MAGUFULI ALIVYOSIMAMISHA DALADALA, ABIRIA WAFUNGUKA MIMI NI CHADEMA ILA NIMEFURAHI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 294

  • @debosstv43
    @debosstv43 5 ปีที่แล้ว +117

    Magufuli is A Good leader, chadema gonga like yako hapa tujuane twende sawa tukutane 2020 Uchaguzi !!!!!❤😄😄

    • @samsonkaboko5137
      @samsonkaboko5137 5 ปีที่แล้ว

      Hakuna campain. Wapinzani kulia na kusaga meno

    • @debosstv43
      @debosstv43 5 ปีที่แล้ว

      @@samsonkaboko5137 acha zenu nyie mnafeli wap au tawala mnateseka????

  • @nadyahassan7924
    @nadyahassan7924 5 ปีที่แล้ว +18

    magufuli juuuu Tanzania yetu mungu azid kutupa aman amlinde rais wetu twakupenda baba

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว +119

    Gonga like kama 2020 utampa kura yako JPM..

  • @boniphacetabu2903
    @boniphacetabu2903 5 ปีที่แล้ว +28

    Hatuna PROBLEM naye kama umeisikia hiyo gongalike

  • @athumanomary1171
    @athumanomary1171 5 ปีที่แล้ว +16

    Asante san raisi wetu kwa upendo mkubwa san kwetu raisi wetu tupo pamoja nawe watanzania wenzangu tuzidi kumuombea raisi wetu kwa imani zetu mwenyez MUNGU yupo pamoja nasi

  • @mwanaishambili241
    @mwanaishambili241 5 ปีที่แล้ว +5

    Mashaallah chozi la furaha ogera raic wtz ongereni wtz kwani mmepata raic c utani mungu amlinde ao mfano wakuigwa ata kwetu kenya insha'Allah

  • @japhetsizya1024
    @japhetsizya1024 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubariki doctor John pombe magufuri hakika mungu amekuweka kwa makusudi yake tuendelee kumuombea Rais wetu

  • @lulushambazuri4861
    @lulushambazuri4861 5 ปีที่แล้ว +7

    Nakupenda magufuli uishi milele uwe na afya njema na uzima tele

  • @witnesstegga5994
    @witnesstegga5994 5 ปีที่แล้ว +25

    Baaba baba, baba baba huyo........ 🎵🎵personally nampenda baba etu, raisi wetu mwnyw 😘😘😘 ...
    msiompenda mnywe sumu😁

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 5 ปีที่แล้ว

      😂 😂 😂 😂 😂 😂 Sio mchezo teeena na wajinyoooonge

    • @otavinamsigala7004
      @otavinamsigala7004 5 ปีที่แล้ว

      Wafee kama anawakela

  • @djatm1319
    @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +42

    Huyu raisi ndiye anajua alichaguliwa na watu...wangine tunawachagua lakini kuwafikia ni ngumu...nampenda Sana Magufuli nikiwa Kenya

  • @ababuumwana5102
    @ababuumwana5102 5 ปีที่แล้ว +50

    JPM Nambari 1 miaka 40 inamuhusu Allah amlinde Sana'a Rais wetu na Nchi yetu Tanzania na Africa kwa ujumla Rahaaa Sana'a

    • @djatm1319
      @djatm1319 5 ปีที่แล้ว +2

      Anapenda watu wake sana...nampenda nikiwa Kenya

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 5 ปีที่แล้ว

      Tofauti Kati ya Allah na Mungu ni ipi?

    • @abedisalumu290
      @abedisalumu290 5 ปีที่แล้ว +1

      Hakuna utofauti kati ya Allah na Mungu tafuta biblia yakiarabu ndo utajua zaidi kila sehemu ya biblia inayo mta yeheva ndani ya biblia yakiarabu ni Allah

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 5 ปีที่แล้ว

      @@abedisalumu290 kwa hiyo Unamaanisha Allah wa kwenye Quran ndiye Mungu wa kwenye Biblia??

