PENZI LA MTOTO WA BOSS 💞 NA DADA WA KAZI PART 55 | Love Story

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 2.1K

  • @Dontatv255
    @Dontatv255  14 วันที่ผ่านมา +1424

    Aya leo nimewahi kuwaletea nipeni maua yangu 🎉🎉😁❤️

    • @NdariJames
      @NdariJames 14 วันที่ผ่านมา +14

      Congratulations bro 🎉🎉

    • @JaneJohn-d7w
      @JaneJohn-d7w 14 วันที่ผ่านมา +5

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @NaomiSanga-p5y
      @NaomiSanga-p5y 14 วันที่ผ่านมา +4

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

    • @LydieNiyonkuru
      @LydieNiyonkuru 14 วันที่ผ่านมา +2

      🎉🎉🎉

    • @abdallahassan6378
      @abdallahassan6378 14 วันที่ผ่านมา +5

      Kaz zenu nzriii sn mwenyezi Mungu awabariki sana 🎉

  • @TerezaTereza-dh4lx
    @TerezaTereza-dh4lx 14 วันที่ผ่านมา +83

    Nimewai Leo tearm strong like zangu jmn wacheni uchoyoo ❤❤❤

  • @JulianaMagodi-d3d
    @JulianaMagodi-d3d 14 วันที่ผ่านมา +61

    Loveness ni mwanamke jasiri na mpambanaji hongera sana kipenzi

    • @Geenyo2025
      @Geenyo2025 14 วันที่ผ่านมา +2

      Kweli

    • @Geenyo2025
      @Geenyo2025 14 วันที่ผ่านมา +2

      Please we need a bit progress to expose to Denise about her affairs with young man and fake pregnancy ❤❤. Longer time

  • @ombenimgonja4318
    @ombenimgonja4318 14 วันที่ผ่านมา +93

    jamanin kevi anapitia wakati mgumu dh wangapi wanatamani kevi arudi kwenye maendeleo yake ya awali tujuane apa👋👋👋

  • @man-hussein6233
    @man-hussein6233 14 วันที่ผ่านมา +361

    Jamani nimenunua bundle kwa ajili ya penzi la mtoto wa boss na dada wa kazi musininyime likes japo nimechelewa 🎉🎉

    • @SophiaOmare-o7d
      @SophiaOmare-o7d 14 วันที่ผ่านมา +4

      Mbona fupi na vile n tamu

    • @Happy-br7pw
      @Happy-br7pw 14 วันที่ผ่านมา +5

      😂😂😂😂😂😂

    • @Happy-br7pw
      @Happy-br7pw 14 วันที่ผ่านมา +1

      Jaman lovenes nakupend

    • @Happy-br7pw
      @Happy-br7pw 14 วันที่ผ่านมา +2

      Umerazmixhwa na man Kwan

    • @linu0720
      @linu0720 14 วันที่ผ่านมา +1

      Cumi ????!!??????

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 14 วันที่ผ่านมา +51

    Kama unatazama kipindi hii mwenyezi mungu azidi kukulinda🎉🥳🥳

  • @FrancineZuwena-t8v
    @FrancineZuwena-t8v 14 วันที่ผ่านมา +28

    Aaah watu awalali nilizani nimewayi kumbe nimesha chelewa 😂😂😂 nawapenda wote mashabiki ya donta tv

  • @NasraIbrahim-dw1hr
    @NasraIbrahim-dw1hr 14 วันที่ผ่านมา +39

    Safi sana rati❤❤jamani tuseme kwel kelvin movie ni tamu chukua hii🎉🎉🎉💯

  • @RovaniaAllen
    @RovaniaAllen 14 วันที่ผ่านมา +30

    Woyooooo leo nimewai jmn like zangu💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼🔥🔥🔥

  • @JescaKavishe-j2o
    @JescaKavishe-j2o 14 วันที่ผ่านมา +77

    Tangu nianze namba 1 mpaka leo sijawai pata likes hata 1

  • @AndereahDenis
    @AndereahDenis 14 วันที่ผ่านมา +116

    kutoka migori kenya ❤❤ wa kwanza naomba like nzangu

    • @TabithaRange
      @TabithaRange 14 วันที่ผ่านมา +2

      Oky amang'ana😅

    • @chachasangaria6912
      @chachasangaria6912 14 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@TabithaRangembuya nauwe

