Arthi imekuwa ya ccm sasa sio tena ya wananchi... Hapo ndio tumefikishwa wazanzibar.. twenden tutafika.. juwen kuwa Zanzibar tumekwisha.. Catholic church movement (ccm) imetumaliza..
Zanzibar imekwisha imekua sasa tunapangiwa na watu wa Tanganyika .. hayo ma flyover wanavutiwa wageni wazanzibari tunazidi kukisaga .. Hasbiyallah waneemal wakeel 😢😢😢
Hawa wanaondolewa njiani tuu washapigwa na kitu kizito, sabab makubaliano yao wajenge kisha walipwe garamazao hivyo hata wakajengewwa upya bado mmekiuka makubaliano maana hamtowalipa ilivyo makubaliano poleni sana kwakueka makubaliano na ccm mi nisingeweza nivigeugeu😢
MACHOGO NDIO WENYE ZANZIBAR NAO NI MHHAMED SHAMTE WAZIRI MKUU WA KWANZA ZANZIBAR - MNDENGEREKO KUTOKA RUFIJI, YUSSUF HIMIDI,- MMANYEMA KUTOKA KIGOMA, HASSAN NASSOR MOYO - MNGONI KUTOKA SONGEA, SEIF BAKAR, - MNDENGEREKO KUTOKA RUFIJI, ABOUD JUMBE MWINYI - MZARAMO KUTOKA KIGAMBONI, SAID WASHOTO - MNYAMWEZI KUTOKA TABORA, SAID NATEPE - MYAO KUTOKA TUNDURU, KHAMIS HEMED MBONDEI KUTOKA TANGO N..K
Mtalipwa tuu mama na mwinyi wana ghofu na allah mtalipwa tuu haki inshaallah fanyeni subra na hiki kilio chenu kitawafikia tuu mama na mwinyi
Leo ccm zanzibar inasemewa na mtu kutoka bara kwel zanzibar ishavamiwa
Kwani hana haki ya kusema?
Mwangaruka baba
Uyo hana uchungu na wazanzibar .jina leke nani na iyo lafudhi habari kwisha apo Balabala tena mmmmh
😂😂😂 Wazanzibari mmekwisha mtanganyika anakutawaleni amri iko kwa hamlipwi Hata shilingi HAWANA Imani HAO.
Sasa huyo msemaji si Mtanganyika kweli Mungano udumu 😂
Ccm hawaaminiki at kdg haswa kwnye pesa nd kbsa.
Fly overs ila pembeni kumezukwa na vibanda havina hata mpangilio patapendeza kweli
Arthi imekuwa ya ccm sasa sio tena ya wananchi... Hapo ndio tumefikishwa wazanzibar.. twenden tutafika.. juwen kuwa Zanzibar tumekwisha.. Catholic church movement (ccm) imetumaliza..
Kama mumeingia rizavu ya barabara humulipwi hatakama ccm ndiyo waliokupeni😂
CCM oyeee 😢😢😢
Zanzibar imekwisha imekua sasa tunapangiwa na watu wa Tanganyika .. hayo ma flyover wanavutiwa wageni wazanzibari tunazidi kukisaga .. Hasbiyallah waneemal wakeel 😢😢😢
Duuh , msemaji wa ccm kutoka wapi huyu
Vunjeni vibanda ivo maneno mengi ya nini,mji umekaa kama jalala
Hio imeenda
Nenda kwenu Bara uko kasemee uko bara
Hawa wanaondolewa njiani tuu washapigwa na kitu kizito, sabab makubaliano yao wajenge kisha walipwe garamazao hivyo hata wakajengewwa upya bado mmekiuka makubaliano maana hamtowalipa ilivyo makubaliano poleni sana kwakueka makubaliano na ccm mi nisingeweza nivigeugeu😢
Huyu mutu kiongozi ccm zenjibar ni mmbara dugh 😂😂😂
0:06 jamani kweli hapa ndo mjini
Umaski ni huu utaishalini wa kuonewa waimarisheni watu kwaza halafu muvunnje
😂😂😂
Ccm bana hatar
Machogo yamekua yanahadhi Zanzibar
😢😢😂😂😂😂