Kiingereza kinaborongwa sana tatizo pia ni direct translation kutoka Kiswahili. Km utasikia “many house”. Ufundishaji wake ni mzuri kwa mtu ambaye anajua grammar ila hana mazoea ya kuongea au anajua kuongea ila anataka accent tofauti eg ya kimarekani. Bila kujifunza lugha kama lugha baado tutaendelea kusikia vitu kama “I’m 31st years old”. Hii hata kama umeitamka kama mwingereza baado ni broken English.
Asante sana Ras simba nimesoma hapo maeneo ya tawi lenu.l Ghana/furahisha mwanza na sasa full ung'eng'e.
Naomba namba kaka simba
Ras Simba nakukubali sana bro
Nakuamini sana ras simba ulanga boys songea
naomba namba
Pls naomba no yako tuweze kuwasiliyana
Naomba namba yako mkuu Ili nije kuchukua mafunzo ya kingereza
Unaatikana wapi?
tupe namba yako
Sory naomba no yako nataka kuongea na ww
Tunataka no basi
Asante Carry
Nisaidie no yako anaitaji kujifunzaa
Ada shingapi
Niko upande wa dodoma na Arusha kunamwingine anataka no yako