Yarabii tujalie mwisho mwema. Hakika hiii safari ni nzito. Yarabii tusamehee mazambi yetu na utuwekee nuru maburi yetu na yakawe mabustani miongoni mwa mabustani
Habibty yarabi mauti jamani yanatisha yarabi tustiri no zako tutumie mama yetu ila tukiwa na kuswali tukuuulize Allah akupe kheri na atupe umri mrefu wenye kheri na Allah aturuzuku mwisho ulio mwema amin thumma amin kwa soote
Jazakumullahu khaira Ukhty Kwa darsa lenye mazingatio na manufaa makubwa Unafahamika vizuri Alhamdulillah Tunamuomba Allah atujaalie mwisho ulio mwema Yarab
MashaAllah kwa darsa nzuri , Allah akupe umri mrefu, akuzidishie ilmu zaidi, akupe kila hitaji la moyo wako ...kwa ilmu hii niliopata hapa ntaenda na Mimi nikafunze wenzangu in shaa Allah....jazakallah Khairan 🤲🏾
Mashallah tabaraka Allah mwenzi mungu atakulipa ujira mkubwa dunian kesho mbele ya haki kwa kakutuilimisha viumbe vyake Allah na pia mola akuwezeshe akupe afya njema Amin Allahu maamin shukran
Yarraby tuchukue hali ya kuwa upo radhi nasi. Na tujaalie kilma chenye kukutaja wew na shaada pindi umauti utukutapo..mwisho ulomwema uwe nasi na pepo firdaus iwe makazi yetu...Ameen
Subhanallah 😢.. Nimevutiwa kujifunza ili kusitir wenzangu ama wenzangu kunisitir mimi Mola akupe kher nyingi dunian na Kesho akhera❤ umetupa elim kubwa kuliko kutumia bando letu kwa upuuzi bora kupata elmu kama hi
A.alaikum vip hal habibti mimi nauliza kuhusu maiti aliokoshwa baadae akalazwa hadi skuyapili akija kuangaliwa ikawa amechafuka jee anaoshwa upya napia kutiwa udhu mwengine au anaogeshwatu bila ya kutiwa tena udhu?
Marshall Mwenyezimungu akuongezee umri mrefu
Ya Rabby azichukue Roho zetu kwa kuziridhia atusamehe makosa yetu amiin
Mashallha Allah akulipe kheri akupe afya uzidi kutu ilimisha natuwe ni wenye kushika ameen
Ma shaa Allah Allah akuhifadhi napenda sana darsa zako na zinanifunza mengi nakupenda kwa ajili ya Allah
u
bitec
Yarabii tujalie mwisho mwema. Hakika hiii safari ni nzito. Yarabii tusamehee mazambi yetu na utuwekee nuru maburi yetu na yakawe mabustani miongoni mwa mabustani
Alhamdulilah nimejifunza mambo mengi katika somo hili Allah akulipe kila la kheir na atupe mwisho mwema inshaallah
Alhamdullillah Allah Akulipe Kila La Kheri Madam Na Sisi Atupe Ufahamu Juu Ya Darsa Zako. Shukrani
Mashallah shukran kwa darsa nzuri...Allah akulipe kheri na atujaalie mwisho mwema yarabb
Shukran allah akuzidishie kila la kher ,nakupenda sana kwa ajili ya allah .najifunza meng kupitia wewe
Maashaallah Mungu akupe mwisho mwema
Mashallah shukran sana kwa darsa hi important nao kutufunza. May Allah Bless you.
Masha Allah. Mungu akuingize Janatul Firdhows mom.
mashaAllah...Allah akuweke akupe umry taweel na afyah shukran sanaa kwa kutufunza....
Shukran Allah atakulipa kheri kwa darsa nzuri
Masha'Allah Shukran barakallahu fiikum 🤲🏿ALLAH atujalie mwisho mwema Yaa RABB
Maashallah any mungu akubariki
Habibty yarabi mauti jamani yanatisha yarabi tustiri no zako tutumie mama yetu ila tukiwa na kuswali tukuuulize Allah akupe kheri na atupe umri mrefu wenye kheri na Allah aturuzuku mwisho ulio mwema amin thumma amin kwa soote
Shukraan sana mum..umenifundisha..nami nitafundisha wenzangu...Allaah akulipe mema duniani na akhera.
