MSIMAMO WETU NIKUA MASHIA SIYO WAISLAMU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 179

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika8592 ปีที่แล้ว +7

    YAA Rabbi hawo mashia kwelii kwa hayo wanayoyatamka sio waislaam,izo laana Zao wanaowalaani vipenzi WA MTUME na Mwenyezi Mungu ziwarudie wenyewe na waingie wenyewe motoni Allahumma Amiin Yaa Rabbi

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah! Sheikh ! Umeongea Clear umeweka mambo wazi. Asietaka kuelewa hiari yake na shida zake .

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah Ustaz.Ukweli usemwe.

  • @NurudinJabrii
    @NurudinJabrii หลายเดือนก่อน

    Shekhe weka mamba yasimu tuchukue mama mm naishi namashiia🎉🎉

    • @mohammedhussein9202
      @mohammedhussein9202 17 วันที่ผ่านมา

      So kma waishi nao no. Yke zitakusaidia nn

  • @husseinomar4294
    @husseinomar4294 ปีที่แล้ว +2

    Shekh Allah akuhifadhi na akulipe kheyri inshaa allah umesema ukweli na ndiyo hivyo.

  • @sophiajuma6798
    @sophiajuma6798 ปีที่แล้ว +5

    MashaAllah mmenielimisha sikuwa najua mashia kuwa si waislamu asante sana Sheikh wetu

    • @shalbaonlinetv
      @shalbaonlinetv  ปีที่แล้ว

      Ahsante kwa kua mwanafamilia wa Shalba Onlinetv, na tumefurahi kuona unafaidiaka na elimu sahihi ya kiislamu

    • @salmaseif5001
      @salmaseif5001 ปีที่แล้ว

      Shekhe allah akupe umri mrefu na afya na akulindie vizazi vyako awaongoze katika njia ya kheri .nimekupenda sana kwa ajili ya allah .umenielewesha vizuri sana

  • @HafidhKhamis-ph8qg
    @HafidhKhamis-ph8qg ปีที่แล้ว

    Jazakumullwaahu ya mashukhaai Allah awahifadhi nyote Kwa msimamo huo

  • @KhamisMussa-e1d
    @KhamisMussa-e1d 2 หลายเดือนก่อน

    Subhanallah nimejarb kusoma comments za wat wengi ila nyinyi ambao mnaosema sheikh amekosea au manasem mchochezi yaonesha waz kua pan upunguf mkubw w elimu haiwezkan kua mtu anawatoa ndan ya uisla abuubakr na omar eti bado awe ni muislam . Uhakik mashia wapo mbal san na uislam

  • @joshuaemanuelishoo7031
    @joshuaemanuelishoo7031 ปีที่แล้ว +2

    Allah awaifadhi ndug zangu wote Muslimini wallah nawapenda waislamu alisunna walijamaa watu wahaki wallah kwajili ya Allah mtukufu Shia ni waovu zaidi ya makafir yahudi manosaraa njia yao moji Allah awaangamize

    • @seifmussa9003
      @seifmussa9003 3 หลายเดือนก่อน

      Daah msiba ni mzito tumeingia mtego wa mayahudi..tumeshindwa kuwatetea ndugu zetu wapelstina wananyanyaswa waz waz ..wanadhulumiwa..tunatumia nguvu kufarikiana msiba ni mzito

  • @HusseinMakame-n8e
    @HusseinMakame-n8e 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mashia hao sio waislamu kabisa
    Na kama kutakuwa na sheikh atawaunga mkono hawo bc ajuwe ajipange na chakumjibu Allah (SW) .
    Mungu tuepushe na watu hao wanaichezea Dini yako

  • @officialrashrayz4140
    @officialrashrayz4140 ปีที่แล้ว +3

    Ila HUYU sheikh amezua mambo yake wallah, na siku ya mwisho atajibu juu ya huu uzushi wake. Mungu akusamehe tu

  • @MwamvuaJafari-fq4ku
    @MwamvuaJafari-fq4ku 11 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah

  • @HASSANMUSHI-fb5cm
    @HASSANMUSHI-fb5cm 6 หลายเดือนก่อน

    Maashaallah

  • @YasamAmani
    @YasamAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Swali kwa shehe nikisema mungu wawakiristo siyo mungu wangu wewe utanielewaje?

    • @AliKhamis-j9z
      @AliKhamis-j9z หลายเดือนก่อน

      Wakristo wanaamini yesu pia nimungu kwetu sisi hyo nishirki

  • @husseinomar4294
    @husseinomar4294 ปีที่แล้ว +1

    Astaghfilr llah mimi kwa kweli nimeshindwa kuwavumilia hao mashia wallah !

