Naikumbuka hii siku ilikua siku ambayo nilipata raha sana kuskiliza makhraja ahqam swautul wardi subhaanallah💗💗💕💓❤️ Hivi ndivyo dini inatutaka tuige kheri kama anavyofanya kijana wetu miongoni mwa warithi wa sh Hassan Saleh💝💟💌❣️
Assalamu alaykum warahammatu Allahi wabarakaatuh.. kiukweli natamani kuwajibu ila mie Sina elimu ya kuwajibu mliyoyasema ila kikubwa nimejifunza mengi Sana!! Na Allah namuomba aniwafikishe kuyafanyia kazi, na Lau hawa walioweka wangeniuliza kuwa kipande hiki waweke au wasiweke Basi Wala kisingekuwepo humu Ila kwa maslahi ya kuendeleza harakati zao za kher Basi itabaki kuwa sadakatul jaariyah.. na Kama kuna nilipo patia kwa kweli ni ijtaahad za walimu wangu na hayo makosa ni mie mwenyewe kutokana na udhaifu wangu màana bado mpaka leo nasoma na kusomeshwa qur,an hivyo nakubali makosa yote na pia nimeyaona Mimi mwenyewe binafsi, Allah awalipe kheri na atuwafikishe kutukubalia amali zetu tunazozifanya iwe liajilihi bi ikhlaaswi nniyah Allahu a'alam..baaraka Allahu fiikum
Ma sha allah anajitaahid kwakweli,anasoma vizur sana,ila ajiitaahid tuu anapoghanni ahakiikishe na ahkami quran anazifuata,usighanni sanna mpaka unapoteza hukmu,kama ni mashindano ya quran basi anapata 20%
Maa Shaa Allah, Nilikuwepo Siku Hiyo Hadi Sheikh Othman Maalim Alimsifia Na Kutoa Kisa na Kuelezea Mengi...!!! Anasoma Hadi Hutamani Amalize kusalisha....!!!
Assalamualaykum warahmatullah maashallah anasoma vizuri ila naomba kidogo akumbushwe kua Aya ya 6 neno la mwisho linamalizia FAT-HA Na sio DHUMMA kama alivyolipita katika Hali ya kuunganisha
Tukiachana na qiraa cha imam tuyazingatie maneno yake ya kwanza kabla hajaanza kuswalisha alafu tizameni hiyo safu kuanzia kwa Othman kumfuata huyo Mh utaona hawajakamalisha swafu hapo kuna kitu cha kufikiria na kuzingatia....
Rudi chuoni Tena. Dini ni Uislam na sio bidaa wala ansar sunna Hilo ulijue kwanza na Mola wetu haangalii sauti anaangalia utiifu juu yake. Laa kama ni chuki bac umepasi. Mola akuongoe inshaa Allah
@@saheedali7467 Nipe Masharti Ya Kukubaliwa Aamali mja?? Unyenyekevu pekee Haufany Ibada iwe sahihi.kwan hata Kafir anayeabudu Yesu huwa wana huou nyenyekevu. Ili ibada iwe sahihi kuna mashart matatu 1:Ktk Ibada yako ni lazima uwe Uislam 2:ktk Ibada yako ni lazima uwe Nia/Ikhlaaswi ya kweli 3:Ktk Ibada yako ni lazima Umfuate mtume nao una masharti matano ktk mfuata rejea sharhe ya Imam Nawaw ya Hadith ya 5 ktk Arbauuna Nawawi cha Al imaam ibn utheymeen.
Mashaallah ❤❤❤❤
Maa Shaa Allah. Allah Subhannahu Wata'ala Amhifadhi, Aamiin.
Naikumbuka hii siku ilikua siku ambayo nilipata raha sana kuskiliza makhraja ahqam swautul wardi subhaanallah💗💗💕💓❤️
Hivi ndivyo dini inatutaka tuige kheri kama anavyofanya kijana wetu miongoni mwa warithi wa sh Hassan Saleh💝💟💌❣️
Maasha Allah tunammomba mngu atu zidishiye sote wujuzi na enlmu yenye manufaan insha Allah na atu barikiye sote
Masha allah.
May Allah protect you imam, brothers and sisters in faith. Is very nice recitation of holy Quran.
Mashallah
MASHALLAH
Mashallah Mwenyezimungu akujalie uhai mrefu afya njema na mwisho mwema yarab ameen
yaa salaam akhy Twalib Allah ubaarik
Masha Allah
Mashaallah
Masha Allah Tabarakallah hadi raha wallahi..ALLAH barik
Maa Shaallaah Allaah.... Subhaanak... Utakatifu wa mali ni wako Allaah.
