Asante doctor kwa elimu nzuri ulinitia moyo nakumbuka niliku dm ukanijibu vzr swali langu sikuogopa kufanyiwa op mara ya nne, nilifanyiwa this yr am strong with my baby, God bless you Dr
Dr. Asante kweli kwa maelezo na faraja. Naogopa, please! Nisaidie nifanyeje nimepasuliwa mwezi wa 11 na mwezi wa 3 nimeshika mimba . Naomba msaada wako wa mawazo. Nimeisha zaa mara 7vizuri ya nane nikapasuliwa ivi tena nimebeba na Nikita Ka kufunga uzazi nikagundiwa tayari.
Doctor mtoto wa ka1 nimezaa kawaida wa 2 kawaida na wa3 kwa opp kitovu nilimsokota now nina mimba je naweza zaa kawaida mtoto ana umri mitatu kasoro now now nina week 35
Nakupenda DR nime push marapili nimepasuliwa mara tatu na woote wakiume nilikuwa natamani mtto wakike sasa nilifanyiwa operetoin 22mwezi wa 8 2023 naweza kushika mimba lini nifanye yamwisho nifunge kizazi niki na 26years old
Nina operation tatu ila hii ya tatu nmekosa mtoto sina aman kabisa nataka kuzaa tena,naweza beba baada ya muda gani maana nina week tatu sisikii ata maumivu
Dokta naomba kuuliza mm mtoto wakwanza alifia tumboni baada ya kufikisha miezi 9 na wik mbili nika fanyowa op kidonda kili nisumbua mwezi mzima bty nika pata mimba ya pili na yonikafanyiwa op mwaka jana 2023 nika beba mimba nyingine nikafanyiwa tena op mwaka hu 2024 mwez 4 na meniambia watoto wangu wana tanguliza matako na siyo kichwa ?je naweza kufanya njia gani ili niweze kujifungua kawaidaa kwa hapo baadaee kwa mtoto wa 4 cz waliniambia watoto wotee ita fanyiwa op ina kwa hapo
Nilijifungua kwa oppareshen mwezi wa10 mwaka jana ila mtoto haikuwa riziki yangu hii hal imenitesa sana nikitaman kupata mimba nyingine naomba kujua niaweza kaa muda gan ndo nibebe tena mimba
Dr pile namajukumu. Nashkuru sana kwa kunitoa wasiwasi mana nazaa kwa upasuaji na nna ujauzito wanne nilikua nahemea navvy niutoe au nivumilie lakini kumbe naweza kuzaa vizuri to. Mungu akulipe wema
Docta mimi nimejifunguwa kwa opérations wiki mbili sasa ila kitovu kinauma saana ukigusa kama kitu kigumu kiko ndani pia damu mara moja inatoka kama maji ya maragi sazimojo inatoka mbichi sijaelewa pia iyi ni op yapili ila iyi kali umeuma mno
Dah ili jibu limenifanya niumie sijui kwann sitamani Tena op nimezaa mala 2 kwa kisu dokta alinitia moyo akanambia op ya tatu nikae miaka miwili na nusu adi mitatu ndo nibebe mimba Kisha nijaribu kusukuma chini ya uangalizi Sasa dah nachanganyingiwa Dr saru ili linanichanganya nilitamani nizae watoto watano nimezaliwa peke yangu natamani nipate ndugu zangu watano lkn nikifikilia kisu nakata tamaa.
Dokta msaada nimejifungua mala la kwanza kwa op mtoto alikuwa na kilo 5 ivyo alikuwa mkubwa ilivyofika mtoto anamwaka mmoja na miezi mitatu nikabeba mimba ivyo nikaambiwa inatakiwa nipasuliwe tena kwasababu nilibeba mimba kabla ya miaka miwili na nilikuwa nakilo 105 ila mtoto alikuwa na kilo 3.100 ,Swali ni ili naweza kizaa kawaida mimba ya tatu na kama naweza nikae mdagani ili nibebe mimba ya tatu yani natamani kuzaa kawaida dr
Shukuran sana kwakunipa moyo niko na op 3 na boys tu nilikuwa natamani girl. Nikawa najifikiria. Sitoweza kushika mimba ila kwasabu umesema ivo. Nitajaribu 2030 natamani baby girl
Mimi naomba ushahuli,nina visu3 watoto3 Wakiume na WA mwisho anamiaka9 Sasa natamani kutafuta Cha mwisho nahitaji kupata baby girl Je naweza fanikiwa kupata,nisaidie natamani hata kesho niinebebe.
Asante doctar umetujuza vitu ambavio utuvijui tunamshukuru sana
Asante doctor kwa elimu nzuri ulinitia moyo nakumbuka niliku dm ukanijibu vzr swali langu sikuogopa kufanyiwa op mara ya nne, nilifanyiwa this yr am strong with my baby, God bless you Dr
Awwww 😍😍😍 Hongera sana my
Asante Sana Doctor kwa maelekezo, mwenyezi Mungu akutunze Sana 🙏
Amen. Shukran
Dr. Asante kweli kwa maelezo na faraja. Naogopa, please! Nisaidie nifanyeje nimepasuliwa mwezi wa 11 na mwezi wa 3 nimeshika mimba . Naomba msaada wako wa mawazo. Nimeisha zaa mara 7vizuri ya nane nikapasuliwa ivi tena nimebeba na Nikita Ka kufunga uzazi nikagundiwa tayari.
