Yuko vizuri atia hamasa kwa wapinzani wake anaupenda mchezo wa ngumi. Kikubwa atafte kocha pili balance ya miguu hana tatu pumzi inakata mapema nne nimzito akirusha ngumi anachelewa kujilinda. Kipengele cha maneno si halimu hiyo ni huruka yake kikubwa azingatie haya atafanikiwa
Mi naona utafute kaz ya Uhamasishaji Maana unajua kuongea sana lkn ngumi aah auwez basi tafuta team mbn utawakalisha , Manara,hamed ally,masau bwile,nk maan Unajua sana Maneno ya Kushawishi mashabiki lkn ngumi aaah
Duuu! From now nimekuwa your fan Mandonga mtu kazi🤣
Mandonga for life😆😆
Am a Kenyan niko Dubai nampenda Mandonga mtu kazi ipo sikuu...
Unaongoza kwakupigwa mandonga mtu kazi nakukubali sana mtukazi kwakupigwa
Sea never dry and man never cry 😂😂😂
Yuko vizuri atia hamasa kwa wapinzani wake anaupenda mchezo wa ngumi. Kikubwa atafte kocha pili balance ya miguu hana tatu pumzi inakata mapema nne nimzito akirusha ngumi anachelewa kujilinda. Kipengele cha maneno si halimu hiyo ni huruka yake kikubwa azingatie haya atafanikiwa
Mandonga mpaka wakuuwe ulingoni😂😂😂
Tupo na wewe Mpaka wakuue 😅
😂😂😂😂
Mpaka wamuuue au cyo
Sawa kaz kaz mtu kazi sea never dry, and man don cry
Tuko bega kwa bega na wewe Mandonga mpaka tuhakikishe unafia uliongoni😂😂😂😂
Kazi kazi
Ila nini uki ingia ulingoni macho yana vimba tupe sili unavutaga bangi kabla ujapigana nini😂😂😂😂
Sawa bondia wetu
Nimekukubali mwamba😂😂
Kweli huyu ndiye Mandonga.
Na anandonga kweli kwelii
Tupo pamoja na ww mandonga mpaka ufie ulingoni🤣🤣🤣🤭
🤣🤣🤣safi bro kaza buti mandonga
Tuko pamoja na ww mandonga labda wakuuwe
Tatizo Bangii
haya babu tuko na wewe mpk ufe 👈
Sawa ila mara hii tutakuzika
😂😂😂mtukazi
Ndonga tunampenda 😅
Mandonga ww huna mpinzani ww ni mtu kaziiiiiiii
Haipingwi mandoga mtukazi tunakubali sana mzee
Yaani huyu jamaa ninafurahi sana nkimuona anaongea
🤣🤣 uyu ni comedian
Kaza tupo nawewe Hadi wakuue
Sina shaka na ww n Royal Tour. Upelekwe Serenget
Mi naona utafute kaz ya Uhamasishaji Maana unajua kuongea sana lkn ngumi aah auwez basi tafuta team mbn utawakalisha , Manara,hamed ally,masau bwile,nk maan Unajua sana Maneno ya Kushawishi mashabiki lkn ngumi aaah
😁😁😁😁😁
th-cam.com/video/j3cU87uCKlk/w-d-xo.html
DAWA YA KUMRUDISHA MPENZI ALIE.KUACHA...*#*#*th-cam.com/video/j3cU87uCKlk/w-d-xo.html
ila.mandongaaaaa wwwwwwwwww jamannnnn🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
He knows how to promote
😂😂😂😂
Jamaa ana mdomo km nn jamani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂
th-cam.com/video/j3cU87uCKlk/w-d-xo.html
DAWA YA KUMRUDISHA MPENZI ALIE.KUACHA...*#*#*th-cam.com/video/j3cU87uCKlk/w-d-xo.html