kristo
Sofa Kwa Bwana peke akee..lakin tcha Ray Ufunguo ana nyimbo nzuri sanaa
Sauti inasikika vizuri ( sio hewa tupu) maneno yanasikika, vyombo vipo poa sana kazi safi sana
wimbo mzuri na unainjilisha sna pongez kwao mabint masista wa mwanga
mko vizur aise mungu aendelee kuwa bariki katika utume wenu
Sauti za malaika, God bless you
Hakika umefanya kazi tamu Rajo. Kipaji chako cha pekee sana bro
Rajo has never ever led me down. A good one again. I love you people of God.
Inanikumbusha uimbaji wa zamani, natamani kuimba tena
Naupenda sana unaleta tafakar ya utulivu
Asanteni sana hadi natamani nami niimbe nanyi
This is song is so emotional good...congrat rajo production
Ujumbe mzuri Sana hongereni sana
penda sana mabinti wa Mungu mzidi kubalikiwa daima amen.
Mungu uhimidiwe milele
Nice song. May God bless 🙏 you all.
Daaah Ray ubarikiwe kwautunzi ulio tukuka
Mungu awe pamoja nanyi masista na watawa wote kwa ujumla
Love you all. Nimefurahi hadi machozi
This is a very good song. However it should be sung with radiance of hope because it is a worship song. we should be happy when we sing for our Lord God
Nice nice. Hongereni sana marafiki zangu katika Bwana. Hapo msalimieni rafiki yangu mpenzi na Wifi yangu the late Sr Regina Simon.
hongereni saaana Masister
A great song I must say...pongezi
Asante sana mbarikiwe kwa wimbi wenye ujumbe mzuri
Mungu awabariki kwa utume
Good work..! Am blessed with it
That's a nice song. Be blessed
amina mungu azid kuwatunza
Hongereni sana kwa ujumbe mzuri
Hongereni sana Mmeimba vizuri
Wewe bwana nguvu zangu! Nakupenda sana!
Nimependa meimba boksi nzuri maneno yote mnayatamuka
Waliopewa talanta yakuimba comenti tujuane
Hongera kaka kazi nzuri nakuelewasana kwenye nyimbo zako huwa ni nzuri sanaa Mungu akuhifadhi rajo. Pigeni kelele za shangwe enyi mumchao hahahahaaaa
Kaka Magilu Hongera sana
Kweli kuimba ni kusali mara mbili
Wewe bwana nguvu zangu, niokoe na mtu asie haki
safi sana,namuona pacha wangu nimefurahi sana
Sr Dotto huyoo👏👏
bwana atubariki sote na tudumu ktka upendo wakristu
i love the singing ~very clear voices and diction.
Najikuta machozi yanatoka tu..😭
mbarikiwe xana wapendwa
Wonderfully done.
Hongereni sana
hongera wana grail
sauti zimetulia sana jamani daaah
Naipataje hii dvd niko Moshi mjini
Nenda pale Moshi book shop Kristo Mfalme utaipata
Hongera sana Kaka