Nimekuelewa sana Izudin kuusu hapo kusimama kwa Mtume kwa mait ya mwanamke kwamba anaangalia wap ili waliopo nyuma wasione kutokana na maumbile ya mait. Inshaallah Allah akulipe zaid kwa mawaiza yako Amiin Rabillaalamiin
Allahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad Ala Alihi wa Ass habihi wa jimain ♥️♥️ jazakAllahu kheri yaa sheikh Allah akulipe kwa Nia yako yarabby
Najifunza mengi sana kupitia darsa zako yaa sheikh
Allah akuridhie wewe na sisi na jaamia muslim wa muslimat yarabby 🤲🤲😊
Nimekuelewa sana Izudin kuusu hapo kusimama kwa Mtume kwa mait ya mwanamke kwamba anaangalia wap ili waliopo nyuma wasione kutokana na maumbile ya mait. Inshaallah Allah akulipe zaid kwa mawaiza yako Amiin Rabillaalamiin
Masha Allah darsa nzuri Mungu awabariki kwa faida tulioipata.
Allahumma salii wa saliim Ala sayyidina Muhammad Ala Alihi wa Ass habihi wa jimain ♥️♥️
jazakAllahu kheri yaa sheikh Allah akulipe kwa Nia yako yarabby
Suleiman Murad (yarabi atulipe thawabu Ammin)
Namuomba Allah amzidishie afya na amani shekh wetu
Mashaallah iwe ndo sababu ya kuingia pepon kwa mawaiza mzr inshaallah
JAZAQALLAH
Allah akulipeni kila la kheri wa Mawaidha mazuri mliyotuwekea humu na kila mtakalolifanya la kheri liwe maqburi.
Darsa nzuriii sana nimeipenda Allah azidi kukuhifadhi In shaa Allah
Shekh darsa limenifundisha vilivyo Allah akutilie wepes kutufikishia inshaallah
Allah Akupe Umri Mrefu Wenyekheri Na Wewe
Tupate Kufaidi Mawaidha Yako Mazuri
Jazzakumllah Khery
Jazakhallah khairaa ustadh
Hjambo
Amin
Yarabi tujalie mwisho mwema inshaallah
Amiin
Amiin
😀 shekh wanikosa ata alhamdulilai amen jazzak Allah khery 🙏
Shekhe wangu mm natakusoma din
Ww waishi sehem aw mji gani?
Swadakta ustadh
nemaa ilah atahal eshkal
Sa
Baada ya mtume awe yeye peponi wakina saidina ommary wakoapi na abuubakari
😂😂😂😂😂😂