Muhammad ni Mtume wa Mwisho Wengine Wote ni Wauwongo Ama Feki-Sheikh Ramadhan Baraka

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024
  • Muhammad ni Mtume wa Mwisho Wengine Wote ni Wauwongo Ama Feki-Sheikh Ramadhan Baraka Akielezea historia ya mtume

ความคิดเห็น • 36

  • @AishaSaid-f5k
    @AishaSaid-f5k 10 หลายเดือนก่อน +1

    MashaAllah 🥰🥰🥰

  • @aboubakarisimba6610
    @aboubakarisimba6610 9 หลายเดือนก่อน +1

    Takbiiiiiiiiiiiiiiiir 💪

  • @JumaZuberi-mn4nk
    @JumaZuberi-mn4nk 4 หลายเดือนก่อน

    Marsha Allah shekhe ramadhaan

  • @al-aminalihamad1431
    @al-aminalihamad1431 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyeezi Mungu Akubariki, Akulinde, Akupe KIla la Kheri Duniani Na Akhera. Nakutumia Salaam Nyingi Kwako na kwa Wazazi wako popote pale Mlipo.

  • @zenajaha3222
    @zenajaha3222 6 หลายเดือนก่อน

    Mashalah Allah akulinde mtoto wetu dinian Akhera

  • @ebrahimuhasani8935
    @ebrahimuhasani8935 ปีที่แล้ว +2

    MaashaAllah Allah amuongoze na Amjalie kila la hery pia akiongonze kizazi chetu Allahum Amiin

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 ปีที่แล้ว +3

    Maasha Allah...ALLAH akukinge na hasadi mtoto mzur.

    • @omante194
      @omante194 ปีที่แล้ว

      Amin amina yalabilalamin 🤲

  • @ahmedmassoud8758
    @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว +1

    MASHA-ALLAH MAWAIDHA MAZURI ✨🌙💖💖🕋🕌🌹 RAMADAN KAREEM

  • @NaumyHemedd
    @NaumyHemedd 3 หลายเดือนก่อน

    Marshaa anlla

  • @IshaqaMussa
    @IshaqaMussa ปีที่แล้ว

    جزاك الله خير

  • @gorodaxmed7762
    @gorodaxmed7762 ปีที่แล้ว

    Maashaa allaaàh

  • @JumaNassor-vn6jv
    @JumaNassor-vn6jv 11 หลายเดือนก่อน

    etiwahoji mtumekafa kazikwa chini kwaiyo hamumtakimuhammad kwakuwa kazikwa jeee hamjiulizi tangia ukristoulipo anzishwa kunamkristo aliepaa juukama yessu

  • @KusuniaIbrahim
    @KusuniaIbrahim ปีที่แล้ว

    maashaallah.mtoto

  • @nalingarowl7048
    @nalingarowl7048 ปีที่แล้ว

    Kila Nabii anakuwa na kalenda yake inayotawala.Toka Yesu aondoke haijatawala kalenda ya Nabii yeyote Hadi Leo,zipo za wao be na sio inayotawala. Yesu ni Alfa na Omega

  • @RajabuNyumbi
    @RajabuNyumbi 6 หลายเดือนก่อน

    Aposto devvi

  • @alialamoudi9729
    @alialamoudi9729 4 หลายเดือนก่อน

    Nani alimfundisha hali yeye ni mtoto lugha ya kiyarabu ni ngumu sana ameijuje hao maneno tunaiskia kwa mashekhe wa kubwa duniani yeye amefahamu vipi NA yeye ni mwafrika hio ni alama ya kiyama mungu ambariki NA waaslaam wote huko afrika ndugu yenu kutoka yaman

  • @JumaNassor-vn6jv
    @JumaNassor-vn6jv 11 หลายเดือนก่อน

    watuwaupande wapili wenye manabii fekiduu kwakweli wamelishwa mkatee washairi na divai hawaelewi chochotemana wanaleta hojazisizona mashiko waokwaokilakitu ndio ndio t mtt wakislam ndohuyo ukokwenu hamnamtt wanamnahiyo hataawe mtt wa mchungaji au papa

