STEVE Nyerere Amjibu JOTI "Sibishani na Mchekeshaji"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024
  • STEVE Nyerere Amjibu JOTI "Sibishani na Mchekeshaji"
    Kupitia mitandao ya kijamii hivi karibuni kumesambaa Clip ya video inayomuonesha Mchekeshaji, Joti, akimtania Muigizaji Steve Nyerere kuhusiana na masuala ya Misiba akidai kuwa amefika kwenye msiba wa ndugu zake lakini wamemkataa asisimamie badala yake aje Steve.
    Global TV imemtafuta Steve Nyerere na kumuuliza je baada ya kuona video hiyo ameichukuliaje na ana lipi la kusema kwa Joti.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishe..., Suazi1 / uwazi1 WEBSITE:
    globalpublishe... FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

ความคิดเห็น • 51