    • @TabithaRange
      @TabithaRange 13 วันที่ผ่านมา

      @chachasangaria6912 😀😀 mbuya

  • @LucienNdereyimana-v8l
    @LucienNdereyimana-v8l 14 วันที่ผ่านมา +42

    Dennis jamani fanya mpango kwa sababu kelvin anateseka sana 🎉❤❤❤

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 14 วันที่ผ่านมา +120

    Wa kwanza Leo kutoka Kenya wapi likes zangu 🇰🇪🇰🇪

    • @MwanalimaMwalimu-c4m
      @MwanalimaMwalimu-c4m 14 วันที่ผ่านมา +2

      Well done team Ruto😂😂😂

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 14 วันที่ผ่านมา +1

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @mwiteathmanmwite
      @mwiteathmanmwite 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kenya to Kenya🇰🇪

  • @WilsonPyatich
    @WilsonPyatich 10 วันที่ผ่านมา +3

    Hii movie iko na mafunzo mengi saaana Mungu bariki KAZI ya hawa actors may God bless you 🙏🙏

  • @Brightmukena-w3s
    @Brightmukena-w3s 14 วันที่ผ่านมา +11

    Kevin Mungu akufanye mtajiri munene 😍 je t’aime depuis Congo 🇨🇩

  • @HALDYTV-r5u
    @HALDYTV-r5u 14 วันที่ผ่านมา +9

    Nawakubali sana team yote ya donta tv , congo pia tunawapenda sana 🇨🇩❤❤

  • @CarolyneMalala-o6x
    @CarolyneMalala-o6x 14 วันที่ผ่านมา +16

    Kazi nzuri sana, ila Kelvin kuwa makini sana, maana kwenye maisha shetani anatunyemelea kwa kila hatua tunayo piga

  • @NdagijimanaRenova-p7w
    @NdagijimanaRenova-p7w 14 วันที่ผ่านมา +28

    Wakwanza hapa like zangu jamani.from Mozambique

  • @agathaKamuya
    @agathaKamuya 14 วันที่ผ่านมา +3

    wana donta oyeee, kazi mnayo nzuri wengine hatulali tukiwafuatilia love na mama wanampenda sana kelv ungua pole kaka❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉.

  • @KhadijaAmiri-n1p
    @KhadijaAmiri-n1p 14 วันที่ผ่านมา +9

    Kelvin na timu ya ko inanikosha Sana ukuniliko mbali nandugu najiliwaza nanyi❤❤❤❤❤❤❤

  • @gogoloveofficial5666
    @gogoloveofficial5666 14 วันที่ผ่านมา +62

    Munipatie ma likes hata cumi jamani,Leo nimewahi🎉🎉🎉🎉.Love from GOGO LOVE OFFICIAL TO BURUNDI 🇧🇮

    • @jejejedidia8252
      @jejejedidia8252 14 วันที่ผ่านมา +1

      Gogooo🎉🎉🎉🎉

    • @gogoloveofficial5666
      @gogoloveofficial5666 14 วันที่ผ่านมา +1

      Wa kwetu kumbe na weye usha fika✌️✌️✌️✌️

  • @RizikiThomas-x9z
    @RizikiThomas-x9z 14 วันที่ผ่านมา +340

    Toka nianze kufatilia seem ya kwanza Hadi leo sjapata hata likes mojo

  • @LeilaAbdi-p4i
    @LeilaAbdi-p4i 14 วันที่ผ่านมา +8

    Yani kwakweli mwafanya kazi nzuri sana kutufunza mambo mengi katika maisha ya jamii❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @LilianIdza
    @LilianIdza 14 วันที่ผ่านมา +42

    Ata kama lisaa limoja limeisha namimi like ata tano tu❤❤❤

  • @GladysKarembo
    @GladysKarembo 13 วันที่ผ่านมา +1

    Mimi kila siku nawapea like lakini mm sipewi sawa kama hamnipendi.Kazi nzuri congratulations team Kelvin ❤🎉🇰🇪