Allah atujalie mwisho ulio mwema
Mashaallah kwajina naitwa mustwafa mohd nimefrahj sana kupata darsa ii naomba uchukuwe namb yangu tuongee natak kitu unksaide katika dini 0778952738
Shukraan allah atupe mwisho mwema amiin
Mashaallah Allah akufanyie wepesi Inshaallah
Mashallaa bibi mungu akuweke kwamafunzo yako
Mungu akulipe kheri kwa funzo zuri,skins mama tujitahd kujua hili Somo ni muhimu sana
Asante kwa darsa zuri Allah atujaalie mwisho mwema
Shukran...Allah akupe siha njema,uzid kutufunza mengi
Jazakillah Khayran wa BarakaAllah Fiyk Ukhty..Tunamuomba Allah atupe khusnul khatima
Mashall Allah akulipe kwasomo na akuzidishii umlii
Allahamdulillah m/mungu atujaalie mwisho mwema shukran kwadarasa athwimu m/mungu akupe mwisho mwema je baada ya apo kunadua yeyoti
Jazakumullahu khaira Ukhty Kwa darsa lenye mazingatio na manufaa makubwa
Unafahamika vizuri Alhamdulillah
Tunamuomba Allah atujaalie mwisho ulio mwema Yarab
Marshall mwenyez mng atujarie meisho mwema
MashaAllah kwa darsa nzuri , Allah akupe umri mrefu, akuzidishie ilmu zaidi, akupe kila hitaji la moyo wako ...kwa ilmu hii niliopata hapa ntaenda na Mimi nikafunze wenzangu in shaa Allah....jazakallah Khairan 🤲🏾
Masha Allah asant sana kwa mafunzo
Allah_akulipe_mama_yangu_uingie_peppn
Mwenyezi Mungu Akubariki na
Na Akujaliye mwisho mwema mama kwa darsa nzuri umetufikishiya ♥️
Mwenyezi Mungu Akujaliye mwisho mwema mama
Asante Sana mamangu kwa funzo bora, mungu akujazi
Jazakallah kheri ukht
Shukran jazakillah khayra Abla Nahida wallah umenitoa tongo za macho nilikuwa cjui chochote kuhsu kuosha maiti lkn leo nimepata ideas🤲
Jazakallahu hakheri
Allaaah akulipe kwa darasa
Jazaakallahu khayra❤
MashaAllah Mungu akupe Moyo mama
Allah akulipe heri
MashaAllah Mwenyezi Mungu akulipe ujira mkubwa
safar mzito, 😭yaa rabbiy tufanyie wepesi ktk safari hii na utupe khusini lkhatima.
Shukran nimejifunza vitu vingi, Allah atuaalie khatma njema
مشاالله اختي يورك فيه
جزاك الله خيرا الله يحفظك
Mashaallah tumepata elimu mungu qtakulipa na sisi atupe mwisho mwema
Asalamu aleykum mashaallah napenda darasa yako inamafunzo mazuri mungu akujalie heri
Shukrani,ila wangeshona vazi la ndani likawa moja badala ya vitambara vingi
Masha Allah Allah jazaka Allah kherni lakini mm ninaswali wakati wakumuosha husemi maneno yoyote
Kuna dua za kusom
Shukran
خسن الختامه يارببي😰😰😰
Mashallah alhamdulila SoMo zuri sana Allah akujaalie afya utujuze Zaid 🤲🤲
Mashallah tabaraka Allah mwenzi mungu atakulipa ujira mkubwa dunian kesho mbele ya haki kwa kakutuilimisha viumbe vyake Allah na pia mola akuwezeshe akupe afya njema Amin Allahu maamin shukran
Allah, akufanyie wepes ktk maisha yako, kwa kweli napenda masomo km haya najifunza mengi
Yaa Allah zichukue nafsi hali umeziridhia 🤲😭😭
Amiin yarabbi
Amiin
Ameen 🙏🙏
Amin
Amin
Allah atusamehe makosa yetu🤲🙏
Yarraby tuchukue hali ya kuwa upo radhi nasi.
