Ng'wana Kang'wa _ Zunyaga Official Video

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 216

  • @jacoboedward1455
    @jacoboedward1455 ปีที่แล้ว +2

    Ngoma nzur san hongera kwako bab uko vituzi tutazidi kuku sapot xix washabigi wako ganike gawiza san hako

  • @eldav_puloboy
    @eldav_puloboy ปีที่แล้ว +1

    Suleymani toka daar es salaam kiukwer huu wimbo wanaupenda watu wote dunia yaani huku wengi wameuchukua wakiusikia wanaupenda kaka unaupiga mwingi nakubari we ni best one

  • @johnmaduhu3428
    @johnmaduhu3428 2 ปีที่แล้ว +1

    Yaani ntemi omabala ukiimba nikama hujaimba. Na usipoimba nikama umeimba tuuuh. Unanifanya najivunia kua. Msukuma yaani umetisha sana brooh

  • @jumamaganga5480
    @jumamaganga5480 2 ปีที่แล้ว +2

    Nazunyaga tuko pamoja Mtwarà nakupata

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว

      Pamoja sana kutoka Mtwara

  • @maromedia6272
    @maromedia6272 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi kubwa

  • @alexmasanja3095
    @alexmasanja3095 2 ปีที่แล้ว +3

    Ngoma kali Sana ntemi naomba namb ako Nina shida na ww

  • @ngwanakangwa
    @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว +31

    Enjoy Muziki Mzuri!!🎥🎬🔥

  • @africontentplus
    @africontentplus 2 ปีที่แล้ว +1

    Kali sana
    Cc @mwanaselewa

  • @emmaratusbukune9868
    @emmaratusbukune9868 2 ปีที่แล้ว +3

    Nimepata ngoma ya kusikiliza maan niliboweka san

  • @maguwarecord5605
    @maguwarecord5605 2 ปีที่แล้ว +2

    Ulu ahanaho lulu nuone aguzunya duhu

  • @zackyandrew5998
    @zackyandrew5998 2 ปีที่แล้ว +7

    Ngoma Kali sana 🔥🔥🔥
    God job brother
    From 🇰🇪🇰🇪

  • @balagwakatambi6497
    @balagwakatambi6497 2 ปีที่แล้ว +2

    Nzogho na mapya dagholindaga abhashabhiki bhako ,sebha agotongele bholegwa

  • @josephfata742
    @josephfata742 2 ปีที่แล้ว +1

    Nazunyaga ntemi video nzuri hongera bro

  • @emmaratusbukune9868
    @emmaratusbukune9868 2 ปีที่แล้ว +2

    Jiwe jingine

  • @paulpeter3823
    @paulpeter3823 2 ปีที่แล้ว +1

    from dar nainjoy sana hii nyimbo

  • @samsonemmanuel1344
    @samsonemmanuel1344 ปีที่แล้ว +1

    Kaka saiv unaimba sasa video Kali hamna msanii wa kisukuma ana kuzidi video na kuvaaa hongeraa sana kazi nzuri

  • @EdwardMalando-s8h
    @EdwardMalando-s8h 4 หลายเดือนก่อน

    👏👏👏👏👏👏👏👏saf sana apoooooooo umetisha sana mwana kang'wa

  • @rockprince_ngwanamilembe3614
    @rockprince_ngwanamilembe3614 2 ปีที่แล้ว +1

    Ulikua umpotea Sana Kaka welcome again

  • @PotSimon
    @PotSimon ปีที่แล้ว

    safisana omabala tuwakilishe wasukuma mungu akubaliki Sana na kazi zako tuko nyuma yako🍉🍉🍇🥑🥥😅😅😅

  • @athumanjb2161
    @athumanjb2161 2 ปีที่แล้ว +1

    Fireeeeeeee

  • @BarkaDaud
    @BarkaDaud 8 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera kijana kwawimbo wako mzuri 😂😂😂😂😂😂😂

  • @kadokemarco9966
    @kadokemarco9966 9 หลายเดือนก่อน +1

    Itoshe tu kusema wewe ni msanii bora kuwahi kutokea katika nyimbo za asiri katika Africa Mashariki🙌🙌🙌🙌🙌