  • @FatumaMbarawa
    @FatumaMbarawa 14 วันที่ผ่านมา +11

    Love hongera kwa juhd zako hakika twajifunza kupitia kwako chukua maua yako love❤💐

  • @fauzenkassim8424
    @fauzenkassim8424 14 วันที่ผ่านมา +20

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ maua unayo na unatambua nayo kiukweli unastahili hatarini sana hi movie

  • @AnthoniaLyimo-h6t
    @AnthoniaLyimo-h6t 14 วันที่ผ่านมา +9

    Upo on time sana❤❤❤❤❤
    Wafuatiliaji mwasemaje

  • @Sofi99-u6o
    @Sofi99-u6o 14 วันที่ผ่านมา +5

    Napenda kazi zenu..ushauri punguzeni kufanya mov za mapenzi..piga Atua badirika wekeni zile za kwenye mahusiano yakweli na kupinga mapenz ya nje ya ndoa..niny nikio cha jamii.mungu Awaongoze njia sahihi

  • @ShamimShamy
    @ShamimShamy 14 วันที่ผ่านมา +2

    Lati 🎉🎉 Kwel Kelvin mim mwenyewe niliogopa Lin wew Ni mwanauma bhana hushidwi🎉🎉 Mungu nipe Moyo Kama watina den's hongera Kwa unayopitia,,

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s 14 วันที่ผ่านมา +41

    Ila loveness ni mjamzito kweli alf amekuwa mweupee zaid kuliko mwanzo haya tuweke dua njema hapa za kumuombea ajifungue salama❤❤❤🎉🎉🎉🎉

    • @Davidmtawala-b4y
      @Davidmtawala-b4y 14 วันที่ผ่านมา +2

      Mhmhmhmhmhmhmh umewaza mbali saaana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Aisha-f5p
      @Aisha-f5p 14 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂

    • @evelynoscar5104
      @evelynoscar5104 14 วันที่ผ่านมา +3

      Mm naona kama tina ndo mama k😂

    • @RaisaDaudi
      @RaisaDaudi 14 วันที่ผ่านมา +1

      Na shavu limekuwa sanaa

    • @RaheemaMosa
      @RaheemaMosa 14 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂

  • @LuluSimba-o3c
    @LuluSimba-o3c 14 วันที่ผ่านมา +135

    Ndan y dkk 6 tu coment kibao duuh km mnalalag humu 😢😢 naomben like bas

    • @TerezaTereza-dh4lx
      @TerezaTereza-dh4lx 14 วันที่ผ่านมา +2

      😂😂😂😂😂Chelewa Chelewa hutakuta mwana sio wako jmnkidada

    • @TerezaTereza-dh4lx
      @TerezaTereza-dh4lx 14 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂Chelewa Chelewa hutakuta mwana sio wako jmnkidada