    • @lucykanuti6138
      @lucykanuti6138 5 ปีที่แล้ว +2

      Rais tumempata kwakweli Mungu.azidi kukulinda Baba

  • @saidatkhamis4633
    @saidatkhamis4633 5 ปีที่แล้ว +10

    God bless ur President he is so humble and kind to his people though am from kenya but i love Tanzania

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 5 ปีที่แล้ว

      Saidat Khamis karibu Tanzania jiraniii

    • @floramolel4283
      @floramolel4283 4 ปีที่แล้ว

      Jaman huyu rais wetu ni mungu kamteuwa siyo mtu ss ilikuwa ni njia kweli kipekee namfunika kwa damu ua yesu

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 ปีที่แล้ว +6

    Magufuli ni zaidi ya raisi.Mungu akubariki sana.

  • @universalcliptv4871
    @universalcliptv4871 5 ปีที่แล้ว +19

    Jaama wa chadema kani furahisha kweli kkkkkk!.....mtam kubali magufuli tu!!!

  • @hashimusaid7695
    @hashimusaid7695 5 ปีที่แล้ว +10

    Magufuli vivaaaa

  • @munguaibarikitanzanianawat9254
    @munguaibarikitanzanianawat9254 5 ปีที่แล้ว +22

    Fangilia makufuli wangu

  • @godfreyhiza1075
    @godfreyhiza1075 5 ปีที่แล้ว +30

    Sisi binadamu hatuna haya......hata raisi kusalimia watu....tushafikiri uchaguz....na ..vimawazo vya kupinga....tuache fikra hasi....

    • @mayahhajih2636
      @mayahhajih2636 5 ปีที่แล้ว

      Kutokana na tulivyozoea au zooshwa ndo maana unaona hivyo

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว +1

      Godfrey Hiza uko sahihi kabisa watu wanamawazo ya kijinga kila muda akifanya hivi lazima wakoment negatively

    • @wisperfect3860
      @wisperfect3860 5 ปีที่แล้ว

      Fikra potofu

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 5 ปีที่แล้ว

    Magufuri, Mungu akuongoze na Akutie nguvu juu ya Yale Magumu unayopitia, ili Tanzania isonge na Itasonga Mbele Hongera Magufuri

  • @danielnoa4676
    @danielnoa4676 5 ปีที่แล้ว +3

    Mungu akubariki rais mpendwa magufuli, we will always support you.

  • @hassanmachemba2757
    @hassanmachemba2757 5 ปีที่แล้ว

    Nampenda sana raisi wetu Allah ampe maisha marefu raisi wa wanyonge

  • @hatibuurembo8869
    @hatibuurembo8869 5 ปีที่แล้ว +4

    Magufuli mungu akujalie

  • @fatumanditi512
    @fatumanditi512 5 ปีที่แล้ว +4

    Mungu akuweke raisi wetu miaka kama yoteeeeee

  • @iddysummaye2533
    @iddysummaye2533 4 ปีที่แล้ว

    Hongera sana Anko j magufuli hakuna raisi wakumlinganisha na ww hapa duniani wanatakiwa wakuige ww

  • @dr.sarahbusongo
    @dr.sarahbusongo 5 ปีที่แล้ว +21

    Mh Rais tangu aingie madarakani ni mtu wa watu ni mtu anayejishusha Sana sio mtu wa kujiweka juu... Mnkumbuka kile kipindi alivyokwenda kusafisha mazingira na wengine.... Anayesema anatafuta kura Kwa nguvu anajidanganya... Yeye hata akikaa kura ameshapata zote

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 5 ปีที่แล้ว

      S B watu wajinga sana et anatafuta kura uyo ata asipofanya ivo kura anazo tayar tena nyingi

    • @beatricekamengekamenge5543
      @beatricekamengekamenge5543 5 ปีที่แล้ว

      Point kubwa dear

  • @adijaadija8339
    @adijaadija8339 5 ปีที่แล้ว +4

    Jamani🇧🇮🇧🇮🇧🇮raisi watanza magufuli mkatapa wake ukimalizika mtuazimeni nasisi aweraisi wetu burundi 😭😭😭😭

    • @Pilidiku2022
      @Pilidiku2022 5 ปีที่แล้ว

      Hahahaha usijali tutawapa

  • @yusuphharuna1476
    @yusuphharuna1476 5 ปีที่แล้ว +36

    Asant jpm vijana tunamsahau mungu sana amini nawambia kama vijana tutamueka mungu mbere miujiza atakayoifanya ktk maisha yetu ni zaidi ya utukufu wake

    • @miltonstephano3246
      @miltonstephano3246 5 ปีที่แล้ว +1

      Yusuph Haruna Hakika

    • @pendomarco4034
      @pendomarco4034 5 ปีที่แล้ว +1

      Huu Mwaka wa 5 kwa Rais wangu kipenzi Naona kama vile nusu Mwaka, yote sawa tukutane 2020

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 5 ปีที่แล้ว

      Kuna tofauti Kati ya *Mungu* na *mungu* mkuu Sijui Ulimaamisha ipi ?Tuwe makin na maandishi yetu shetani asijitukuze......