  • @bahajjahmad647
    @bahajjahmad647 7 หลายเดือนก่อน

    Ustadh ninda ukasome naona hujakua n hoja

  • @imhotepheru436
    @imhotepheru436 ปีที่แล้ว +4

    Ingelikuwa vizuri sana uyu atoe ushaidi wa kitabu na namba ndio kila mtu akasome mwenywe

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Kwa nn wataka usome mwenyewe wakati hujui kitu? Wacha usomewe ndio utaelewa .ushahidi ni mwingi sana.

    • @salmalisu5017
      @salmalisu5017 ปีที่แล้ว

      0ll

    • @yussufsaid8223
      @yussufsaid8223 ปีที่แล้ว

      Si ametoa kitabu na no au

    • @imhotepheru436
      @imhotepheru436 ปีที่แล้ว

      @@yussufsaid8223 please nisaidie na izo verses

    • @yahyaayoub4999
      @yahyaayoub4999 ปีที่แล้ว +1

      Inaonekana hukusikiliza vizuri, kitabu amekieleza bado na video ameonyesha ya wanaofundishana shahada vyote hukuona?

  • @omarizuberi7163
    @omarizuberi7163 27 วันที่ผ่านมา

    Nimekubari kweli shia nimakufari😢😢😢😢

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 หลายเดือนก่อน

    shekhe hemed jalala jitafakari tumeziona shahada za mashia we huoni tu shekhe

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 หลายเดือนก่อน

    shekhe mashia siyo waislamu na hayo yalisha ongelewa na mtume

  • @YasamAmani
    @YasamAmani 2 หลายเดือนก่อน

    Shehe kachanganyikiwa

  • @isaackmlayy6228
    @isaackmlayy6228 3 หลายเดือนก่อน

    kama kweli unajua nipe maisha ya aisha baada ya kifo cha mwahamad

    • @kiddyalite
      @kiddyalite 2 หลายเดือนก่อน

      Tuambie ww unayejua😮

  • @FetymaaJuma
    @FetymaaJuma 3 หลายเดือนก่อน

    Tunajua mnao wateteA mashia melipwa visenti na mmenunuliwa sisi tunajua

  • @mohamedsheha-jz6hn
    @mohamedsheha-jz6hn 5 หลายเดือนก่อน

    Hao sio waislam

  • @saidally9896
    @saidally9896 ปีที่แล้ว +3

    Mashia ni motoni

  • @JAFARIHASSANI-dc3ed
    @JAFARIHASSANI-dc3ed 7 หลายเดือนก่อน

    Elim yk bd ndg saan wallah

  • @MwamvuaJafari-fq4ku
    @MwamvuaJafari-fq4ku 11 หลายเดือนก่อน

    Nimekuele shekhe wanga

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว +1

    MASHIA WAO KAZI YAO NI KUWADHALILISHA MASWABA WA MTUME NA WAKEZE MTUME!!
    ALLHA AWAVUNJE MIGONGO YAO!!

  • @bishingwemaxime3655
    @bishingwemaxime3655 2 หลายเดือนก่อน

    Wamepotea mashia

  • @JumaMkiji
    @JumaMkiji 4 หลายเดือนก่อน

    Nyinyi mungu wapuuzi wakubwa amna ushehe wowote

    • @SherallyHussein-tu1nk
      @SherallyHussein-tu1nk 4 หลายเดือนก่อน

      Lete HOJA. Acha kupaparuka. Sheikh kaleta ushahidi wa HOJA na DALILI za MADAI yake. Sasa WEWE Pinga Kwa kuleta Dalili na HOJA DHIDI ya MANENO yake.

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr หลายเดือนก่อน

    Enzi za mtume s.a.w maadui wa waislamu ni washiriki na wanafik walikuwepoo vibaraka wa makafiri na zama zetu hizii maadui wa waislamu ni mayahudii na wanafik ni masalafi ndio vibaraka wa mayahudi amaaa kweli historia inajirejeaa 😢

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr หลายเดือนก่อน

    Hakuna watu wa bayaa na waovuu kama wanafik ndio maana Allah sw amewazawadiaa tamaka ya chinii ya moto wa jahannam 😢 tubienii nyinyi masalafi na kama hamujatubia kwa unafik wenu basii mutakuja jutiaa kwa munyoyafanyaa😢 ila sishangai snaa nyinyi mushajibashiria pepoo ndio maana munasubutu kuwaita waislamu ni makafiri na sio mashia tu hata maibadhi munawaita makafiri ila cha ajabu wanapokufa hitowa shahada mbili 😢

  • @swahabaninga
    @swahabaninga 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe ndo mchonganishi Sana

  • @YogweMwakulola
    @YogweMwakulola 6 หลายเดือนก่อน

    Uyu hajui kitu

    • @RajabNgome-b3z
      @RajabNgome-b3z 3 หลายเดือนก่อน

      Sio useme hajui kitu toa fact kwanin hajui , ibua hoja

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 ปีที่แล้ว +3

    Mimi siyo muislam lakini sifurahishwi kuona waislam wanagombana na kukashifiana

    • @princesaha3262
      @princesaha3262 ปีที่แล้ว +1

      Mashia c waislam

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Sio kugombambana ila ni kuweka mambo clear. Hatuwezi kuwakumbatia ni ukafiri mkubwa. Wameyazua wenyewe hayapo ktk uislamu.