    • @jemmierobert4349
      @jemmierobert4349 14 วันที่ผ่านมา

      YAaan ukiingia tu tayari

    • @LuluSimba-o3c
      @LuluSimba-o3c 14 วันที่ผ่านมา

      @@jemmierobert4349 yan wey ach tyu

    • @LuluSimba-o3c
      @LuluSimba-o3c 14 วันที่ผ่านมา

      @@TerezaTereza-dh4lx mh kwa kwel ila at nikikuta mwana w jiran ntamlea tyu🤭😅🤣🤣

  • @HALDYTV-r5u
    @HALDYTV-r5u 14 วันที่ผ่านมา +49

    Mimi wakwanja apa munipe like zanguuu ❤❤❤

    • @ShannyMoris
      @ShannyMoris 14 วันที่ผ่านมา +1

      Wa kwanja eeh😅

    • @Millie45-l7j
      @Millie45-l7j 11 วันที่ผ่านมา

      Wa Kwanja tena😅😅😅

  • @HappynesNungula
    @HappynesNungula 14 วันที่ผ่านมา +2

    Daaah, kwelii kwa Sasa unatufurahisha sana wadau wako hongera 💓💓💓💓💓💓💓💓

  • @AindremeShena
    @AindremeShena 14 วันที่ผ่านมา +2

    Nashindwa jizuiya loveness maneno yako yana nitowa machozi wewe na kelvin 🎉🎉🎉🎉❤

  • @Rizikialiamechannel763
    @Rizikialiamechannel763 14 วันที่ผ่านมา +45

    Hebu nikoment kabla Dontabtv hajawah pla pla sijawahi pta like hpa from 🇴🇲🇴🇲

  • @KingNesta-r4q
    @KingNesta-r4q 14 วันที่ผ่านมา +7

    Shukrani kwakazi yenu uzuri ,Mimi wakwanza kutazama kutoka USA Illinois Chicago

  • @BintMwite
    @BintMwite 14 วันที่ผ่านมา +12

    Yan umu ndan kila.mtu anataka laik!!!

  • @AminaFikirini-x1w
    @AminaFikirini-x1w 6 วันที่ผ่านมา +1

    Daaaah donta tv inaweza walai,,, congratulation🎉🎉🎉🎉❤ guys kazi izidi kua nzuri,lkn kelvin uchunge na wezi wasikumalize yaani wanitoa machozi pia mm❤❤❤🥰🌹🥳

    • @BakariNzowa
      @BakariNzowa 5 วันที่ผ่านมา +1

      Dontatv

  • @MonicahMutua-o5z
    @MonicahMutua-o5z 14 วันที่ผ่านมา +24

    Yaani hakuna mtu hatawai nipea like😢😢😢😢😢

  • @ThereziaApendeki
    @ThereziaApendeki 14 วันที่ผ่านมา +11

    Maaraba leo nimewai sijafika kwa watu 200 huko
    Ila ongereni saana jaman🎉🎉

  • @Joshuazz-hx8ep
    @Joshuazz-hx8ep 14 วันที่ผ่านมา +18

    Team 🇰🇪🇰🇪...wakueka kasongo kwa jenezaa..mshafka uku drope❤ tuoneee

  • @RoseSamwely-k8c
    @RoseSamwely-k8c 14 วันที่ผ่านมา +74

    oyoooooo mara ya pili nikiwa wa kwanza like ata kumi jmn❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

    • @abdallahassan6378
      @abdallahassan6378 14 วันที่ผ่านมา

      Pamoj

    • @DdunguDaaki
      @DdunguDaaki 14 วันที่ผ่านมา

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @NuruAmina-h1q
      @NuruAmina-h1q 14 วันที่ผ่านมา

      Haya maua yako🎉🎉🎉🎉 Mimi Leo naburuza mkia

    • @CarenBii-tz6sn
      @CarenBii-tz6sn 14 วันที่ผ่านมา

      💞💞💞💞💞💞💞

    • @RoseSamwely-k8c
      @RoseSamwely-k8c 14 วันที่ผ่านมา

      @DdunguDaaki mwaaaaaah

  • @UyanjoSima
    @UyanjoSima 14 วันที่ผ่านมา +1

    Nimefurah kumuona Ezra Khan pamoja na Celvin Khan na Loveness Khan nawapenda ❤❤❤❤❤❤

  • @DouglasBabamoïse
    @DouglasBabamoïse 14 วันที่ผ่านมา +3

    Tukiwa naendelea ivi yani tutakuwa kila leo🎉🎉 pamoja 🤝 nakukubali sana Kelvin 👉👉

  • @jacquelinemuthina
    @jacquelinemuthina 14 วันที่ผ่านมา +37

    From kenya hamjawai nipitia leo nipeeni like 3 tu dashukuru 🎉🎉❤❤

  • @GianaLexy
    @GianaLexy 14 วันที่ผ่านมา +6

    Ebu kwa sasa kelvin waanze kuishi kistarehe jamani tumechoka kuona kelvin wetu na lavuu wakiteseka kila saa😢😅😂😂

  • @babynaash
    @babynaash 14 วันที่ผ่านมา +7

    Tubarikiwe sanaa wanawake wotee
    Wenye mapenzi ya dhati kwa wenza wetu
    Kama alivo loveness ❤❤❤❤