Na tujaalie kilma chenye kukutaja wew na shaada pindi umauti utukutapo..mwisho ulomwema uwe nasi na pepo firdaus iwe makazi yetu...Ameen
Assalam alaikum shukran
Waleykum salaam warhmatullah wabarakatuh shukran sna kwa darasa najifunza mno
Allah tujalie mwisho mwema😢😢😢
Nnnakupenda sanna Abla Nahida mama angu kwa ajili ya Allah
Shukurani
Allah atupe mwisho mwema
جزاك الله خير وانا لله وانا اليه راجعون
Hakika ni safari uzito Allah atujaalie husnilkhatma
Allah_akulipe_umenisaidia_na_mimi_nimefundisha_wenzangu
Maa shaa Allah
Jazakallahulkheir
Allahumma Amin yaarab jazzaka Allah khayra
Asalam alaykum asante sana mama Mungu akulinde daima amina
MashaAllah M/ Mungu akulipe bibi yetu kutupa darsa lizuri sana.
Mashaallah Jazakillah khayran jazylah
Mashaallah
Yaarab tujalie mwisho mwema yaa Allah
Subhanallah 😢..
Nimevutiwa kujifunza ili kusitir wenzangu ama wenzangu kunisitir mimi
Mola akupe kher nyingi dunian na Kesho akhera❤ umetupa elim kubwa kuliko kutumia bando letu kwa upuuzi bora kupata elmu kama hi
Masha Allah ee!! Mwenyezi Mungu utufanyiye mwisho mema yarab😭tuna mmuomba Mwenyezi Mungu mwisho utakapo fika tupate wakutu ifazi yaallah
Wa’aleikum salaam warahumatullah wabarakatuh, Jazak Allah Khayran. Allah swt akupe mwisho mwema Inshaa’Allah. Allahumma amiin amiin 🤲
MashaaAllah, Allah akulipe kila lenye kheri 🙏
Aminn_amin_amin_amin_Allah_akulipe
A.alaikum vip hal habibti mimi nauliza kuhusu maiti aliokoshwa baadae akalazwa hadi skuyapili akija kuangaliwa ikawa amechafuka jee anaoshwa upya napia kutiwa udhu mwengine au anaogeshwatu bila ya kutiwa tena udhu?
mashaallh
Bismillah alhamdulillah
MASHALLAH DARSA YAKO NZURI. YANI UNAWLEZA VIZURI. JAZZAKALLAH KHAIRAN KWA ELIMU TUMEJIFI ZA MENGI KWAKO.
Jazakumu Llaahu khairan
Aaww_mama_Allah_akupe_pepo_inshaallah_umetufundisha_jambo_zuri
Assalaam allaykum warahmatullah mama Mimi nauliza wakati wakuosha miguu mikono na kicha Ina kuwa una mfunuwa?
Mashallah mwenyezimungu akuwekee khukti
Waleikum Salam ukthi shukran Ameen yaraab yani umenisaidia sana ummi
MashaAllah kwa darsa zuri.. Na pia vijimtandio navyo vizuri MashaAllah
بارك الله فيك حببتي خالتي
Shukran ukuthy. Jazaki Allah kheir
Maashaallah mungu atujaalie mwisho mwema, inshaallah,
Uko sehemu gani habibty nakupenda kwa ajili ya Allah
بارك الله فيك
Jazakillah khayran
Shukran sana 😭
Asalam aleikum ma shaa allah mungu atupe mwisho mwema.yarabi
Hapo upande wa Sanda nane na Tatu hizo nikuwapa Watu uzito
Asalamualaikum vizurisana munguakulipe
Jazaak Allah kheri ukhuti fi miizaan hasanaatik ya Rabi
Ma Shaa allaha
Allah akbar Allah atupe mwisho mwema yaa rabii
Santa mama
Jazakallah khayra
Waalykum msalaam shukran mama Subhnaa Allah siku nzito hiyo