GPS: TRUMP kuzungumza na PUTIN, aitaka Greenland, Mfereji wa Panama, Zelensky agoma kurudi nyuma

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 73

  • @muzmurtarik3277
    @muzmurtarik3277 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา +7

    GPS msijali bado Mombasa ni yetu kwa sababu ile ni zanzibar watu wa mombasa wengi ni wazanzibari na tumo ndani ya Tanzania ❤

  • @GeorgeAkasha-zx2rj
    @GeorgeAkasha-zx2rj 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +5

    Henry mchambuzi bora sana aisee anajua na anachambua kwa data na umakini, kongole broo.

  • @AmaniMollel-yj9vo
    @AmaniMollel-yj9vo 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +4

    Bundala uko vizuri kwa kutangasa habr

  • @josephrichard241
    @josephrichard241 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    ahsanteni kwa tathmini nzuri wana GPS

  • @YamuremyeYarodi
    @YamuremyeYarodi 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    GPS ❤hasa mukiwa kama team nzima.henry nadahani umejidangany kidogo Canada na Australia ziko chini yawingereza bado.ila Austalia bado wawo wako wanajipanga kua huru ila naona na msa ameligusia

  • @MichaelNyamanga-kx3ol
    @MichaelNyamanga-kx3ol 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Nimejua vitu vingi kupitia gps hongereni sana inabidi tuwachangia muendelee na kazi nzuri

  • @novatusstanley2789
    @novatusstanley2789 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    God bless you Guys 🙏

  • @mpjozzegalvanize4926
    @mpjozzegalvanize4926 8 นาทีที่ผ่านมา

    Henry bhana, eti pale hawajaenda kucheza mziki😂😂😂

  • @samwelibenson1802
    @samwelibenson1802 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Wachambuzi mpo vizuri sana mbalikiwe

  • @sumbulan
    @sumbulan 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hiyo studio yenu akikosa mmoja tu huwezi kujua Mungu awabariki❤

  • @MwemajaphetyZackalia
    @MwemajaphetyZackalia 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tamaa imewajaa wazungu

  • @KulwaEdwardKatan
    @KulwaEdwardKatan ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mkikutanga wote hv huwa poa sana tunapenda kuwaona mkiwa mapacha wa nne hivi

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Ally na Henry Leo noma

  • @feisalkhamis9445
    @feisalkhamis9445 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Zanzibar pia wanamiliki eneo huku bara bagamoya makurunge

  • @GhashilMossi-z2p
    @GhashilMossi-z2p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuletee habari vijana walio uliwa 🇨🇩 Congo na serekali

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Rare Earth Metals siyo minerals. Vijana mnatakiwa mkasome zaidi. Ili umuweze kuwa Wachambuzi wazuri.

    • @jumaali4893
      @jumaali4893 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      UNAONEKANA KAMA UNATAFUTA KIKI😂😂😅😂😅

    • @abdalahngozi5455
      @abdalahngozi5455 46 นาทีที่ผ่านมา

      😂😂😂​@@jumaali4893

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Watu wa Mombasa washawahi kwenda mahakamani kujiondoa kenya na warudi Zanzibar, Mombasa ni Mali ya Zanzibar

  • @Youngruler_999
    @Youngruler_999 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    2025 tutaona mengi kikubwa uzima tu 😂

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Migingo ndio Kenya na Uganda walikua wanapigania

  • @GhashilMossi-z2p
    @GhashilMossi-z2p 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tuletee makala hii

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Canada ikitawaliwa na ufaransa na uingereza. Ndiyo maana wanatumia kifaransa na kiingereza. Mfano Quebec wanatumia kifaransa. Montreal wanatumia kiingereza.

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Rais Jimmy Carter siyo Rusevelt

  • @MaryamMasoud-s2b
    @MaryamMasoud-s2b 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Trump anataka kufanya kama nyerere alivyoichukua Zanzibar na yeye anaitaka Canada

  • @Latifahhassan-lr8ew
    @Latifahhassan-lr8ew 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Ndio maana Hamas wanapambania ardhi yao!

  • @dramatic2558
    @dramatic2558 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Waendelee kudundana tu.. Minyukano ikipungua GPS itapoa

  • @TAASISI
    @TAASISI 2 นาทีที่ผ่านมา

    Wananunua kutoka kwa nani?

  • @JamalGolan
    @JamalGolan 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kisiwa cha mingingo igomvi wa kenya na uganda

  • @KraudiJinioro
    @KraudiJinioro 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Niko nanye❤

    • @maltech40
      @maltech40 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      daaah mtaachana tu😂

  • @brianbaltazar6198
    @brianbaltazar6198 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Mfalme wa uingereza (king charles).ndio head of state wa nchi ya Canada..

    • @HanceMagazi
      @HanceMagazi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Nani kakudanganya wewe Canadian kwanza ijawai kutawaliwa 😅😅😅😅 na mwingereza

    • @ShedrackShedrack-c2b
      @ShedrackShedrack-c2b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Kumbe we unahakri Canada Australia nwz leand kiongozi mkuu wa ayomataifa ni mfarume wa UK ​@@HanceMagazi

  • @francislewa
    @francislewa 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Texas waliichukua kwa mexico

    • @HanceMagazi
      @HanceMagazi 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      😂😂😂😂😂😂 sio kweli uwoni aibu nenda Google

    • @anny19988
      @anny19988 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@HanceMagaziNi kweli kasome historia

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Uchumi wa ulaya sahv ni kama mlevi wa kayoga

  • @gigoyrn4394
    @gigoyrn4394 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    😁😁😁 ngoja niwakumbushe Malawi ya tz , mombasa ya tz sasa ngj tuchukue na sisi

