Nilikujua kupitia kwa babaangu mzazi kunitumia nyimbo zako hadi leo nakupenda bule umekua mwalim mzuri wa familia yetu na ndoa yangu Asante saana!! Mungu atunzee🙏🙏
Suleymani kaka ntemi unaupiga mwingi wasukuma huku daar tunakusikiliza wewe tuu nami sisikirizi mwanamziki mwingine wa kisukuma zaid yako endeleaa kaka unajua mpaka laha
This is the amongs of the the songs for the people who fight to bring development the greatest song for ntemi congratulations Mr ntemi this songs educate the audience never for give up long life brother were together
Ndio maana kiwango Cha huyu jamaa hakishuki , ni kweli wew ni msukuma ila mawazo yako Si ya kisukuma sana maana Kuna cku huu mziki utaufikisha mbali sana na ndio maana wew Si wa kuigwa hata na msanii mmoja
Jamaa ako huku sikonge shabiki wako uhakika nakubali sana vitu unavyo towaga ni utamu mtupu na ni ujumbe mzuri na ni mafundisho mazuri kwa kila wimbo wako
Dah nmechelewa kucoment kwa msanii wangu pendwa dah ila syo mbaya pokea salamu zangu kutoka KAGONGWA king wa nyimbo za kisukuma tunajivunia mzik mzuur kutoka kwako na KISIMA mnakubalika sana piga kaz broo nakukubal sana msanii no1
Ntemi umebarikiwa kwa kipaji cha kuimba kaka mungu akuongoze sana uweze kufikia malengo yako,hakika nyimbo zako zina ujumbe mkubwa sana ktk jamii pga kazi shabiki yako mkubwa nipo Ziba,Igunga Tabora Salaganda moja
Kama wewe ni mshabiki wa BTM tujuane kwa like
Nitanage kamanda nimefika hapa kuchukua nyimbo2 naombeni LIKE jaman
KARIBU DAR ES SALAAM NTEMI WADAU TUNA KUKARIBISHA SANA NGOSHA
Nilikujua kupitia kwa babaangu mzazi kunitumia nyimbo zako hadi leo nakupenda bule umekua mwalim mzuri wa familia yetu na ndoa yangu Asante saana!! Mungu atunzee🙏🙏
Ubarikiwe sana pia
Nipo Arusha ila nakufuatilua sana kaka pamoja sana@@ngwanakangwa
Mungu akupe maisha malefu ❤❤❤❤
Hongera kwa kipaji ulicho jariwa na mwenyezi mungu aendelee kukuzidishia
Amen 🙏🙏
Umetisha mwamba me shabiki ako wa ukwel toka pande za Ngudu kwimba
ntemi sasa nimeanza kukuelewa tofaut na nyimbo za harusi hapo umetisha kwel ngoma kali pamoja na location nzuri
BTM African 💯💯💯💯💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Pamoja sana moses
Nakubali saana kaka
Mm nimshabiki wa BTM mkubwa pika kazi kaka upo vizuri sana
Mambo nimazuri sanaaaa
Kwa sisi wapigaji wa muziki wa asili bado tuna kibarua kwa huyu jamaa, ni balaa
Suleymani kaka ntemi unaupiga mwingi wasukuma huku daar tunakusikiliza wewe tuu nami sisikirizi mwanamziki mwingine wa kisukuma zaid yako endeleaa kaka unajua mpaka laha
Hii ni kali tena, hujawahi kuniangusha
Hujawahi kukosea king
Safi sana Ntemi ombala kazi nzur
Kinachofanya uwe na mashabiki unajua kuyaimba maisha yetu
Ukuuu ndiyoo unauagaaa wanguuu uwe unatupatia hizii nyimbo maana wa harusii umewapaa nafasiii kubwaa mm nakuapreciate mkuuuu NPo mbeyaa🔥🔥🔥🔥🍡🔥🔥🔥
Sjawasahu kaka!!
@@ngwanakangwa nakukubali wewe kaka mungu akuwekee Yaan unajua unanikumbusha mbali sana
Hii beat iko poa sana ukijumlisha na wimbo big up sana kaka
sa fi Sana kaka
Big up ntemi nakupata vyema haswa nikiwa👉 🇴🇲
Bada ya shinje,hangwa..hiki nacho chuma kimekolea moto kwel,umeniingia akilini haswaaa
ubarikiwe sana kwa ujumbe huo hakika nimeielewa
Ntemi Omabala ulihigulya no, komejaga namhala, bhabha onyama.
DEFINITION PERFECTION = YOU
Nakukubali sana kalibu sana mwamala yetu,,,maeneo ya chaminhwa nasubili ngoma mpya
Hujawah Kosea Kaka
Pamoja sana @Dj Killer
Kazi Nzur Kakaa Mkubwa
Ntemi nashida na ww sana kaka
Nakkbali mno piga kaz
Ni moja ya wasanii wa kisukuma wanao imba na siyo kupiga makelele 🔥🔥🔥🔥🔥
🙏🙏🙏💥
Bro Mungu akutangulie pamoja na management yako yote nawish kufanya collabo na ww and I hope ipo siku itakuwa
Chapa KAZI 👏, hakika unajua
Kazi nzuri sana 🪘🪘🪘🪘🔥🔥🔥🔥
Pamoja sana
Namkubar sana nmetoka Machozi kingine wapangaj wenzangu wanazipenda hata hawajui bas nawatafsiria wanapenda hiz nyimbo sana
Tupo mashabiki ntemi hongel
Hongera kwa wimbo mzur!!!!