    • @dachjunior4766
      @dachjunior4766 5 ปีที่แล้ว

      @@pendomarco4034 hongera kwa kumpata RAIS BORA .... but ifikapo OCTOBER MWAKA HUU NDO ANATIMIZA MIAKA 4 YA URAIS ... NA OCTOBER 2020 ATATIMIZA MIAKA 5 YA URAIS

  • @dubabaxakatv2993
    @dubabaxakatv2993 5 ปีที่แล้ว +16

    Sio watanzania pekee jpm ni kiongozi wetu east Africa..mimi namvulia kofia rais magufuli

  • @costasmapunda921
    @costasmapunda921 5 ปีที่แล้ว +28

    eehh tulikuwa tunakojowa , tumia ht tafsida bas,,! ila big up my President.

  • @faizaboubacar5064
    @faizaboubacar5064 5 ปีที่แล้ว +3

    Rais Kama Magufuli hakuna Africa Mungu ambariki sana

  • @bigowillythomaskayanda7763
    @bigowillythomaskayanda7763 5 ปีที่แล้ว +1

    Kama umesikia Rais amesema
    "USIWAPE AJALI," gonga like hapa..

  • @abuyabally5086
    @abuyabally5086 5 ปีที่แล้ว +1

    i love my president magufuli kunakipindi nilishi dubai amefanana na mfalme wa dubai yaani anapenda watu wake anaskiliza shida napenda maskini anapenda wananchi nilisikia raisi mkali lkn nimeamini hakuna raisi mcheshi kama magufuli mkali kwa mafisadi lkn myenyekevu kwa wanachi i love uuuuu

    • @ericameshack62
      @ericameshack62 5 ปีที่แล้ว

      Anakuwa mkali kwasababu anaona anachoagiza hakifanyiki

  • @mimaakenirram1405
    @mimaakenirram1405 5 ปีที่แล้ว +1

    Mashallah mungu azidi kukuongoza rais wetu mm sijawai kukuchukia ata siku moja na aita toke maana naona jinsi gani unakuwa karibu na wanchi wako mungu akuwe baba yani toka umekuwa madarakani mm siko tz wala sikupiga kula hira uku nilipo nakufatilia sana naona unavyo tetea haki za wanyonge

  • @Ryoof-qo7if
    @Ryoof-qo7if 4 ปีที่แล้ว

    Magufuli siuje kenya baba nakupenda bure ♥️♥️♥️♥️love u kutoka kenya

  • @radam1108
    @radam1108 5 ปีที่แล้ว +14

    Mzee.. Mmoja amesikika akisema tulikua tumesimama "Tunakojoa" gafla tukamuona raisi... Alafu..😂😂😂😂😂😂😂.. Ametushika mikono.. Kweli..!! 😂😂

    • @bigowillythomaskayanda7763
      @bigowillythomaskayanda7763 5 ปีที่แล้ว +2

      Nimesikia hiyo,, na nimelike... Kama na wewe imesikia Rais amesema USIWAPE AJALI gonga like hapa..

    • @athumanfuko199
      @athumanfuko199 5 ปีที่แล้ว +1

      WEWE hujui mkojo ni dawa ya vidonda vya tumbo ule wa asubuhi,weka piga vundo moja mambo safi

    • @gracethomas683
      @gracethomas683 4 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣

  • @onanarosse9657
    @onanarosse9657 5 ปีที่แล้ว +6

    Nice my president uishi miaka mingi.

  • @makoyensolo4730
    @makoyensolo4730 5 ปีที่แล้ว +6

    Millard ayo huwa unafanyaje kaz ww duh mara Misiri mara ...
    Mnajitahidi sna BTW rais Mungu akubariki

    • @ghairymwasiposya69
      @ghairymwasiposya69 5 ปีที่แล้ว

      Safi Baba yetu Mungu andelee kukupatia Hekima na utu.

