Simba na yangu mnafundwa kuwa Machawa wa Chama cha CCM, baada ya kudanganywa kwa kupewa pesa, ili muichague kwenye uchaguzi. Wanazi wa Simba na Yanga wako kwenye viama vingine. Hachenj kuwapigia Debe CCM, mpira na siasa ni kutu tafauti.😅
Huyu katoroka Shule ya Sinza Maalum. Na alikua kiranja pale Milembe jaribio la kwanza kama amepona au laa ulichwa mlango wazi lkn alitaka kupitia kwenye kioo. Ukitaka kujua bado hayupo sawa hata kuandika bado hiv hiv unaona haja pona kitu tofauti ana sema mpira na siasa kutu tafuti.
Ahmed ally unabusara sana kak simba nguv moja
Kila kheir chama langu 🎉🎉❤❤
Sasa huyu na Ibwe ni mbingu na nchi. Wakati Ibwe yeye anaongea kwa dharau lakini huyu anaongea kimpira. Bado anakubali Azam nayo ni timu kubwa.
MwenyeziMungutujalieushindimnono
Kila la khery mnyama Simba sports club hapo kesho Amiinna Rabillah Allah miinnah 🤲
Ubaya ubwela tuende tukachukue point 3 ilo ndio muhimu
Naamini yakuwa mafuta yalio mkanga tripol yapo mkamkaange Azam fc ili turudi na poit tatu muhim sana ubaya ubwela
Inshaallah 🤲
😂😂😂 ubaya ubwela
I wish the best to Mnyama Simba
The voice d.voice😊😊😊😊
Love you simbaaaa mungu nimwema tutafungaa 4❤❤❤❤❤
Mungu ibariki simba point 3 muhim
Chasambi na Karabaka wako wapi mbona ata benchi hawaonekani😢😢😢😢
Mungu amekujalia busara semaji
Simba nguvu mojaa ubaya ubwelaa
MUNGU NI MWEMA SIMBA ITASHINDA
Kukaanga ndo habari ya mjini lazima
Mafuta yalobakia wakati wa kumkaanga al ahly tripol kesho ndo yatatumika kumkaangia azam fc.
Inshaallah 🤲
Kila la kheri Chama langu
Atakuwa kama Simba clubeeh mwaka😊😊😊😊
Semaj endelea kuongea
Simba nguvumoja kesho tutawapiga goli2 bila
Wana lambalamba Wameileta Simba Zanzibar eti kupunguza idadi kubwa ya magoli, lakini tunawambia ubaya ubwela
Inshaalah
Leo ajatuchekeshaa nimekasirikaa😅
The thi gem gem things
Simba na yangu mnafundwa kuwa Machawa wa Chama cha CCM, baada ya kudanganywa kwa kupewa pesa, ili muichague kwenye uchaguzi.
Wanazi wa Simba na Yanga wako kwenye viama vingine.
Hachenj kuwapigia Debe CCM, mpira na siasa ni kutu tafauti.😅
Tutolee utaahira wako hapa
wew hujui ndyo chama makini inchini bwege wew
Huyu katoroka Shule ya Sinza Maalum. Na alikua kiranja pale Milembe jaribio la kwanza kama amepona au laa ulichwa mlango wazi lkn alitaka kupitia kwenye kioo. Ukitaka kujua bado hayupo sawa hata kuandika bado hiv hiv unaona haja pona kitu tofauti ana sema mpira na siasa kutu tafuti.
Yule ibwe anaongea zaidi kama shabiki wa utopolo
🎉🎉🎉
Ubaya ubwela kesh mapema tu
Team ya Kutangaza utalii
Sasa timu iliyokuwa ya 12 Africa ndio itangaze?
😂😂😂😂😂😂😂😂😂si ndo hapo sasa@@bahatimshali2731
uyo Omar omar ndo asipangwe kabisa kwa mechi ya kesho
Okejepha akiumia ? Wote ni wachezaji wa simba so kocha atajua yy amueke nan
🦁🦁🦁🦁🦁
Ibwe mkubwa kaingia clab bingwa je ww umeingia wapi kwa best looser
Ila simba 😂😂😂😂😂
Kolo anakufa kesho..bado uchovu wa CAFCC..Azam watawafunga
Pambana na goli lako moja la OFSIDE, achana na ya kwetu😂