Nakuomba uendelee kaka ang, kazi nzur xana
+Racker)-(maico) vitu vyenu hv mseme sijawambia😁
Nilisikia amekuwa mwalimu wa sekondari mwimbaji wetu kisukuma mwamba wa mashaili
Dhu!! Cna uxemi zaidi yakusema mungu akupemaisha malefu🙏🙏🙏
Amen🙏🙏
Jamukaya let’s push our language to the top Ntemi omabala ukutushisha kule 加油吧💪🏻
Hizo nyimbo ndo tuna taka siyo tudange ndio nini
Kubwa sana hii kaka💪
Safi sana mungu akupe maisha marefu mwanakamwa
Kazi n nzuri my Big Kaka 🔥
Tunasema 🙌🙌🙌🙌☑️
My Young 🙏🙏🙏
Yes good idea & nice%99
Many many thanks
Mungu akubariki Sana kwa kazi nzuri sauti yako hukonga mtima wangu
Keep going ntemi @mwanaselewa
Let's go my blood💪
God song brother napenda San song zako from 🇰🇪
Pamoja sana kaka karibu sana🇹🇿
@@ngwanakangwa Asante brother 🤝 karibu pia 🇰🇪
San traditional music
Hujawahi kukosea mr
Pole sana nyimbo unatoa mawazo huzun hakika unajua kuimba hizia za watu mungu akubariki
Kazi nzuli mwanakamwa mungu akujalie
This is the amongs of the the songs for the people who fight to bring development the greatest song for ntemi congratulations Mr ntemi this songs educate the audience never for give up long life brother were together
This is the definition of good traditional music 🇹🇿💥💥💥
unaimba hupigi kelele
it's a pure music rather than noices
much appreciation
keep it up?
asante Sana temi wamabara kuingia kwenye group rangu la tanzaza biashara yako uko poa sana
kaliii
Makavu makavu bila kitafunio tupo nyuma yako kwa ajili yakusapot mziki wetu
Ndio maana kiwango Cha huyu jamaa hakishuki , ni kweli wew ni msukuma ila mawazo yako Si ya kisukuma sana maana Kuna cku huu mziki utaufikisha mbali sana na ndio maana wew Si wa kuigwa hata na msanii mmoja
BTM 🔥🔥🔥🔥🔥
Jamaa ako huku sikonge shabiki wako uhakika nakubali sana vitu unavyo towaga ni utamu mtupu na ni ujumbe mzuri na ni mafundisho mazuri kwa kila wimbo wako
Mungu akuweke sanaaa maana uko vizuri sana
Uhalisia wa maisha 😮
Ndugu wane,nakakukobaga noyi niyo nadakile ulu welelo aninhe jiko aha Halusi yane wize wimbe omayu!! Ukimbaga mpaga umili goyunizuguma!!
MSANII WANGU PENDWA KILA SIKU
Dah nmechelewa kucoment kwa msanii wangu pendwa dah ila syo mbaya pokea salamu zangu kutoka KAGONGWA king wa nyimbo za kisukuma tunajivunia mzik mzuur kutoka kwako na KISIMA mnakubalika sana piga kaz broo nakukubal sana msanii no1
Nashukuru sana kaka
Mzuki nibembele ni na mawazo
Nakupenda Sana mwana kwan,gwa
🤭 Asante jaman,nakupenda pia🙏🙏🙏🙏
Great job
Safi sana mwamba.
Ntemi umebarikiwa kwa kipaji cha kuimba kaka mungu akuongoze sana uweze kufikia malengo yako,hakika nyimbo zako zina ujumbe mkubwa sana ktk jamii pga kazi shabiki yako mkubwa nipo Ziba,Igunga Tabora Salaganda moja
Shukran kaka
Hongera sana kaka kwa kubarikiwa kipaji cha uimbaji mungu ukubariki🙏 sana🤴
Asante sana brother
Hakika mwamba unatutendea haki wasukuma
Asante kaka
Dadeki wasukuma kwa vyovyote lazima tutoboe😮😮😅
One love ❤ntem omabal
Mungu akupe maisha malefu
Amen
Da nyimbo za huyu jamaa nazipenda sana
Ni mbali umetoka
💯💯💯🔥👍
Naipenda sana
Fire
As usual since way back @directormilos
Hongera
👊👊👊👊
Pole sana
🔥🔥🔥
🔥🔥🔥💯💯💯💯👊👊
Welelo twambilijange
Nic
Jamani Kama imekugusa Wapi Like zangu
Asanteni sana Kwa Support yenu 🙏🙏🙏
Nyimbo nzuri ila cja ielewa lugha
❤❤❤
Ntemi omabala
Natogwa
💯🎙️🎹🎶💯💯
One Love!!!
Audio zako zinapatkana wap
This is mwanakang'wa , traditional musician, this song has make me to remember struggling without giving up🏌️🏌️🏌️🏌️
I'm humbled 🙏
Congratulations 👏 BTM SOUNDS
In fact you are educating the society,
You like jobs and not laziness
Chapa kazi mwana yulita,
Asante sana mkuu
@@ngwanakangwa 🙏
Mungu akupe maisha malefu ❤❤❤❤
Tupo mashabiki ntemi hongel
❤❤❤