  • @samsonkaboko5137
    @samsonkaboko5137 5 ปีที่แล้ว

    Magufuri yani sijui kwakweli Mungu hamtupi mja wake

  • @simonnick1242
    @simonnick1242 2 ปีที่แล้ว +1

    Angekuwa hagaya mngesukumwa mkavunja hata might labda akiwa ulaya anakoenda na kucheza taarabu

  • @nurumunguakutangurirabdull4472
    @nurumunguakutangurirabdull4472 5 ปีที่แล้ว +8

    😂😂😂😂 sasa tujisikia tuna kiongozi bolo sio bola kiongoz mungu akuweke miakayoteeeeee magu oyeeeer

  • @erickpaschal1639
    @erickpaschal1639 5 ปีที่แล้ว +1

    Ushinde wote wanao kujalibu kwenye uongozi wako natamani Sana ningekuwa sehemu ya watu waliokuwa kwenye iko chombo Cha Moto.
    Mungu anayetulinda sisi ndo uyo uyo akulinde wewe ubarikiwe sana

  • @marthawiliam8883
    @marthawiliam8883 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akutunze baba wa taifa letu kwa nyakati hizi

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 ปีที่แล้ว

    MUNGU PEKEE ANAYEWEZA MAMBO YOTE YANAYOWEZEKANA na YASIYOWEZEKEKANA KWETU, Akutunze na Akulinde wakati wote wa maisha yako, Umefanya kazi, hiyo barabara ya karagwe nilipita hapo mwaka 2015 hapakuwa lami,leo 2020,lami, Safi Sana

  • @aliboss2736
    @aliboss2736 5 ปีที่แล้ว +6

    Viva magufuli

  • @amourmohdabdurazack4974
    @amourmohdabdurazack4974 5 ปีที่แล้ว +2

    Mashallah ivi ni karagwe kweli alhamdullillah dah mda kwli miss u karagwe at rubwera

  • @OverdozClassic
    @OverdozClassic 5 ปีที่แล้ว +3

    ma sha Allah. great love to Tanzanian President..

  • @eliankya3272
    @eliankya3272 5 ปีที่แล้ว +9

    Safi sana

  • @Eipinternation
    @Eipinternation 5 ปีที่แล้ว

    Hakika huyu ndiye Raisi.
    #Eipinternation

  • @lukadelik3652
    @lukadelik3652 5 ปีที่แล้ว +21

    Kiukweri. Sijawai. Kuona Rais kama hy

  • @habibadhikr9406
    @habibadhikr9406 5 ปีที่แล้ว +8

    Wanao muombea Malaya walaniwe na mungu huyu ni raise wawa nyonge

  • @alirawahy1039
    @alirawahy1039 5 ปีที่แล้ว +1

    Mambo mazuri sana muhishimiwa maghufuli mungu ambarikI hakuna km yeye kaonyesha mapenzi makubwa kwa wananchi wake lait marauding wote wangekuwa kama yeye sijui dunia ingekua nzuri vipi jamani

  • @avocadotz2946
    @avocadotz2946 5 ปีที่แล้ว +1

    Wachache sana tunaelewa, kuwa uchaguzi umekaribia, hata kuchunga anaweza fanya kwa wakati huu.2020 tukutane viwanjan.

  • @suzanmbaigwe5340
    @suzanmbaigwe5340 5 ปีที่แล้ว

    vzr nakupenda Raisi

  • @charlesmkinda6946
    @charlesmkinda6946 5 ปีที่แล้ว +1

    hongela sana boss

  • @mwanadamtz1298
    @mwanadamtz1298 5 ปีที่แล้ว +1

    oyoooooooooo mambo sihayooo sasa safiiii kabisa

  • @annabalenga4420
    @annabalenga4420 5 ปีที่แล้ว +2

    Rais wetu nimtu wawatu mungu amlinde.

  • @hassinaalharthi5984
    @hassinaalharthi5984 5 ปีที่แล้ว +1

    allah ampe afya na maendeleo ma ya kihaki. mungu mbarike na viongozi wake nawananchi wake woote waishi kwa amani na upendo.