  • @salehal-oufy5380
    @salehal-oufy5380 ปีที่แล้ว +2

    Acheni mambo hayo ni mipango ya makafiri tugombane kwanza umoja wa waislam hayo mengine hayana maana makafiri wametofautiana lakn wakitaka kupambana na waislam wanakuwa kitu kimoja nyny mnaenda kusoma Makkah na Makkah ni mmarekani na ndio maana Makkah ndio nchi inaongoza kupga vita nchi za kiislam baada Marekani

    • @ladislausngoyinde4384
      @ladislausngoyinde4384 ปีที่แล้ว

      Chuki ni ugonjwa mbaya sana, sasa marekani ameingiaje hapa?

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye ปีที่แล้ว

      Sw we kasome china uje uwe shekhe mkubwa uje utuongoze
      Maana cjuw cjakusudia nn kuiponda nchi ambayo allah ameitukuza

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye ปีที่แล้ว

      Bora umulize ao hawataki kusoma alafu wanaropokwa mambo ya dini

  • @swahabaninga
    @swahabaninga 9 หลายเดือนก่อน

    Maarifa yako NI madogo sana

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764 ปีที่แล้ว

    MASHIA WANACHUKI KUPITA KIASI KWA WAISLAM AHLUSUNNAH WALJAMAA KULIKO WANASWARA NA MAYAHUDI!!
    INGAWA USHIA UMETOKANA NA YAHUDI IBN SABAA!!
    ALLAH AWAVUNJE MIGONGO YAO!!

  • @halidmauga96
    @halidmauga96 ปีที่แล้ว

    Wewe abi abi hujielew vizuri,hiv unadhani Kuna yeyote anayemfikia kwa matendo mazur swahaba wa mtume hiv Sasa?

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr หลายเดือนก่อน

    Mambwaa kama nyinyi ndio munaofanya wasio kuwa waislamu kuonekana ni dini isiyokuwa na maana yenye fujooo na ugomvii 😢kumbee nyinyi ndio wachafuzii wa dini kumaamazenu nyote Kila alie mtoa mwenziwe ktk uislamu

  • @swahabaninga
    @swahabaninga 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe NI choko wa mtaani hujui chochote

  • @subetizaid6515
    @subetizaid6515 ปีที่แล้ว

    Rwechungra tulia km Moja huna unachokijua kwenye dini iliyoyakweli kafuge ngurue

  • @nassorochura7838
    @nassorochura7838 หลายเดือนก่อน

    haya hayana budi kutokea waislamu hizi ni alama za kiama kabisa kiongozi kadhabun

  • @salummzee9739
    @salummzee9739 ปีที่แล้ว +2

    Hakika makafir kwa Shahada hizi mitihan Mtume Muhammad s a w alitabiri mwisho wa dunia litazuka jeshi la maisih Dajali kabla kuja kwa Masih Dajali ndio hili la Mashia,Mtume Muhammad alitufunza dua ktk swala Wamin fitnat haiy wallmayta Wamin fitnat masih Dajali,Allah atujaliye khatima njema na kufa hali yakuwa waislamu

  • @Yu-jr9uf
    @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว +1

    sasa mashia inakuaje mnamkataa Othman ra alaf mnaisoma Quran aloikusanya yeye??

  • @وزيرهالوزير-ذ8س
    @وزيرهالوزير-ذ8س 2 หลายเดือนก่อน +1

    Anaewatukana wakezamtum namaswahaba huo simwislam

    • @rasulacademy8524
      @rasulacademy8524 2 หลายเดือนก่อน

      Kwani ni kitu gani kinachomtoa katika uislamu?

