ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Mashallah,asante kwa somo zuri. Tafadhali unaweza kuniamba product unazotumia kwenye nywele za mrembo wetu
Mwanao ana nywele nzuri😍
Asante
Iyo gel ni ahina gani my queen
Inaitwa SHIN n’ JAM CONDITIONING GEL
Asante sana kwasomo zuri
Karibu
Ubarikiwe sana dada
Amen 🙏
Katoto kazuri kah mamake😘
Ongera sana mtoto kapendeza Sana acha kabisa.
Ahsante sana wangu
Hyo geli unaweza tumia kwenye mitindo mngine tofauti tofaut
Wow mtoto kapendeza jamani
Mimi hata ukimpa vyakuangalia haulkubali🤣
😂😂😂 pole sana yeah watoto wengi hawapendi kabisa
❤️❤️😍
Unatumia gel gani
Nilitumia shine ‘n jam conditioning gel
Hiyo jeli inakaa Mda gan kwenye nywele