  • @SharonMomanyi-zx4dr
    @SharonMomanyi-zx4dr 14 วันที่ผ่านมา +2

    Kelvin pole sana kwa wakati huu mgumu yote unayoyapitia kuna siku yataisha❤❤❤❤

  • @ALOYCEATHANAS-kd8bb
    @ALOYCEATHANAS-kd8bb 14 วันที่ผ่านมา +11

    Nimekuwa WA kwanza hapa jamani baombeni like hata 20 jaman

  • @SamiramohdZahran
    @SamiramohdZahran 14 วันที่ผ่านมา +9

    Nimewahi leo naomba like zangu jamani mimi ndo Wa kwnza leo

  • @ChrispinCubaka-v5g
    @ChrispinCubaka-v5g 14 วันที่ผ่านมา +29

    Wakwanza Leo nipe like zangu

  • @SaumuMbeyu
    @SaumuMbeyu 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mwanamke.jasiri.hongera.sana.kipenzi.loveness🎉🎉❤❤

  • @elizabethkatoko8867
    @elizabethkatoko8867 14 วันที่ผ่านมา +7

    Jamani kelvin mungu akupe nguvu❤❤❤❤

  • @LaziaBashilu
    @LaziaBashilu 14 วันที่ผ่านมา +7

    Eeeh leo nimewah jaman japo cyo wa kwanza like ata mbili🎉🎉

  • @OmarNzohabonayo
    @OmarNzohabonayo 14 วันที่ผ่านมา +8

    Team strong bardi kama yoteea😂🇴🇲🇴🇲🇧🇮

  • @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u
    @AbdulrazaqueNfaumeAli-s4u 14 วันที่ผ่านมา +14

    Imetosha sasa ufanye umalize bwana 🫣 from mozambiqui 🇲🇿

  • @EvethaSimba-i1c
    @EvethaSimba-i1c 14 วันที่ผ่านมา +3

    Mwanaume unamjibu kwa jeuri umeshiba tina kuwa makini na huyo sio wifi ni mk mwenzio,pole sana kelvn wetu,denis lati anakuzunguka jipange

  • @aishalovesesibe
    @aishalovesesibe 13 วันที่ผ่านมา +1

    Pol Loveness unapitiya shida kwakweri 🇧🇮😘❤❤

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 14 วันที่ผ่านมา +5

    Ila jitahidi basi kuongeza daki Kelvin na roho zetu zipate ku enjoy 😢😂❤

  • @M3tr.n3
    @M3tr.n3 14 วันที่ผ่านมา +20

    ❤❤❤❤ wa kwanza leo mnipe likes

  • @ayshatnzana341
    @ayshatnzana341 14 วันที่ผ่านมา +8

    Wakwanza kutoka 🇴🇲nawapenda sana❤️❤️❤️❤️

  • @VeronicahOtwori
    @VeronicahOtwori 14 วันที่ผ่านมา +2

    Bondi ako n roho safi akii nimemupenda sana🎉🎉🎉mm nitawaja kuwatch juu amunipei likè ata moja😢😢😢

  • @ZahraTwaha-t7l
    @ZahraTwaha-t7l 12 วันที่ผ่านมา

    Nimeipenda sanaa....tamthiria inafundisha vituvingi sanaa...ongereni 🙌🙌🔥♥️

  • @Guyfleury17
    @Guyfleury17 14 วันที่ผ่านมา +13

    Today sijachelewa ila warundi wenzangu ambao munafwatilia this movie naomba like zenu Eliane kutoka 🇧🇮

  • @JuniorGazakartel
    @JuniorGazakartel 14 วันที่ผ่านมา +5

    Let's support our brothers and sisters from Tanzania 🇹🇿🇰🇪🇰🇪🇹🇿🇹🇿

  • @PatrickIsrael-m4u
    @PatrickIsrael-m4u 14 วันที่ผ่านมา +14

    WA Kwanza on top like zangu

  • @Mealii-lx3hm
    @Mealii-lx3hm 14 วันที่ผ่านมา +2

    Mma kelvin umekuwa kunichekesha eti anajifanya 💪🕺

  • @omarishaibu3729
    @omarishaibu3729 14 วันที่ผ่านมา +13

    Leo mmewahi kwa kweli ngoja nione denis anavopambana na pisi mbili in the same compound 😂😂

