MWENYEZI MUNGU awalinde Mapadre na Maaskofu wetu Daima awaepushe na hatari zote za roho nazamwili mzidi kuchunga kondoo wake, tunatambua Kuna wakati mnahudumu katika mazingira magumu Sana pasipo uwepo wake MUNGU nibure
inapendeza lkn maandamano ya mapdre siyo mbele ya Makamu wa Rais ,hapo mkubwa ni Mungu na Yesu kristo hapa azimisho ni Misa hapa mgeni rasmi wa kimwili hana nguvu ,mjaribu kuelewa maana ya Litrujia ,hapa azimisho ni sadaka ya mwili na damu ya Kristo,mgeni rasmi ni MUNGU.
Tunajivunia imani yetu katoliki
Tuilinde iman ya kanisa letu katoliki la mitume
Amina amina wa Heshimiwa watumishi wa Mungu katika ubora wenu!💪💪🫶🤝🤲🤲🙏🙏
MWENYEZI MUNGU awalinde Mapadre na Maaskofu wetu Daima awaepushe na hatari zote za roho nazamwili mzidi kuchunga kondoo wake, tunatambua Kuna wakati mnahudumu katika mazingira magumu Sana pasipo uwepo wake MUNGU nibure
Ashukuliwe mungu kwa tukio la kipekee asante mungu
Asante Mungu Kwa zawadi ya Imani katoriki
Utukufu Kwa MUNGU wetu milele.
MUNGU tu upande wetu.
Hongera saana Baba Askofu 🙏🙏
Nimewaza mbali sana nakaka yangu angekuwepo hapo.asante Mungu kwa yote
Mungu atukuzwe
Amen
Amina
Hili ndiyo kanisa Katoliki ambalo Yesu alisimika msingi wake
Imependeza kweli kweli. Mungu akubariki Mhashamu Baba Askofu, Tarcius Ngalalekumtwa.
inapendeza lkn maandamano ya mapdre siyo mbele ya Makamu wa Rais ,hapo mkubwa ni Mungu na Yesu kristo hapa azimisho ni Misa hapa mgeni rasmi wa kimwili hana nguvu ,mjaribu kuelewa maana ya Litrujia ,hapa azimisho ni sadaka ya mwili na damu ya Kristo,mgeni rasmi ni MUNGU.
Asant
hakika inapendeza kristo yu pamoja nasi daima
Mwe jaman hata ambao hatukufika kama tupo baba etu alifurahia mungu amlnde
Bwana ni Mwema na Mwingi wa Rehema.
Amen
Jmniiiiiiiiii mbona sisi wengne video zinafifia? Au ni cm zetu🙄🙄🙄
Hogoleni
Raha ya kuzaliwa mkatoliki ndio hii
hakika inapendeza kristo yu pamoja nasi daima