  • @athmanidi4879
    @athmanidi4879 11 หลายเดือนก่อน

    Rudi Madarasa shehe.hujui hata tafsiri ya uislam

  • @muntadhwarhussein7800
    @muntadhwarhussein7800 11 หลายเดือนก่อน

    Mtu kila akisimama kwenye mimbar huwa anaongea ukweli wengi wapo na propaganda zakidini tu ndio maana uislamu umeweka shart kusoma Sana kwasababu weng niwaongo

  • @muntadhwarhussein7800
    @muntadhwarhussein7800 11 หลายเดือนก่อน

    Sisi ambao tunaamini kua kila anapozid kukashif mashia ndipo anapozid kua kuwafanya wawe wengi kwasababu sii kila mtu anaesikiliza nichiz au hawezi kusoma Kuna wengine waaakili na watafuatilia katika kuusoma ushia na kuwasoma nyie na atakuta ukweli ukowapi jaman tusomeni Sana hahahahaha Hawa mashekh wallah mung atawalaan

  • @hilalkhalfan1452
    @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว +2

    TAFADHALINI SANA WACHUKUWAJI KAMERA, JITAHIDINI MUMUEKE KWENYE PICHA MSEMAJI. NA SIO HAKI KUWEKA PICHA ZA WATU WENGI WALIOKUWA HAWAKUSEMA JAMBO KUHUSU HILO.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      ndugu yangu nyie mnawachukuliaje Abubakar ra, Umar ra, Othman ra na Alli ra?? maanq mnakataa kuwa hamuwatukan ijapokua tunaona maandiko katika vitabu vyenu!!! sasa nataka kujua kwny vitabu vyenu mnawazungumziaje hawa mabwana

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@Yu-jr9uf suali zuri umewauliza. Lakini ukweli haswa ni mgumu mpaka wakae pande zote mbili yaani mshitaki na mshitakiwa ili tuujue ukweli kuliko kurushiana maneno huwa tunapata tabu waskilizaji. Propaganda hazitusaidii waislamu. Waislamu tunataka watu wakae wachuane kwa hoja mpaka paeleweke. Tutajua kuyapima mambo kwa njia hio. Wapo mashia wasuahili wanatukana mke wa Mtume saw nishawasikia. Bila shaka ndivyo walivyofunzwa. Lakini napenda mijadala ya kielimu kuliko kukurupuka.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 ndio ni vzur zaid km zitakaa pande mbili alafu hoja zijengwe na zijibiwe

    • @yahyaayoub4999
      @yahyaayoub4999 ปีที่แล้ว +1

      Kwani amewaumbua? Si anatoa ushahidi wa kweli, msije mkasema amezusha

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      @@yahyaayoub4999 kwaio ukiiba wewe anafungwa babaako?

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa ปีที่แล้ว

    Mmmmmm sheikh hayo maneno mazito yalihitaji kila nukta uje na kitabu na sio kutaja kitabu utaje na juzu na utaje na ukurasa maana mmmm vitabu alivyovitaja nimevitafuta lakini sijaona chochote mfano umesema kuwa wanasema hakupaswa kuwa mtume lakini hukutaja kitabu chochote cha kishia kinachosema hayo maneno na umesema inamaana husipotaja kitabu yanakuwa ni maneno yako unawasingizia sio hivyo tu umesema wanatuhumu bibi Aisha lakini hukututajia kitabu chochote cha mashia chenye maneno hayo sheikh wangu kumbuka hukitoa maneno tu au ukataja kitabu ambacho ni cha kishia lakini ulichokisema hakimo unakuwa ni chachu ya kuwafanya wanaokusikiliza kuwa mashia maana wakikuta uliyoyasema hayamo tayari hawezi kukuamini sasa jiulize wasipomwamini shaikh wao watawamwamini nani jua watawamini hasiyekuwa shekhi wao tayari utachangia katika kuwafanya wawe mashia sheikh wangu sio kila anaekusikiliza anataka maneno yako hapana mwingine anataka hushahidi wa maneno yako hizi sio zama za kuja na makaratasi umeandika maneno hayo uliyokuwa unasena nahuku ukisema vitabu hivi ninavyo sheikh wangu sasa yanini kug'ag'ania kuandiki kwa mate nawino hupo nakuomba siku nyingine uje na vitabu hivyo utufunurie utuonyeshe maana kama mimi mfatiliaji unanipa wakati mgumu kufuatilia maneno ambayo siyakuti katika vitabu unavyovitaja sheikh wangu mbona unakuja na wanazuoni ambao hawategemewi katika dalili zako maana ktk kufuatia nimekuta mashia wenyewe hawawakubali yaani wanawakataa mpaka sasa naendelea kutafiti khutuba yako na kama umeona maneo haya basi nifuate wasapu unijibu maswali yangu maana sijapata majibu ya baadhi ya maneno uliyoyama

  • @abdurahimabdulkadir3926
    @abdurahimabdulkadir3926 ปีที่แล้ว

    Na wakae na shahada yao

  • @SULEIMANMussin
    @SULEIMANMussin 3 หลายเดือนก่อน

    Aya gang ya quran iliyo taja madhehebu ila imetaja uislam wacheni kubaguana ikiwa waisla mnabaguana jee wakristo watasilimu mbona wakristo hawabaguani

  • @swahabaninga
    @swahabaninga 9 หลายเดือนก่อน

    Shkh wewe nahisi hujafunzwa na mama yako wewe no mchonganishi wa jamii ilikua no vyema uzungumzie maana ya Shia kwanza kabla hujaanza kuwasema maana Hadi Sasa Mimi sinajua nishia wakina Nani?