Tupo imenikuta hii vip mwenzangu kidonda hakiumi
Usiogope my, ila huu ujauzito utapasuliwa unaweza ukafunga kizazi mda huo wa cs.
Kila la kheri
Nmekupenda sana unaongea kwa upole na kuleta matumaini
Doctor mtoto wa ka1 nimezaa kawaida wa 2 kawaida na wa3 kwa opp kitovu nilimsokota now nina mimba je naweza zaa kawaida mtoto ana umri mitatu kasoro now now nina week 35
Asante my umenifariji sn
☺️☺️
❤
Dr smhn mimba ya mwanzo nmezaa kwa op nmekaa mwaka 1 nmebeba nyngn je naweza kuzaa kawaida
hongera Daa ila haikubaliki
Nakupenda DR nime push marapili nimepasuliwa mara tatu na woote wakiume nilikuwa natamani mtto wakike sasa nilifanyiwa operetoin 22mwezi wa 8 2023 naweza kushika mimba lini nifanye yamwisho nifunge kizazi niki na 26years old
Unaweza kujaribu tena all the best dear.
Nina operation tatu ila hii ya tatu nmekosa mtoto sina aman kabisa nataka kuzaa tena,naweza beba baada ya muda gani maana nina week tatu sisikii ata maumivu
Doctor me nimejifungua kwa upasuaji mara 2, je naweza kujifungua kawaida?
Hapana dear
Kwann doctor
Mim nasikia ngaz
Umenitia moyo Sanaa ubalikiwe
amina. na wewe pia
Nimefanya op wiki mbili zimepita mshono umepowa ila namaumivu makali sana wakati naenda haja ndogo inakuwa kama bd niko ule mpira wa mkojo
Kulingana na unavyojieleza Ikaa ni uti zaidi, nenda kw hospital ama angalia video ya uti nilioifanya
Barikiwa doctor ninaoparation 2 na nataman mwakan nibebe kwakwel umenitoa hofu
amina. kila la kheir dada.
Dokta naomba kuuliza mm mtoto wakwanza alifia tumboni baada ya kufikisha miezi 9 na wik mbili nika fanyowa op kidonda kili nisumbua mwezi mzima bty nika pata mimba ya pili na yonikafanyiwa op mwaka jana 2023 nika beba mimba nyingine nikafanyiwa tena op mwaka hu 2024 mwez 4 na meniambia watoto wangu wana tanguliza matako na siyo kichwa ?je naweza kufanya njia gani ili niweze kujifungua kawaidaa kwa hapo baadaee kwa mtoto wa 4 cz waliniambia watoto wotee ita fanyiwa op ina kwa hapo
Abar dada Sorry nilkua naomba namba yko unielekeze kitu apa kuhusu alichokushauri doctor Maana mwenyewe nachangamoto iyo
Nilijifungua kwa oppareshen mwezi wa10 mwaka jana ila mtoto haikuwa riziki yangu hii hal imenitesa sana nikitaman kupata mimba nyingine naomba kujua niaweza kaa muda gan ndo nibebe tena mimba
Pole sana dear ata hivi sasa unaweza kupata ujauzito ila utajifungua kwa kisu tena. Kila la kheri
@@dr.sarupendoTV barikiwa sana dr kwa kunitia moyo asante
Dr pile namajukumu. Nashkuru sana kwa kunitoa wasiwasi mana nazaa kwa upasuaji na nna ujauzito wanne nilikua nahemea navvy niutoe au nivumilie lakini kumbe naweza kuzaa vizuri to. Mungu akulipe wema
Amina nawe pia.
Docta mimi nimejifunguwa kwa opérations wiki mbili sasa ila kitovu kinauma saana ukigusa kama kitu kigumu kiko ndani pia damu mara moja inatoka kama maji ya maragi sazimojo inatoka mbichi sijaelewa pia iyi ni op yapili ila iyi kali umeuma mno
Kuna wale wanasema mshono wa pili unauma sana. Ila ukiona maumivu yamezidi rudi hospital na Hongera kwa kichanga
@@dr.sarupendoTV kweli mimi naona ivio Ila Mungu anisaidiye kwa sababu sijielewi kichwa kuuma hovio hovio maumivu mgongo Yani Mungu peke
Mm mtoto wa nne na funga kizazi kupasuliwa c mchezo naomba mungu atufanyie wepec
Ameen. Hongera kwako
Je nikijifungua kwa upasuaji mara 3 naeza kujifungua kawaida?
hapana
Mm nimepasuliwa mara mbil ila hii yapili mshono unasumbua unaniuma sn na Kwa ss Ina mwaka wa 4 cjui tatizo nn
Je naeza kufanyiwa upasuaji and at the same time nikafungwo uzazi
ndio
Na uliza ..changamoto ya mama kuzaa kwa kawaida baada ya mshono wa miaka sita.