  • @rukiamohammed5031
    @rukiamohammed5031 5 ปีที่แล้ว +3

    Daah ni. Nimefurah hd machoz wallah cjawahi kupiga kura lkn km uhai ukiwepo ntapigia magu mwakan tena

  • @sheisgodorait5721
    @sheisgodorait5721 5 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akubaliki Rais wetu

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 ปีที่แล้ว +4

    Natamni huyu rais aongozee tanzania mpaka uzeeni kwake kwani sio wakawaida huyu kiongozi ni wa pekee

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 ปีที่แล้ว +3

    TULIKUWA TUMESIMAMA BAADAE TuKAKoJOA ALAFU AKAJA MUHESHIMIWA 😀😀😀😀😀😀

  • @binurusm8886
    @binurusm8886 5 ปีที่แล้ว

    Wanaochukia bila sababu yoyote watadhalilika wao wenyewe, huyu baba yupo pamoja na Mungu, kwani hata waliomchukia Mh. Kikwete na kumuona hafai/dhaifu, wamedhalilika wenyewe, amemaliza muda wake wa Uongozi salama, Mungu awalinde Viongozi wetu wote Wastafu, watu hawana jema, Mungu mpe hekima na ulinzi Rais wa Awamu Tano, Mh. Magufuli, Aamina.

  • @emmanuellucas
    @emmanuellucas 5 ปีที่แล้ว

    Hapo Magu umeua kabsaa dingilii umetisha..rais wa watu toka mbinguni kabsaa

  • @athanaswilliam6940
    @athanaswilliam6940 5 ปีที่แล้ว

    Huyu ni Chaguo halisi la Mungu... Aseeee Magufuli kwa kweli anambinu nyingi za kuwa karibu na sisi mafukara... Mungu ambariki sana

  • @dicksonsheja251
    @dicksonsheja251 5 ปีที่แล้ว

    Rais wa WAWATANZANIA wote Mungu atulindie Rais wetu

  • @emmanuelmwalukasa4591
    @emmanuelmwalukasa4591 5 ปีที่แล้ว

    Kweli nimeamini watanzania niwajiga kwahiyo rais kushuka kwenye gari nakứwasalimia tayari amekua mtetesi wa nyonge oooo

  • @his-queenaisha7086
    @his-queenaisha7086 5 ปีที่แล้ว

    Mashallah Rais wakenya angekua ivo jmn mbona kungekua na Amani ivo

  • @masumbukoclement4582
    @masumbukoclement4582 ปีที่แล้ว

    Baba Magufu tutakukumbuka 🙏😭🇹🇿

  • @godfreystephano304
    @godfreystephano304 5 ปีที่แล้ว +2

    Yeye ni zawadi kwa wote wanao penda Maendeleo

  • @jordanjonas4921
    @jordanjonas4921 5 ปีที่แล้ว

    Nakupenda sana rais wangu

  • @lilianmwakapala3658
    @lilianmwakapala3658 5 ปีที่แล้ว +1

    maisha marefu San baba yetu kipenz magufuli yaan nakupendaga baba yetu huna kinyaa na binadam unawajal wote hapa dunian maskin na matajili wote unawaona sawa

  • @kamgomoli3650
    @kamgomoli3650 5 ปีที่แล้ว +8

    Ipo siku huyu mzee ataamua kuwa traffic maana wanamuangusha wao wanawaza rushwa tu.Safi sn Rais wangu

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja6766 5 ปีที่แล้ว

    Nakukubali Sana rais wangu

  • @bryanfelix3771
    @bryanfelix3771 5 ปีที่แล้ว

    Mungu akubariki raisi wetu na azidi kukutia mguvu kwenye kazi yako

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli atakuja kuwafanya watanzania wamkumbuke, na watamlilia sana

  • @salimkipuge3511
    @salimkipuge3511 5 ปีที่แล้ว

    Mungu endelea kumbariki kiongozi wetu,Magufuli.

  • @bahatimohamedi4302
    @bahatimohamedi4302 5 ปีที่แล้ว +1

    Ubalikiwe sanaa Ras wetu

  • @korogwetanga810
    @korogwetanga810 5 ปีที่แล้ว

    MashaAllah MashaAllah Ahsante mungu kutupa Raisi mwenye upendo wa kweli kwa watu wake

  • @calvinjoseph
    @calvinjoseph 5 ปีที่แล้ว +1

    Great President

  • @zuwenamafita6308
    @zuwenamafita6308 5 ปีที่แล้ว +1

    hana jipya huyo anatumia maujanja2 ili mumpe kura 2020😏😏 akwnde huko kw wasukuma wenzake hatumtaki🤗

  • @jimmycroud8934
    @jimmycroud8934 5 ปีที่แล้ว

    Uyo ndio rais mwenye upendo dunian

  • @Pandumasoftware
    @Pandumasoftware 5 ปีที่แล้ว

    Tutakukumbuka sana Raisi wetu, sijawahi ona Rais mwenye upendo na wananchi wako Mungu akubariki sana

  • @jossekellapopp9404
    @jossekellapopp9404 5 ปีที่แล้ว +1

    god bless you

  • @msafirlaizer2368
    @msafirlaizer2368 5 ปีที่แล้ว +6

    Mimi pia ni Chedema damuni hila Magufuli he's the man aisee.