  • @EmmanuelPetro-pp3iu
    @EmmanuelPetro-pp3iu ปีที่แล้ว

    Inaonekana dogo anatumiwa nawakubwa ksm dini zawatu

    • @aishamakonde4499
      @aishamakonde4499 11 หลายเดือนก่อน

      Wewe Baki na Imani Yako acha Imani potofu ww mtoto km huyo anafundishwaje sasa

  • @fredrickgitonga1972
    @fredrickgitonga1972 ปีที่แล้ว

    Ingekua Muhammad die mtume wa mwisho, asingelikufa ju yeye niwa mwisho

    • @ustadhshafiionlinetv
      @ustadhshafiionlinetv  ปีที่แล้ว

      We ni jahil

    • @al-aminalihamad1431
      @al-aminalihamad1431 ปีที่แล้ว +2

      Ndugu Kila Binaadamu atakufa hii ni mpangilio wake Mwenyeezi Mungu. Mtume Mohamad alifariki lakini ametuachia Kuruani ambayo ipo Hai mpaka mwisho wa Dunia. Ni Mtume wa maisho lamini Kuruani ipo na sisi. Maneno ya kuruani ni ya Mwenyeezi Mungu. Maneno haya yamekusanya Elimju ya Ulimwengu Wote. Usikasirike ninajitahidi kukufahamisha.

    • @kassimsalim6160
      @kassimsalim6160 ปีที่แล้ว

      Mawaidha yamewafikiaaa.......🤫🤫🤫 MTUME MUHAMMAD (S.A.W) NDIYE MWISHO WA MITUMEE......HAKUNA MTUME ATAKAYETOKEZA BAADA YAKE...............LAHAULA WALA QUWATA ILA BILLAH.......ZAMA ZA KIJAHILIA TU SUBHANALLAH ALLAH ATUONGOZE

    • @sadikihalfani
      @sadikihalfani 5 หลายเดือนก่อน

      We ndo mwana mpotevu kabisa

  • @IshaqaMussa
    @IshaqaMussa ปีที่แล้ว

    Nyiny wakristo amuna akili nabii amechaguliwa na allwa au mwenyezimung

  • @prochesernest5439
    @prochesernest5439 ปีที่แล้ว

    Dogo umedanganywa Muhammad yupo kaburini anakuwaje wa mwisho wata watu tupo duniani nenda Kwa mwaposa utamkuta mtume Sasa waislamu munakosea kuwadanganya watoto wenu kama hako kanajua Nini ?

    • @ustadhshafiionlinetv
      @ustadhshafiionlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Hivi Mwamposa unayemsema utume huo kaupatia wapi??
      Hivi Yesu na Mwamposa nani zaidi??

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 ปีที่แล้ว

      @@ustadhshafiionlinetv mwaposa utume kaupata Kwa Yesu Mungu mkuu Muhammad atumukubari kwasababu hakutumwa na Yesu kristo mwokozi wetu Muhammad ndomaana ni mtume na nabii wa uongo Kwa mujibi wa biblia mathayo 7;15 na 24;11 Muhammad hapo anapatikana

    • @ahmedmassoud8758
      @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว +2

      Kikowapi kitabu cha mwaposa alichoshushiwa na mungu wenu yesu kama yeye ni mtume wakweli

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 ปีที่แล้ว

      @@ahmedmassoud8758 katika vitabu vya Mungu Quruan sio ni Cha majini heti Mtume Muhammad ajui kusoma heti anakitabu kinaitwa Quruan wakati akijui kukisoma ndomaana tunakiita Cha majini mashetani mwaposa ni mtume wa Yesu anamtumikia

    • @ahmedmassoud8758
      @ahmedmassoud8758 ปีที่แล้ว

      @@prochesernest5439 pole sana