INUENI MACHO _Kwaya ya Mt Agustino Manundu Korogwe.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 6 ก.พ. 2025
- INUENI MACHO NI maneno yanayoimbwa na kwaya hii ya Mt.Agustino Korogwe Jimbo Katoliki la Tanga.Wimbo huu ni utunzi wake Fortune Shimanyi na Umerekodiwa katika studio za RAJO PRODUCTION (Audio&Video) Tunakukaribisha usikilize na kutazama ili mwisho wa siku ubarikiwe na kupata neema za Mungu..Wimbo huu unapatikana kwenye Album yetu inayokwenda Kwa niña la SIKIENI HAYA ENYI MATAIFA.
Wasiliana nasi kupitia namba
+255 653082026
+255 743 977 905
Nabarikiwa sana na wimbo huu mzur na video safiii
By James kibona
Nyimbo zinanibaliki Sana mbalikiwe Sana watumishi wa Mungu by Jimmy kibona
Well done Kwaya ya Parokia yangu.By Martin❤❤ Be Blessed❤❤❤😊😊😊😊
Ndiyo tuombe baba yetu aongeze wavunaji kwani mavuno nimengi shambani.Gilbert Kigali/Rwanda.
Hongera San kwenu🎉
Bonswa bontravay nan non jezi amen ensemble anfanmi se pou bondye beni nou amen mèsi jezi
nawapenda Sana Hongereni lauimbajikwauimbaji mzuri Mungu awabariki
Kwa kweli mupo vizuri,Mubarikiwe sana.
Wonderful mnatupeleka kwa Mungu kwa wimbaji huu ongereni
Wimbo mzuri. Ila mmeacha Ile Radha ya kikatoliki. Hivyo basi nadhani mungeimba kikatoliki zaidi ingefurahisha sana. Ni ushauri tuu
Kweli kabisa
@@free-starpro q
Ladha gani ya kikatoliki unayotaka wewe ndugu yangu.. mbona wimbo mtamu umekaa kikatoliki safi kabisa
Mungu awabariki kwa uimbaji mzuri
Najivunia sana kuwa mkatoliki
Hongern sana wapendwa kwa kumuimbia mungu
Beautiful 😍 🤩 👌 🎉🎉
Ukweli mpo vizur kwenye kila idala unayo husu uimbaji wenu Neema ya Bwana wetu Yesu Kristu iwe daima nanyi nyote
Hongereni sana wanakanisa langu,,Mungu azidi kuwainua.
This choir Jo...#kali mno. Choreography iko juu sana; 💖💖 kumbe ndio wenywe wimbo wa "Mbingu zilifanyika" nawapenda Bure Tu.
Ndio ubarikiwe pia
Kwa kweli hongera sana watumishi wa Mungu kwa kutuinjirisha, nakupongeza sana Mzee Rugai bado kijana kumbe.👏👏👍
Hongeren sana wekeni zote
Kazi nzuri sana😊😊. Mzidishiwe baraka na kibali katika uimbaji wenu.
Nice one
Mko vizuri Sana. Mmeimba vizuri Sana. Mbarikiwe mpaka mshangae.
Hakika mwenyezi Mungu tusichoke kumtafuta
Mungu ibariki kazi ya mt augustino wimbo mzuri atari
Hongera sana mnanibariki sana mungu awabariki sanaaaàaaa
Hongenreni sana
Hongereni sana ndugu zangu najivunia sana kuwa pamoja nanyi Mungu awabariki
Hongereni sana Wana Manundu ,na we Mzee wetu Rugai unatisha kama kijana vile! Nakupa big up.
Asante sana kutoka korongwe Niko mugumu Serengeti kalibu
Excellent song God bless you
❤❤ kazi safi sana watumishi wa mungu 🎉🎉🎉
Safi sana
God bless you so touching I like the energy
Hongeleni mungu awabaliki cku zote mzind kumutumikia nakutuhubiri
Hakika apandaye kwa ukarimu atakirimiwa ujumbe mzuri, Wimbo mzuri sana
Good bless you 💓💓💓 from Morocco
Mko vizuri sana hadi raha
Good and I love it.
Hongera sana mwendelee n sauti tamu mungu atasidi kuwaongesea
Wimbo mzuri steps pia
Najivunia kuwa Mkatoliki
kazi nzuri sana,Hongereni sana
Wimbo mtamu kweli💯💯 hongera
Hongereni sana kwa kazi nzuri ya kumtumikia Mungu.
Asante sana kaka mdoe
Hongereni wana Mt Augustino
Nice one indeed
Kazi Nzuri. Hongereni
Hongera sana,,kweli kuimba Raha
Ogelen sana mt agustino korogwe
wow wow!
❤
Sasa si mweke zote Jamaniiiiiii
Mungu abariki kazii hiii....mbarikiwe
Mkoa vzr
Hongereni saaaana wapendwa kazi nzuri
Safi sana kwaya yangu ya korogwe
🔥🔥🔥
Hakika mnasali marabili
Mumgu awabariki sana
Asingeweza kuwepo maskini tusngemjuwa tajili
Choir Ya Butamu safi
Mpiga kinanda jameni🙏🙏🙏
Nice song
Asanteni sana waimbaji barikiweni sana
Barikiweni wana wa Mungu
Tamu kweli
Sauti tamuuuuuu., Chorus is well well perfected.. soloist nao.. they are shinning vocally
Powerful songs...inua macho kwa bwana
WOW 👌💞🙏🙏
Waooo am so humbled to be a catholic
Mbarikiwe na bwana
Amina sana wana korogwe hongereni sana kwa wimbo mzri
My all time favorite
Hongera
Hallelujah
Ray keep it up I love the combination of instruments and well trained voices may you guys be blessed so much @mitch.
Thank you beloved
Waow
🥰
Asanteni kwa kututia moyo endeleeni kutuombea Zaidi
Nawapata ngugu kwasasa nipo D.R.C lakini hongeleni na Mungu awabariki 🙏
Nyimbo nzuri mnooo!!
Mbarikiwe sana
Big up wanakwaya na Mungu awabariki sana Kwa kazi a uinjilishaji.
Congratulations for your nice blessings song's.
🙏🙏🙏👏👏👏👏👏
👏🙏
Oliver myamba
Hongereni sana kwaya yetu ya Manundu Mungu azidi kuwapigania
Tuongeze watenda Kaz shambani mwa Bwana wimbo mzuri hongereni Sana wanakwaya
V
ISA MASIAH NDIYE NJIA KWERI NA UZIMA WA MILELE AMINA, AKUNA ATAKAYE MUONA BWANA BILA KUPITIA KWAKE ISA MASIAH. ALIYE KUFA MSALABANI NI ISA MASIAH (INRI) I =ISA, N =NAZARETH, R =REXLUDAERUM, I =ISIRAERI
I Love so much My church nawapenda kufa
@@mariakigomba7479 ISA MASIAH UNAMJUA?
Hongereni Sana mbarikiwe
Ninzuri sana mmejitahidi Mungu awabariki
❤