  • @swahabaninga
    @swahabaninga 9 หลายเดือนก่อน

    Wewe Rudi chuo

  • @jabuhizzah5605
    @jabuhizzah5605 ปีที่แล้ว +3

    Hakuna anayeweza mvua uislamu mja isipokuwa Allah, Mashia Ni waislam, sababu wamwamini Allah na Muhammad, ww shekh pia huna uhakika juu ya hayo sabau, ni Allah pekee ndiye anayejua yaliyo vifuani mwawatu...,

    • @complex7582
      @complex7582 ปีที่แล้ว

      Mashia wamejuvua wenyewe uislam kutokana matendo yao

    • @abdulkisome9538
      @abdulkisome9538 ปีที่แล้ว +1

      labda ujui misingi ya uislam...ukikanusha aya za mwenyez mungu wew ushakua kafiri...mashia wanakanusha aya waz waz

    • @complex7582
      @complex7582 ปีที่แล้ว

      Wao wameshadhihirisha yaliyo vifuani mwao unattractive nini tena,wanasema quran imebadilishwa kuna surah initially riwaya imetolewa na abubakar na omar,unataka nini tena,wanasema mama wa waumini Aisha mzinifu bado tu unawaita waislam wenzako?hao ndio wakushirikiana nao

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye ปีที่แล้ว

      Na vp kuhusu haqqi za kadhi wa kiislam he hawezi kusema huyu ni.kafir karitad ?

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Wakumbatie wanaokupa mkate, utakutana na Mola siku hiyo.

  • @muntadhwarhussein7800
    @muntadhwarhussein7800 11 หลายเดือนก่อน

    Hebu jamani nyie mnaesikiliza hizi clip kwayule kwenye akili timamu lakini hebu Anza kuwafuatilia mashia someni vitabu vyao sio kusikiliz Hawa wapuuzi halaf chukua vitabu vyake na akiongea kitu linganisha katika vitabu utamjua kua nimuongo nandio maana siku Zote unakatazwa kuwasoma mashia, kuwafuatilia, kuwajua, ya uachane nao kivyovyote kwanini hem jiulizeni wenye akili mnafichwa Nini? Hebu someni mtajua

  • @ahlul-kisaamedia6280
    @ahlul-kisaamedia6280 ปีที่แล้ว +1

    Wewe kwani huo wislam ni wako ?? Hata historia ya Ushia hujui unadanganya watu, utakwenda kujibu kwa mungu na kabla ya kufa Allah atakuadhibu hapa Duniani

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Usijitoe fahamu ww maneno yanayosemwa ni sahihi. Huwezi kututungia ujinga tukaukumbatia.

    • @malikitelaki845
      @malikitelaki845 ปีที่แล้ว

      vipi hizo clip za shahada zenyuuu?

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 ปีที่แล้ว

    Tukulize ww ABI ABI je km hafsa ni mbya he mtume kwnn asimwache?inamaana mtume Hana alijualo?km mtume hajui je mungu pia hamjui km hafsa ni mbya?

  • @khatibujuma4933
    @khatibujuma4933 ปีที่แล้ว

    Je wanashahada gani
    Je mawahabi nawo niwaislam tawhd yao mbovu

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Juha kalulu we, hujielewi Shia mkubwa we

  • @alternativeislamicmedicine8396
    @alternativeislamicmedicine8396 ปีที่แล้ว +1

    MASUNI SIO WAISLAMU
    th-cam.com/video/BlYRBBONGRY/w-d-xo.html

    • @khalifaallyibnadam9983
      @khalifaallyibnadam9983 ปีที่แล้ว

      Duuh
      ..... we umechanganyikiwa au umevuta bangi

    • @selemanmartin
      @selemanmartin ปีที่แล้ว

      Hujielewi wewe,, pamoja na ushahid wote unaotolewa bado huelewi tu! Ndo maana hukuwa na akili darasani, mi nakufahamu sana ila wewe umenisahau.

  • @ramadhanmwandambotuntufye5972
    @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว +1

    Acha kulazimisha watu kile unachoamini wewe, acha kuwazushia mashia hao wanaosema hivyo ni mashia wa michongo.