    • @sadahamad6158
      @sadahamad6158 14 วันที่ผ่านมา +1

      😂😂😂😂 umeonaeeh kazi anayo

    • @omarishaibu3729
      @omarishaibu3729 14 วันที่ผ่านมา

      @sadahamad6158 kwani kidogo

    • @AmandaKisinde-ut3qr
      @AmandaKisinde-ut3qr 12 วันที่ผ่านมา

      Ila tina iyo mijicho anavyoifanya na ilivo mikubwa sasa

  • @jorgecesilio8862
    @jorgecesilio8862 14 วันที่ผ่านมา +7

    Naomba nyimbo ya ih series🙏 from 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🎉

  • @NasrahSalmah
    @NasrahSalmah 14 วันที่ผ่านมา +13

    Jmn nimewahi wote tunaowaombea familia ya kina Kevin furaha yao ilejee tena mali zao zirudi tugonge like hapa

  • @SoziSozi2020
    @SoziSozi2020 14 วันที่ผ่านมา +3

    Leo sina lakusema manake mm wamwisho but Hello 👋 DONTA FAMILY 🫶

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 14 วันที่ผ่านมา

    Loveness na kelvin nawaombea penzi lenu lidumu maisha yenu take yawe mazuri ❤❤❤❤Denis mchezo ndio kwanza subiri lati akugeuke😂😂😂😂 Tina utapigwa n kitu kizito round hii kma nakuona utakuja chizi😅😅lati ana moyo wa kijasiri mie siwezi 😅😅😅

  • @erickbudigoma7999
    @erickbudigoma7999 13 วันที่ผ่านมา

    Sio kwa ubaya bro..cjawahi andika comment but leo nimeona nkwambie ukwel. kazi yako ni nzuri lakini unaifanya kuwa ndefu sana tena kwa matukio ambayo hata sio muhimu..yaani ni kama unatoa vipande ili kuridhisha tuu mashabiki zako lakin vipande unavotoa vinakuwa na jambo lilelile na muendelezo mchache tuu yaan hautoi kitu kipya ni kama unazungukazunguka tuu mulemule. Work on that my brother. Lati is the best actor🎉

  • @rosepiusnkaimba7581
    @rosepiusnkaimba7581 14 วันที่ผ่านมา +10

    Itoshe Sasa kwa mateso ya familia ya Kelvin... Akina Tina nao wajute kidg

    • @Davidmtawala-b4y
      @Davidmtawala-b4y 14 วันที่ผ่านมา

      @@rosepiusnkaimba7581 point amazing 👍👍

  • @naturebclassic447
    @naturebclassic447 14 วันที่ผ่านมา +9

    Naombeni likes 20 tu jamani,wa kwanza

  • @DhHd-f4n
    @DhHd-f4n 14 วันที่ผ่านมา +4

    Kazi zuri nimependa 😂😂❤❤

  • @LeocardiaMaduhu
    @LeocardiaMaduhu 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kevi siku hizi umekuwa mwaminifu mpaka raha. Ahsante team Kevi

  • @Esther-n7z3l
    @Esther-n7z3l 13 วันที่ผ่านมา +1

    Waaaaaaaoh🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nimefurahi sana sana .maua yako hayo ❤❤ kazi kwako kushukuru

  • @viviankemunto4435
    @viviankemunto4435 14 วันที่ผ่านมา +4

    Alaf wewe boss mbona unanichanganya hii si niliwatch jana jamani kevinkhan ujanifanyia poa😂😂

  • @salamuudau3414
    @salamuudau3414 14 วันที่ผ่านมา +5

    Kumbe watu Wanapata hela kwa kufatilia watu tu😅

  • @MaureenKarimi-lm1xr
    @MaureenKarimi-lm1xr 14 วันที่ผ่านมา +5

    Wakwanza kutoka kenya 😂🎉❤❤

  • @LoiceKatana-ci1tx
    @LoiceKatana-ci1tx 14 วันที่ผ่านมา +2

    Tina aty umehamia kwa Deniss wataka mke mwenzio ndio akupikie, kwn huna mikono wee 😂😂😂

