Yaani nimeona hii video leo na nina mtoto mdogo wa miezi saba nywele yangu inang'oka hadi sio poa, Asante kwa somo nitumie majani yeyote dear 🙏🙏plz nieleweshe
@@lenaturalistar848 nqhitqji kujua live in conditioner hii hutumikaje yaan hta km nywele iko nw mafuta umesuka unaweza fanyia nywele yako yaani kuipulizia au maana mimi cjafahamu hii kitu na kuna baadhi wanasema ukitumia mqji yq crave km live in conditioner ni mazuri lkn mimi yananikata nywele na zinakakamaa naona hazikui lkn wanaisifu sana
@@tiffahjuma1970 ndio yaani hata kama umesuka waweza kuipulizia tu kisha ukapakaa mafuta yako. Unajua sio kila kitu nikizuri kwa wote. Ukiona inakukatia nywele basi nakusahauri achana nayo manake itakua nywele zako haziendani nayo. Nivyema unatumia vitu ambavyo unajua nywele zako imevikubali.
Hongera sana kwakujifungua. Na asante kwa video mpya
Asante sana wangu
The queen of natural hair is back! We missed u😍
Missed you more sweetheart
😍the voice jamani🌈
Hatareeee🥰
Unaweza kutumia majan yoyote Yale au
Asanti sana dada yangu acha nijalibu nione matukio sasa utafanya kila siku
❤❤❤❤❤
Yaani nimeona hii video leo na nina mtoto mdogo wa miezi saba nywele yangu inang'oka hadi sio poa, Asante kwa somo nitumie majani yeyote dear 🙏🙏plz nieleweshe
Wow kumbe! Asante
Nice my
Tuna pitiya mengi jamaniiii chaaeee😩🙆🏽♀️thank u for the tip🥰
Sio siri. You're welcome
NA hiyo mafua ya nywle yanitwaje plz natka hilo jina layo mafuta
❤ ❤ ❤ ❤
Asante sana dadake mie
Umezungumza kweli kabisa
Samahan ni majan gan yanatakiwa? Na nywele ya dawa inawezekanaa??
Asante sana mami kwahili maana nywele zangu zilikatika sana baada yakuzaa hadi nilizani nahumwa🤦🏾♀️
Karibu my. I'm glad I could help
Ni lazima majan hayo au hata yaaina nyingine
Majani yyte
Unatumia mafuta gani dada
Wewe no mkongo dada nimeona bendera nyuma yako
Hiyo chai inawekwa sukari au ni maji na ile majan ya chai
Nimaji tu na majani ya chai kipenzi usiweki sukari.
@@lenaturalistar848 ooh sukrqn uko faster kutujib wadau wako ubarikiwe sana mwengine mwaka mzima ndo anajib hadi unasshau
@@lenaturalistar848 nqhitqji kujua live in conditioner hii hutumikaje yaan hta km nywele iko nw mafuta umesuka unaweza fanyia nywele yako yaani kuipulizia au maana mimi cjafahamu hii kitu na kuna baadhi wanasema ukitumia mqji yq crave km live in conditioner ni mazuri lkn mimi yananikata nywele na zinakakamaa naona hazikui lkn wanaisifu sana
@@tiffahjuma1970 ndio yaani hata kama umesuka waweza kuipulizia tu kisha ukapakaa mafuta yako. Unajua sio kila kitu nikizuri kwa wote. Ukiona inakukatia nywele basi nakusahauri achana nayo manake itakua nywele zako haziendani nayo. Nivyema unatumia vitu ambavyo unajua nywele zako imevikubali.
@@lenaturalistar848 shukran
Niwale waliotoka kujifingua TU au watu wote
Nikwa watu wote dear