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 ปีที่แล้ว

      Nimegundua una shida kubwa wewe

    • @zahormbwana9916
      @zahormbwana9916 ปีที่แล้ว

      Ww muislam na km muislam ww bs hujatambua akida yako tena ukasilimu tene ww

    • @ramadhanmwandambotuntufye5972
      @ramadhanmwandambotuntufye5972 ปีที่แล้ว

      Akida ndio nn , akida ni upuuzi tu, akida ni makundi tu ya watu ya kujinasibu kwamba wao ni Bora kuliko wengine na ni michongo tu ya mayahudi kuugawa umma wa kiislam. Mimi ni muislam na sijinasibu na upuuzi wowote unaoitwa akida. Wewe kaa na ujinga wako wa akida ukiamini kuwa ndio utakufikisha peponi, kumbuka ubora wako ni uchamungu wako na sio akida. Acha kuamini kila ujinga unaombukizwa na masheikh wako , Soma Kisha tumia akili yako uliyopewa na mungu kufikiri na kupambanua mambo.

    • @ramadhanomar8093
      @ramadhanomar8093 ปีที่แล้ว

      @@ramadhanmwandambotuntufye5972 ama katika washenzi wakubwa na wewe umo

    • @Useri-bn6ye
      @Useri-bn6ye ปีที่แล้ว

      Kawaida ukweli ukizihiri kuna watu wanauchukia uo ukweli

  • @ramadhanimbulu4941
    @ramadhanimbulu4941 ปีที่แล้ว

    Mtume Muhammad hajawahi kusema yeye ni Sunni ila alituachia Sunna, hajawahi kusema yeye ni Shia ila alikuwa na mtoto wake fatma na wajukuu hasan na Hussein,hajawahi kusema yeye suf,ibadhi,hanaf au kadiyan.Kuweni alivyokuwa!! Yeye alikuwa Muislam na hakuwa na dhehebu.

    • @malikitelaki845
      @malikitelaki845 ปีที่แล้ว +1

      una maanisha nini? kwamba Fatma na watoto wake walikua mashia?
      kusema sunn au shia ni kujipambanua itiqad yako ni ipi.. je ni itiqad ya kufuata yale yote alokuja nayo Mtume s.a.w au mi kuja na itiqad zaako ambazo umebeba kwa waliokuja nazo wanaoenda kinyume na masahaba wa Mtume s.a.w
      mtume s.a.w amesesma; shikamaneni na sunna zangu na sunna za makhalifa wangu waongofu

    • @yahyaayoub4999
      @yahyaayoub4999 ปีที่แล้ว +1

      Umesahau moja wala hakuwa Answar Sunna

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr หลายเดือนก่อน

    Kila anaemuita muislamu mwenziwe kafiri basi yeye ndie kafirii

  • @muntadhwarhussein7800
    @muntadhwarhussein7800 11 หลายเดือนก่อน

    Utofaut wa madhehebu mpaka watu wakakhtilafiana katika madhehebu tofaut tofaut sababu nimbili tu 1. Masuni wanasema mtume ameondoka Bila kuacha kiongozi msaidiz katika imma baada yake 2. Mashia wanaamini kua mtume hakuacha umma Bila kiongozi kwasababu mung amesema hatoacha ulimwengu bila kiongozi
    @ swali kwamwenye akili jiulize pia niulize msunni - wakati wanafanya kikao wanachagua kiongozi ulimwenguni muwakilishi wamtume alikua ninani? Kwakua mung kasema hawezi kuacha ulimwengu bila muwakilishi?

  • @halidmauga96
    @halidmauga96 ปีที่แล้ว

    Kwani ndugu yangu unayesema shia ni waislam, ulisoma japo kidogo kweli?

  • @taurehassan7399
    @taurehassan7399 ปีที่แล้ว

    Ww jabu lete dalili ya kuwa mashia ni waislam kw qaida zao au umeolewa na mashia?

  • @umbopaday
    @umbopaday ปีที่แล้ว +1

    Andika hivi kwenye youtube (chickens mourn for imam hussein)

    • @abdillahijalalkhan2128
      @abdillahijalalkhan2128 ปีที่แล้ว

      TWAMUHISHIMU
      IMAM AL HUSSAYN(AS)

    • @umbopaday
      @umbopaday ปีที่แล้ว

      @@abdillahijalalkhan2128 not (as) (it’s (ra)

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว

    kuhusu hizo shahada nyingine za motoni je zimethibiti ktk vitabu vya kishia au ni huyo shekhe kafanya kwa matakwa yake binafsi?