    • @salimkhamis3638
      @salimkhamis3638 5 ปีที่แล้ว

      Msafir Laizer CCM mkubwa wewe

    • @msafirlaizer2368
      @msafirlaizer2368 5 ปีที่แล้ว

      @@salimkhamis3638 Haha haha haha haha!!!

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 5 ปีที่แล้ว

    Safi sana Mr President...... Haijawah tokea kwa rais yyte hapa tz 2020 yako.....yaan 2020 kaa tu nyumban usimalize mafuta kwaajili ya campain

  • @charzmichael5792
    @charzmichael5792 5 ปีที่แล้ว

    Rais muafaka kwa mda muafaka mungu akutangulie tunakuombea watanzania

  • @eaglecrown3872
    @eaglecrown3872 5 ปีที่แล้ว

    Amen ",… kama anawabana majambazi yeye hana shida na rais..." ubalikiwe baba mwanachama wa damu chadema kwa nn uwe na shida na rais kama anawakaba majambazi wezi wa pesa za umma???.... amani ya kristo iwe pamoja nawe maana wenye maalifa kamwe hawata angamia.

  • @yohanamsabila4653
    @yohanamsabila4653 5 ปีที่แล้ว

    Uzalendo na mapenzi ya dhati na RAIA ila aongeze ufanisi hasa kwenye suala LA uchumi

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 5 ปีที่แล้ว

    kiukweli rais kuwa karibu na wananchi inafurahisha

  • @iddiadam857
    @iddiadam857 5 ปีที่แล้ว

    Nakubali nakubali sana.

  • @faustinaphilipo103
    @faustinaphilipo103 5 ปีที่แล้ว +4

    Nice sanaaa

  • @abdallahsalum3692
    @abdallahsalum3692 5 ปีที่แล้ว

    Kiongoz wawanyonge allah akupekilajambo liwejepes

  • @mwajumafundi6234
    @mwajumafundi6234 5 ปีที่แล้ว +3

    aisee huyu rais tumepata

    • @rehemamacha4980
      @rehemamacha4980 5 ปีที่แล้ว

      Mi nina siku 2 sijakula mnaongea pumba tu

  • @samwellwiza5339
    @samwellwiza5339 5 ปีที่แล้ว +1

    Mkuu Wa nchi anaamasisha sala then kuna MTU mmoja anasema tunapiga KELELE...ati tunasababisha noise pollution...

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle795 5 ปีที่แล้ว +1

    Rais wetu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿♥♥

  • @rachelkibaya8537
    @rachelkibaya8537 5 ปีที่แล้ว +1

    YAANI MAGUFULI,KWELI MUNGU AMEKUCHAGUA

  • @troubleboy2590
    @troubleboy2590 5 ปีที่แล้ว

    My president ❌🧢

  • @mathayonyerera3144
    @mathayonyerera3144 5 ปีที่แล้ว

    Magufuli akiendelea kuonyesha upendo kwa wananchi wake kama hivi kwakweli hatuna haja ya uchaguzi mwingine,

  • @jackynemalala7058
    @jackynemalala7058 5 ปีที่แล้ว

    Mungu abariki Raisi wa Tanzania

  • @musarichard2934
    @musarichard2934 5 ปีที่แล้ว

    Ignorance is something too bad...Kwa hiyo kusema tu na watu ndo inatosha kumfurahia kuwa ndo mwema sana????...

  • @hamidakondo6043
    @hamidakondo6043 5 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndio raisi anaefaa kuwa madarakani ss waxanzibari tuna raisi mnyonyaji Damui za wananchi hafai. hata kidogo yani ingekuwa raisi Ni mmoja tu mcho zote tatu unguja Pemba bara akawa Ni magufuli