  • @RahelKashinje
    @RahelKashinje 14 วันที่ผ่านมา +1

    Yaani watu unawapenda vizuri tu Huna shida afu hawakupi like jamani 😢😢😢😢 naombeni basi😅😅

  • @RamaOmar-lq1uu
    @RamaOmar-lq1uu 14 วันที่ผ่านมา +14

    Wakwanza kutoka kenya nipeni likes zenu 🇰🇪 ✌🏽

  • @BhattJuniorJunior
    @BhattJuniorJunior 14 วันที่ผ่านมา +24

    Wakwanza kutoka Kenya 🇰🇪 nipeni likes zangu

    • @OmanIbra-p4k
      @OmanIbra-p4k 14 วันที่ผ่านมา

      Nimechelewa😅😅😅😅😅😅

  • @leonardmatulanya6711
    @leonardmatulanya6711 14 วันที่ผ่านมา +4

    Wow like hapa Leo nmekuwa WA kwanzaaa😂😂

  • @PasikalSimon
    @PasikalSimon 13 วันที่ผ่านมา

    Vp inatoka lini ss tumesubili🎉🎉🎉🎉tunapenda Kaz yenu kevi💪💪💪

  • @MDMehndiHassan-ve9zy
    @MDMehndiHassan-ve9zy 14 วันที่ผ่านมา +3

    Allhamdulillah kelvin mzima mungu akupe nguvu badomungu anawapambania iposiku yatakushatu

  • @MercyChepngeno-c1j
    @MercyChepngeno-c1j 14 วันที่ผ่านมา +5

    Kazi nzuri sana Team Kevin maua yenu hiyo 🎉🎉🎉🎉🎉 mungu awabariki ❤

  • @GloriaKyalo-2421
    @GloriaKyalo-2421 14 วันที่ผ่านมา +20

    Mimi ndio wakwanza wapi like zangu😂😂

  • @Diyo-u5o
    @Diyo-u5o 14 วันที่ผ่านมา +5

    Kma unachekeshwa na Tina gonga like hapa 🎉

  • @MESAID-j4g
    @MESAID-j4g 14 วันที่ผ่านมา +3

    Kwann kila siku niko mwisho kwani uwa mwambizana kambla ajapost ili muwe wakwanza😢😢😢😢

  • @JescaFelix-e4x
    @JescaFelix-e4x 14 วันที่ผ่านมา +1

    Loveness ebu punguza kisirani mbona unatuumizia Tena mgonjwaaa ila mama Calvin eti acha sifa utakufaaa😅😅😅

  • @rozamarcelle1241
    @rozamarcelle1241 14 วันที่ผ่านมา +4

    Mimi wakwanza naombeni lake twende huku kelvin nalavnas kule kwengine zu nakay huku Mai natwizy mutatuuwa mwakahuu jamani eeeee Raha sana tena sana Tina naona kafika Sasa mama mwenye nyumba akuna mwengine niyeyetu jamani tutaona mengi sisi jamani 🥀❤️🥀❤️❤️🥀❤️

  • @HajraRamadhan-x5f
    @HajraRamadhan-x5f 14 วันที่ผ่านมา +7

    Hongeraa 🎉leo umewah kila anasoma coment apewe hutaki la moyo wakee❤❤❤❤

  • @Fatmamakame-q5w
    @Fatmamakame-q5w 14 วันที่ผ่านมา +5

    Jamani leo nimewah ba me nipeni like ata 10 ty na me leo😊😊🎉🎉🎉❤

  • @AnnEton-f2b
    @AnnEton-f2b 14 วันที่ผ่านมา +1

    Kazi nzuri wanadonta nawapenda sana ❤️❤️❤️🌹

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 14 วันที่ผ่านมา

    This is first love from Mozambique ❤🇲🇿

  • @shijaluziga
    @shijaluziga 14 วันที่ผ่านมา +5

    Ila tina. Mimi nataman hata afe. Mweeeeeeeee😂😂😂

    • @NicaSamuelSamuel
      @NicaSamuelSamuel 14 วันที่ผ่านมา +1

      Kama mm tu 😂😂😂😂😂😂

    • @RehemaMagoire
      @RehemaMagoire 13 วันที่ผ่านมา

      Hahahahaha