Kama sababu ya mshono wa kwanza ilikuwa ya mtoto au ambayo haiwezi jirudi unaweza my kujifungua kawaida
Operation
Vp docta nina operation 2 Nataman kujifungua kawaida je hii inawezekana?
Hapana mpenz haiwezi
Dah ili jibu limenifanya niumie sijui kwann sitamani Tena op nimezaa mala 2 kwa kisu dokta alinitia moyo akanambia op ya tatu nikae miaka miwili na nusu adi mitatu ndo nibebe mimba Kisha nijaribu kusukuma chini ya uangalizi Sasa dah nachanganyingiwa Dr saru ili linanichanganya nilitamani nizae watoto watano nimezaliwa peke yangu natamani nipate ndugu zangu watano lkn nikifikilia kisu nakata tamaa.
@@CATHERINEVENANCE-m8d usikate Tamaa dear kisu Hata mara sita ni sawa tu.
Dokta naomba namba yako tuongee faraga jamani
@@AlimaJuma-nq2xb ni dm facebook au insta my.
Dawa ya kuvimba Kwa kifua na matiti dawa yke nini
Pitia hospital dear
Dokta msaada nimejifungua mala la kwanza kwa op mtoto alikuwa na kilo 5 ivyo alikuwa mkubwa ilivyofika mtoto anamwaka mmoja na miezi mitatu nikabeba mimba ivyo nikaambiwa inatakiwa nipasuliwe tena kwasababu nilibeba mimba kabla ya miaka miwili na nilikuwa nakilo 105 ila mtoto alikuwa na kilo 3.100 ,Swali ni ili naweza kizaa kawaida mimba ya tatu na kama naweza nikae mdagani ili nibebe mimba ya tatu yani natamani kuzaa kawaida dr
Mda wa pili ulikuwa na uwezo wakujifungua kawaida kama ungesibiri miaka miwili
Naomb kuulza m niljifungua kw operation nawez kukaa mda gan na kubeba mimba nyingne
MWAKA.
Naomba kuliza dawa ya kukazwa na kifua na kuvimba matiti
Ninaa Op 1 naweza kaa baada ya muda gan nikabebaa tenaa na kujifungua bila oppression
two years
Nie naomba namba za cm
@@JacoboMjungu-ql8fj dm facebook au insta.
Shukuran sana kwakunipa moyo niko na op 3 na boys tu nilikuwa natamani girl. Nikawa najifikiria. Sitoweza kushika mimba ila kwasabu umesema ivo. Nitajaribu 2030 natamani baby girl
kila la kheri dada ake
Wewe namimi tunafanana niko na 4boys natamni mtto wakike
Liyefunga anaweza kupata mtoto tena
Dor Sorry naomba namba yko ya wasap sorry lkn
naomba unidm Facebook @ drsarucythia
Sorry dactar et ni kweli ukiwa na mshono wa wima huez jifungua kawaida mshono mmoja
@@INYASIANGWETA sio kweli
Nkwa nn uwa kidonda kinawasha baada ya miez cta
Nime pasuliwa mala Moja inawezekana kuza kawaida maan mshon ounamyenz 9
Uko na ujauzito sasa
Ndiyo
Nime pasuliwa mala Moja lakini sijakaa Sana Kama myszi 9 iiv inaawezekana kupushi
Hapana ungesubiri kama miaka miwili
aliye jifungua kwa upasuaji kiafya agiliwe bahada ya muda gani
Kivipi Sijaelewa swali
Mtu anafaa kuzaa watoto wangapi qwa njia cs
@@damaclinenyanchera3478 4-6
@@damaclinenyanchera3478 4-6
Kumbe
Dokta mm nimejifungua mwez huu kwa cs lkn mtot haikua rizik nawez kaa mda gan tena kubeba ujauzito
Pole sana dear. Angalau mwaka ila ujue utajifungua kwa kisu tena ila ukingoja miaki miwili unaweza jifungua kawaida
@@dr.sarupendoTV asantee san dr yan ata kam kisu ten mm nipo tayar bol ngekua n ka childvan
@@LilianSamwel-rk6tn kila la kheir.
Mimi naomba ushahuli,nina visu3 watoto3 Wakiume na WA mwisho anamiaka9 Sasa natamani kutafuta Cha mwisho nahitaji kupata baby girl Je naweza fanikiwa kupata,nisaidie natamani hata kesho niinebebe.
all the best dear, ndio unaweza kubeba, Iła utajifungua na kisu bad
Na.kama.nilizaa.nikashonwa.alafu.sitichi.zinatoka.ije.shuda.nini
nimezaa watt wawil kwa njiaya upasuaji. wakwanza anamiaka7 wapil anakaribia miaka3. now niko na mimba jee kunahatari ganii nawaza sana
help 😢ushaur plz😢