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 ปีที่แล้ว

      Aikil8za tena utamuelewa tu

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 ปีที่แล้ว

      Mie sio shia, lakini kwanini sijaona mjadala?. Naona kusemana tuu

    • @hamynas
      @hamynas ปีที่แล้ว

      @@hilalkhalfan1452 mawahabi hawataki mjadala wanasema mpaka mashia waache itikadi yao ndipo watafanya mjadala nao
      sasa wakiwacha itikadi yao hakuna haja ya mjadala!!!

    • @NoorAli-vj4gn
      @NoorAli-vj4gn ปีที่แล้ว

      @@hamynasiweje aliye kwenye haki aogope mtu wa batili

    • @officialrashrayz4140
      @officialrashrayz4140 ปีที่แล้ว

      Hawa wanajizuia mambo Yao tu juu ya chuki

  • @ABUUALLY-ch5jr
    @ABUUALLY-ch5jr หลายเดือนก่อน

    Wewe acha chukii izoo za kisiasaa munaziingiza kwenye dini ,alafu wewe hii dini ya uislamu sio yako wewe Wala sio ya babaako Wala sio ya mambwana zako Bali hii dini ya uislamu ni dini ya Allah s.w yeye ndie atakae tuhukumu ni nani alikuwa muislamu wa kweli na ninani aliekuwa mnafiki kwahiyoo hayoo ulojipachika wewe ni madaraka ya muumba sio yakoo mpuuzi wa kiwahabi .
    Hatakama wewe huwatambui mashia kama sio waislamu wanapungukiwa na Nini ?? Vipi iweje watu ambao wanamuamini Allah s.w na mtume wake halafu wewe muwaite makafirii ! Basi ukafirii unakurejeaa wewe na moto wa jahannam unakusubiri mbwaa wa kiwahabii weee😢

  • @AshaHamisi-jz5mk
    @AshaHamisi-jz5mk ปีที่แล้ว

    Huo ni uongo m mwnyw mshia ila shahada umezusha mbona shahad yetu n mbili tu ila mungu atakuadhib kwa kutuzushia uongo

    • @shalbaonlinetv
      @shalbaonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Hiyo ya Ally waliyu llah nini dada

    • @yahyaayoub4999
      @yahyaayoub4999 ปีที่แล้ว +1

      Na hiyo video ya mtu anayetamkishwa shahada nayo ni ya uongo? Isije kuwa wewe ni Shia wa mchongo

    • @husseinomar4294
      @husseinomar4294 ปีที่แล้ว

      Kwa hiyo wewe unaejisema na wewe mshia hujasikia pale shahada zenu shekh wako kamtajidha mtu ???

    • @husseinomar4294
      @husseinomar4294 ปีที่แล้ว

      Yaani nyinyi mashia ndiyo makafiri wa kwanza kwanza kabisa !

    • @husseinomar4294
      @husseinomar4294 ปีที่แล้ว

      Hujitambui ndiyo maana umekomaa na ujinga wako huo mpuuzi wewe !

  • @hamynas
    @hamynas ปีที่แล้ว +1

    kwani shahada maana yake hasa kiarabu ni mbili au wingi ?

  • @abiabi9353
    @abiabi9353 ปีที่แล้ว +1

    Masunni mtaendelea na propaganda zenu lkn hamna hoja za kielimu kujibu hoja za mashia. Nasema hivi namtaka kidume wasunni anithibitishia inakuaje maswahaba wote wawe waadilifu.mimi nafikiri hii ni itikadi yakijinga. Pia nata sunni akatae kuwa surat tahrim aya ya 3 hadi 5 haisemi kuwa aisha na hafswa mioyo yao imepotoka na kwamba ni wanawake ambao hawana imani ya kweli

    • @shalbaonlinetv
      @shalbaonlinetv  ปีที่แล้ว +1

      Uelewe wenu nifinyu sana
      Mnavyoielewa Qur an nikinyume na mafuhum halisi mmeonywa hamsikii
      Sasa subirini Adhabu za Allah

    • @ramadhaniomary9241
      @ramadhaniomary9241 ปีที่แล้ว

      Hivi nyinyi mashia baada mna akili kweli juzi kiongozi wenu wa tanzania Balala amejitahidi kujikosha kuwa hamtukani maswahaba Leo wewe umemtia aibu kweli mnafiki hajifichi

    • @abiabi9353
      @abiabi9353 ปีที่แล้ว

      @@ramadhaniomary9241 sisi kweli hatuwatukani maswshaba Bali tunawakosoa tu.kwamfano swahaba wa mwanzo mwanzo ambao mnasema wameridhiwa Abdulrahman ibn udais aliye muuwa halifa othman. Hivi Nikki utasema aliridhiwa? Ndiyo maana nikasema siyo wote wslioridhiwa ni baadhi tu. Au nikisema surat tahrim aya ya 3 hadi ya 5 inasema kuwa aisha na hafswa mioyo yao imepotoka. Je nimewstukana au nimesema Quran ilivyosema

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf ปีที่แล้ว

      ni kweli mashia huwa mnaruhusu mume kumuingilia kinyume na maumbile mkewe kwa dharura yeyote ile??? kama hiyo aya itatafsiriwa hvo ya surah tahrim, vp Allah alivosema wanawake wabaya ni wanaume wabaya?? ina maana unataka kutuambia nn kama Hafsa na Aisha watakua ni wanawake waovu??