  • @nasseralhabsi4121
    @nasseralhabsi4121 2 ปีที่แล้ว +4

    Kalembo kawiza nakatongwangwa.nawotch kutoka 🇴🇲 😍😍

    • @sifatiiman
      @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

      wapi hio🇴🇲mi nipo barka

    • @nasseralhabsi4121
      @nasseralhabsi4121 ปีที่แล้ว

      ​@@sifatiiman mm niko Al mudaybi

  • @maperalucas2745
    @maperalucas2745 2 ปีที่แล้ว +2

    Aiseeeee ngoma kali saana

  • @kwetushunustudio3106
    @kwetushunustudio3106 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubal ntemi uko vizur

  • @vickydan2869
    @vickydan2869 2 ปีที่แล้ว +2

    My luckydube

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว

      😂😂😂🔥🔥🎥🎬🎬

  • @jacksonchristopher6310
    @jacksonchristopher6310 2 ปีที่แล้ว +4

    Now you have coming with changes my young brother, this song any one can listen cause it like bingo flavour in one side,, so good, 🏃‍♂️

  • @director_kitindi_tz1921
    @director_kitindi_tz1921 2 ปีที่แล้ว +2

    Nice Brother Ntemi Omabala kazi nzuri sana Respect Kwako Director Gooder na wewe brother monster

  • @sulilasully9353
    @sulilasully9353 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri gete gete..

  • @J4UPro
    @J4UPro 2 ปีที่แล้ว +1

    Piga kazi mwamba!
    Kwani waliweza wananini nasisi tushindwe tunanini!
    Go go go go Sukuma jadi.

  • @kakolaonlinetv7272
    @kakolaonlinetv7272 2 ปีที่แล้ว +1

    Guda hatar hogera g,wanakamwa 💓

  • @feli6manangu182
    @feli6manangu182 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimeipenda niko kenya Nairobi hadi nime miss nyumbani GEITA naomba namba yako tafadhali ♥️🥰💓💓💖🇰🇪🇰🇪🇹🇿

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว +1

      +255753853523

    • @feli6manangu182
      @feli6manangu182 2 ปีที่แล้ว

      @@ngwanakangwa nahitaji kutoa nawew video kunauwezekano jamani 😌😌😌😌

  • @kakokotv9734
    @kakokotv9734 2 ปีที่แล้ว +2

    Saf sana kaka kazi nzuri saana

  • @javonymusic2931
    @javonymusic2931 ปีที่แล้ว +2

    Tuomkubali kaka ntemi omabala nipeni like zangu apa

  • @iamngosha7846
    @iamngosha7846 ปีที่แล้ว +1

    Bro u kill it ... talented boy from sukumaa land one love bro GOD blessed u✌️

  • @mr.pinkmojatz5111
    @mr.pinkmojatz5111 2 ปีที่แล้ว

    Nimekubali bro

  • @shabaniholota
    @shabaniholota ปีที่แล้ว +2

    Asee ngoma kali coz Ina translation inaeleweka kwa wote so big up for all umebalance mpka time hizo ndo ngoma nice change ❤️❤️

  • @dicksonmaganga2170
    @dicksonmaganga2170 2 ปีที่แล้ว +2

    Sebha agotongelee bholegwa

  • @saimonimpesatigo8005
    @saimonimpesatigo8005 2 ปีที่แล้ว +2

    Big up

  • @BestAIartCollection
    @BestAIartCollection 2 ปีที่แล้ว +2

    Kaziiiiiiiii🎉

  • @yohana_kisinza27
    @yohana_kisinza27 2 ปีที่แล้ว +1

    Kaka yaaan unajua Hadi unajua hongera sana nakufutilia kutokea iringa hapa @ntemi

  • @iamngosha7846
    @iamngosha7846 ปีที่แล้ว +1

    Video vixen amevaa parfect safi sanaaa🔥

  • @agustinomussa5239
    @agustinomussa5239 2 ปีที่แล้ว +2

    Mose kazi nzuri 👊👊👊

  • @JohnRobant-ce3cs
    @JohnRobant-ce3cs ปีที่แล้ว

    Zunyagaaa 🥰🥰 gooder kauwa upande wa video

  • @joycepastory2945
    @joycepastory2945 2 ปีที่แล้ว +2

    Woohoo 🥰 wimbo mtamu kwer gingers Sana hakika unaikosha mioyo ya wasukuma🥰🥰🥰

  • @williammachumu724
    @williammachumu724 2 ปีที่แล้ว

    nice bro.

