Naungana pamoja na kanisa langu na Mchungaji wangu Moses magembe Yesu hoyeee shetani utaomba cha moto utakiona naungana nanyi nikiwa Tanga mjini new nguvumali 🔥🔥🔥🙏
Mi natamani wachungaji wa Tag wajifunze kwa Baba Askofu kutembea na wake zao anguko halitakuwepo kwa sehemu kubwa.Hongera Askofu kwa kufanya kazi na maua wako.
Hii ibada ilikuwa ya aina yake kwa kweli. Uwepo wa Mungu ulikuwa mwingi sanaaa!!! Bado lipo tumaini kwa Kanisa na uamsho unalijia taifa hili. Wana-TAG na makanisa mengine ya kipentekoste tukae vzr.
Barikiwa sana baba yetu Kwa kazi nzuri unayoifanya sisi wainjilisti huku vijijini tutazidi kufanya kusudi hakika mungu akutie nguvu
Hakika twamwitaji Bwana nanguvu zake ili tusonge mbele; mbarikiwe sana
Naungana pamoja na kanisa langu na Mchungaji wangu Moses magembe Yesu hoyeee shetani utaomba cha moto utakiona naungana nanyi nikiwa Tanga mjini new nguvumali 🔥🔥🔥🙏
Nampenda sana Mzee magembe na hiki nikilio chake miaka mingi Yesu anajibu tujinyenyekeze kwa Roho Mtakatifu
Magembe baba nakupenda sana baba angu wa kiroho
Mubalikiwe mababa t a g mnapendeza na kamanda wetu mtoka mbali
Mi natamani wachungaji wa Tag wajifunze kwa Baba Askofu kutembea na wake zao anguko halitakuwepo kwa sehemu kubwa.Hongera Askofu kwa kufanya kazi na maua wako.
Mbarikiwe watumishi wa Mungu
Hongereni sana wapendwa,mpo vizuri
Wapendw hapo mahali moto unawaka nimeipenda bureeeee mungu awabariki sana
askofu ananifundisha mambo mengi pamoja na UTHUBUTU na UONGOZI!Mungu azidi kukubariki na kukulinda
Kanisa langu pendwa 😢😢😢❤❤❤
Pamoja na Bwana tutatenda makuu
Eh, Mungu uturehemu - tukurudie na tukutumikie kwa nguvu zako
Naomba mnisaidie jina la wimbo huu tafadhari.
Nimependa utaratibu wa Mapoke ya Askofu mkuu
Amina. "Kurudi kwenye Uzima"
Yesu alirudia kanisa lake
🥰🥰🥰
Hakika hii kwaya siwa wasanii wanyimbo zainjili Bali niwahubiri waneno la Mungu waviwango vya Mbinguni
Jamani jina la huu wimbo au kwaya
Haleluyaaa
Hii ibada ilikuwa ya aina yake kwa kweli. Uwepo wa Mungu ulikuwa mwingi sanaaa!!! Bado lipo tumaini kwa Kanisa na uamsho unalijia taifa hili. Wana-TAG na makanisa mengine ya kipentekoste tukae vzr.
Amen
Tag majumba sita Kuna Mchungaji haswaa
Mungu awabarik
Kwa pamoja tutatenda makuu
Mungu atusaidie katika mwaka huu wa uhamsho.... nawatakia mfungo mwema Wana TAG