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Canada Australia New Zealand mataifa ayoyote kiongoz mkuu nimfarume wa UK 🇬🇧 kwaiyo marekani hanaujanja wakuingia Canada manake bila UK marekani amnaktu wachache watanielewa nguvu ya marekani inatoka UK

  • @nellymans-f1v
    @nellymans-f1v 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Hahahah sasa hapa tutaona utamu zaidi zaidi ety

  • @MOREDI2024
    @MOREDI2024 43 นาทีที่ผ่านมา

    Hiyo clip iweke WhatsApp

  • @Vampiretrust.
    @Vampiretrust. 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    aliyesaini mkataba wa kukabidhi Panama canal ni Jimmy Carter

  • @hansiempire5093
    @hansiempire5093 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Smaa Leo cjaona madini

    • @KassimAlly-xp4dz
      @KassimAlly-xp4dz 2 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sio kila madaa inahitaji madini kutoka kwa sma

  • @Mutubure
    @Mutubure 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Pako siku zele boy ata jipiga risasi kisha atuoneshe mana ana chakutuonesha sasa😂

  • @numohammed926
    @numohammed926 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mombasa ilikua scheme ya zanzibar hadi 1963

  • @akonaayako7185
    @akonaayako7185 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Inaitwa North Pole

  • @timothybanda3219
    @timothybanda3219 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kisiwa cha bungoma ndio kinachogombaniwa na kenya na uganda. Kuhusu kuchukua na kuongeza maeneo big kwa mzee wetu baba wa taifa alifanya hayo kitambo,it's not a new thing.

  • @AlexGwiha
    @AlexGwiha 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Oya kipala kwenye paa huko juu huwaga unaangaliaga nn

  • @HassanRamadhanPashua
    @HassanRamadhanPashua 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Chini ya hio barafu kuna madini ya luthanium

    • @denisadam9739
      @denisadam9739 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yanatumika kutengeneza nn

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@denisadam9739Muongo huyo, Lithium haipo Greenlands pia Lithium ni muhimu kwenye EV.

  • @erickrakitic9113
    @erickrakitic9113 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    nyie vichwa na wakubali sana. #Ally#Henry#DjSma#Sky🔥🤍♥️

  • @emanuelidamiani2943
    @emanuelidamiani2943 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Trump atakuja mpaka Africa si aliwahi sema kuwa tunapaswa tutawaliwe tena kwa miaka mingine 100😊. Kazi ipo

  • @SalumuMisigaro
    @SalumuMisigaro 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +2

    Mchina anaitaka Taiwan, Urusi anaitaka Ukrain na Marekani nae anaitaka Canada, Greenland nk. hongereni sana wana GPS!

    • @Latifahhassan-lr8ew
      @Latifahhassan-lr8ew 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Ndugu umesahau Palestina inavyokaliwa kimabavu Israel. Syria- Damascus inavyochukuliwa ardhi yao, nenda Lebanon, nenda Congo,yaani tafrani. Demokrati ni kwa maslai yao.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Taiwan ni mali halali ya China sio kwamba anaitaka tu

  • @MikelSitoe
    @MikelSitoe 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Dunia hii kwani huyu Trump badala ya kumaliza vita ndoo Anataka Kuleta vita Tena? 😂😂😂😂😂

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Trump huwa anaongea kinyumenyume sana, hapo kuna kitu anamaanisha ila anatumia mfano wa Greenland.

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 6 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Marekani kuliko imalize vita ni bora ianzishe vita

  • @RichardBundala-q7b
    @RichardBundala-q7b 9 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Viva Trump 🎉🎉

  • @THENEXTGEN_forexacademy
    @THENEXTGEN_forexacademy 3 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    GPS tunaomba muongelee hili la congo waliotaka kupindua nchi na wale vijana wanaoitwa kuluna

  • @FadhiliAlly-fy2tx
    @FadhiliAlly-fy2tx ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kaka skay nashauli katk kuchambua wachambuz uwapangie muda maalum wa kuongelea hiyo mada mana wengine huongelea jambo muda Mwing kuliko wengine .Kama dakika kumi aongee zikisha zam ya mwingine

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Sasa km huna chakuongea uongee nini

  • @LushidulaJidamawi
    @LushidulaJidamawi 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

    Jani nasisi tuungane nawaganda ruwanda bulundi malawi musumbiji nakomolo

  • @wilsonMushi-e6q
    @wilsonMushi-e6q 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Kuna kipindi kitafika kutakua akuna taifa dogo . marekani kaachana kuisaidia ucrein nae anapanua nchi yake.c ndio wachambuzi mlikua mnataka. marekani atachukua mpaka Brazil 😅😅

    • @rumdeesonsoa1811
      @rumdeesonsoa1811 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Yaan Marekani ikubali kumruhusu Urusi kuichukua Ukraine halafu yenyewe ibaki hivi hivi? Hapo Trump anaweza kuongea na Putin amwache Putin aichukue Ukraine ili Putin asije kuingilia pindi Marekani inaichukua Greenland au Canada

    • @nellymans-f1v
      @nellymans-f1v 5 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      ​@@rumdeesonsoa1811eeee maan hapo vita itanoga vibaya san tena san

    • @wilsonMushi-e6q
      @wilsonMushi-e6q 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา +1

      @rumdeesonsoa1811 ndo wachambuzi uchwara wanachofikiri ni sawa urusi akichukua maeneo ucrein. ngoja iyo Canada, Greenland. mexico na panama viondoke. tutajua taifa kubwa ni lipi TU.