ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Kocha ni PF Mwarabu mzee anaupiga wa kutosha nakumbali sana
Mwamba haswaaa... 🤗
Kocha hajawahi kosea kwenye Kaz zake japo umri umeenda lakin uwezo wake anaudhihirisha
Hakika. Mwenyezi Mungu azidi kumlinda na kumjalia mema mengi
Mungu awabariki wimbo huu nakupenda saana
Ahsante sana, nawe pia ubarikiwe sana.
Kocha ana tiribu vizuri sana ❤
Amin
Amina.
Wimbo unanifanya namkumbuka Marehemu Bibi yangu alikua akipendelea sana kuimba wimbo huu
Ooh.. pole sana kwa kumpoteza Bibi. Apumzike kwa amani. Endelea kufarijika na kumuombea kupitia wimbo huu. 🙏
Kocha
Kocha haswaaa...
Mungu akulinde na akubariki
Amina... 🙏🙏🙏 Nawe ubarikiwe daima.
Kazi nzuri. Ila sijui ni masikio yangu naona kama wako offbeat
Ahsante kwa comment yako. Tunafatilia tujue kama tatizo hilo lipo.
Kazi nzuri sanaaaa babaaa ...mkuuu sanaa
Sawa baba... Umepotelea wapi wewee
Beautiful 😍
Thanks 🙏
Safi sana wa Mt. Andrea. Kazi nzuri Sayari Production.
Asante sana ndugu.
Mzee ni fahari kwa wakatoliki wa Ifakara na Mahenge.... big up
Hakika. 🙏
Safi sana baraka nakukubali sana kutoka igota
Ohooo... Nashukuru saana mwana wa Igota
Hongereni sana wana kwaya wa jimbo langu. Mungu awabariki sana. By Frt. Godfrey Karata..
Asante sana brother. Kuna jambo letu piaa
Hongera sana .utulivu wa kutosha
Asante sana mkuu
Dah! Asante sana kwaya Mt. Andrea Ifakara, mmenifanya nijisikie nipo nyumbani! hakika mmenirudisha nyumbani kabisa, nimefurahi kuwaona jeshi langu tukianza na kamanda mkuu Kocha, Lubomba Muga, Sister Njavike😃 na wengine wote
Karibu sana mkuu
Nyimbo nzuri ya maajilio
Asante sana.
Wimbo mmoja, nyimbo nyingi 🙏🙏
@@csato9415 Haswaaa.... Wimbo
Huyu organist nipeni namba yake nimtumie hata 5000 pia namba ya mzee mwarabu
Hahahaaa... Jamani... Sawa ngoja nizisake chaap
@@sayariproductionssawa
Hii comment imezingatiwa. 0782261878 🎉
Good organist
Thank you very much.🙏
Niceeeee
Singiuuuu 😄
Translate to English
Naweza pata copy yake
Bila shaka.