Assalamu alaykum warahammatu Allahi wabarakaatuh.. kiukweli natamani kuwajibu ila mie Sina elimu ya kuwajibu mliyoyasema ila kikubwa nimejifunza mengi Sana!! Na Allah namuomba aniwafikishe kuyafanyia kazi, na Lau hawa walioweka wangeniuliza kuwa kipande hiki waweke au wasiweke Basi Wala kisingekuwepo humu Ila kwa maslahi ya kuendeleza harakati zao za kher Basi itabaki kuwa sadakatul jaariyah.. na Kama kuna nilipo patia kwa kweli ni ijtaahad za walimu wangu na hayo makosa ni mie mwenyewe kutokana na udhaifu wangu màana bado mpaka leo nasoma na kusomeshwa qur,an hivyo nakubali makosa yote na pia nimeyaona Mimi mwenyewe binafsi, Allah awalipe kheri na atuwafikishe kutukubalia amali zetu tunazozifanya iwe liajilihi bi ikhlaaswi nniyah Allahu a'alam..baaraka Allahu fiikum
Waaleykum ssalaam warahmatuLLAHI wabarakaatuh, Masha ALLAH Shukran Akhii Taalib
Ammin ,ni makosa y ulimi Allah atutakabalie tuliyoyafanya
Akhitalib naomba namba yak
Baarakallah fii
وعليكم السلام ورحمةالله وبركاته
هكذ علمنا الرسول الله
بارك الله فيك اخى طالب
Mashaallah mashaallah mashaallah Allah akuzidishie
Baarakallaahu fiyka
ALLAHU AKBAR
Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar!
Mashallah mashallah Allah amjaalie afya njema
Mashaallah Allah atujaalie mwisho mwema na utufishe haliyakuwa waislamu
Mashallah mashallah mashallah Hongera sanna
Masha Allah. Anajua maalim☝️
Ma shaa allah Tabarakallah
ماشاءاللہ
Allahuakbarrr
MA SHA ALLAH TABARKALLAH .
Maa shaa Allah
Mashallah Allah amjaalie kheri amiin
Jazzakallahu khairan
hi
Maa Shaa ALLAH, Tabaraka ALLAH
mashaalla, Allahi tawil umrak shaikhuna
Maa shaa Allah, Allah ampe umri mrefu
Mashaallah Allah amjaalie umri mrefu wenye manufaa
@@MdKamrul-yl6ec Ameen
Masha Allah.akhy twariq
Mashaa Allah Tabarakaallah
Masha allah tabarraka rahmani barraka allahu feek
Ma sha allah anajitaahid kwakweli,anasoma vizur sana,ila ajiitaahid tuu anapoghanni ahakiikishe na ahkami quran anazifuata,usighanni sanna mpaka unapoteza hukmu,kama ni mashindano ya quran basi anapata 20%
Shukran tutafanyia kazi na Allah atujaalie ikhlas na atuepushe na riaa
Maa Shaa Allah, Nilikuwepo Siku Hiyo Hadi Sheikh Othman Maalim Alimsifia Na Kutoa Kisa na Kuelezea Mengi...!!! Anasoma Hadi Hutamani Amalize kusalisha....!!!
Suu umeongea kwl 20 max anaghani vzr ila anakosea kosea marekebisho2 kdg
MashaàaAllah
MASAALHA
الله أكبر
ماشاءالله
Mashaallh
Mashaa Allah mashaa Allah
Mashallah kijana yupo vzr
Mushallwa mungu alinde
Mashaallah maqam rasd
Mashaallah mara alfu mia
Masha Allah Ya Imamu
الله.... الله.... الله
Maashaallah
Mashalla tabaraka llah lahaula walakuwata illha bilah
Mashallah huchoki kusimama adi raha
Mashallah had unataka kulia kwa saut ilivyo tamu
Mashanlla allah mubaraka allah mubaraka amina amina
Man'shallah ❤️ uislam raha jamani
Maasha Allah Maasha Allah
Safi sana
الحمدلله رب العالمين
جميل
Ametakasika Mola wa Ulimwengu
Mashallah 🥰 mashallah 🥰 mashallah 🥰🥰💯🌴🌴
Ya Rabbi mpe nguvu na uwape watoto wetu uwezo wakufanya vizuri kama huyu mashallah
Aamin inshaallah
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
Amin
alhamdu lillah nilibahatika kuswali nao
Mashallah
Mashaallah
Allah Akbar
Shekh usiseme kwamba kapagawisha wa umini qoran haipagawishe muislam Bali humuweka katika hali ya utulivu
Sbuhana Allah mashallah
Aishallah
Namuona km Baloz Seif mjengon, Tumuombeen dua jaman, huyu n kiongoz wetu mzur wa cku nyng pia kw alvyo sasa n mzee wetu tena....
Na alikuwa atak wasiachiwe
Assalamualaykum warahmatullah maashallah anasoma vizuri ila naomba kidogo akumbushwe kua Aya ya 6 neno la mwisho linamalizia FAT-HA Na sio DHUMMA kama alivyolipita katika Hali ya kuunganisha
Na kila aliposoma neno DUN- YA katika Aya aliyoisoma baada ya Suratulfatha anatia KASRA ila Pana SUKUUN
@@mirajshaib2776 kwa mujib wa kisomo
Hahahha watu wapo makini maa shaa Allah hongra sana
Pia Katk kuanza aya ya kwanza surat fatha sijaelewa vzr usomaji
Ulimi tu hauna mfupa sio kwamb hujui iyo fat-ha
Shekh mmekosea si othman maliim huyu
Nitapataa ajee namba ya Othman maalim ,Mimi ni mwanafunzi wa dini Niko kenya
Kelele Hamna Utulivu
Usichokijua Usikichonganishe Ukakiharibu...!!! Kasome Biblia Ni Rahisi Zaidi Kwako.. !!!