  • @philipomvanga2450
    @philipomvanga2450 2 ปีที่แล้ว +3

    Iko poa Sana 🙏🏽🔥 bila hata dances imekaa poa can🎻🎻🎻

  • @officialvolcano9332
    @officialvolcano9332 2 ปีที่แล้ว +1

    Mbn kaka ngoma kali sana

  • @maccospisikaliindustry1986
    @maccospisikaliindustry1986 2 ปีที่แล้ว +1

    Hujawahi nipigia ngoma kaliii Kama hiii never see in sukumaland🙌🙌🙌

  • @marrymarco4455
    @marrymarco4455 2 ปีที่แล้ว +1

    AISE hongera sana

  • @SalumShija-w9m
    @SalumShija-w9m 2 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera San ❤🎉

  • @yusuphtwail3647
    @yusuphtwail3647 2 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥 saf ubunifu mzuri Sana ktk kazi turetee kali zaidi ya hiiiiii

  • @donbeteofficial
    @donbeteofficial 2 ปีที่แล้ว +1

    Video kali kuwahi kutokea

  • @renatusmakolo9023
    @renatusmakolo9023 5 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera, umejiongeza na umekuja kwa kisasa yaan kizazi kipya, hakika hautachuja

  • @josephsulusi9037
    @josephsulusi9037 2 ปีที่แล้ว +1

    Kazi nzuri

  • @MayalaEmmanuel-b6p
    @MayalaEmmanuel-b6p 5 หลายเดือนก่อน

    Umejaliwa sauti brother

  • @eliasmalulu3872
    @eliasmalulu3872 2 ปีที่แล้ว +3

    Kazi nzuri sana

  • @KitindiMedia
    @KitindiMedia 2 ปีที่แล้ว +1

    Respect Kwako Ntemi Omabala kazi kali sana Pia Respect Kwako Director Gooder kazi Smart Sana

  • @gambomajegelo4714
    @gambomajegelo4714 2 ปีที่แล้ว

    Hatua mpya hiyo umengia mtemi! Hongera kwa hatua hiyo mpya

  • @mazikumange9130
    @mazikumange9130 2 ปีที่แล้ว +1

    Aisee kimbo kawiza kakideo na kane kawiza

  • @daudkutokaarushanawapatavi6518
    @daudkutokaarushanawapatavi6518 ปีที่แล้ว +1

    Nakukubari san ntemi omabala

  • @DebolahGerald
    @DebolahGerald 10 หลายเดือนก่อน +1

    Good 👍 job bro

  • @jonathanntare4787
    @jonathanntare4787 2 ปีที่แล้ว +2

    Good song Raster

  • @meshacksweya6126
    @meshacksweya6126 2 ปีที่แล้ว +2

    Very nice song ntemi omabala

  • @HassanWilson-f7q
    @HassanWilson-f7q 2 หลายเดือนก่อน

    Zunyaga ni nyimbo nzuri sana

  • @stevenmathias1739
    @stevenmathias1739 2 ปีที่แล้ว

    makin san brother

  • @mabawawisetv566
    @mabawawisetv566 2 ปีที่แล้ว

    Sijakosea kukuita my role model 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @FrancisJosephathi
    @FrancisJosephathi ปีที่แล้ว

    Nakubali sanaa mshikaji wanguuu

  • @yohanashinhu3961
    @yohanashinhu3961 2 ปีที่แล้ว +2

    My favourite artist
    Love from Mbeya...always you kill it

    • @marymarco7138
      @marymarco7138 ปีที่แล้ว

      Ngoma ya valentines hii hapa sasa hongera

  • @abelbufumbe790
    @abelbufumbe790 2 ปีที่แล้ว

    Upo vzr ujawahi kuniangusha nakupata vzr nikiwa comoros🇰🇲🇰🇲pamoja sana

  • @BUSHUTV1
    @BUSHUTV1 2 ปีที่แล้ว +1

    Nanyoosha mkono kwa Gooder kuumiza kichwa Kwa Aidia kari hongera msanii kwa kuwa muelewa location

  • @petrejuma8089
    @petrejuma8089 ปีที่แล้ว +1

    Jiwe jipya huamjawah niangusha uzur wako huwa huna majgambo zaid ushaur wangu usnjibu mtu hata kama atakusema vbaya wasaanii wataokuonea wiv kukuimba ww wajbu kwa kaz

