SIKIA BARAKA MPENJA ALIVYO FUNIKWA KUTANGAZA NA MTANGAZAJI WA DUMA TV MATCH YA SIMBA NA YANGA
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- UTACHEKA TAZAMA BARAKA MPENJA ALIVYOFUNIKWA KUTANGAZA NA MTANGAZAJI WA MICHEZO WA DUMA TV UTATA WAANZIA SIMBA NA YANGA
#BARAKAMPENJA #SIMBA #YANGA #AZAMTV
Baraka mpenja wew ni noma sanaaaaaaa
Barakaaaaaaa sanaaaaaà
Barack mpenja we Ni noma umetisha sn we ni zaidi ya 🔥
balaka mpenja noma sana
Baraka mpenja mungu akuweke na akupe afya njema na rizki yako ya halal🙏🙏🙏
Kazi yako ni nzuri Sana mpenja hakika imekuza soka la tiz
Salute kwako mpenja unapiga kazi ila mpenja simba bingwa waamby ukweli tu mautopolo
Woyooooooooooooooooo love you mpenja unauwa sana
mpenja mwenyewe umeufanya mpira wa bongo uzidi kupendwa zaidij juu ya maneno yaku🔥🔥🔥
Huyo mpenja ndie kipenz wa watu kwenye football
@@husseinshaban606 yaani mechi iwe kali mpira unapigwa mwingi na awepo mzee mwenyewe mwenye sauti la radi duuuhhh utaenjoy vyakutoshaa aixee
Aziz to the world
Kk unaushawishi wa pekee kwenye soka letu hongera sana pia mshukuru mungu kwa kipaji cha pekee
Baraka mpenja ni 💪💪💪
Mpenja nakupenda san wew noma
Baraka baba lao
Bigger up sana my class meet piga kazi
Nice mpenja
Good mpenja
Nakukubali brother
mzeee baba uko sawa baraka mpenja
Baraka uko vizuri
Mpenja baba mpenja weww
Baraka peponi
Nataka upige story na mwalimu kashasha
Baraka nakukubari
Safiiiiii
Big up mpenja me sauti yako ilinifanya niwe mpenzi wa mpi a
Nimefurahia sana interview
Mpenja simba au yangaa
Asante Kakampenja
king mpenja very smart very care very nice💪💪
Daa balaa
Ahsante sana kwa utangazaji wako
unastahil kitu tanzania hii hasa ktk tasnia ya mpira..umefanya tusiangalie tu mpira ila tunasikiliza na maneno ako..live long mpenja
Mpenja noma sana tena sana
Good
Mpenjaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Vizur Sanaa mpenja bila wewe mpira haunogiiiii
Kaka uko vzr sn
Mpenja nakupenda sana kwanza mwepesi wakutangaza kutowa majina haraka sana hilolinanifurahisha sana
Baraka Mungu akuweke... sku tuje tuwahadithie wanetu kuhusu weye
Tisha sana
Mpenja Eee!! Mwenyez mungu akjarie kaz yak A K A saut ya radiiiiiii!!
Mpenjaaaaasooon
Mpenja ni anaweza
Nimewakubali sana vjana wangu
Bingwa mnyamaaaa
Heshima yako B.Mpenja
Bila kumung'unya maneno navutiwa sana na utangazaji wako mpenja
Hapa Aliwatan Adlu lazizi alikua bado hajajipa vizuri sas ivi anang'aa to yanga
Hv baraka mpenja hii ni suti ya kazi ama maan
Mpenja baba lao
SAUTI YA RADI UNATISHA BABA EMBU SEMA TUISILAAAAA 😂😂😂😂 MPENJA WEWE NI NO 1 DUNIANI
Talent
@barakampenja uko vzr KaKa.. utabr wako uko vzr. Ngoja tusubr.. lkn utabir Wangu mm MNyaama bado atatisha..# atachukua again.
Yaani nikiangalia mpira Azam kama mtangazaji sio Mpenja sinaga hata hamu
Baraka kiboko wao
Wew ni moto aiseee
Mpenja na kukubali
Jamani duma Mimi najua kutangaza mpira jee unaweza kunisikiliza please
Mpenjaaaa aaaaaaaaaaaas dah nakukubali channnnnnaaaaa
Anhaa nimejunza kitu kwenye hii interviwe kumbe baraka mpenja yuko simba na ndomana wachezaji wa simba na magoli ya simba yanapofungwa huwa anazidisha mbwwmbwe za utangazaji kuliko magoli ha yanga, na ndomamana ukifuatilia vzr hii intrviw utakuta anawaongelea sana simba na wala siyo yanga.ok na ss tutatafuta mtangazaji wetu bana.
Hahahahaaaa utopolo bhana
Hahahahaaaa utopolo bhana
Anatuwakilisha wana KUSINI
Ila plz dabi zote naomb utangaz wew .
Nawakubali
Micjael
Yani ww barak mpenja sikuwa napenda mpyra au sijui lakini mpira nimejua kwaajili wako sante kaka.
Morna. Nifundi
Wamafundi
Kwakutangaza
Pnda all
Dah
Mpenja nihatari sana namkubali sana nimependa xna sauti Yake akiwa akitangaza yupo saw Ni tz no
Bingwa ni timu ya wananchi yangaaaaa
Mpenja ww noma
Mpeja ni Simba kama mm baada ya manara ni mpeja simbaaa
Yani asiyependa kuangalia mpira unavyotangaza aiseee braza we hatar Mpenja
Nakuelew Canada saut ya radii
Wajina yuko motoo akuna wakufikia Tanzania
Anatisha
Baraka wemmalila kweli
Kweli
Nqbl saaan kaz zake
Bingwa ni Simba tu mpenja
Ikicheza simba kama mpenja hutangazi daaa sisikii vizuri ki ukweli
Waooooooooooooooooooo ❤️
AZAM ANACHUKUA UBINGWA NATABIRI
dogo unatitahdi sana ila Mpenja wew ni noma sana
Oi
Nimeona simba
Mpenjaaaloveeeuuu
Katika uchambuzi wa ukweli juu ya timu ya simba na changamoto ya viwanja vya ugenini/mikoani
Mpenja sijaona zaidiyako unatisha
Kak baraka yan ww dah untoa udambu udambu unpokuwa untngaza mpira hongera
Mtangazaji ujajipanga
Baraka mpenja wewe ni zawadi ya Africa nzima
Mpnja Moto wa kuotea mbali
Yan kungekuwa na uwezekano mech zote za simba au yanga atangaze mpenja kinakabombe wakatangaze ngwambina na biashara huko.
Hahahahaha
Kwel alaf
Simba inachukuwa tena
Hahahaha mpenja ww noma
Natamani siku moja nikuone live
saut ya rad
😍😍😍
Sio sir mpenja unatshaa kaka
Simba bingwa tena
Barack mpenja we ni kiboko baba.
We mpenja mshamba sana unapendelea simba hujui hata kuchambua wachezaji ball halitaki ushabiki ww unazinguaga sana kiukwel sijawai kupenda utangazaji wako...👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
We unayako tu utopolo mnapenda Sana lawama
Aaaa ww fund bb mpenja
Mpenja bwana napenda sana baba unajua mkali hata kama hupendi kutazama mpira ukiwa ww unatanga napenda uusiixhe yan