Mbona hiyo ni kawaida saana mtoto wako kumuita hivyo ni normal sana mfano kama mke wako unaweza mda mwingine ukamuita rafiki Yako au ukamuita mpenzi wako au ukamuita mshikaji wako Yani inategemeana na jinsi mnavyoishi
@congratulationmayunga3833 Kawaida dunia ipi? Mila na desturi zipi? Au ni usasa? Baba ni Baba na Mtoto ni mtoto hata uwe na mazoea au malezi gani mwanao hawezi kuwa bro. Wewe kama unaona ni kawaida kamuite Baba yako Kaka, mkipiga story refer to him kama kaka uone reaction.
Jamaa Yuko normal in content,na punch hapigi ila good job
baba levo ndo kanichekesha hao wengine hawajanichekesha kabisa sijui wamelipwa sh ngapi
Dogo Muhim Kujua
"BabaaaKO ni ChaaWa"😂😂
Mungu awa samehe mbona ukaweka weka wimbo wa falstin wenye huzuni kisha watu wana katika 😢
Baba Levo anamuita Levo, Mdogo Wangu 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂 wanaishi kizungu
@KalenjeMasoud-vg3om Hakuna Mzungu anaemuita mwanawe bro 🤣🤣🤣🤣🤣 Labda Wazungu wa Buza
Mbona hiyo ni kawaida saana mtoto wako kumuita hivyo ni normal sana mfano kama mke wako unaweza mda mwingine ukamuita rafiki Yako au ukamuita mpenzi wako au ukamuita mshikaji wako Yani inategemeana na jinsi mnavyoishi
@congratulationmayunga3833 Kawaida dunia ipi? Mila na desturi zipi? Au ni usasa? Baba ni Baba na Mtoto ni mtoto hata uwe na mazoea au malezi gani mwanao hawezi kuwa bro. Wewe kama unaona ni kawaida kamuite Baba yako Kaka, mkipiga story refer to him kama kaka uone reaction.
Convincing power of convincing....wooozaaa
Baba levo upo vizuri
B Levo ba🤣🤣🤣
Ooohhhh yeeesss
Hahaha
Yuko vizuri
hao wana kwa upande wa stand up comedy
Mzee kasome ualimu
Nenda chuo cha ualimu
❤
Uyo mtumishi anaforce kuchekesha hana kipaji
Wewe Dinya 😂 unamtaka nini mtumishi 😂
sio vizuri🤣🤣🤣
Acha uchikoz
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Kuçhekeshà sio mchezo