    • @bwagizoselemani8434
      @bwagizoselemani8434 ปีที่แล้ว

      Kwanza kubishana na mashia nikama unatwanga maji kwenye kinu kiukwel sheitwaan amewafanya kua ndio vichwa vyao kua ndio nyumba yake. Wanatakiwa tu kujua kua hata waungane vip wafanye mema kujaza dunia hawawez kufikia hata chembe wao nawapinge tu nakutukana maswahaba ila watakuja kulipa haya duniani hapa tunapita tu

  • @umbopaday
    @umbopaday ปีที่แล้ว +1

    Angalia kwenye youtube chanel hii anti-majos utajua mashia ni kina nani arabia yote pamoja ulaya wana wajua viongozi wao wana chaguliwa na ufalme uingereza

    • @kawayaradjabunisaba9073
      @kawayaradjabunisaba9073 ปีที่แล้ว

      Hahahahaha, mutakufanacho kidiba Cha moyo, na jini umchae ndiye akusawazae, . Lakini nikuulize: wewe eti unaamini kunamuislamu asiyekuwa muwahabi, au kama munavyo jiita, masalafi, tafadhali unijulishe nami kwamba Ash' Ary, na maturidy, ni waislamu kwa imaniyenu ya kiwahabi,???

    • @kawayaradjabunisaba9073
      @kawayaradjabunisaba9073 ปีที่แล้ว

      Umuongo mzushi,

    • @paulorckesra7452
      @paulorckesra7452 ปีที่แล้ว

      Kwanini hamua invite ma Sheikh wa madhehbu Shi'a?
      Ili tuwauliseze maswali,wapate kujibu wenyewe?

  • @AkitakaHuwa
    @AkitakaHuwa ปีที่แล้ว

    Mmmmmm sheikh hayo maneno mazito yalihitaji kila nukta uje na kitabu na sio kutaja kitabu utaje na juzu na utaje na ukurasa maana mmmm vitabu alivyovitaja nimevitafuta lakini sijaona chochote mfano umesema kuwa wanasema hakupaswa kuwa mtume lakini hukutaja kitabu chochote cha kishia kinachosema hayo maneno na umesema inamaana husipotaja kitabu yanakuwa ni maneno yako unawasingizia sio hivyo tu umesema wanatuhumu bibi Aisha lakini hukututajia kitabu chochote cha mashia chenye maneno hayo sheikh wangu kumbuka hukitoa maneno tu au ukataja kitabu ambacho ni cha kishia lakini ulichokisema hakimo unakuwa ni chachu ya kuwafanya wanaokusikiliza kuwa mashia maana wakikuta uliyoyasema hayamo tayari hawezi kukuamini sasa jiulize wasipomwamini shaikh wao watawamwamini nani jua watawamini hasiyekuwa shekhi wao tayari utachangia katika kuwafanya wawe mashia sheikh wangu sio kila anaekusikiliza anataka maneno yako hapana mwingine anataka hushahidi wa maneno yako hizi sio zama za kuja na makaratasi umeandika maneno hayo uliyokuwa unasena nahuku ukisema vitabu hivi ninavyo sheikh wangu sasa yanini kug'ag'ania kuandiki kwa mate nawino hupo nakuomba siku nyingine uje na vitabu hivyo utufunurie utuonyeshe maana kama mimi mfatiliaji unanipa wakati mgumu kufuatilia maneno ambayo siyakuti katika vitabu unavyovitaja sheikh wangu mbona unakuja na wanazuoni ambao hawategemewi katika dalili zako maana ktk kufuatia nimekuta mashia wenyewe hawawakubali yaani wanawakataa mpaka sasa naendelea kutafiti khutuba yako na kama umeona maneo haya basi nifuate wasapu unijibu maswali yangu maana sijapata majibu ya baadhi ya maneno uliyoyama

    • @NADUAonlineTV
      @NADUAonlineTV 4 หลายเดือนก่อน

      Hiyo shahada ujaisikia na sikiliza hizo nguzo tu