@@abhaaly 🤣🤣🤣🤣
@@fatmakhanii1676 Naammm!!!
Kwaya zenu ndio kelele
Hayo matangazo mpaka yawe na mijimbo??
Swadakta
Hta mm nnaikumbika pia
Tukiachana na qiraa cha imam tuyazingatie maneno yake ya kwanza kabla hajaanza kuswalisha alafu tizameni hiyo safu kuanzia kwa Othman kumfuata huyo Mh utaona hawajakamalisha swafu hapo kuna kitu cha kufikiria na kuzingatia....
Pana mwanya sheikh
Lbda uyo m2 anamuogpa kiongz
Allah atanusuru na fitnah hz kwahyo anamuogopa kiongozi haliyakuwa anamsujudia mwenye haqi ya kuogopewa mtihani
@@abaanahyatmughira5300😫😫
@@khadijahali4837 Vp kuna shakah juu y hilo?
Ukitaka kumfaidi imam km huyu asalishe tahajjud
Anasoma qur'an kama kavimbewa viazi vitu
Wacha kashfa ndugu
Huyu wanyuma seif Alli Iddi au?
Naam Hasan saleh
Uyo seifu Ali idi saafuu haja iweka sw kakaa anavo taka yy
Usimsakame mzee wawatu
Eh na ww
Title mbovu kabisa.... Eti imamu kapagawisha
Weka yko ww nzuri
Maana ya kupagawa unaijua
Baada ya kupagawa kinachfuata ni kuchizika maana mmekosa kujua nafasi na thamani ya miskiti
Kwisha ww chki binasfi tu
@@issajuma7152 Mm niwe na chuki ya nini hapo ninachokushauri ni kushikamana na suala la kusoma dini yako ndio jambo la msingi
Saluu Alaa nabii sisi ni waislam tunaabudu mungu mmoja naona mnampa iblis nafasi awatawale huku akichekelea
.
masufi
Kama zumari
Neno " KUPAGAWISHA " huwezi kulitumia kwa ibada ya Kiislam. Neno hili linatumika kwa wasanii wa kuimba, wanasiasa nk
Huyo hapo mwenye koti ni nani kama Balozi seif kama ndiye nisengeliswali humo ameikufuru Quran katika uwongozi wake
Allah ndiye mwenye kutoa kuhukumu siyo ww
Hujielewi wewe, usingeswali sababu inaonekana sio kawaida yako kuswali, sababu sala haimkatai mtu eti kisa huo msikiti ameingia kuswali mtu fulani
Nan kakwambia hakuna toba na kwann auswali kwaajil ya mtu
Kwani umeambiwa hakuna Toba Kaka inamaana wewe ndio mtoaji hukumu?
Ww ukosoma
Mwandishi badilisha kichwa cha habari,
Na mbona tusioni watu kuvua nguo sasa baada ya kupagawa,?🤔
Asa ndo kampagawisha nani? Na kufanya kwenu RIA(na kujifaharisha)
haikutakiwa kutumika hili neno, kupagawisha...sio neno zuri ktk habari km hii. kwani mtu anapagawa kwenye swala kweli?
Dhana mbaya ujue uislam ucfanye chuki
Watu wa bidaa hata hawapendezi.Hebu ione hiyo mikanzu yao utafikiri ni magunia.
Na wala Hana saut nzr ya kumfikia Sudeis wa Masjid haram.
Rudi chuoni Tena. Dini ni Uislam na sio bidaa wala ansar sunna Hilo ulijue kwanza na Mola wetu haangalii sauti anaangalia utiifu juu yake.
Laa kama ni chuki bac umepasi. Mola akuongoe inshaa Allah
Na wakimfia dudesi Iwe nini.
Yaonesha hata mana ya bidaa hujuwi miskin
@@saheedali7467 Nipe Masharti Ya Kukubaliwa Aamali mja??
Unyenyekevu pekee Haufany Ibada iwe sahihi.kwan hata Kafir anayeabudu Yesu huwa wana huou nyenyekevu.
Ili ibada iwe sahihi kuna mashart matatu
1:Ktk Ibada yako ni lazima uwe Uislam
2:ktk Ibada yako ni lazima uwe Nia/Ikhlaaswi ya kweli
3:Ktk Ibada yako ni lazima Umfuate mtume nao una masharti matano ktk mfuata
rejea sharhe ya Imam Nawaw ya Hadith ya 5 ktk Arbauuna Nawawi cha Al imaam ibn utheymeen.
@@hajisimaikhatibu443 Nisujue bidaa mim haya nijuze wew?
Mashallah
Mashalla
Mashaallah
MASHALLAH
Maa sha Allah
Maashaallah
ماشاءالله
Masha Allah
Mashaallah
Mashaallah
Mashallah
Maasha Allah