  • @rooneyasilitv7939
    @rooneyasilitv7939 2 ปีที่แล้ว

    Nimeikubali Sana New Talent

  • @zakayontagali4731
    @zakayontagali4731 2 ปีที่แล้ว +1

    Saf san ngom nzuri

  • @bundalajilala1182
    @bundalajilala1182 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣keep up brother kazi nzuri 🤙

  • @cosmasrobert2056
    @cosmasrobert2056 2 ปีที่แล้ว

    hongera sana kwa nyimbo nzuri kaka hujawahi kutuangusha mashabiki zako

  • @JapharMagembe
    @JapharMagembe ปีที่แล้ว +2

    Nimeikubali hii

  • @conkerlosevenofficial8692
    @conkerlosevenofficial8692 2 ปีที่แล้ว

    Zunyaga hadi raha
    Najivunia kuwa msukuma 💪💪

  • @rydoneypeter2251
    @rydoneypeter2251 2 ปีที่แล้ว +2

    Good job br

  • @benjaminmadata1537
    @benjaminmadata1537 2 ปีที่แล้ว

    Sauti ya kahama hiyo, nakubali sana brother Ng'wanakang'wa

  • @SophiaBujiku-ed3fo
    @SophiaBujiku-ed3fo ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri bro

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 ปีที่แล้ว +1

    waooo nice song

  • @sifatiiman
    @sifatiiman 2 ปีที่แล้ว

    sema kaz ni kaz kwa kuwa mimi huu wimbo sijui nikoje nimezoea zile za kuruka ruka nikiwa napika kwa waarabu apa nalundaguka😁😁😁 anywy nzuri

  • @yonadaud1888
    @yonadaud1888 2 ปีที่แล้ว +2

    Fire fire🔥🔥🔥🔥🔥🔥 sanaa

  • @josephmaganga9948
    @josephmaganga9948 2 ปีที่แล้ว +1

    Uko vizur sana mzee wa mabala

  • @officialchizer
    @officialchizer 2 ปีที่แล้ว +2

    Unyama ndugu yangu 🔥

    • @ngwanakangwa
      @ngwanakangwa  2 ปีที่แล้ว

      Thanks @ Chizer , mdogoangu kabisa🔥🔥🔥

  • @Yusudav
    @Yusudav 2 ปีที่แล้ว

    Unajitahid sana Ntemi

  • @EzekielBrasio
    @EzekielBrasio 9 หลายเดือนก่อน

    Lyimbo Lya wiza sana

  • @yakuzaweapon9533
    @yakuzaweapon9533 2 ปีที่แล้ว

    me sio msukuma ila unanifanya naskiliza hiz nyimbo zako hongera sana bro unajua mpaka unakelaa karibu mbeya cku moja bro

  • @charzykiyabo3263
    @charzykiyabo3263 ปีที่แล้ว

    Unaweza mkuu

  • @jomiAfrica
    @jomiAfrica 2 ปีที่แล้ว

    Nakuja tufanye ngoma mm naww

  • @emmanuelnila1305
    @emmanuelnila1305 2 ปีที่แล้ว

    Kazi nzuri sana, Endelea kutuburudisha Ntemi omabala

  • @mariamuchimma4241
    @mariamuchimma4241 2 ปีที่แล้ว

    Umekuja kivingine, ni ubunifu mzuri sana hongera.

  • @wachachesana
    @wachachesana 2 ปีที่แล้ว

    Ukosawa kazi inajiereza

  • @nehemiakarebu2886
    @nehemiakarebu2886 2 ปีที่แล้ว

    Ngoma nzuri sana

  • @luciamgila4353
    @luciamgila4353 2 ปีที่แล้ว

    Miza sana

  • @namotino2685
    @namotino2685 9 หลายเดือนก่อน +1

    Good music

  • @NdunguruGeorge
    @NdunguruGeorge 11 หลายเดือนก่อน +1

    Nyembo ya wiza

  • @zagalazabuinge3893
    @zagalazabuinge3893 2 ปีที่แล้ว

    Safi Sana brother,nimeamini kumbe mambo yanawezekana

  • @jomiAfrica
    @jomiAfrica 2 ปีที่แล้ว

    Anza kufanya bongo global bro